Asante sana, MUNGU akuriki kwa kazi nzuri unayo. Kwa kweli wewe ni mwalimu muzuri sana🙌🙌🙏 Sasa inawezekana kuwa mwanafunzi kupitia mtandao? Asante 🙏🙏🙏🙏
Rafiki yangu Daudi, MUNGU akujalie sana. Tayari nami nimeanja mafunzo ya kinanda kwenye huu mutandao wa UA-cam. Mambo Yana tembea sambamba. Mimi niko DRC pa BENI town.
Funzo zuri sana. Ila jitahidi kuwaambia wanafunzi vidole viwe vinakaa kwenye hizo buttons za kinanda. Unapoclick kwenye C ukienda D basi kidole kilichoclick C kisiinuliwe sana juu. Kinapaswa kuwa kama kimelala kwenye C hata kama hakipigi. This will reduce mistake in playing
asante kwa huo umbali umetuleta, sasa naomba utuelekeze namna ya kuviweka vidole vyote ukitumia mkono wa kulia na kushoto kwa (upamoja) tafadhali katika minor chords
Ambao tunajifunza wakati hata kinanda hatuna gonga like
Njoo nikupe
🤣🤣🤣🤣
@@galaxyikanda usinipe niuzie
😂😂🙌🙌
Najifunza kimoyo moyo😀😀😀
Ubarikiwe mwalim uko vizuri sana
Mungu akubariki mafunzo yako ni mazuri sana🎉
Nimependa Sana mafundisho yako,, ningetamani kujifunza pamoja na wewe Kama itawezekana unisaidie mawasiano yako
Habar kaka,ahsante kwa somo,samahan naomba kufundishwa na wewe ntakupataje
Asante sana, MUNGU akuriki kwa kazi nzuri unayo. Kwa kweli wewe ni mwalimu muzuri sana🙌🙌🙏 Sasa inawezekana kuwa mwanafunzi kupitia mtandao? Asante 🙏🙏🙏🙏
Nimewafuatilia wengi wanaofundisha online. Hongera naona unaeleweka na hauendi spidi kama wanavyofanya wengine. Karibu Mpwapwa bro
Rafiki yangu Daudi, MUNGU akujalie sana.
Tayari nami nimeanja mafunzo ya kinanda kwenye huu mutandao wa UA-cam.
Mambo Yana tembea sambamba.
Mimi niko DRC pa BENI town.
Asante sana kwa Elimu nzuri japo Mimi nilikatisha bila kujua. Mungu akubariki pia
Ubarikiwe bt me ningependa zaid kuwa pamoja nawe katka hili niwezekuwa mwanafunz wako
Asante sana kwa moyo wako mwema. Kweli wewe sio selfish, unajali mwengine.
Aisee brother MUNGU AKUBARIKI SANA nafuatilia najua ntaelewa tu huko pamoja nazid kujifunza hapa ndugu
Mwalimu hatamimi napenda sana nitakupataje niwemwanafunzi wako
Funzo zuri sana. Ila jitahidi kuwaambia wanafunzi vidole viwe vinakaa kwenye hizo buttons za kinanda. Unapoclick kwenye C ukienda D basi kidole kilichoclick C kisiinuliwe sana juu. Kinapaswa kuwa kama kimelala kwenye C hata kama hakipigi. This will reduce mistake in playing
Nimfurah San kwa som zur naitaji name kujua Piga kinanda
Be blessed ❤❤
Barkiwa sana mtumshi wa Mungu natamani kujifunza sana
Naomba kujua kinanda kama chako shingapi
Asante sana kwa moyo ulionao kaka Daudi. God bless you soooooo much!!
Di
Amen😊😊
Mimi najitahid lkn natumia kwenye simu ila naweza mkono mmoja
Nakupata vizuri brother
Kazi nzuri, najikaza kujifunza
Nataman njifunze
Nice
kamira ingekaa kwa mbele yako vidole vionekane fresh
Nmependa sana nataman kupga kinanda kwel kaka
najua kusoma nota tena sana ila shida kupiga kinanda mkono wa kushoto mgumu sanaaaaa
Tatizo lako n dogo
Kaka naomba kuja mafunzoni nitumie unapopatikana namba zangu ni 0754 530151
Mwalimu nakutafuta mnoo
Naitwa Andrew pande za songea nami napenda nijue kupiga kinanda bila Shaka kwako ntapata kujua kaka nahtaj Masada wako
Nimeelewa Sanaa mtumishi
Shule nayo hiko wapi and be blessed so much my brother
Nimeipenda sana hii
Amina ,,nahitaji kinanda used jmn
ASANTE SANA. NIMEPATA KITU.THANKS
amen asante kwa somo mungu akubariki
2024 tupo apa
Jamani mimi ninafundishwa kuchanganya mikono yote miwili nashindwa kabisa
Nikiwepo mimi
Nimeipenda sana hii kipindi
tunaweza kukupata wapiii mwalimu
Shukrn san kk sehm ya Kwanza tamu san
MUNGU AKUBALIKI SAANA MUPENDWA,MIMI NAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU NA MUNGU ATAKUBARIKI
Mtumiahi unapatikana wap
nipo kenya fanya mpng na no yko
asante kwa huo umbali umetuleta, sasa naomba utuelekeze namna ya kuviweka vidole vyote ukitumia mkono wa kulia na kushoto kwa (upamoja) tafadhali katika minor chords
Ahsante sana mtumishi!
Bro uko mkoa gn
Well done
Asante kwa somo zuri
nakuelewa sana kaka Mungu akubariki
Master tunakusubiri sana kwa masomo ya kinanda
Nomasanaa
Me nataka kujifunxa
Ubarikiwe sana kaka hangu
Napenda sana hiyo unapatkana wapi
Be blessed
Napenda kujifunza kinanda!!!
Mungu akubariki sana
Asante Sana mm nahitaji KUJUA sana
Namiss 2 lkn sijui l hope so nitajua
Dalasa liko wapi mkuu Nataka nije
Kaka angu unaelekeza vizuri sana... Naamin nitajifunza kupitia mfano wako
Nimekuelewa kabisaa
Kaka napenda xan
asante kwa somo zuri
Naomba namba zenu
À santé kwa mafunzo sa sa nauliza kama kunavitabu kuhusu kinanda? Nakusikia toka drc kongo
Smater
nimefurahiaaaa sanaaa
vip hivi kunashure ambalo linafundisha piano Kama lipo naomba munipe namba
Mwl tunaomba display Namba kwa ajili ya mawasiliano
Amen
Naomba namba zako na sehemu unakopatikana
Sans
Naanza leo sasa
KAKA DAUDI MAGINA UBARIKIWE SANA... NIWACHACHE WENYE MOYO KAMA WAKWAKO KUFUNDISHA WENGINE
Mungu kubariku
Bro nakuomba ombi langu kwako napenda sana sana kupiga kinanda nahitaji mawasiliano yako ILI tu ongee zaidi naomba na mungu atakubariki ukinisaidia
Asante sana
nakuelewa sana naomba nayako
Hongera kaka
Mawasiliano
iko vizurii
Ntumie namb zako ,
Huku mtandaoni nimehanhaika kutafta waalimu lakini kupitia wewe now nasonga na nimejua mengii
Asante Sana Kaka Mkubwa
Asante kwa somo
Nimeipenda
Upo vizuri je darasa lipo wapi?
Unapatikana wap nijifunnze
Mimi na penda nataka kujifunza nawa pataje? Naada yake inakuaje
Asante sana bro mimi naomba kujua nawezaje kupiga robo note?
mtu anahitajika kufanya zoezi la Kwanza kwa muda gani
Dounlod
Kuna file gan zur la piano ...? Kaka
Una patikana wapi mwanangu anataka kujifunza kupiga kinanda
Mi nahitaji kujifundisha kinanda inakuaje
2
Nataka kujifunza pia jamani