Tatizo Watanzania hatuheshimu sheria, amri na taratibu za Nchi. Tunapenda sana kulalamika na kuona kama tunaonewa tujifunze kuwa makini unapofanya jambo angalia hapo ulipo pana usalama gani. Barabara isijengwe eti tuu maduka yasibomolewe hapana waache TANROAD waendelee na ujenzi. Tuache kulalamika kila jambo lina muda wake wa kutekelezwa.
Barabara ni muhimu kuliko kazi binafsi sababu hapo palishajulikana ni sehemu ya barabara. Hii si mama Samia amkeni. Kuna mambo si ya kuomba . Ni kuhama kisheria. Huyo mama atavunja sheria kurudisha maendeleo ya jiji . Hii si haki.
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Duh polen San ndgu zangu wa mbande
Tatizo Watanzania hatuheshimu sheria, amri na taratibu za Nchi. Tunapenda sana kulalamika na kuona kama tunaonewa tujifunze kuwa makini unapofanya jambo angalia hapo ulipo pana usalama gani. Barabara isijengwe eti tuu maduka yasibomolewe hapana waache TANROAD waendelee na ujenzi. Tuache kulalamika kila jambo lina muda wake wa kutekelezwa.
Palivyo kuwa pori hawakwenda
Yani usipite mradi wa maendeleo hivi nyinyi amujui kama eneo la hifadhi ya barabara
Ni sehemu wazi za jiji si CCM. Elimu. Mjifahamu na kujielewa.
Barabara ni muhimu kuliko kazi binafsi sababu hapo palishajulikana ni sehemu ya barabara. Hii si mama Samia amkeni. Kuna mambo si ya kuomba . Ni kuhama kisheria. Huyo mama atavunja sheria kurudisha maendeleo ya jiji . Hii si haki.
Wapewe muda wa miezi 12 ninafahamu madhala ya mkopo wa benk.
Hao wafanya biashara wana hoja za msingi