🔴LIVE: ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA DARAJA TAKATIFU YA UPADRE | Kutoka Viwanja vya Msimbazi Centre
Вставка
- Опубліковано 7 жов 2024
- Daraja ya Upadre kwa Shemasi MIKI BYARUGABA MBUKU, MANFRED JOACHIM SEMDA, ARTHUR DE SOUZA PENTE JR, JUSTINE BALTAZARY MBWALE, PHILIPO FELIX MTENA, DEODATH SALVATORY MTEWELE, YOHANA ANTONY MARUNDA, WILBARD NDESOMA CMM, PETER ASSENGA na Bernardo Abduel Kisaka Msuya, SSC | Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA
Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.
Hongereni sana mapadre wetu Mungu awalinde na awaongoze ktk utume wenu hongera sana Beno
Hongereni sana kwa kupata daraja Takatifu la Upadre,Roho Mt.awaongoze daima katika Utume wenu katika Kanisa La Mungu
Mbarikiwe sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤damu yayesu iwaongoze
Hongereni sana kwa daraja la upadrisho
Mungu nimwema
Hongereni sana kwa daraja la Upadre
Mungu awatumie Kwa viwango vikubwa
Amependezwa sana watumishi wa mungu
Mungu awatie utume uliotukuka
Mtangazji unaongea sana