Tusidanganyani wadau.ukisikia mziki Basi ujue huku kwa 20%ndipo ulipo.Ningekusamehe Ni wimbo mmoja mzuri Sana kwa mafundisho ya mahusiano au mapenzi.big up Mr tembeza biti Wala usiangalie Nani kabebwa Nani kajibeba.well done🙏🙏🙏
Hii ngoma nilikua naisikia tu, sikuwai kuitilia maanani, lkn pale yalipo nikuta kama yalio imbwa humu...naielewa sana mpaka leo narudia rudia siichoki....2019
Ngoma kalii sanaa yn haichuji ht kidogo 2019, nani anaitamaza afu naisikiliza mda huu kwajili ya x wangu alinitenda mnoo now etii, ananiomba msamaha nikaamua kuja huku kujiliwaza afu nimeidanlody kisha nimemtumia mamaye sitaki ufala wake
Big up brother...ngoma safi sana...message so clear...yanikumbusha mbali...rudi kwa game...Huhu Kenya twapenda muundo was mashairi yako...you so simple and clear man...
uliponitosa mie, nilibembeleza ukataa tena.. sikuwa na kosa mie, mie nahisi sina chapaa sasa sijapata, hata kama nikipata nitazidi kutafuta, naomba ondoka mwenye mapenzi ya kweli, asije akakuta ningekusamehe ila, ila wewe huna ila ningekuwa na we, ila, ila unapenda sana hela eeh nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho mimi, ya kale achana nayo, niko chini ya miguu yako kwani nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho mimi, ya kale achana nayo, niko chini ya miguu yako mmh mhhh basi sikia mpenzi, mbona wanipa kazi bila wewe siwezi, nitajawa na simanzi mwenyewe wajua, jinsi gani nimekufia basi nakuimbia, usiweze kunikimbia unajua sina ujanja wa kuachana nawe kuniacha njia panda, nitapata kiwewe huyo mtimue, mi unirudie eh usiniache nilie, wewe ni wangu mie mhhh, eeeh ningekusamehe ila tayari mi nishampata mwingine ulitaka uniuwe nitaichwa chizi mi nikikupa nafasi nyingine nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho mimi, ya kale achana nayo, niko chini ya miguu yako kwani nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho mimi, ya kale achana nayo, niko chini ya miguu yako ni machungu kiasi gani, uliponiacha gizani mi ulitaka nifanye nini, kama si kusaka kampani nilidata, nikasaka, na hatimaye nikapata nashangaa, wanifuata, eti tusahau yalopita ningekusamehe ila ila, ila sio kimapenzi ningekuwa na wewe ila ila ila nimeshapata mupenzi sina habari, sitaki kuwa nawe tena huna nafasi ndo hivyo nishakutema nakupa fact unielewe kiundani sina mapenzi kwako yalikuwepo tu zamani nenda tu uniache wala usijali nimempata mwingine ananipa mapenzi ya kweli ulivyonitenda mi nasema iliniuma we nenda tu mi sikutaki tena sina habari mami sikuhitaji tena mtoto mzuri nipo naye mwenye heshima na shida zote atavumilia na atanipa mapenzi ndivyo alivyoniambia andika story ya kwamba ulikuwa nami andika story ya kwamba ulikuwa nami kifo cha panzi ni furaha kwa kunguru sikutaki tena mami we niache huru nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho kwani nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho
Sijawahi kuona video ya huu wimbo. Ndo naiona leo hii!! Ila nakumbuka nilipokuwa form two mwaka 2010. Ilikuwa inafanya vizuri sana kwenye TBC FM mda wa saa mmoja usiku. Tulikuwa tunaipenda sana. Ilikuwa maarufu sana mwaka 2010-2011. Tamaa mbaya.
2024 still coming back to listen this🙌
Gonga like apa kama usha sikiya iyi ngoma mu 2024❤🎉
Tunaotizama hii 2024 tujuane kwenye likes
Kila siku zikikata na miaka kupita nafsi inanikumbusha kuwa kuna kitu kimemiss nacho ni hii ngoma ni ngoma ya chaguo langu muda wote.
Natizama hii 2024 aichoshi kuwangalia😮😮😮
Hi😮😮
2024 nimeikumbuka hii ngoma miaka ming saaana gonga like kama tuko pamoja
Tusidanganyani wadau.ukisikia mziki Basi ujue huku kwa 20%ndipo ulipo.Ningekusamehe Ni wimbo mmoja mzuri Sana kwa mafundisho ya mahusiano au mapenzi.big up Mr tembeza biti Wala usiangalie Nani kabebwa Nani kajibeba.well done🙏🙏🙏
Tujuane tunaoangalia 2024
❤❤❤❤❤❤Hadi leo 2024
Hatari n🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Msaniii bora Sana kwa Tanzania namkubaria Sana huyu msanii ana kipaji sana
True
Sure 100%
Mm natazama mwaka 2024 nime ikumbuka sana
Tunao tizama mwaka 2024 tujuwane kwenye like
Happy, wap upo
Dadaaaa jamannnnnnnn upo kmy
We mzur jaman
Noma sanaaa songi hili atari
Tupo 🎉🎉
imetishaaaaaaaa 20 percent.,,uko juu tena haujionyeshi!kimya kimya unawazima tu
Inasikitisha sana mkali wetu kupotea kimaajabu
Wangapi tupo hapa 2024
Nani yuko hapa? ✋️ 19th Jan 2024
✋
July 15)
hi
Hapa tuko mpaka 2090
Hapa tupo mpaka 100% for 20%
Gonga like tuliommisi mwamba 2024 arudi kwenye game
Can’t believe I was fortunate enough to be born in this era
Tunao Tizama hii 2023 tujuwane kwenye like
Nitazidi kuitizama mpaka KIKOMO. Ya kale Ni Dhahabu
Fire🔥🔥🔥
@@realkinde002 hahah
Nipo apa kbsaa
Tuko pamoja ❤❤❤
Yamenitokea na wimbo huu upo shh na aliyenitenda nimemtumia wimbo huu ivo asahau kurudi kwangu
mpk leo tarehe 13 mwez wa 5 2019 bdo naichek khahah hii ngoma ni hatari 😍😍😍
Happyne John tupo pamoja sana 17 .05
Hatar xn cjui kafia wap namkubali xna
Happyne John vp
Sananaanana
Kabisa
Hii ngoma iko fit sana kama bado unaichek hii ngoma gonga lyk
This makes me remember my x 😢good life popote ulipo boaz
Turolud 2024 uku tena tujuane kw like za kutosha.
Wale bado tunaskiza hii nyimbo this is our favourite nipe like 2021
Kali ya siku zote,Jamaa alikuwa Safi
Big up✊✊✊
Ngoma Kali Sana penda Sana
nakubali
👏👏
Naikubali sana iyo yn
Hii ngoma nilikua naisikia tu, sikuwai kuitilia maanani, lkn pale yalipo nikuta kama yalio imbwa humu...naielewa sana mpaka leo narudia rudia siichoki....2019
❤
Uko juu nyimbo nzuri zenye maadil na ujumbe.
Je suis trop ravi des chansons et les commentaires de 20%. Et je pense qu'il est le musicien numéro 1 en Tanzanie.
Kazi zuri sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
2024 let’s enjoy Good musics T.B.T
Mwaka 2024 yeeeee
Huyu ndie alikuwa mwimbaji jaman likeeee zote 2019
ngoma safi sana hii
Fatilia nyimbo za feruz uone
hizi nyimbo zinanikumbusha nikianza mapenzi😂😂😂 ziliniharibu sana😂😂😂
2023 still coming back to listen to this song
Mwaka 2024 lakini bado nyimbo za 20% ukizisikiliza zina hit. 🔥🔥🔥
March 2023 bado nasikiliza hili dude🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dahhhh ilinibamba Sana 2010 hii ngoma jamani
october 2022 still loving this guy.. pure talllent
Kama bado unaikubali hii nyimbo gonga like
All the way from 2011...am with this guy...Good vibes and great content 💯💯👌 live from Nairobi Kenya 🇰🇪💪
Mzk ndio huuu sio matusi wanaoimba saiv
2022 still loving this 🎶🥰
hivi ile move yake inaitwaje??
Samei still love this song
2023 Leo Hii January nimekumbuka hii ngoma.gonga like 👍 hapa
@Ibyiringiro Hope Tv q
Itakuw umeachwa tafuta hela
Iko poa sana
July naendelea kuiskiliza
@@venoboy1548 khaa,😂
Nani anaingalia 2020 kisha nipe like
Tunaicheki
Saf
Miraji Ally juma james
eti mimi yakale achana nayo nani kasema like apo acha kupoteza muda wwe
@@justenefrank609 🤣🤣🤣🤣
20 percent is one of the most composed and mature artists we are blessed to have here in east Africa,he deserve his flowers #respect from Kenya
Hatari saana!!!😹😹😹😹mimi nipo mjini Bujumbura leo nimeikumbuka hii ngoma!!
Tuliokuja 2024🎉
Natoka kwa bongo mixx , this was my favourite song in the mixx and l had to search its official video... Nice song♥♥♥💕
Hongera umeendawap jmn duuu🤣💕💕💕💕💕
20% popote ulipo tafadhali rudia hii ngoma uipe video nzuri au ukanywa remix
Nani bado anatizama hii mwaka 2020
Like hapa nitambue uwepo wako
☝️☝️
P1
💪💪💪💪💪💖💖💖💖
Bado namkubali
Nimekumbuka sana dah!
Ngoma kalii sanaa yn haichuji ht kidogo 2019, nani anaitamaza afu naisikiliza mda huu kwajili ya x wangu alinitenda mnoo now etii, ananiomba msamaha nikaamua kuja huku kujiliwaza afu nimeidanlody kisha nimemtumia mamaye sitaki ufala wake
Nani anaitizama hii 2019 pamoja nami
Nipo
Tupoooo...
Lea Joram 20% mkali jaman semen na nyie
Hatarii huyuu jamaa ww acha tu...
Mm
Huyu jama Siku hizi ako wapi? Na anafanya kazi gani. Mkongwe wa bongo. Gonga like 2020 kama upo hapa
Kama unaangalia mpaka leo gonga like hapa
Fatuma
Mchia
Naangalia
mayava_ngomatishasana:20
tatizo sisi wabongo tunaishi kwakukalili Mwambie twet /.
pamoja
nooma saana
2024 nimeamka namuwaza 20%
Kama unaangalia mpaka sas 2020 gonga LIKE HAPA tujuane
Yan hii ngom naikubali
Mm yakale achana nayo nipo chin ya miguu yako
Ipojusana
Ipojusana
Khaleed Mussa
hahaha jamaani naipenda Sana hii nyimbo nanimwingine anaipenda kama mm tujuane hapa
Leo hii trh 31/12/2023 nimeukumbuka huu wimbo
Naipenda sana hii nyimbo
Kaka penzi yasikuhizi johivyo thx for the song
muziki mzuri na wenye mafunzo haufi, unaishi milele. hongera kwa 20% kwa kazi nzuri
2019?♥
Nalikubalii sana ilo lisong..!
Yaap gud
One love
Lov
Nikweli samehe 7 Mara 70 amesha jifunza uyo
Ngoma la kuishi milele daima maneno mazur naelekea kufunga nalo mwaka 2023 Mungu atulinde tufike salama 2024
Nani anaitazama 2021 pamoja na mimi tujuane apa gonga like
Iyi nyimbo haijawayi kuisha utam kwakweliiii 💞💞💞💞💞💋💋💋💋💖💖💖💖💖😻😻😻😻😻😻🇧🇮🇧🇮🇧🇮👌👌👌🇧🇮
wanangu tuliotendwa na kurudi kuitazama tupite hapa kwa like nyingi 2023
31/10/2024 bado naiskiza Sana ❤..One love from Kenya
Big up brother...ngoma safi sana...message so clear...yanikumbusha mbali...rudi kwa game...Huhu Kenya twapenda muundo was mashairi yako...you so simple and clear man...
Ngoma nzuri sana
uliponitosa mie, nilibembeleza ukataa tena..
sikuwa na kosa mie, mie nahisi sina chapaa
sasa sijapata, hata kama nikipata
nitazidi kutafuta, naomba ondoka
mwenye mapenzi ya kweli, asije akakuta
ningekusamehe ila, ila wewe huna ila
ningekuwa na we, ila, ila unapenda sana hela
eeh
nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho
mimi, ya kale achana nayo, niko chini ya miguu yako
kwani nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho
mimi, ya kale achana nayo, niko chini ya miguu yako
mmh
mhhh
basi sikia mpenzi, mbona wanipa kazi
bila wewe siwezi, nitajawa na simanzi
mwenyewe wajua, jinsi gani nimekufia
basi nakuimbia, usiweze kunikimbia
unajua sina ujanja wa kuachana nawe
kuniacha njia panda, nitapata kiwewe
huyo mtimue, mi unirudie eh
usiniache nilie, wewe ni wangu mie
mhhh, eeeh
ningekusamehe ila tayari mi nishampata mwingine
ulitaka uniuwe nitaichwa chizi mi nikikupa nafasi nyingine
nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho
mimi, ya kale achana nayo, niko chini ya miguu yako
kwani nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho
mimi, ya kale achana nayo, niko chini ya miguu yako
ni machungu kiasi gani, uliponiacha gizani mi
ulitaka nifanye nini, kama si kusaka kampani
nilidata, nikasaka, na hatimaye nikapata
nashangaa, wanifuata, eti tusahau yalopita
ningekusamehe ila ila, ila sio kimapenzi
ningekuwa na wewe ila ila ila nimeshapata mupenzi
sina habari, sitaki kuwa nawe tena
huna nafasi ndo hivyo nishakutema
nakupa fact unielewe kiundani
sina mapenzi kwako yalikuwepo tu zamani
nenda tu uniache wala usijali
nimempata mwingine ananipa mapenzi ya kweli
ulivyonitenda mi nasema iliniuma
we nenda tu mi sikutaki tena
sina habari mami sikuhitaji tena
mtoto mzuri nipo naye mwenye heshima
na shida zote atavumilia na
atanipa mapenzi ndivyo alivyoniambia
andika story ya kwamba ulikuwa nami
andika story ya kwamba ulikuwa nami
kifo cha panzi ni furaha kwa kunguru
sikutaki tena mami we niache huru
nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho
kwani nani? alotaka kunitoa roho, penzi likafika mwisho
Tunaoona 2024 apa gonga like
Nani kaikumbuka 2024
2019 still in love with this hit fro wamlambez Nation 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Oooh wangap bado wanasikiliza mziki mzuri
Hahaa msamehehe maana alivyo mjinga aliona Jana yako 😂😂 😂 hakujua kesho yako 😂 2018
Sana tu
Tunawo angalia hii 2024 tujuane like😊
2023 still listening to this ❤
Tunao tizama hii 2023 tujuane kwenye like
Iko sawa sana
I still love this music until today 2020.20%where are you
inanibambaga xanaaaaaaa🤒🤒
Huyu bwana n level ingine sitaacha kumcheki na kumkubali. blessed generation
2020 NAICHEKI NINGEKUSAMEHE
Kwenye igizo la mama neema huu wimbo ulipendeza
uyo mdadaa anaitwa nan jamn
Kweli Man Water hajaanza kuvinukisha leo, alikuwa mkali tokea enzi hizi!
Haijawahi kunichosha kwa kweli 💪
Nakubali mkali
Hiyo nitabaki Kali tu
Nyimbo iko vizur sana na haiwezchuja kabisaaaaaa
Never get old .we still there 20%
January, 2024 tutambuane🔥🔥🔥🔥
Bdo iko on fire hii ngoma 2019
Dah nikwer kabisa
So great🔥
😀20%ko jina lako unaitwa ishirin kamili ?
,,kama unaitizama hii 2024 like tafadhar
bro tumekumic kwenye game
bro we ni mchagga wa wapi? Mbona unabeba jina la familia yetu?
huyu jaaamaa jaaamaani enzi zaakee haataali nyimbo zote kalli jaamaani manema bange mone maisha ya bongo tama mbaya
Sijawahi kuona video ya huu wimbo. Ndo naiona leo hii!! Ila nakumbuka nilipokuwa form two mwaka 2010. Ilikuwa inafanya vizuri sana kwenye TBC FM mda wa saa mmoja usiku. Tulikuwa tunaipenda sana. Ilikuwa maarufu sana mwaka 2010-2011. Tamaa mbaya.
2019 mkowap?? Gonga like tutembee
Tupoohh
Love for my son Nd loverman Boaz arakalong life mwaah
Still Loving this jam#2019
Lov
Ww 20% na kanumba hakuna anae fanna na nie vipaji vyenu big up
2023 still in my top 🎶 🔥🔥
2021 nasikiliza huku nikiwa namajonzi ya rais wangu kipz magufuli mungu ailaze roho mahali pema, nass tupo nyuma yake
Nimejipata huku 2018. Bonge la song
huyu jamaaa nyimbo zake zote nazikubali sana abembelezi utaki nenda salute kaka
2020 bado si choki kusikiliza huu wimbo
Tufungie 2024 humu ndani🔥🔥
2020 like zenu wadau
Nyamoga family good