Marijani Rajabu & Safari Trippers - Salama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 22

  • @attiliokasuga7633
    @attiliokasuga7633 Рік тому

    Dah! Nikisikiliza nyimbo hizi, naboreka mno na Bongo flava, maana hizi ndo nyimbo za mapenzi kweli! Siku hizi ni matusi tu manzoni mwisho!

  • @nyangehassan902
    @nyangehassan902 6 років тому +3

    Nikisikia wimbo huu nywele husimama, nakumbuka mbali miaka ya 1975, dah!

    • @EkotiYaNzube
      @EkotiYaNzube Рік тому

      Alikuja pale Railways Club Gerezani mwaka huo.....nikiishi mtaa nyuma ya ile club

    • @samuelmulumba1892
      @samuelmulumba1892 11 місяців тому

      😢😢

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 5 місяців тому

      Wacha ndugu yangu; enzi hizo tulikuwa tuanapa muziki waw kweli ambao haukuwa na producer wa kutumia computer

  • @joelfrancis4261
    @joelfrancis4261 8 років тому +3

    A wonderful and amazing man-made music from Marijani Rajab. For sure, this man was real talented and skillful.I can hear his hearty feelings in his compositions!.It's a lesson to young musicians who depend on computer made musics!.

  • @glodykobelo470
    @glodykobelo470 6 років тому +1

    Mbazigwa Hassan na Mtaalam wa Music Masoud Masoud, ambao mimi ninaona ndio wanaoishikilia roho ya TBC. Vijana ndani ya TBC naomba mjifunze kwa Papaa Mbazigwa Hassan na Mtaalam bingwa wa Muziki Masoud Masoud katika mambo ya miziki na mipangilio yake.

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 роки тому

    Dah !
    Salama alijua kumuumiza Marijan
    Dadadek,si kwa kulia huku.
    Hadi inasisimua

  • @samuelmulumba1892
    @samuelmulumba1892 11 місяців тому

    Daah R.I.P. Jabari la Muziki Marijani Rajabu.😢

  • @omaryshafii1284
    @omaryshafii1284 Рік тому

    Dah! Hiyo sauti amakweli ardhi inameza watu na haishibi

    • @marcelinonyakunga-us3gk
      @marcelinonyakunga-us3gk Рік тому

      Hatari sana brother hizi nyimbo zinakumbusha mbali sana wenzetu wametangulia ni dunia yenye maumivu makali sana ukikumbuka tulikotokea

  • @twilakambangwa5952
    @twilakambangwa5952 6 років тому +1

    Salama mtoto wa Safari trippers

  • @mohamedmagongo9348
    @mohamedmagongo9348 3 роки тому

    Wimbo huu Marehemu Kassimu Mponda amepiga solo gitaa (scale) ya kiwango cha juu!

  • @sweetbetmpaluka7183
    @sweetbetmpaluka7183 10 років тому +2

    Redio yetu ya Taifa RTD,wanaita siku hizi TBC. Halafu wanatupigia miziki ya ajabu. Je nayo wameshaiuza?

  • @shabanichongwe5679
    @shabanichongwe5679 2 роки тому

    Hii ni Kali sana

  • @OthmanMaskini
    @OthmanMaskini Рік тому

    Alpha & Omega

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 4 роки тому +1

    Primary School at Chang’ombe

  • @abedhamza4653
    @abedhamza4653 2 роки тому

    JABALI ANAJUA KUBEMBELEZA SIO MCHEZO