Mbaraka Mwinshehe - Shida

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @JacksonMutinda-jw5qw
    @JacksonMutinda-jw5qw 10 місяців тому +136

    Naona anasikiza uu wimbo this yr 2024??

  • @alexsituma6570
    @alexsituma6570 9 місяців тому +40

    2024.
    Shida zitafanya nzi wakuchezee wakidhani wewe ni mmoja wao

  • @MsukumaJrMasanja
    @MsukumaJrMasanja 10 місяців тому +82

    Huu wimbo ninaposikiliza najikuta natokwa na machozi mengi sana kwasababu baba yangu ndiyo alipiga hii solo humu

    • @AbihudKaale-vt6hn
      @AbihudKaale-vt6hn 10 місяців тому +2

      Duuuu 😢 Pole but alikua mtu noma sana

    • @joab9318
      @joab9318 9 місяців тому

      sema kweli buana

    • @Peggycool351
      @Peggycool351 9 місяців тому +2

      POLE ndugu, yote ni ya Mungu, lakini alifanya kazi safi sana, apumzike pahali pema peponi.

    • @SKE-r7e
      @SKE-r7e 8 місяців тому

      Nyimbo tamu kweli ilikuwa ni mwaka gani mpaka sasa huu wimbo unabamba

    • @TamalyMichael
      @TamalyMichael 6 місяців тому

      Pole ndug

  • @neyjackson4507
    @neyjackson4507 9 місяців тому +23

    April 2024 tukusanyike🎉🎉🎉🎉🎉
    Shida aichagui
    Oooooo😢

  • @realdrkiratu
    @realdrkiratu Місяць тому +31

    Wangapi wako apa 2025. Ngonga like tukisonga

  • @ephraimmurithi8513
    @ephraimmurithi8513 2 роки тому +193

    Hakuna kitu kibaya kama shida.
    In 2017 my contract was terminated
    in 2018 i got another job
    in 2019 i lost the job while my wife had delivered.I lost most of the people i called friends.
    We went through the hardest period in our young marriage.
    In 2021 i got another job,Covid hit and i was laid off.
    In 2022 i got a stable job.
    Wakati wa shida tunayasoma mengi na tuna jifunza mengi.
    lakini kwa yote Mungu anabaki kuwa Mungu!!!

  • @igiiwamapendo4454
    @igiiwamapendo4454 2 роки тому +214

    Shida haingoji ujipange, nilifanya kibarua kwa miaka mingi nikitaka kumjengea mamangu nyumba mzuri, nilipo maliza tu mama akaanga. So wimbo huu huwa unaniguza sana.

  • @jamesthoya5864
    @jamesthoya5864 Рік тому +23

    Nipatapo Shida, msaidizi wangu ni Mungu Baba.

  • @lemwelking2982
    @lemwelking2982 7 місяців тому +36

    Gen z in the building, timeless music 🇰🇪

  • @simonchambo1230
    @simonchambo1230 10 місяців тому +112

    Who are here this 2024.

  • @jacklinerenson1708
    @jacklinerenson1708 Рік тому +54

    My mom will sing this song fluently without missing a word...😇😇i had to like and comment on behalf of her..love you momma

  • @efron997
    @efron997 8 місяців тому +155

    Nani bado anasikiliza hadi leo 2024...??

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo 7 днів тому +1

    Dada Muhtaji Mubaraka hongera sana kwavkutulumbusha enxi za mzee wetu Mwishehe. Yaani kama Mzee mwenyewe. Mungu akuzidishie kipaji. Amina.

  • @aizowid8731
    @aizowid8731 2 роки тому +13

    Kuna muda huwa nalia tu kila nikiusikiliza namkumbuka sana baba daaaa,😭😭

  • @julieshishrealityletstalk9206
    @julieshishrealityletstalk9206 Рік тому +13

    Listening this on 2024 feels amazing

  • @snappyents1782
    @snappyents1782 20 днів тому +1

    My mom used to listen n sing along to this song as a widow.
    She suffered with sickness when I had just been blessed to take care of her..kwa kweli kila siku shida shida haiishi mpaka siku ya mwisho

  • @BoniphacRaphael
    @BoniphacRaphael День тому

    Me nikisikiliza wimbouu namkumbuka babayqngu mzazi alikuq anaipenda sana mungu akulaze maalipema peponi amina

  • @Manrono1
    @Manrono1 6 місяців тому +9

    Shida haiishi mpaka siku ya Mwisho hata kama ni siku ya harusi shida utokeleza tu. Great Music from the Legend Mbaraka Mwaluka Mwinsheshe.

  • @philipogabriel6056
    @philipogabriel6056 6 місяців тому +18

    Hizi ndoo nyimbo za watu wenye akili timam achana na hayo matusi yanayoendelea

  • @OldisGold1982
    @OldisGold1982 10 місяців тому +2

    My mother! Rest well you really struggled to raise us but you didn't gain from us!

  • @dismasmutai-f9v
    @dismasmutai-f9v 9 місяців тому +29

    I am wondering what led me to this song.I am sitted under a hospital tree waiting and crossing fingers that my son will come out of theater successfuly.Shidaa.Kapsabet county referral hospital.Shidaa.May you who is going through shida find comfort in Jesus name

  • @musicofafrica2742
    @musicofafrica2742 2 роки тому +18

    My childhood memories,when life was hell. Njaa nayo wakati huo. Tumetoka shambani na hata kitu ya kukula jameni. God is great, life hubadilika

  • @kenanvulimu9838
    @kenanvulimu9838 2 роки тому +14

    This was the days when things were real, Christmas was real,holidays were real,oooh I miss this days,no mutumba cloth,new clothes ,ones ayear

  • @melchzedekackim8360
    @melchzedekackim8360 4 роки тому +22

    Mzee huyo aliimba wimbo kwa hisia wimbo mzuri sana

    • @geraldsanga7093
      @geraldsanga7093 4 роки тому

      Ni kweli kabisa.

    • @prospermabala82
      @prospermabala82 4 роки тому

      Nakumbuka mbali sana miaka ya 1980 tukiwa Rushasha kwa Bw Christian Milanzi.

    • @prospermabala82
      @prospermabala82 4 роки тому

      Nakumbuka mbali sana miaka ya 1980 tukiwa Rushasha kwa Bw Christian Milanzi.

  • @MbaluBwengeGratian
    @MbaluBwengeGratian Рік тому +4

    Shida haioni hata umri wa mutu. ❤❤😢26/12/2023. Na mkumbuka baba muzazi wangu akiwa Nord Kivu.

  • @MwanneMoshi-m4l
    @MwanneMoshi-m4l 2 місяці тому +1

    Nimemkumbuka baba yangu mzee moshi kasele m,mungu akujalie afya njema mzazi wangu nafurahia uwepo wako😍😍

  • @nicholasmhina8705
    @nicholasmhina8705 Рік тому +5

    Ni nani awezae tupatia ujumbe Kama huu miaka hii ya nyimbo za matusi mwanzo mwisho!

  • @mwanikijoelmuthaka8703
    @mwanikijoelmuthaka8703 2 роки тому +75

    This was the golden age of music ! Never again will the world compose this kind of music; meaningful, educative , and serious content.

  • @kajaymopao1672
    @kajaymopao1672 Рік тому +8

    Nakumbuka nikiwa mdogo kama 12yrs old mbaraka mwashehe alikua amekuja ku perform Mombasa bushbar akapata accident bamburi na lorry la cement akafariki r.i.p We miss you so much you was very tilented

  • @tyivbra
    @tyivbra 5 місяців тому +123

    Kam unaskiliza huu wimbo mwaka huu2024
    Gonga like

  • @stewartmjinja491
    @stewartmjinja491 2 місяці тому +1

    Unapopitia kwenye shida Mungu anafunga mlango mwingine wa kupata raha

  • @Science-concept1234
    @Science-concept1234 Рік тому +4

    Munaniona hapa ni kwa hisani ya kulewa pekeangu ghetto huku nakula nyimbo za zaman what a feelings 😢😢

  • @rudaerisa3721
    @rudaerisa3721 6 місяців тому +5

    uwe namapesa mengi, taabu, uwe fukara shida ndiyo zaidi. May lord bless his soul with eternal peace.

  • @kipkoechcheruiyot6013
    @kipkoechcheruiyot6013 9 днів тому

    2004 repeated class four since my parent could afford ksh 25 bob for exams.
    2009 repeated class 8 after scoring 330 marks since I could get fees for form one.
    2010 joined a day school after scoring 350 marks.
    2013 form four Kcse scored B-,could not joined university since it was below cut point parallel was expensive ,went back to a day school in remote village and repeated four 3 since I repeated in 2nd term,we were the pioneers of the school,did kcse 2015,and Joined Moi university, stay for 6 years before graduation.
    Now a teacher in a national school and best school in kenya.
    Shida ...shidaaa

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 Рік тому +3

    Bonge la ujumbe ndo yanayonikuta aisee dah mungu nisaidie

  • @EdmilsonsamuelmarcoaMarcos-d5o
    @EdmilsonsamuelmarcoaMarcos-d5o 3 місяці тому +2

    Namkumbuka babayangu mzee Tengeneza alikua anaupenda Sana mungu amuweke pema peponi mzee wetu tengeneza

  • @mwikaly
    @mwikaly 5 років тому +73

    I really miss my grandmother... this song reminds me of her..♥️

    • @Jameskimanthi4799
      @Jameskimanthi4799 4 роки тому +1

      What happened

    • @ayubrally3114
      @ayubrally3114 4 роки тому +1

      hallo there inlove with song

    • @ronniemusoke1706
      @ronniemusoke1706 11 місяців тому

      Mee too,actually 2 of them grandmom & grandfather.i lost them in the years of (1994 & 2010) R.I.P soon or later we will see eachother.

    • @josephcharlesnalimi8078
      @josephcharlesnalimi8078 10 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 2 роки тому +8

    Ooh! Kumbe shida haishi mpaka siku ya mwisho! Asante Mbaraka Mwinshehe na Remmy hakika nitawakumbuka daima!

  • @BabyCharming-lr7qy
    @BabyCharming-lr7qy 3 місяці тому +2

    Yani muda mwengine unaweza kulia Kwa kweli ukisikiliza huu wimbo😢

  • @philipmutie1559
    @philipmutie1559 2 роки тому +37

    Legends don't die they just rest. Mbaraka Mwaruka Mwinshehe🔥🔥🔥🔥

  • @vickieeddie2230
    @vickieeddie2230 24 дні тому

    Shida mpaka 2025 daah Mungu tusaidie

  • @AliceOtieno-f4d
    @AliceOtieno-f4d 4 місяці тому +2

    Kifo ame chukua Dida; Markos; na watoto wa shule kenya❤

  • @MuwayaZacheaus-n2e
    @MuwayaZacheaus-n2e 6 днів тому

    IT REALLY REMAIND ME OF MY MOTHER USED TO WASH CLOTHES USING OMO OF FLAVOURS WILE PLAYING THIS NADINA SONG

  • @masangaben7089
    @masangaben7089 4 місяці тому +2

    Hizi nyimbo zilikuwa zikizungimzia ukweli tupu....hadi haziezi zeeka... enyewe shida maze...wimbo tamu kweli kweli.

  • @moureenmwelu3940
    @moureenmwelu3940 2 роки тому +49

    I love oldies especially of mbaraka mwinshehe,my grandma used to tell stories about how great this man was coz he used to perform at our home area in a club Called bush bar(bushy) in Mombasa Kenya, actually he died coming from there after a performance,may his soul continue resting with the Angels

  • @mkumbopiter2019
    @mkumbopiter2019 4 роки тому +6

    Kwa masikini matajiri iko shida: kubwa la message

  • @kibetkirui3949
    @kibetkirui3949 2 місяці тому

    If your are traveling on a long journey and you play this song, you will enjoy the journey

  • @sergesezabo8997
    @sergesezabo8997 Рік тому +11

    Ah this song, we listened to it when we were so young in the EAST of the DRC on KBC Nairobi radio la tahifa...Respect to the artist for the advice of life...Serge from Kinshasa DRC.

  • @cedrickanda3965
    @cedrickanda3965 4 роки тому +72

    A beer in my hand , watching past football matches and self isolating. Classic music

  • @markosewe3132
    @markosewe3132 Місяць тому

    We grew up with this..KBC...❤

  • @BettyAwory
    @BettyAwory 5 днів тому

    Nikizikiza nakumbuka mamangu akuugua cancer tulikosa pesa za kutosha ili tushughulikie matibabu yake, rip mum shida ilifanya tukakupoteza😢

  • @charlesmulongo7077
    @charlesmulongo7077 Рік тому +3

    I remember my mother 😢😢😢 Rip mama yangu Beatrice Nafula

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 3 місяці тому +1

    Kama niko na mzee wangu anapenda kuniomba nimuchezeye ngoma hizi kweli. Na mimi pia napenda sana. R.I.P Mwishehe. Umeandika historia nene kabisa. Sikuishi enzi hizo ila ilikuwa moto nikiskia kwa leo.

  • @allyBeka-l7b
    @allyBeka-l7b Місяць тому

    2025 😢 mungu akuepushe na adhabu ya kabuli babu yetu inatufunza sana ihii kitu

  • @KimolaFundikira
    @KimolaFundikira 8 місяців тому +3

    Ujumbe wa wimbo huu unakumbisha kuweka maisha vizuri kwani hakuna muda wa taarifa

  • @KingKoech
    @KingKoech Місяць тому

    Dec 2024, Mbaraka Mwinshehe🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @IdrisaLubwaza
    @IdrisaLubwaza 5 днів тому

    Naniambae.hanashida.kabisa..naonaujumbe.umetoshereza.sana.yukowapi.daimondi

  • @alainrumenge1623
    @alainrumenge1623 6 місяців тому +3

    Mimi napenda na sauti ya Mwishweshe

  • @martinwachia2569
    @martinwachia2569 Рік тому +2

    It was a great hit loved by my late father Patrick Kakai Wachia after being a victim and survival of 1976 two consecutive fatal road accidents.

  • @olivermlebele3894
    @olivermlebele3894 2 роки тому +2

    Jamani hadi nimekumbuka Mama na Baba yangu! Mungu aendelee kuwa pumzisha kwa Amani

  • @SalmaMbelwa-t6v
    @SalmaMbelwa-t6v 2 години тому

    Shida nakumbuka wakati nipo masomoni nilipsta shida ila mwisho wa diku nilipata nilichokifuata

  • @SylvesterNyamai-wx8ng
    @SylvesterNyamai-wx8ng 4 місяці тому

    I like the way shida ilinipata nikaangaika hadi nikajuta kufa lakini mungu sio adhumani Leo shaaaari

  • @mrperfect5758
    @mrperfect5758 Місяць тому

    Hawa ndy wasanii sasa toka miaka hyo ila ngoma ipo na ujumbe miaka yote

  • @jacksonsungwana2344
    @jacksonsungwana2344 2 роки тому +8

    My mama used to sing oldies when am back from school getting Ugali heard her sang these oldies,I really miss my mama may God protects her and continue to rest in peace eternally.

  • @JonahRonoh-b3f
    @JonahRonoh-b3f 2 місяці тому

    This wimbo reminds me of my youthful stage late 70,s

  • @sebajohn9058
    @sebajohn9058 2 роки тому +2

    Pole sana kwa kuuguza mama Nani Kama mama

  • @RehemaHabibu-he3qu
    @RehemaHabibu-he3qu 2 місяці тому

    Nmkumbuka mama noa mungu amoe kaliu sabit

  • @neemajginene7524
    @neemajginene7524 3 роки тому +5

    Naipenda hi nyimbo miaka 8000

  • @ZaitunMohamed-w2o
    @ZaitunMohamed-w2o 6 місяців тому +1

    Jaman nimezaliwa miaka ya 2000 lakin baada ya kuangalia the story book nimeipenda song

  • @shirrangimedia4570
    @shirrangimedia4570 2 роки тому +1

    Wimbo huuu nikiuckiatu namkumbuka marehemu babayangu alikua anaupendasana hata usikuwamanane nilkua nikiamkatu nakuta kaweka kanda ya mbaraka mwishehe aisee ulale pemapeponi.baba yangu Mathias nyanda hakika nitakukumbukadaima mzeewangu

  • @OmaryMtangi-s3v
    @OmaryMtangi-s3v Рік тому +1

    Shida nikut kibaya sana nampango wakujengea mama yangu nyumban nzr ila nishada tu mpaka sasa nyimbo hii inanigusa sana😭

  • @Tesla_Samu
    @Tesla_Samu Рік тому +6

    Tansania 🇹🇿 music it’s just something else a gift from God

  • @felisterrwenyo6271
    @felisterrwenyo6271 4 роки тому +7

    Childhood memories...KBC adhuhuri😊

    • @voke428
      @voke428 3 роки тому

      By hadija ali

  • @Pas-b2v
    @Pas-b2v 5 місяців тому +1

    Sikuwepo mpaka anafariki enzi zake mbaraka, ila nimezaliwaa nimezisikia nyimbo zake mpaka leo zinanipa faraja sana nikiwa napitia mitihani, huwa nalala zangu nasikilizaa nyimbo za kaka angu mbaraka

  • @Bruno-kl6bn
    @Bruno-kl6bn 2 роки тому +10

    This man Mbaraka is a fallen music legend 📻📻📻📻

  • @rommyabduly6036
    @rommyabduly6036 2 роки тому +1

    Hii nyimbo ni uwa nawakumbuka babu zangu na bibi zangu hakika dunia tunapita all the best my song

  • @dorcassoi6548
    @dorcassoi6548 2 роки тому +19

    30th April 2022
    I'm finishing April listening to this nice old song. This song carries much memories 😘. It reminds me of my dear dad (live long). I could come from school in the afternoon and find him having a nap with these good old songs on. Maulana tupunguzie shida duniani,🙏

    • @lyamasisasa1035
      @lyamasisasa1035 2 роки тому +2

      Me toooooooo childhood nostalgic feelings6

  • @IndechenaomyIndechenaomy
    @IndechenaomyIndechenaomy 5 місяців тому +1

    Jamani kwa hii maisha shida inaeza kukufinya lakini kuna tumaini

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 років тому +30

    I used to listen this song since my childhood makes me to recall my mum may you countinue resting in peace is 20yrs now since you left us 😢😢😢😢😢😢😢

  • @stellamulisa8336
    @stellamulisa8336 2 роки тому +21

    Oh my! When music was music. Content music I must say. It takes me way back when I was a little kid. My parents would play this song,oh men,those days when life was good

  • @FrenkMwaulambo
    @FrenkMwaulambo 5 місяців тому +1

    Mungu zakailaaze mahalo pema peponi

  • @andrewmucholi1986
    @andrewmucholi1986 6 місяців тому +2

    its very true, we move with problems every where at any time.problems are un invited guests in our life.
    "whenever i get any challenge,im consoled by listening to this number.""

  • @rilytraky6337
    @rilytraky6337 2 місяці тому +2

    ITS 2nd 2024 BUT STILL AM HERE ,WEUH MONEY CAN'T SOLVE

  • @jacklineondieki3068
    @jacklineondieki3068 Рік тому +2

    Nakumbuka Baba mtoto wangu😢

  • @christinenyambeta7702
    @christinenyambeta7702 2 роки тому +1

    Wimbo umenikumbisha zamaa zile zetu tukikuwa ,old is gold miss our family life with our parents love you my parents MUNGU azidi kuwapa umri wa kuishi

  • @RehemaOrodo
    @RehemaOrodo 4 місяці тому +1

    Mimi hapa nko tena ndani kabisaa

  • @dansonkibera2217
    @dansonkibera2217 2 роки тому +15

    The song takes me back to rural central, late night, zilizopendwa on KBC Swahili service...
    Brings memories of my youth, my dear mother who left us 11 years ago.
    Such songs will last many life times...

  • @dankanyangitv
    @dankanyangitv 3 місяці тому

    29/12/2024 Naskiza huu wimbo Shida ikiguruma kama radi na marafiki hamna tena. Jamani...

  • @allee3476
    @allee3476 2 роки тому +15

    Just happened to stumble across this video, and it brings back the memories of Mbaraka Mwaruka Mwinshehe and the Morogoro Jazz Band playing on the radio Tanzania, Dar es Salaam every day in the early seventies before I left for the United States.

    • @timmusumba5846
      @timmusumba5846 Рік тому +2

      Very nice music indeed full of teachings! Your a Tanzanian living in the United States?

  • @Albertmukeshimana
    @Albertmukeshimana 3 місяці тому

    Mie mke wangu ameniacha na wawatoto wangu tunapata shida siyo siri kweli shida haisha mpaka siku yakifo

  • @davidlukumay2226
    @davidlukumay2226 2 роки тому +5

    Shida ni mbaya sana , waonao sikiliza 2022 gonga like hapo

  • @JohnnySkani
    @JohnnySkani 4 місяці тому

    Nakumbuka mara ya kwanza babayangu kunichezea huu wimbo .. wakati ule lakini maisha yalikuwa tofautinsana ..good times ,good music

  • @AliceOtieno-f4d
    @AliceOtieno-f4d 4 місяці тому +1

    ❤Nime kuwa na shida hii mwezi

  • @JosephKaberaMathenge
    @JosephKaberaMathenge 3 місяці тому +1

    Nyimbo zake Zinedine panga vista.

  • @ashuralihinda9065
    @ashuralihinda9065 6 місяців тому +5

    Kwelii shida haikosekani 2020 nikiwa hoi hospital Mamaangu alifariki dunia,😢😢2022,sijapona vzr babaangu 😭😭 Nae akaniacha na simanzi nzito.mpk Sasa Bado napitia Shida Mpk natamani iwe ndoto wazazi Wangu wawe hai😢😢

    • @athumanimgumia7209
      @athumanimgumia7209 5 місяців тому +1

      Muombe Mungu awe mama na baba yako hakuna atakaebaki

    • @bintyally7387
      @bintyally7387 4 місяці тому

      Pole, mungu akufanyie wepesi

    • @BettyAwory
      @BettyAwory 5 днів тому

      Pole sana, same here mamangu akaaga 2019 na 2020 baba akatuacha pia

    • @BettyAwory
      @BettyAwory 5 днів тому

      Pole sana, same here mamangu akaaga 2019 na 2020 baba akatuacha pia

  • @WambuaGideon-qz9hi
    @WambuaGideon-qz9hi Місяць тому

    Kweli the old is gold. I remember nikiwa primary school, mdogo sana. Then we still hear it until this day

  • @璐刘-e9t
    @璐刘-e9t Рік тому +1

    Hii ngoma hunikumbusha my father he used to sing it Mbaka analia

  • @AnselmuMichael-b5m
    @AnselmuMichael-b5m 26 днів тому

    Kusema kwei nyimbo ni nzuli san

  • @cephasnjuguna9159
    @cephasnjuguna9159 3 місяці тому

    I am listening to this song even today. Nilikuwa na shinda nyingi kabla ya kupata nafasi ya kuja Marekani.

  • @hashtag6122
    @hashtag6122 2 роки тому +10

    This song reminds me of my grandfather 😢A friend and advisor, continue resting well the great man❤️✌️ I surely miss you 😔