Bomoa Bomoa Mpya Dar Yaacha Makumi Bila Makazi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024
  • Hali ya sintofahamu imetawala kwa wakazi wa Mpiji Bunju A, jijini Dar es Salaam kufuatia hatua ya Serikali kuvunja nyumba kadhaa za wakazi wa eneo hilo, hali iliyozua taharuki na vilio kwa wakazi wengi wa eneo hilo ambao wamebaki bila makazi.
    Wakazi hao wanadai kuwepo katika eneo hilo kwa zaidi ya miaka kumi mpaka hivi sasa na hadi kutokea kwa kadhia hiyo hawakua na taarifa yoyote na hawakujiandaa kuhama hapo kabla.
    The Chanzo ilifika katika eneo la tukio na kuzungumza na baadhi ya wahanga wa bomoa bomoa hiyo na haya ndiyo yalikuwa maoni yao.
    #TheChanzo

КОМЕНТАРІ • 23

  • @shilachapakazi1241
    @shilachapakazi1241 3 роки тому

    Anajua Mungu kwa maombi na vilio vyenu baba yenu aliye mbinguni hatanyamaza amini

  • @najimahassanitutara1622
    @najimahassanitutara1622 2 роки тому

    Daaa poleni sana

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 роки тому

    wallah nchi hii hata kafiri hawezi kuongoza kma sasa hivi uongozi ulivyo subhanallah subhanallah Inalillah wainaillah rajiun

  • @abbytv4659
    @abbytv4659 3 роки тому

    You kill it boy @haule lukelo🔥🔥🔥
    Story nzuri

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 2 роки тому

    3

  • @rausathsued8852
    @rausathsued8852 3 роки тому

    👊👊👊👊👊

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 роки тому

    Sasa mi najiuliza sehem inakuwa na mjumbe inakuwa na shina la chama ile si kielelezo kuwa hata viongozi wa dhina wanajua ni sehemu ya makazi jamani ilaana kabisa wagonjwa wanaangaika watoto wachanga wazee wanalala nje nyie melata ndani mebomoa nyumba za wanyonge mungu alie umba mbingu na arthi atajibu hii nchi sio yenu pekeyenu mungu atasema na nyinyi

  • @simoncharles683
    @simoncharles683 3 роки тому

    Wewe Acha ujinga kula vitumbua vyako mama Samia akusaidie nini

  • @simoncharles683
    @simoncharles683 3 роки тому

    5 tena wakome ubishiiiii

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 2 роки тому

    Hii dunia tyu viongozi siku ya hukumu mtauluzwa

  • @simoncharles683
    @simoncharles683 3 роки тому

    Ndio mkome mnakuwaga wajjnga mkipewa vitenge na mavitambaa

  • @kingbuddah6372
    @kingbuddah6372 3 роки тому

    Huyo raisi akufaini bado mnapepelusha ccm cio chama

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 2 роки тому

    Pepo mtaiskia kwa maskio

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 роки тому

    Nnchi hii aliiweza magufuli tuu

  • @kingbuddah6372
    @kingbuddah6372 3 роки тому

    Akuulumie nini wakati wao ndio wamewatuma

  • @kingbuddah6372
    @kingbuddah6372 3 роки тому

    MSICHOME SENDANO HIZO MBOVU MSICHAGUE TENA CCM WALA YULE MALAYA WAO

  • @kingbuddah6372
    @kingbuddah6372 3 роки тому

    HII SERIKALI YA AWAMU YA SITA HUYU BIBI SAMIA KUMALA MAMA YAKO WEWE UNAWATESA WATANZANIA KUMA WEWE MSICHOME SINDANO HIZO

  • @thomjunior9947
    @thomjunior9947 3 роки тому

    Serikali ilitakiwa kuja na suluhisho la kudumu kabla ya kubomoa makazi ya wananchi na kuwaacha wasijue wapi pa kwenda! Wizara husika ina la kujibu ktk hili, haiwezekani wananchi wanaanza kujenga kwenye maeneo hayo mpaka wanahamia, hakuna katazo lolote kisheria lililowazuia..leo hii mnawafanyia hivi..mnataka waende wapi? This is not fair at all

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 3 роки тому +1

      Hivi wewe unawezaje kujenga eneo ambalo huna hati ya kiwanja? Haiingii akilini kabisa

    • @ShanyShany-d1u
      @ShanyShany-d1u 5 місяців тому

      Wewe wengine wanahatizao kwavile alija kukuta wewe