Just compare this lovely poetic song from Jabali Marijani Rajab, with the bongo flavour songs!!!! Kweli Marijani, Mbaraka Mwinshehe and Salim Abdallah were very talented and genius. Legends.
Jaman Mungu na amlaze pema Marijan,Nilihangaika kumtafuta huyu mtu ili kumfahamu nikamfuata Arusha wakati yupo kurugenzi jazz,naingia mlangon naye anatoka kwa kuwa simjui sikumtambua naulizia ndan naambiwa umepishana naye mlangon,nikamfuata Dar nyumban kwake mtaa wa sikukuu na Somali,nimepelekwa kwake na mtu mmoja anaitwa Babu Delly,kufika kwake hayupo kaenda msikitin,kumbuka simfahamu kwa sura!Babu Delly akaniacha pale kwake akanikabidhi kwa fundi cherehani,kumbe Delly kakutana naye njian akamwambia nyumban Kuna mgeni wako anaitwa Hashim,akaja moja kwa moja ananiambia bwana Hashim habari bwana Karibu nie ndo Marijan Rajabu,ilikuwa kidogo nizimie,nilikaa naye hadi saa tano usiku toka saa kumi jion,hakika Ardhi inakula vingi jaman,tuwen na tabia ya kuwaombea dua marehemu waliotangulia mbele ya haki
nimeanza kumsikiliza Mrijanu 2019. Najilaumu mbona nililala darasani hivi....nyimbo zenye mafundisho. ata ameshinda waimbaji wengi wa goispel wenye wanaimba nyimbo hazina maelekeo ziku hizi
Hakika Marijani Rajabu amistahili kabisa kuitwa Jabali la Muziki Tanzania kutokana na tungo zake zenye mafundisho na zinazoishi mpaka sasa hivi.
Just compare this lovely poetic song from Jabali Marijani Rajab, with the bongo flavour songs!!!!
Kweli Marijani, Mbaraka Mwinshehe and Salim Abdallah were very talented and genius.
Legends.
Ujumbe kwenye mziki haswaaa.Wachana na hawa vijana wa sasa wanaocheza na kushika mapumbu
na mkumbuka marehemu na radio yake sanyo akiskiliza huu wimbo mungu amlaze pema peponi
Huo ndio ulikua muziki, Mungu amlaze pema peponi Marijani mwana wa Rajab
Miss you dad. Miss you Momma.
Ukiishi ba watu vizuri, watafini ili mgombane , namsaka mbaya wangu anayetugombanisha
Mziki walifanya Zamani miaka hii ni mauzauza tu!
Ukiusikiliza Mziki wa Zaman unavionjo vitamu sana alafu hatua kwa hatua
Nakumbuka RTD duuuh nahisi sijielewi maana utamu wa hii nyimbo
nahisi umepitiliza
jabari la muzi marijani Rajabu hatotokea wa mfano wake
Hizi nyimbo za zamani ni nzuri mnooo, zinanikumbusha mbali sana Enzi za utoto wangu, jamani nyimbo zilikuwa zamani yani naenjoy mnooo. Asante sana
Sana jamanii!! Tulikuwa waduchu namsikia mama akiimba! Daaah siku hizi mastress tuu aagh
Reminding me of VOK..Ali Salim Manga
Ni burudani isiyo kifani, zamani sana aisee enzi za RTD Tanzania nzima. Asante sana kwa ukura huu
mziki ya wezee vijana, Weee motoooo.... taratibu!!
Maisha hayarudishiki nyuma, tungependa jana iwe leo lkn haiwezekana. Mungu awarehemu waliotutangulia hasa waliofanya kazi hizi, inshallah!
mziki zamani sasa wanaume wanavaa uzuri wanawake wako uchi wamnyama
RIP Jabali la muziki - Marijani Rajabu. Siku hizi wasanii wana copy nyimbo zake, lakini wanavyoigiza ni tofauti kabisaaa!
Hapo ndio utajua tofauti ya wanamziki🎼🎸🎻🎺 na wasanii🎶🎧🎤📽.
wapendwa jaman nautafuta wimbo siwema part 2 wa marijan Rajabu'na Mama watoto acha roho mbaya'hakika hizo nyimbo ni faraja kwangu
Ujumbe uliotuachia ni mafunzo sana kwetu..
Mungu hailaze roho yako mahali pema peponi...😢
KILA NAFSI ITAONJA MAUTI
Asante jabari
Amiin
Mhhh makubwa pole mwaya
Jabali muziki afrika mashariki nyimbo zake hazipitwi na wakati
I do real miss you my lovely mummy,when i listen this kind of music RIP MUMY
Nakumbuka wakati huo mchana mwema zikianza kupigwa nyimbo hizi time za kwenda shule Zanzibar siku za raha zimepita
Inapendeza sana kwa hakika tumepoteza watu wenye uwezo mkubwa katika mambo ya music
Hakika yuyu bwana Rajab alikuwa stadi kwa utunzi na gita pamoja na uimbaji. we miss you Marijan.
Wenye kukaanga mbuyu hawatafunii wao
marijan ni jabali wa muziki,namkubali sana,mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
jamaa ni hatari sana.kila kigongo kikipigwa kama kimetungwa jana kila kitu kinasikika
Amiin Yarabil Alamiyn
This song should be hit when i was about to die will give me peace🙏❤
WHAT IS WRONG WITH YOU????
Rest easy my parents 🙏 💔
wa siku hizi Sio wanamuziki, ila ni waimbaji,mtu unanitamanisha mwanamuzika huwezi puliza saxophone, trumpet, huwezi piga chombo chochote cha muziki,
Muziki unaoishi , siyo huu was leo Moto wa mabua !!
Dah mungu mwenyewe awarehemu watu hawa pamoja na wazazi wangu mana kama namuona mama yangu jaman
Hii nayo ni moto, moto sana.
Uko sawa hizi nyimbo za zamani zilikuwa na mafundisho sana
kizuri hudumu zaidi. nyimbo nzuri ujumbe mzuri.
Jaman Mungu na amlaze pema Marijan,Nilihangaika kumtafuta huyu mtu ili kumfahamu nikamfuata Arusha wakati yupo kurugenzi jazz,naingia mlangon naye anatoka kwa kuwa simjui sikumtambua naulizia ndan naambiwa umepishana naye mlangon,nikamfuata Dar nyumban kwake mtaa wa sikukuu na Somali,nimepelekwa kwake na mtu mmoja anaitwa Babu Delly,kufika kwake hayupo kaenda msikitin,kumbuka simfahamu kwa sura!Babu Delly akaniacha pale kwake akanikabidhi kwa fundi cherehani,kumbe Delly kakutana naye njian akamwambia nyumban Kuna mgeni wako anaitwa Hashim,akaja moja kwa moja ananiambia bwana Hashim habari bwana Karibu nie ndo Marijan Rajabu,ilikuwa kidogo nizimie,nilikaa naye hadi saa tano usiku toka saa kumi jion,hakika Ardhi inakula vingi jaman,tuwen na tabia ya kuwaombea dua marehemu waliotangulia mbele ya haki
Mmoja wa mabingwa wa muziki wale walikua hodari kwa utunzi wa mashairi
nimeanza kumsikiliza Mrijanu 2019. Najilaumu mbona nililala darasani hivi....nyimbo zenye mafundisho. ata ameshinda waimbaji wengi wa goispel wenye wanaimba nyimbo hazina maelekeo ziku hizi
Vya kale ni dhahabu.
Da jamani machozi yananitoka nimekumbuka mbali
hiki kilikua kichwa adimu.hamna kama yy kwa sasa
hata Mimi ingawa bado nilikuwa mdogo ila machozi yanatoka hasa wimbo ndoa ya mateso au mwana meka
Sasa @Hussein Mussa mbn unaniambukiza kutoa machozi banaa! Daaaah
timeless song.great musician.RIP
he will remain as legend alawys
Legend never died
Old is gold bhanaaaa..marijani much respect....
Mziki zilizoenda shule na kuhitimu.
Imenikumbusha mbali sana
Muziki wako bado almasi jabali la muziki. Siku hizi mashauzi tu na ubishoo mwingi.
Hakika tutazidi kukumbuka daima jabari wa muziki
Nakumbuka mbali sana Urafiki flats.kweli Old is gold
Upo?
Excellent Bw. Abdalla
Wakati wa kbc kiswahili Ali Salim Manga akiwa continuity announcer.. waaa kijana marijani Raajab akifanya mambo yake... Erude Gladys uko wapi
Namsaka mbaya wangu....enzi zao
tutakukumbuka daima
Hizi ndo zenyewe, zinanitoa stress zote.
RIP Marjani #LEGEND
Jabali la muziki
The one and only.
Still the one
Naacha comment hapa ili mwanangu siku aje kusoma miziki nilioipenda baba yake
Sikuhizi wanasema ukilikoroga utalinywa. Ukikaanga mbuyu utazitafuna mwenyewe.
Raha sana kusikiliza hizi nyimbo zinamafunzo fulani
huu ndo mziki bwana
Tumebarikiwa
kwa kweli hii ndiyo burudaani ya ukweli ki ukweli.
Jabali la MUZIKI ...
Well put together
Enzi hairudi tena ile!!!!
jabali la mzuki
Super music
Hakika haya yapo yana sumbua huku uswahilini wanamziki wa enzi
Hao ndio wenye kuukaanga Mbuyu,wacha wainama na wautafunee.
Waachie wenye meno watafune *
Asante kwa marekebisho 🙏🙏🙏
hizi ndio nyimbo. sasa hivi wimbo wanaita nyimbo. suruali makalioni. RlP Jabali
Asante kwa nyimbo hizi.
wanamuziki wa sasa wasikize hii miziki ili kujirekebisha
Daa. Kiukweri
Sinaneno
Kwa
Mzee
Mwenzangu
Ayat
Marijani
Arikuwa
Fundi
Sana
Wa
Muziki
Siwezi na simchoki
Mama maria
Shauri za kweli
July 26/2024 tuko apa
ngoma bila jasho
Wakati mziki ilkuwa taaluma.
penda hii saut ya huyu jamaa alieimba aisee
Sasa hivi wanabwabwaja maneno hawaimbi
Hawa watu walikuwa wakiimba kwa mapenzi sio sasa hivi mipasho ubishoo mwingi kila mtu anataka kiki
mbona znapatkana tu youtube
Mr Abdallah Ally
Nahitaji nyimbo za Marijani, SIO MIMI NI SABABU YA MAPENDO na PENDO SI KULAZIMISHANA. Nimezitafuta sana humu (ytb) sijazipata.
umezipata
mkono wa iddi
Nakumbuka enzi zangu wewe usiguse kabisa kidude
2020
Bambo
huo ndio ulikuwa mziki sasa iv wanajua kuvaa suruali chini ya makalio tuu.
Hv kuna kizazi kitafikia uku kwel jamani
mohamed shebe halafu ujumbe ni mapenzi tuuu.
ni hatari sana aisee!
Utasikia eti kuku kavaa raizoni kuku kapanda basker miziki ya kipuuzi sana ihi ya kizazi kipya wajifunze miziki ya zamani.
Hakuna
Sisemi kitu
Nikweli
Maanzese wakati huo inaitwa soweto
Familia yake inafaidikaje na hiki kipaji cha ndugu yao costa naomba jibu
Mmoja wa 'familia yake' ni mimi na wewe, je tunafaidikaje na kipaji chake!?
Nyimbo zao ni kama kusoma vitabu vya wenye hekima
kipaji hicho,siku hz hakuna tena
Marijani.Rajabu.a.k.a.jabari.arikuwa.fundi.wa.muziki.wa.dans
inn box
yaani hakunaga kama hizi za kare.
Kweli nilikuwa napona nikisikia hizo tarumbeta
Mziki unaoishi
yaani hakunaga kama hizi za kare.