YAJUE MAPITO ya MWANA-FA AKIPANDA NGAZI kwa NGAZI HADI KUAPA KUWA NAIBU WAZIRI....
Вставка
- Опубліковано 13 жов 2024
- YAJUE MAPITO ya MWANA-FA AKIPANDA NGAZI kwa NGAZI HADI KUAPA KUWA NAIBU WAZIRI....
Februari 26, 2023 nabaki kuwa siku nyingine ya kihistoria kwa Mbunge wa Muheza mkoani Tanga, Khamis Mohamed Mwinjuma almaarufu Mwana-FA baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Ni katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka ikieleza kuwa Mwana-FA ametuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua nafasi ya Pauline Gekul ambaye amehamishwa kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Mungu akuvushe ngazi za mbele yako amina
Hapo sawa Kwa uteuzi uendane na elimu na fani
Mungu akuongeze kila heri
Nimeipenda hii pambana chalii yangu.
Hongera saana kwakweli kiongozi mwana fa kupata uteuzi huo Allah akuongoze pia watu wa karate tumeachwa Sana kwenye nchi hii
Hongera sana Mkuu mwana FA
Hongera sana mheshimiwa
Hongea sana mgosi
Unatutajia FA au unatutajia wasanii Viongozi
👍🤲🙏
Huyu ni mwamba
Nchi imefilisika kwa viongozi. Mazwazwa ndio viongozi. Tuwapatie chadema uongozi labda mamba yanaweza kuelekea kimatakwa ya watanzania. CCM chini ya huyo mwanamke imekuwa matope.!!
Hao Chadema wa jinsia moja?
Chadema chama gani hicho ,maana hicho Nacho Nika tope tu hakina mwelekeo wowote afadhali hata act
Kwani chadema Kuna wasomi gani?
🦣🦣❤️❤️❤️
L