Marijani Rajabu & Safari Trippers - Matilda

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 22

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 Рік тому +2

    Wasichana wote mnaoacha watoto wenu vijijini kwa bibi babu au shangazi, sikilizeni wimbo huu unawahusu!

  • @twilakambangwa5952
    @twilakambangwa5952 6 років тому +6

    Nipo kwetu majumbasita miaka hiyo bwa mdogo. Namkumbuka sana marehemu Baba yangu

  • @Konakuze
    @Konakuze Рік тому +1

    Daaah.... Jabali la muziki Marijani Rajab alituachia tunzi zinazoendelea kuishi miaka nenda rudi... 🔥 🔥 🔥

  • @mwanarajab5863
    @mwanarajab5863 4 роки тому +6

    Huu ndio mziki, myimbo zina ujumbe maridhawa

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 4 роки тому +4

    Utafikiri ulipigwa Jana, hizi ndio nyimbo endelevu zaidi ya miaka 45 iliopita bado saafi" Mungu warehem wote walioshiriki katika utunzi huu uliotukuka, Utujalie nasi mwisho mwema inshallah, Hamisi Dale Boston USA

  • @azizahassan5500
    @azizahassan5500 Рік тому +2

    Safari trippes wana nyimbo nyingi tafuteni au dar internation zipo

  • @mwisheheselemani3339
    @mwisheheselemani3339 2 роки тому +1

    Duuuu marijani mungu akupe kauli thabiti umetuachia ujumbe muhimu sana

  • @babutunda9101
    @babutunda9101 6 років тому +4

    Muziki huu hauishi ladha...
    Kamwe hautokufa.

  • @sangomaamourice8978
    @sangomaamourice8978 6 років тому +4

    asante jabar hakika umetuachia ujumbe wa maana pumzika

    • @charlesshawala4871
      @charlesshawala4871 5 років тому

      wakati huo maharage yanachemka harufu ya chakula katika kipindi cha mchana mwema RTD

  • @kokombwana8625
    @kokombwana8625 6 років тому +3

    Nakumbuka miaka hiyo nyumbani Handeni,Mungu katutoa mbali

  • @kennethbahebenginilla1657
    @kennethbahebenginilla1657 Рік тому

    Matilda tunza mwanao kwanza,uhuni kwako hauna faida,Matilda unaua,Matilda mlee mwanao kwanza oh furaha hazina mwisho utazikuta oh.

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 5 років тому +1

    Mama manginda ni hatar🎷🎺🎸🎻

  • @AzaniKhamis-m2y
    @AzaniKhamis-m2y Рік тому

    Ama kweli vya kale na dhahabu

  • @stevenkitezo7454
    @stevenkitezo7454 9 років тому +3

    dahhh kweli za kale ni dhahabu

  • @keitaabuu5196
    @keitaabuu5196 4 роки тому

    Nakumbuka redio yababu siera

  • @alfredmunnah721
    @alfredmunnah721 6 років тому +2

    Muziki ulipokuwa unaitwa muziki.

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 3 роки тому

    Nan anaweza kunambia hii nyimbo matida marijan alirecord mwaka qan ?

  • @babutunda9101
    @babutunda9101 6 років тому +3

    Muziki huu hauishi ladha...
    Kamwe hautokufa.