Kaongea kitu vizur bwana Hamad kweli oman ni nchi ina saidia zanzibar sana mie nimekaa oman miaka 6 na nimepata mazur mengi siwezi yasahau kutoka oman.
Anti sherry nakuonaaa😀🤣.tunamuombea kaboos Allah amlaze pema amsamehe makosa yake ya rabb,amjaalie janatulfirdous a3la..nasi atujaalie mwisho mwema amin.
Marekani ilidungua ndege ya Abiria ya Irani kimakosa enzi zile nailikataa katakata kuomba msamaha. Leo IRAN imefanya makosa hayo Wa Iran mnaandamana Mnaeeleke Libya Iraq na Syria
@@Fm-MornStar2014 Ni miaka ya nyuma Ndege ilikuwa ya Iran. Sema hao waandaanaji wa Iran Marekani nayo inatia kuni either Wananchi wamechoka na Economic international sanctions
@@nyawawawanyawawa935 ni sawa nakuelewa, ila Iran ilidungua ndege ya Canada kimakosa, na Canada haihusiki na ugomvi kati ya Iran na Marekani, hivyo kulinganisha hayo matukio, haileti mantiki. Waandamanaji ni kubebwa na upepo uliopo, juzi waliandamana kuuawa kwa Suleiman, leo ndege kudunguliwa kimakosa. Wao wanafuata kile ambacho kinaweza pengine matokeo mabaya kwao kwasababu ya viongozi wao! 🤔
Ule unabii wa daniel kuhusu sanamu ndio una malizikiki kutimia chuma na udongo havishikani lakina vitatenda kwa pamoja,marekani ndio serikali kuu ya 7ya mifumo hii misri iliyo watawalala wana wa israel ikiwa ya kwanza hakuna serikali kubwa itakayo tokea tena hadi lilejiwe litakapo iponda ile sanamu aliona danieli jiwe likiwa ufalme wa mungu ule watu wanao uomba uje ufanye mapenzi ya mungu hapa duniani...unabii mkubwa unatimia bila wengi kujua,(1)Misri,(2)Ashuru,(3)Umedi na Uajemi,(4)Babiloni(5)Ugiriki(6)Roma Empire(7)Ungereza na Marekani,hizi ndizo kuu zinazo tawala sasa,lakini unabii unaswma hizi zitasimamisha kinyago serikali nyingine zitakiabudu lakini zenyewe hazita kiabudu,yani (umoja wa mataifa)ikitajwa kama serikali ya nane kuu,,,(Soma daniel 2:44)
Iran imeomba radhi, jamani….wanasema ni bahati mbaya tu....Marekani pia 1985, (hali ya hekaheka za kivita na wasiwasi kama hali hiyo ya Iran ) na Urusi (1986) walitunguwa ndege za abiria…..mbona hatuwa kali hazikuchukuliwa? …..tukubali yaishe….na yasitokee tena
Uongozi ndio chanzo kikuu cha maendeleo katika nchi. Nimehuzunika kuskia zanzibar ilikua inaisaidia Oman, leo zanzibar 😭😭😭😭. Uongozi uongoz uongoz zanzibar ndio kulio chao
@@chamysuleiman8280 hata kama mnakuwa masikini ndo mnashirikiana kufanya mauaji?Si vizuri mbona hapa Canada wanamilikiwa na Queen Elizaberth wa Uingereza lakin hawajiungi na Watu waovu wanajitahidi kuwa wapole mpka hapo watakaporuhusiwa kuwa huru,Zanzibar mkiachiwa kuwa huru Na Al shababu atahamia kuweka uwanja hapo hapo kwenu maana hapo kuna Waislamu wale wasio na nia njema kabisa walio wengi ,zamani wakiona Kanisa tu Basi Waliuunguza ni Mungu tu kufanya leo Zanzibar Pawe na hata kanisa Moja ,Asante Yesu
@@trophainamagogwa7966 unauhakika na unachokisema??? Kua zanzibar wanashirikiana kufanya mauaji??? Tunaongelea uhusiano baina ya maendeleo na uongozi, lakini nashangazwa na maneno yako ambayo yapo mbali na mada hio. Tunaongelea Uongozi na maendeleo.
@@trophainamagogwa7966 ongea kwa ulichokua na ushahidi nacho, una ushahidi wa kua zanzibar wanashirikiana kufanya mauaji??? Zanzibar ni nchi ya amani na nchi ya watu wastaarabu, wanatatizwa tu na suala la uongozi na ndio chanzo cha umaskini.
Nashangaa sana kwenye vurugu zote na mauaji makubwa duniani kuna uislamu hivi hii ni dini ya kuuwana au kwani wanauwana sana sana wenyewe kwa wenyewe hii dini mtihani kwakweli.poleni ndugi zangu waislamu Mwenyezimu Mungu awasaidie tu musiuane bali mupendane.
Mtu anaejitambua hawezi kukubaliana na Mauaji yanayofanywa na waarabu duniani.Dunia ni mahali pa kuishi sio pakuuwana na kumwaga damu zisizo na hatia.mtu anaejiamini hawezi simama hadharani na kupinga mauaji yanayoendelea pote duniani kwa jina la dini/Imani/mungu. Angalia leo kwa vyombo vya habari kila mauaji yanayoendelea ni waarabu au kwa jina la imani.hv hata nyinyi munaoongozwa hamuezi tumia akili ya kuzaliwa.unasapoti vipi uharifu dhidi ya ubinadamu namna hii. Na wewe je ukipewa panga unaweza ukauwa maana jina lako ni kama hao yani uislamu imekuwa dini ya kuuwana wanauwana wenyewe haitoshi wanauwa na wengine kama kuku dunia nzima ni kuua tu.anaelewa thamani ya maisha na atepinga uharifu huu.
Hakusema kila mtu. Bali tuliowengi tumechanga Damu. Ndio maana mzanzibar Oman anthaminika zaidi ya mtanganyika. uwe unasikiliza na kuelewa sio ukurupuke tu kwa wiivu wako binafsi kwa kuskia Hilo.
Bila marekani waarabu wangeigeuza hii dunia kuwa majivu.anngqlia nchi zao siku zote wanauwana Uku duniani kungebaki salama.MUNGU ibariki marekani.sisi wote tunapaswa kumshukuru Mungu kwa ajili ya nchi hii.sisemi hawana makosa wanaweza kuwa na makosa ya kiutendaji ni binadamu ila hawa marekani kama serikali imesaidia sana kuleta amani duniani kwa kuuwa watu hatari duniani
Hawa wa iran hawana akili,wao hawajui kwamba ile ndege ilipigwa kibahati mbya na hlf kibaya zaidi wameanza kuisapoti israel na marekani sasa subri wataona cha moto
@@shelderpius95 kwenye ile ndege walkuemo wa iran watatu sasa wale wate wanaandamna kwa kumkaribisha mmarekani aje aiteke ili nchi hlf iwe kma iraq vile
Waandamaji ni vibaraka kwa marekani,ndege imetunguliwa bahati mbaya iweje waandamane?nakama ingekuwa ndege ya adui ingekuwaje?sioni sababu ya kuilaumu Iran,hiyo ni ktk kujihami,mwisho waafrika tuwe na akili siku zote tujifunze kuzima moto sio kupigana na moshi,chanzo cha tatizo ni nini? Ukigundua chanzo huwezi ilaumu Iran,na mwisho Iran uko vizuri vibaraka hawataweza.
Mazungumzo yanatakiwa kufanyika pande zote mbili kwani Vita ikitotokea hata nchi Kama Tanzania kwa tunategemea mafuta kutoka huko. bei itakapo panda itathili sisi wanafunzi kwani tutateseka
we acha tu, haielezeki. shida walizopata watumwa ni kubwa sana. hasa wakiwa njiani. shida na misukosuko waarabu wanazopata sasa huenda ni kisasi kiinawatembelea bila kujua.
WAKATI WA VITA KUTUNGULIWA NDEGE ZA ABIRIA KIMAKOSA HUTOKEA WAHUSIKA WANAPASWA KUCHUKULIWA HATUA KABSA ILA HA VIBARAKA WAANDAMAJI WANAPASWA WAJIULIZE KWANZA JUU YA LENGO LAO.
Acha afe ana laana .mtu kumtoa baba kwajli ya madalaka na Allah akamlaani kafa bila mtoto.. hawa ndio wauza watumwa na eti kusaidia watoto wasiojuwa historian na kuwapa dini ili wasilipize. Naashangaa ujinga wetu tunarithi hadi majinA.. waawafrika hatuna dini bali tunaiga wazungu(wanunuwa
... asili yenu siyo Oman.. Asili yenu ni makabila ya wabantu ya tumbatu, wapemba Black African siyo Oman.. Oman walileta biashara za utumwa Tanzania.. Sasa udugu gani huu au njaa..
@@mkiwamagreth08ndo amewaomba msamaha kwa kuwatendea Mema mbona wazungu hawajaomba msamaha na bado wanakukandamizeni husemi na tanaganyika bado mnainyonya Zanzibar mbona husemi
@@saidyssaley1509 Ivi nyie watu mbona hamzindukagi ulaya uwe mweusi muhindi mwarabu haki unapewa sawa saudi wako ivyo wanawake hadimu wamekimbilia nchi za kizungu kupata haki
Jamani Afrika na uhodari wetu wote pamoja na ubinaadamu, tunashindwa kweli kuliangamiza kundi la kigaidi la al-shabab? Inasikitisha watu wasio na hatia kufa kila mara kutokana na ugaidi usio na lengo maalum.
@@Bobobobo-jr9zr kwani Kuna Siri gani? vyombo vyote vya habari vinatangaza hivyo. Nakusudia maajabu ya Allah kupewa ufalme lakini kunyimwa kizazi na familia ya karibu. Ufalme umeenda kizazi kingine.yote ni mazingatio ndani yake.Allah analolitaka ndio linakuwa
America ndio wakulaumiwa kwa ajali hiyo ya ndege. Ila muanzaji haonekani mmalizaji ndie anae laumiwa. Kwa sababu hiyo ndege sio lengo lao ila marekani waliwahi ilipua ndege ya abiriya ya irani kwa kukusudia sasa nani mbaya ila hao wananchi wanacho kitaka watakipata tu. Waitazame libya ilivyo.
Duh! Kweli watu wengine wanaakili Sana kwa kutoa pointi! Hongera aisèe! Kwa hiyo wewe ukipigana na mwenzako nikiwa mpita njia ukarusha jiwe likanitandika kichwani, mwenzako uliyekuwa unamlenga ndiye amenipiga jiwe? 🤔 😁 🤣 Hongera tena na tena! Na-edit tena Hongera kwa kutoa pointi kali.
Misaada eti, Ni ujinga mtu kupenda kusaidiwa.. Yani Magufuli kachelewa kuja . Tujifunze kwa rais Magufuli . Kazi kazi na cyo kuwa ombaomba na kuiga utamaduni wa wajinga Hawa.. badala wasaidie elimu wanasaidi for dini na kujaza vyoo tu.
While uhuru Kenyatta supporting mohamed madoobe you Kenyans gonna have problems like always because al Shaba are mohamed madoobe people the citizen of kismayo are treated bad toured killing by the military of mohamed madoobe because they’re looking alike kenyans, the alshaba are Mohamed madoobe’s militants groups play different role between Kenya and Somalia border and uhuru Kenyatta is with him supporting him good luck Kenyans I’m sorry for your poor understanding
But of all the people kimani ngunjir who do you think you,re?domo kubwa hiyo niyanini huyo uhuru ako sawa hata uende juu urudi yeye amefanya kazi yake mumelemaza kipindi chake ninyi ni conmen to hell with you
Kumbe asili yetu ni Oman! Shukrani nmefahamu mie nlidhani ni mwingiliano tu!
mie nampenda huyu zuhura yunus sauti yake nzur mashallah na mwenyewe sura yake nzur
Shukran sana Bikombo
Kaongea kitu vizur bwana Hamad kweli oman ni nchi ina saidia zanzibar sana mie nimekaa oman miaka 6 na nimepata mazur mengi siwezi yasahau kutoka oman.
Sawa sawa
Assalamualaikum mamangu zuhra yunus . Shukran kwa habari
Karibu tena rafiki wa BBC
Mungu amlaze mahala pema peponi sultan qaboos bin saidy "amn"
Shekhan Said amiiiin
Perfect swahili voices...ikiongozwa na kikeke,
Sasa wewe hilo neno perfect ni kiswahili?
Shukran sana rafiki wa BBC
Nice BBC keep it up
Shukran sana Azalia
Kiukwel sautiyak inanikosha sichoki kukusikiliza.Honger sana zuhura
Mpo vizuri BBC SWAHILI
Shukran sana Aman Aman
iran mumefanya vizuri sana dawa ya moto ni moto
Anti sherry nakuonaaa😀🤣.tunamuombea kaboos Allah amlaze pema amsamehe makosa yake ya rabb,amjaalie janatulfirdous a3la..nasi atujaalie mwisho mwema amin.
wazanzibari hatuijui historia yetu nadhani itatucost
Marekani ilidungua ndege ya Abiria ya Irani kimakosa enzi zile nailikataa katakata kuomba msamaha. Leo IRAN imefanya makosa hayo Wa Iran mnaandamana Mnaeeleke Libya Iraq na Syria
Ndege ilikuwa ya Canada au ya Marekani! 🤔
@@Fm-MornStar2014
Ni miaka ya nyuma Ndege ilikuwa ya Iran. Sema hao waandaanaji wa Iran Marekani nayo inatia kuni either Wananchi wamechoka na Economic international sanctions
@@nyawawawanyawawa935 ni sawa nakuelewa, ila Iran ilidungua ndege ya Canada kimakosa, na Canada haihusiki na ugomvi kati ya Iran na Marekani, hivyo kulinganisha hayo matukio, haileti mantiki.
Waandamanaji ni kubebwa na upepo uliopo, juzi waliandamana kuuawa kwa Suleiman, leo ndege kudunguliwa kimakosa. Wao wanafuata kile ambacho kinaweza pengine matokeo mabaya kwao kwasababu ya viongozi wao! 🤔
Ule unabii wa daniel kuhusu sanamu ndio una malizikiki kutimia chuma na udongo havishikani lakina vitatenda kwa pamoja,marekani ndio serikali kuu ya 7ya mifumo hii misri iliyo watawalala wana wa israel ikiwa ya kwanza hakuna serikali kubwa itakayo tokea tena hadi lilejiwe litakapo iponda ile sanamu aliona danieli jiwe likiwa ufalme wa mungu ule watu wanao uomba uje ufanye mapenzi ya mungu hapa duniani...unabii mkubwa unatimia bila wengi kujua,(1)Misri,(2)Ashuru,(3)Umedi na Uajemi,(4)Babiloni(5)Ugiriki(6)Roma Empire(7)Ungereza na Marekani,hizi ndizo kuu zinazo tawala sasa,lakini unabii unaswma hizi zitasimamisha kinyago serikali nyingine zitakiabudu lakini zenyewe hazita kiabudu,yani (umoja wa mataifa)ikitajwa kama serikali ya nane kuu,,,(Soma daniel 2:44)
Nakupenda sana mama yangu ZUHURA
Shukran sana Jovine
QABOOS SAYEED BIN SAYEED💔😭
Iam from Zanzibar (Tanzania
Sawa sawa
Napenda hbr zenu
Iran imeomba radhi, jamani….wanasema ni bahati mbaya tu....Marekani pia 1985, (hali ya hekaheka za kivita na wasiwasi kama hali hiyo ya Iran ) na Urusi (1986) walitunguwa ndege za abiria…..mbona hatuwa kali hazikuchukuliwa? …..tukubali yaishe….na yasitokee tena
Kweli kabisa. Isiwe nongwa. Kama hawataki, basi haogopi ngumi.
Uongozi ndio chanzo kikuu cha maendeleo katika nchi. Nimehuzunika kuskia zanzibar ilikua inaisaidia Oman, leo zanzibar 😭😭😭😭. Uongozi uongoz uongoz zanzibar ndio kulio chao
Tutawaogopa Zanzibar
@@trophainamagogwa7966 na siku mkituacha kua na uhuru wetu MTATUOGOPA kweli kwa kila kitu, nyingi ndio mnatufanya kua maskini.😭😭😭😭
@@chamysuleiman8280 hata kama mnakuwa masikini ndo mnashirikiana kufanya mauaji?Si vizuri mbona hapa Canada wanamilikiwa na Queen Elizaberth wa Uingereza lakin hawajiungi na Watu waovu wanajitahidi kuwa wapole mpka hapo watakaporuhusiwa kuwa huru,Zanzibar mkiachiwa kuwa huru Na Al shababu atahamia kuweka uwanja hapo hapo kwenu maana hapo kuna Waislamu wale wasio na nia njema kabisa walio wengi ,zamani wakiona Kanisa tu Basi Waliuunguza ni Mungu tu kufanya leo Zanzibar Pawe na hata kanisa Moja ,Asante Yesu
@@trophainamagogwa7966 unauhakika na unachokisema??? Kua zanzibar wanashirikiana kufanya mauaji??? Tunaongelea uhusiano baina ya maendeleo na uongozi, lakini nashangazwa na maneno yako ambayo yapo mbali na mada hio. Tunaongelea Uongozi na maendeleo.
@@trophainamagogwa7966 ongea kwa ulichokua na ushahidi nacho, una ushahidi wa kua zanzibar wanashirikiana kufanya mauaji??? Zanzibar ni nchi ya amani na nchi ya watu wastaarabu, wanatatizwa tu na suala la uongozi na ndio chanzo cha umaskini.
Asante BBC kwa habari ila Iran walifanya kitendo ambayo sio nzuri kwa kundungua dege ya ukrein
Karibu tena rafiki
Dada zuhura kiswahili nacho kitumia ni fasihi sana
Mara amestaafu Mara aliejiuzuru.. @zuhurayunus @bbcswahili
kumradhi
Nashangaa sana kwenye vurugu zote na mauaji makubwa duniani kuna uislamu hivi hii ni dini ya kuuwana au kwani wanauwana sana sana wenyewe kwa wenyewe hii dini mtihani kwakweli.poleni ndugi zangu waislamu Mwenyezimu Mungu awasaidie tu musiuane bali mupendane.
Caroli Carlos kwamtu anaejitambua na anaelew mbinu anazotumia marekan kudhulumu waarabu awez sema hivy hat kam ni kafiri
Mtu anaejitambua hawezi kukubaliana na Mauaji yanayofanywa na waarabu duniani.Dunia ni mahali pa kuishi sio pakuuwana na kumwaga damu zisizo na hatia.mtu anaejiamini hawezi simama hadharani na kupinga mauaji yanayoendelea pote duniani kwa jina la dini/Imani/mungu.
Angalia leo kwa vyombo vya habari kila mauaji yanayoendelea ni waarabu au kwa jina la imani.hv hata nyinyi munaoongozwa hamuezi tumia akili ya kuzaliwa.unasapoti vipi uharifu dhidi ya ubinadamu namna hii.
Na wewe je ukipewa panga unaweza ukauwa maana jina lako ni kama hao yani uislamu imekuwa dini ya kuuwana wanauwana wenyewe haitoshi wanauwa na wengine kama kuku dunia nzima ni kuua tu.anaelewa thamani ya maisha na atepinga uharifu huu.
Wairani wanapaswa kutambua hayo yote yaliyojili chanzo ni Marekani, bila ya yeye kuuwa kiongoz wa Iran yasingejili hayo ya kudunguliwa ndege
Huyo ndo marekani bn wanawatwanga wanawagombanisha mnachapana we yew kwa wenyew
Sio kweli kuwa Zanzibar kila mtu amechanganya damu na Watu wa Oman
Sawa
Kujipendekeza
Hakusema kila mtu. Bali tuliowengi tumechanga Damu. Ndio maana mzanzibar Oman anthaminika zaidi ya mtanganyika. uwe unasikiliza na kuelewa sio ukurupuke tu kwa wiivu wako binafsi kwa kuskia Hilo.
@@namisgiggah1571 sikiliza vizuri huyo mama na huyo baba tena sikio lako vizuri
Kweli ni bahat mbaya lkn chanzo ni marekani kuichezea anga ya iran .....
Wenzetu wanajua kutakatisha mpaka wanakuwa sugu duu Mungu awaonee huruma
Amina
asante sana BBC
Wairan hao ni wapumbafu, badala ya kuunga mkono serikali wanataka walete fitina itawaghalim
Jinaminzi laliby naona litawakuta wairani marekani nimchochenzi vitavikianza u s a wanaunza silaa nairani watauwana wenyewe kwawenyewe Allaah wanusuru
Ameen
Tuangalie haki tusiegemee upande safi iran
Sawa
Hata kama viongoz wewnu hamuwapend lakin sio kujipendekeza kwa Marekan na Israil
Waislamu wanamatatzo sana
Bila marekani waarabu wangeigeuza hii dunia kuwa majivu.anngqlia nchi zao siku zote wanauwana Uku duniani kungebaki salama.MUNGU ibariki marekani.sisi wote tunapaswa kumshukuru Mungu kwa ajili ya nchi hii.sisemi hawana makosa wanaweza kuwa na makosa ya kiutendaji ni binadamu ila hawa marekani kama serikali imesaidia sana kuleta amani duniani kwa kuuwa watu hatari duniani
Kama hunielewi angalia duniani leo kwenye machafuko ni wapi.
Popote kwenye machafuko na mauaji mengi duniani ni waarabu.
Wewe upo kiudini zaidi watu kama nyinyi nyerere aliwatokomeza
Caroli Carlos Wew jamaa inaonesh hujui chochote yaan mjing
Asanteni sana BBC
Karibu tena rafiki
Hawa wa iran hawana akili,wao hawajui kwamba ile ndege ilipigwa kibahati mbya na hlf kibaya zaidi wameanza kuisapoti israel na marekani sasa subri wataona cha moto
Wewe unajua kuliko wao...!Una akili kuliko wairani..!
@@shelderpius95 enhee nna akili klk wa iran
@@topaviator Angeuwawa ndugu yako kwenye ndege ungesema ni bahati mbaya...!
@@shelderpius95 kwenye ile ndege walkuemo wa iran watatu sasa wale wate wanaandamna kwa kumkaribisha mmarekani aje aiteke ili nchi hlf iwe kma iraq vile
@@topaviator wewe uelewa wako mdogo Sana hujui kuchanganua mambo
asantee kwa taarifa
Karibu tena Anthony
English: PariS
German: PariS
Spanish: PariS
Swahili: Pari
Mimi: ??
French = Pari
Maana ya kiswahili ni vizuri saana
Fukuzeni wasomali wote kenya na muweke ulinzi wote wakiingia waingie kwa mashart makubwa kabisa kama vile kuingia uingereza
USTADHAT ZUHURA nimekumiss mno.YNWA
Unataka akudie madole au
Duu dunia inaenda kwao
Wairaniwanao Andamana niwanafiki navibarakawaliopandikizwa Ilawakumbuke libia.
Basi kama ndivyo Marekani mbali nakumiliki siraha nzito na jeshi lenye uwezo mkubwa kuliko yote duniani pia ana mbinu nyingi sana za kumshinda adui..!
Waandamaji ni vibaraka kwa marekani,ndege imetunguliwa bahati mbaya iweje waandamane?nakama ingekuwa ndege ya adui ingekuwaje?sioni sababu ya kuilaumu Iran,hiyo ni ktk kujihami,mwisho waafrika tuwe na akili siku zote tujifunze kuzima moto sio kupigana na moshi,chanzo cha tatizo ni nini? Ukigundua chanzo huwezi ilaumu Iran,na mwisho Iran uko vizuri vibaraka hawataweza.
Vipi kuhusu Watu 1500 waliouwawa Kenye maandamano na jeshi LA Iran mwezi uliopita.
Walipewa hela kidogo ya kula wafanye fujo.
BBC tunashukuru kwa taarifa muhimu
Karibu tena Abuu
Inna lillah was Inna ilaih rajiun
Na leo wa kwanza.
Hongera Eddi, karibu tena
Utajiri iliokua inachuma toka zanzibar enzi za ukoloni walifanyia nin kama 1970 walikua na barabara 2 tu na shule hawakujenga kitu
Love you zuhura hasaan
Wa kwanza leo
Hongera na karibu tena
BBC/Swahili ninyi ni BABA lao kwa habari za kimataifa
Shukran sana mkuu, karibu tena
Miaka 50 ya kaboos marndeleo yameonekana hehehe kwetu sasa miaka 56 watu bado wanasota maendeleo bado sanaaaa tuwe pole.
HabArimitandaon
Za jeo
Mazungumzo yanatakiwa kufanyika pande zote mbili kwani Vita ikitotokea hata nchi Kama Tanzania kwa tunategemea mafuta kutoka huko. bei itakapo panda itathili sisi wanafunzi kwani tutateseka
BBC swahili nawapata. Vema
Shukran sana mkuu
Kenya polen
Shukran sana Radhia
"useja" ni nini?
Iran naona mnaekekea usawa na Libya.
Asante kwa maoni yako
Watumwa na waarabu(wauza watumwa)
we acha tu, haielezeki. shida walizopata watumwa ni kubwa sana. hasa wakiwa njiani.
shida na misukosuko waarabu wanazopata sasa huenda ni kisasi kiinawatembelea bila kujua.
Poleni kenya ila ifikie kipindi hili swalala lizibitiwe jaman raia wanakufa tu
Sema lidhibitiwe
@@selector728 hawawez kuliziwa ata siku moja
Kifo ni kifo hakuna kifo kikubwa au kidogo
Shukra BBC Swahili
Karibu tena rafiki wa BBC
WAKATI WA VITA KUTUNGULIWA NDEGE ZA ABIRIA KIMAKOSA HUTOKEA WAHUSIKA WANAPASWA KUCHUKULIWA HATUA KABSA ILA HA VIBARAKA WAANDAMAJI WANAPASWA WAJIULIZE KWANZA JUU YA LENGO LAO.
Wa Zanzibar wana akili Ndogo low iQ mtu mweusi anajifananisha na mwarabu upuuzi
Mi ndo wa kwanza
Hongera na karibu tena
wamarekani wakiua safi wengine wakiua magaidi 😂😂 mtaisoma namba
Acha afe ana laana .mtu kumtoa baba kwajli ya madalaka na Allah akamlaani kafa bila mtoto.. hawa ndio wauza watumwa na eti kusaidia watoto wasiojuwa historian na kuwapa dini ili wasilipize. Naashangaa ujinga wetu tunarithi hadi majinA.. waawafrika hatuna dini bali tunaiga wazungu(wanunuwa
shukran
Karibu daz
... asili yenu siyo Oman.. Asili yenu ni makabila ya wabantu ya tumbatu, wapemba Black African siyo Oman.. Oman walileta biashara za utumwa Tanzania.. Sasa udugu gani huu au njaa..
Hasira hasala
Sawa
Kweli Zanzibar bado watumwa elimiken
Sultan amefariki bila kuwaomba watanzania msamaha wa kuuzwa kama bidhaa madukani.
@@mkiwamagreth08ndo amewaomba msamaha kwa kuwatendea Mema mbona wazungu hawajaomba msamaha na bado wanakukandamizeni husemi na tanaganyika bado mnainyonya Zanzibar mbona husemi
Asante kwa maoni yako
kinacho kuuma nini
@@saidyssaley1509
Ivi nyie watu mbona hamzindukagi ulaya uwe mweusi muhindi mwarabu haki unapewa sawa saudi wako ivyo wanawake hadimu wamekimbilia nchi za kizungu kupata haki
Nyy Kenya waachieni somalia nchii yao nyy muliwaua mashekhe bure aya mbona bado mnakula kichapo.
Canada tunasikitika saana
Komaeni.
Neno msaadaa
Unamaanisha nini rafiki?
aliwauza utumwani
Wazanzibar bwana mpaka ilitwa ziwa LA moto sababu ya sultan jamshid Leo yote wamesahau nisawa na Japan kujipendekeza kwa marekani
Mmarekn bana
Jamani Afrika na uhodari wetu wote pamoja na ubinaadamu, tunashindwa kweli kuliangamiza kundi la kigaidi la al-shabab? Inasikitisha watu wasio na hatia kufa kila mara kutokana na ugaidi usio na lengo maalum.
Amour Mtungo ,,ACHAKAKA, AFRIKA,,INAWEZA,KUANGAMIZA,,IKIUANGANA,,TATIZO,,SIASA, NAUSHETANU
Qaboos alikuwa kiongozi bora na aliyedumu madarakani kwa muda mrefu sana.
Cha ajabu hakuwa na mke,watoto,wala ndugu wa karibu ni ajabu sana
Alokwambia hana ndugu wala jamaa nani sasa huyo alomrithi nani sie ndugu wa karibu
Ww hujui kitu kuhusu babaetu mlezi usiseme usichokijua
@@Bobobobo-jr9zr kwani Kuna Siri gani? vyombo vyote vya habari vinatangaza hivyo.
Nakusudia maajabu ya Allah kupewa ufalme lakini kunyimwa kizazi na familia ya karibu.
Ufalme umeenda kizazi kingine.yote ni mazingatio ndani yake.Allah analolitaka ndio linakuwa
Labda madaraka yalikuwa na masharti usioe wala kuzaa.
Kenya ondoen tu majeshi somali muushi kwa salam jaman
Umeona nawe hilo
Ivi akitoa majeshi ndio suluhu?.
Jeshi la kenya ilikurupuka uamuzi wake,wamevulia nguo maji sasa wameoga na wameshindwa kumaliza
Iran imetumiya hasira bila kujuwa hasira hasara ona Sasa matokeo wangelituliya kwanza laiti hawange haribu
Asante kwa maoni yako
Malekan wanyoshen ilan wanauwa watu
Yes 👍
W unafkr au unaongea 2
Utakatishajimaana yakenini
America ndio wakulaumiwa kwa ajali hiyo ya ndege. Ila muanzaji haonekani mmalizaji ndie anae laumiwa. Kwa sababu hiyo ndege sio lengo lao ila marekani waliwahi ilipua ndege ya abiriya ya irani kwa kukusudia sasa nani mbaya ila hao wananchi wanacho kitaka watakipata tu. Waitazame libya ilivyo.
Duh!
Kweli watu wengine wanaakili Sana kwa kutoa pointi! Hongera aisèe!
Kwa hiyo wewe ukipigana na mwenzako nikiwa mpita njia ukarusha jiwe likanitandika kichwani, mwenzako uliyekuwa unamlenga ndiye amenipiga jiwe? 🤔
😁 🤣 Hongera tena na tena!
Na-edit tena
Hongera kwa kutoa pointi kali.
@@Fm-MornStar2014 😂😂😂 you make me die for laugh 🙌👍
UTumwa haushi
😂😂
Sawa
😀
watu wengine ni wafaransa na west Africa, hawataki kuachana. wananyonywa wanaona lakini wapi???
Irani imesahau yaliby ile nibaatimbaya inziraeli marekani wameuwa wangapi wanataka kilichowakuta waliby
Ilitokea kwa bahati mbaya tu Iran hawawezi kufanya hivyo kabisa
Sawa
BBC NAWAPENDA SANA, NKO VIZURI.
Oman anatujua nani ss zanzibari wapo watu wanaend kikaz wanarud wanalia wananyanyasw. Acha kjipendekez mzee
Anatka kuolewa uyo mzee na oman
@@mussaabobakar7537 niko pamoj naww br👍
Wanavojishauwa waaaraab
@@aishaomari1881 umeon eeh
MAREKANI, NAOMBA, UWATEKETEZE, WALEWOTE, WALIO, DUNGUWA,,NDEGE,NAKUWAUA,,WASIOKUWA,,NAHATIYA
Duh
Achokoze moto tena
Luk unapenda vita duh?
Yeye ndio chanzo cha yote hayo.
Sometimes kupakana na Nchi za namna ya Somalia ,Libya na zingine za namna hiyo ni balaa
Sawa mkuu
Misaada eti, Ni ujinga mtu kupenda kusaidiwa.. Yani Magufuli kachelewa kuja . Tujifunze kwa rais Magufuli . Kazi kazi na cyo kuwa ombaomba na kuiga utamaduni wa wajinga Hawa.. badala wasaidie elimu wanasaidi for dini na kujaza vyoo tu.
Mimi wa pili
Hongera Amina, karibu tena rafiki wa BBC
Asante
Zanzibar ilikuwa nchi tajiri katika Afrika
Nakuunga mkono bro but Kenya n Tanganyika ndio sababu ya umasikini wa zanzibar
Asante kwa maoni yako
@@Jojo-princess-x1z kumbe na Kenya?
@@bindawood978 yeah kenya kupitia jon okele yeye ni jeshi kutoka Kenya aloletwa n nyerere ndio muongozaji wa uvamizi wa mauwaji y mapinduzi
While uhuru Kenyatta supporting mohamed madoobe you Kenyans gonna have problems like always because al Shaba are mohamed madoobe people the citizen of kismayo are treated bad toured killing by the military of mohamed madoobe because they’re looking alike kenyans, the alshaba are Mohamed madoobe’s militants groups play different role between Kenya and Somalia border and uhuru Kenyatta is with him supporting him good luck Kenyans I’m sorry for your poor understanding
Jaribuni kuacha kucheka au kuongea kabla camera haijawamulika. Inapunguza ladha ya hizi habari. Angalieni VOA.
Laanatullah Trump we ndio chanzo tunakuchukia we mbwa WA dunia
Mpira Leo final kombe LA map in dust
But of all the people kimani ngunjir who do you think you,re?domo kubwa hiyo niyanini huyo uhuru ako sawa hata uende juu urudi yeye amefanya kazi yake mumelemaza kipindi chake ninyi ni conmen to hell with you
Mambo muhimu kwa viongozi wa Kenya. ua-cam.com/video/7BgFbFpmYp8/v-deo.html
Safi Sana wairani
Daaa
Zuhura kunataarifa kua wewe ni mpenzi wa Zitto kabwe abu tuambie ukweli wa swala hili