Mimi ni Mkongo 🇨🇩 lakini nyimbo za kitanzania ziko moyoni mwangu, maana tangu ujana wangu nilikuwa mpenzi wa muziki wa Tanzania, shukrani zangu za dhati kwa wasanii wote.Watanzania kwa sababu unaifanya nchi yako iwe fahari .❤❤❤❤
Hawa ndo waliimba mziki halisi wa bongo fleva kabisa,kweli kabisa old is gold!!! ila hawa wa Leo wote wamekuwa mawakala wa inchi za kigeni na kusahau kwao!!!!!big up sana bro popote ulipo!!!! All the way from USA!!
Daima hua nampenda kwa nyimbo zake zenye ujumbe wakujenga,nilipokutana nae kwa mara ya Kwanza nilimweleza kua kaka nakukubali Sana,kauliza wimbo up unakuvutiwa nikaimba,chunga tamaa mbaya.
Man maji man water. I just like this guy with his voice.Sauti yake inafaa kuimba reggae.Ananirudisha pale Shinyanga maeneo ya Kolandoto college of health sciences kando na rami yakwenda Rock City Mwanza.As a Zambian,I greatly listen to reggae in English language,but this is why we say,''reggaehas a universal language." I feel this inna mi bones.Wana bongo,huyu jamaa tumupe support.
20% ulipiga bonge moja la ‘metaphor ‘....wengi wanajua umelenga humtaki demu’ kumbe ulipiga fumbo la figisufigisu zilivyoanza kwa maboss wa muziki ‘ Na Ndio ukaondoka kabisaaaa ‘ UKAJIWEKA PEMBENI...! Nakubali sana ngoma zako..!
20% rudi kwenye gemu kwani washabik bado tunakuhitaji ngoma zako zote zimetulia sana pia zinaelemisha jamii kiujumla nami nimejifunza kupitia ngoma zako zote kuanzia money money mpaka sasa nakufuatilia kwa ukaribu nakupenda sana kaka 20% pamoja sana
Jamani mim nilikua mtot hiziizo laki nilikua naipend mbak sas nasikiliz 20 mung azid kuku linda atakam utoludu kwenye ngem lakin bado upo moyon mwetu wana nchi wana kupend san kazi ulifany kubw kak chukua mauw yako🎉❤
simu yangu imejaa ngoma zako karbia zote sidhan kama kunaambayo nilisahau, wengi wetu tunaishi na mziki wako huo ndo ulikuwa mziki sio miziki ya saiv ka ndomboro yasoro, live long 20%
Hii ni message sent and delivery, Msiba ameamua kukaa pembeni maana kihelehele ameona hakina maana bora hata ulivyo tulia tubu na madhambi yako !! Ili mungu akusamehe.!!
Still listening to this song 2024....
Amazing piece of art indeed. Jah bless ... The artist.
Listening from Kenya Nairobi
Mimi ni Mkongo 🇨🇩 lakini nyimbo za kitanzania ziko moyoni mwangu, maana tangu ujana wangu nilikuwa mpenzi wa muziki wa Tanzania, shukrani zangu za dhati kwa wasanii wote.Watanzania kwa sababu unaifanya nchi yako iwe fahari .❤❤❤❤
Asante kwa maoni mazuri
Mm nakujib wasanii wazaman tofaut na sahv muuliz maan wazaman anaweza kuimb mzk wa sahv
Asantee ❤❤❤
One love
😮😅
Hii ngoma haichuji aisee, maisha ni yale yale yanaendelea, gonga like Kama bado unaielewa hii nyimbo
Ngoma.Kali ezinikiw shule
naomba namba yatwenti
Kweli ulimbaa sio Hawaii Hajui wanaimba nini wewe unafundishaa mwananguuu
Ngoma Kali haichuji
@@lucaselias1539 hb
Up to 2024 tunaruka nayo ngoma kalii
Hawa ndo waliimba mziki halisi wa bongo fleva kabisa,kweli kabisa old is gold!!! ila hawa wa Leo wote wamekuwa mawakala wa inchi za kigeni na kusahau kwao!!!!!big up sana bro popote ulipo!!!! All the way from USA!!
🎉hongera sana kaka,,nyimbo zako zanipa uwepo wa kesho ,,,still on tune till now 2024❤
Daah nyimbo za 20% percent zote zimejaa ujumbe asee no any one like u in bongo music .
Kweli
Iko pow
Daima hua nampenda kwa nyimbo zake zenye ujumbe wakujenga,nilipokutana nae kwa mara ya Kwanza nilimweleza kua kaka nakukubali Sana,kauliza wimbo up unakuvutiwa nikaimba,chunga tamaa mbaya.
Man maji man water. I just like this guy with his voice.Sauti yake inafaa kuimba reggae.Ananirudisha pale Shinyanga maeneo ya Kolandoto college of health sciences kando na rami yakwenda Rock City Mwanza.As a Zambian,I greatly listen to reggae in English language,but this is why we say,''reggaehas a universal language." I feel this inna mi bones.Wana bongo,huyu jamaa tumupe support.
20% ulipiga bonge moja la ‘metaphor ‘....wengi wanajua umelenga humtaki demu’ kumbe ulipiga fumbo la figisufigisu zilivyoanza kwa maboss wa muziki ‘ Na Ndio ukaondoka kabisaaaa ‘ UKAJIWEKA PEMBENI...!
Nakubali sana ngoma zako..!
Wa 2020 kama upo gonga like twende sawa
Tuko
2021
2023
2023
Ambao tunaish na hii ngoma hii 2020 tia like jap kdg jmn
Hadi muda huu
Mashairi yanaishi
@@mohamedhussein2100 olllopopll
Old is gold kama uko hapa 2024feb you are a legend of old school bongo music ❤❤❤
Wakenya ambao wameishi ghetto wanamtambua 20% . Siku mingi man Walter.
Tunaoichek hii ngoma 2023 button >>>>>>>>
I can't imagine it's 2022 and still here, good job to 20% and man water.
Good nostalgic memories ❤❤..One love from Kenya 254
Kam mdaa uu unausikiliza like me 2024
Old is gold I like 20 more than any other in tz
2022 still a lit 🔥 when songs were originally released
15.01.2020 02:28:08pm ambae anaichek hii ngoma 2020 gonga like tuende sawa
2021 still fresh
Man water, man man hasili miya ishirini! Merci beaucoup pour tes Songs, Twenty %, Depuis kinshasa naku fata
Tunaoangalia hii nyimbo ss hv 2020 gonga like tujuwane hapa
Biwya
P1
Hi
@@rashidsuleimanomar9177 hi2
Mzima wew
Much love from Kenya
That's nice
Mombasa
Kama ucha sikiya iyi nyimboo nonga hapaa🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ambao tunaangalia saiv gonga tano 👊👊👊👊👊
Respect bwana ndogo nakukubali Sana from Germany
Wow nice song jamani my brother I miss you nitapenda ukirudi upya nakwamini sana kk God bless you katika kazi yako 🙏✍
Hello l'm From Rwanda, love this Hit ❤
waaa this song i love it till 2019 bado burudani kibao ....likes zimwagike hapa
Gonga like kama wewe n mhenga mwenzangu na unaangalia bado #2020
It's an amazing talent ,this deserve 1M viewers
Already
continue making music that does make sens to people and change people their behavior and what is bad or good
U.S.A Boise Idaho
Dah 20 uko wp bro jaman tumechoka kuckiliza upuuzi w sasa plz bro ludi bahna!
20 percent my favourite TZ's artist
20% much love from me +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My year of high school 2011-2012 this pple I really love their songs
20%
Sam wa Ukweli
Ali kiba
Top c
Sajna
20% rudi kwenye gemu kwani washabik bado tunakuhitaji ngoma zako zote zimetulia sana pia zinaelemisha jamii kiujumla nami nimejifunza kupitia ngoma zako zote kuanzia money money mpaka sasa nakufuatilia kwa ukaribu nakupenda sana kaka 20% pamoja sana
Jamani mim nilikua mtot hiziizo laki nilikua naipend mbak sas nasikiliz 20 mung azid kuku linda atakam utoludu kwenye ngem lakin bado upo moyon mwetu wana nchi wana kupend san kazi ulifany kubw kak chukua mauw yako🎉❤
kihukweli uyu 20% anajuwa kuhimba mimi ningeliomba atowe nyimbo na prof jay na ferooz ao djuma nesha sababu ao na wakubali kama yeye
Takes me back into times when i used this song as my phone RINGTONE ..from KENYA ILIKE 20%
aaah kaz nzur kak nyimbo zako una elimisha jamil sio kama wasanii wengne wanahusixha mpnz tu BIG UP BRO
young inno ya nini malumbano ya nini maneno . Najiweka pembeni kuepusha msomgamano.
Ile umetoka kuachwa alaf uka tune aka ka wimbo 😁
who is watching this 2017 ?,one of 20% great song big up bro.
Me, from USA
Yeah. true.. this man studio kwenye game. mis his music
me
Me... Newyork!!!
dola ali am one of the among who whatching this song actually guy
My always best music.
Hivi 20% yuko wapi? Mbona hasikiki?
Hii kali bwana
Nani mwe iko apa mu juin 2024🎉🎉
Hii wimbi nkaa waliimba Jana,,I love the song,,I can play many times,,🎧❤
Mbona amepoteya😢
Tunakumiss sana 20% wee ni mkali wa bongo nyimbo zako zote nazipenda
i was in Arusha,i heard the song in a club and i fell in luv with it....i love it
Vivian Waithaka sasa leo cha kushangaza ni pale wanapo linganisha 20% na huyu dogo Diamond kwa mistari wabongo mumeanza kuchoka kiakili
2010 goma lilikua linahit Mawingu, Masai camp, Bugalou, Club 777...Leo jamaa kapotezwa na kusahaulika kwenye ulimwengu wa muziki yaani
simu yangu imejaa ngoma zako karbia zote sidhan kama kunaambayo nilisahau, wengi wetu tunaishi na mziki wako huo ndo ulikuwa mziki sio miziki ya saiv ka ndomboro yasoro, live long 20%
😂😂😂😂
Kubali Sana'a hii songs till today 2018
romwaldo amsi kabisa 1st august,18
This is December 2020. Kama tupo pamoja TUJUANE 😜😜😜
😂😂😂tupoo Dec 13 0019hrs
kwa mara nyingine tena 2018 naiangalia hii nyimbo Duu sijui jamaa yuko Wapi jamani
Tunae kimanz atarud kweny game
love music from Tanzania.
Ya nini malumbano 2020 gonga like
We are here who else is here? #2020
20202 bado tuko na nae
Am here
@Asha Mbonde naona unajiweka pemben
Tunaoichek hii ngoma 2030 button >>>>>>>>
Hii ni message sent and delivery, Msiba ameamua kukaa pembeni maana kihelehele ameona hakina maana bora hata ulivyo tulia tubu na madhambi yako !! Ili mungu akusamehe.!!
20%-- upo juu zaidi ya wote TZ, wewe ndo baba wa bongo fleva walobaki wote watoto kwako.
Bablai song lako limenigusa sana I appreciate for your message.i will dedicate my wife.
I’m taking this song in 2019.who is with me ?
Nakumbuka udogoni nilikuwa naisikiliza hii ngoma na wadogo zangu kwenye radio ya rising .Imenikumbusha mbali man maji
Udogoni nyimbo ya 2010 😂
20%yani wewe bonge la msanii kwanza kazi zako unafanya kwa hisia big up
Autheticity and originality keeps the song alive...2099 mtatuambia mtao kuepo😁
Watatuambia vitukuu vyetu😊😅
true 20%,per asiri mairee ur facting truing hahaha kizungu balaa hii yote nikukusifia babaa ur truest
Wimbo mzuri tumekua tunausikia lkn mpk sas bdo mamb ni bumbum👏👏👏
Ata kama nilipenda.I real appriciate all 20per songs
i have replaying this song for a week, am worried 20% has not asked for water
❤❤pamoja to the next gen kaka
Wasanii Kama Nini kwa Nini mnaacha Mziki mnatuachia madudu kwenye Mziki wetu ...mi nasema akitoka 20 Ni
Best naso Nani anabishi ili
Kweli
Kwel
2019 naicheki goma hii nikali haichoshi kisikiliza,big up to u 20
"nilifikiri nimepata....kumbe nimepatikana" mimi pia bro lol
Tunao ishi naii ngoma 2024 piga kelele
Ooo my goodness I really miss those days 🇰🇪🇰🇪❤️❤️
❤ natamani izimbo ziwe kila siku tu maana nazimiss sana tu ❤❤❤❤
Aiseeeeee mzki mzuri bado upoo masikioni kwetu 🔥🔥🔥🔥
Tunaotizama mwaka 2024 tujuane ❤❤❤❤
Hii song ni tamu sana till now 2020 ,inavuma Kwa quarantine ya2020
2023🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾This was the real message to people. a song sounds good gonga like gonga like HASWAA
Huyu jamaa alienda wapi watanzania,,,,2024 still listening ❤❤❤❤❤
20% forever 2018, love you bro toka simiyu
Who is watching this in 2018? Where did my crush go?😂😂😂😂😂 20%😢😢
Almost 2025 but still listening to this timeless hit...20% big up
It's my birthday😂😂❤❤😅😢😢
2022 still love this song
Kiukweli nakukubali Sana broo big up Sana ♥️♥️♥️♥️♥️
It was the best songs during my primary school days
Enzi hizooo wadogo sana rudi tena twenty percent
dope 2017 madem okokeni umalaya na malumbano
😞😞Some things break your heart but for your version🙏🏼
Ma meilleure chanson de tout le temps. ❤❤❤❤
RD Congo
Nice real appreciate u rudi tupo twakungoja bro washabik wako
This song reminds me one of my Aunt ...Continue resting in peace Aunt Milkah
imekubalika adi leo May 2019 from Canada mshabiki wa twenty
its so weird hearing this song now i grow up listening to it evreyday after school
Nani ako apa 2022. Such good music, piga hapa like.
20%#king of bongo .i love this guy blessed
Dah hii ngoma inanirudisha way back 2010 Arusha mitaa ya Ngusero (Cheka ung'atwe). It brings some nostalgic memories
Still I'm hare 2021....😭😭😭😭😭
2024 gonga likes😅
Bado nainamia huu wimbo adi siku zijaazo . 2019 still listening.
Bado zip chat nyimb zake