EXCLUSIVE - Afunguka MAZITO mtoto wake KUPOTEA na kuishi MSITUNI, Uvumi wa kujiunga Kundi la KIGAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 678

  • @seedysaid6588
    @seedysaid6588 3 роки тому +24

    Hii video za huyo mama imenifunza sana wallahi never trust anyone....mungu atamlipia

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 роки тому +31

    Huyu mama anajikaza tu lakini anapitia katika wakati mgumu...Allah akupe subra mamangu siku moja utamuona mwanao Insha Allah"hiyo voice ni mburundi au mkongo

    • @chamritaabdul1592
      @chamritaabdul1592 2 роки тому

      Amiin

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 роки тому +3

      Wewe shoga la mtwapa acha hii tabia ya kutangaza ukhanithi wa tarabu ktka mahali pasipo husika SHESHI BESHI

    • @alimanana7564
      @alimanana7564 2 роки тому

      Apana so saut ya waburundi

  • @twaibaahmed2836
    @twaibaahmed2836 2 роки тому +2

    Mtihani huu ndugu zangu ..usikieni tu hivi hivi...maumivu yake ni msiba usioisha
    Alhmdulillah ..asante wote kwa dua zenu
    Twaiba classic

  • @doctorukia
    @doctorukia 2 роки тому +9

    Pole Twaiba. Ulifanya wajibu wako kama mzazi. Mengine muachie Mungu ndiye mjuzi wa yote. Kaka Ahmed kama unasoma hizi comments jua kwamba tunalia na mamako kwa huruma wakati hata hatumjui. Rudi nyumbani, hakuna pepo utakayopata kama unamuumiza na kumdhalilisha mamako kiasi hiki kwa sababu pepo iko chini ya nyayo za mama. Rudi nyumbani mdogo wangu mashAllah umebahatika kupata mama anayejali mpaka leo hajakuekea chuki ukarudi kama leo atakupokea kwa mikono miwili, rudi nyumbani subhanAllah unamtesa mama.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 2 роки тому +16

    Tunapitia changamoto nyingi sana, lkn usiombe changamoto iguse familia yako, tena mtoto wako,jamani inaumaaa na km mzazi lazima uchanganyikiwe,twaiba ana uchungu sana, Mungu ampe nguvu

  • @joycenowara559
    @joycenowara559 3 роки тому +20

    Yaaani nimelia sana nina imani utampata dada 🙏🏾🙏🏾

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +13

    Pole sana kipenzi, Allah akulipe kher inshallah, subra ulionayo mtu Mwingine hawezi, Allah yuko pamoja nawe kipenzi.

  • @nasrahussein9221
    @nasrahussein9221 2 роки тому +11

    Sister Allah akupe jazaa Bora duniani na akhera kwa yoote ulipitia,Allah Jala Jalalu akimpemda mja wake humpa mtihan sister baada ya uzito wepesi

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +15

    Pole sana mama jamani nimelia sana jamani mwenyezimungu akujalie ili uweze kumpata mtoto Wako Inshallah 🙏

  • @ummkhubeib8879
    @ummkhubeib8879 2 роки тому +3

    Pole sana ukhty Twaiba, nahisi uchungu unao uhisi, na nimepitia mazito mfano wa yako ingawa si kwa kiasi hicho. Subra na kumtegemea Mungu na kumuomba katika Sala za usiku ni muhimu sana. Muombee dua ya kusema Allah nirudishie mwanangu kama ulivyo mrudisha nabii Yusuf kwa Mzazi wake. Wala usitake kujisafisha kwa watu Mungu atakusafisha.

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 2 роки тому +7

    Waaaa pole Sana Dada pole Sana Mama... Marafiki . Yesu Kristo alisema kwel tuwaombee cz tunapo kosa kuwaombea wanatusaliti.. Mungu Baba onekana kwa marafiki wangu wote in Jesus Name 🙏🏿 pole Sana Dada Mungu atamulipia..

  • @ordinaryhomekenya8911
    @ordinaryhomekenya8911 3 роки тому +40

    This is painful jamani, as a mother we should pray for each other, motherhood is difficult, we all need God.

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 3 роки тому +32

    Inauma Sana jmn ee Mungu muone huyu mama na huu mitihani 😭😭😭

  • @salimsalim8421
    @salimsalim8421 3 роки тому +8

    Subhana Allah mwenyezi mungu atakulipia na mangi kimambi una watoto what's comes around goes around. Sijui muna mtafutia nini huyu mwana mke. Hakuna anae taka kuharibikiwa.baada ya kumuombea mwenyezi nyinyi muna zidi. Kumuumiza.mungu yuko sio kuwa uko Marekani haya takukuta .haya takufika. Huyu mwenyezi ame stiri bado wewe na huyu khadija

  • @tucaasi
    @tucaasi 3 роки тому +14

    Huyu Khadija Naif mada yake kutaja hili jambo kwa Mange ilikuwa kujuchafulia jina na ukose amani. Lakini nani kama Allah...imebadilika kuwa nafasi yako Twaiba kuelimisha jamii zile hatari zinakumba watoto wetu ndio tuwe makini na tijitahadhari. Allah akurejeshee furaha yako Twaiba

  • @veronicascottmollel7897
    @veronicascottmollel7897 2 роки тому +14

    Pole dear da! Kaka rudi nyumbani mama yako anakuhitaji😭😭😭😭

  • @Mariah_1293
    @Mariah_1293 3 роки тому +22

    Na dhidi kuchukia marafiki,pole Mama Allah yupo na Mungu wa sasa ni kijana malipo hapa hapa dunia, aliye ua kwa upanga Lazima afe kwa upanga mlilie allah toa sadaka kwa mola wako hakika atakujibu Mungu wetu ni wa haki endelea kuwa jasiri usimpe adui nafasi mpe Allah maumivu yako atakusikia 🙏inshaallah

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 роки тому +1

      Mimi pia rafiki yangu mmoja alivyonifanya mungu yuwajua. Nilimtoa kwa maisha yangu na sitaki tena rafiki. I learnt my lesson. Huyu mama mungu ampe subra

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 2 роки тому +1

      mimi sitaki upuuzi na upumbavu wa kuwa na rafiki, sitaki kabisa

  • @jsjdndb
    @jsjdndb 3 роки тому +9

    Mwenyezimungu mungu akulinde na kumlinda mwanao na kila Shari. Na amrudishe nyumbani amin ya rabbal alamin.

  • @binthiluproducts1402
    @binthiluproducts1402 3 роки тому +33

    Hasbiallah Wanemal Wakil
    Khadija Ww Mwanamke Km Unaiona Hii comment Wallah Thuma Wallah Endelea Na Kumkoroga Mwenzio Na Huyo Mange Ila Kaa Ujue Hakuna Kitu Km Kumrudia Allah Na Kuomba Msamaha Kila Ulioyafanya Kumbuka Hii Dunia Ni Mapito Tu Sote Tunapita Tu. Naomba Urudi Kwa Mungu Na Uyaache Na Pia Ukae Chini Na Twaiba Muweke Tafauti Zenu Bila Hivo Jua Kuna Mungu Na Hakuna Km Ukwel Na Ndio Unaomuweka Mtu Salama.

  • @amorarafael2086
    @amorarafael2086 3 роки тому +43

    I remember when the kid went to mombasa..he was jus an innocent and loving young boy. Aunty Twaiba was really devastated and she still is..what a strong woman she is to bear all this, plus a curse of a friend on top..talking for all mothers out there who are watching this. We feel you to the core of our heart and we stand by you aunty Twaiba and InshaAllah bi idnillah you shall find justice. Nobody, a woman nor man should go through all this. As a human being we sympathise with even an animal when it lose its child, but khadija how evil of you to put thorns on a wound of a mother who is trying to find her son. All this clearly shows how inhuman you are and that you are capable of anything. What you did and what you are still doing will be exposed and justice will find you..in this world and the next..tik tok ⌚️ just wait for the decree of your Lord The Mighty Just!

    • @binthiluproducts1402
      @binthiluproducts1402 3 роки тому +5

      Atapata Anachostahiki Bdo Khadija Haijafika Muda Wake Ipo Siku Na Muda Sio Mrefu Biidhnillah Anazid Kumuumiza Mwenzake Bila Kujal Anafika Mipaka Gani.. Tunajua Uchungu Wa Mama Nae Anazid Kumuumiza Allah Atamuhukumia Twaiba.

    • @fatmamansur6571
      @fatmamansur6571 2 роки тому +1

      Ameen Ya Rabbal Alamein, it is soooo sad SubhanaAllah Allah atsmlips subra yake.

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 2 роки тому +2

    Kama alikuwa akipenda UA-cam basi ameona hii Video huyo Mtoto Mungu amupe Roho nyepesi arudi.. Yesu Kristo akasema heri walio tasa...Tafakar haya Maandiko katika Bibilia....
    Tena akasema lilieni watoto wenu.. Mungu Baba linda watoto wetu in Jesus Name 🙏🏿 pole sana kwa mitihan

  • @salomecaroly5534
    @salomecaroly5534 3 роки тому +15

    Nimejisikia vibaya Sana! Pole kipenz Twaiba Muachie Mungu ndie muweza wa yote yeye ndie aliyeruhusu wewe umzae Jund, na yeye ameruhusu mapito yote haya!But Muamini Mungu ni mwaminifu kamwe hawez kukuacha. Pole Sana Wamama Mungu atutetee

  • @mwamvitamwebeyo5547
    @mwamvitamwebeyo5547 3 роки тому +19

    Mungu akulejeshee mtoto wako,uchungu ,wa mwana jamanii😭😭😭😭😭😭😭

    • @nasliasuleiman6954
      @nasliasuleiman6954 2 роки тому

      Towa sadaka mtolee sadaka inshallah atarudi .atarudi dadaangu muelekee allah usiku simama swali lia mlilie allah nakwambia atarudi popote alipo funga sikusaba ikifika sikusaba tia nia allah atamrudisha

  • @chimamyjey1479
    @chimamyjey1479 2 роки тому +4

    😭😭😭Umenilizaa daa twaibaa, Story ya mtoto imenigusaa mwenzenu😢Pole ddngu,pole kipenzi changu,pole mpenzi wangu, Ddngu waumia ukweli waumia na watesekaa , wallah watesekaa ddngu watesekaa mpenzi,Pole daa twaibaa waumia ,mtoto anaumaa,Daa dhulma yalipwaa Hapa Duniani, Allah awapatiaa adhabu Kali hao walofanya hivyo , Allah yupamoja na ww na ssi tuko nyuma Yako ddngu.Nakupenda daa Allah atalipa Duniani akhera hesabu tu.Pole tenaa Muombee mtoto aliko Allah ampe uhai ,uzima na afya njema ipo siku atarudiii nyumbanniii trust God only mpenzi.

  • @habeiberkhatib4367
    @habeiberkhatib4367 3 роки тому +11

    😭😭😭😭😭😭subhanallah.... Hasbunallah waaneemal wakeel. Hakuna zaidi ya Allah ukhty atakulipia hapahapa duniani.

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 роки тому

      @sheshi beshi watu watangaza mema bali wewe watangaza ukhanithi wa tarabu kuchu pevu

  • @bammboomm7763
    @bammboomm7763 2 роки тому +11

    Pole sana dada yangu mungu ni mkarimu InshaAllah atakulipia yote ulioyapitia hakika kila penye uzito kuna faraja.mungu akufanyie mepesi usahau yaliokupata na akurudishie mwanao muwe Pamoja InshaAllah.mungu amlinde amuhifadhi na amrudishe salama salmini kwa familia yake.Amin ya Rabbil mungu atutakabalie dua.Allahumma swali wasalim ala sayyidina Muhammad waala alihi waswahbihi wabarik wasalim.Amin

  • @raniakhan5463
    @raniakhan5463 2 роки тому +2

    Am speechless .Allahu A'alam sina zaidi la kusema wallah hii ipo juu ya uwezo wa kibinaadamu .pole da twaiba Allah akulipe na akupe subra leo na kesho akhera.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +5

    Yani nalia kilanikikumbuka inaumiza Sana polesana mama Allah atakulipa kila hatua Subuhanallah da naumiakama mzazi 😭😭😭😭huyo Khadija huyo yatamkutatuu lnshaallah

  • @sangokipozi4611
    @sangokipozi4611 2 роки тому

    Inallaha mama swabirin mdogo wangu. Vita subira na muombe Allah tu, kwa imani kwamba atakusaidia. Allah anasema “wastainu bi swabri wa Swalaa. Pole ndugu yangu.

  • @ajathnusura5016
    @ajathnusura5016 2 роки тому +1

    Jamani.pole.sana.ndugu.yangu.mimi.nipo.uganda.imeniliza.kweli.habari.hii
    Allah.akupe.lmani.na.wepesi.lnshaallah.mtoto.atarudi

  • @sumayyaahmed6326
    @sumayyaahmed6326 3 роки тому +7

    Subhannallah sikuweza kujiziua kwa kulia Allah atakurejeshea mtoto wako akiwa mzima na afya

    • @waleedsalim8658
      @waleedsalim8658 2 роки тому

      Wallahi inaskitisha Sana hata mm nimenihizunisha.... Kuna watu Subhana Allah KAZI Yao kupotosha watu Kwa kutumia dini ya Allah....

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 роки тому

      Hili shoga la mtwapa linkaa likitumia watu ushoga wa tarabu kuwa na heshima

  • @musaabudibahero4558
    @musaabudibahero4558 2 роки тому +5

    SUBHANALLAH
    Allah Akupe subira ukhty na kushauri kama muislam soma adhkari hii kila unapo Swali swala za faradhi
    Lahaula wala kuwata ila bilah mara 200 kwa kila swala in shaa Allah Allah Atakuletea mtoto wako
    Wallah ya sikitisha

  • @zingaomar3400
    @zingaomar3400 2 роки тому +55

    Braining wash kids is the problem tena mimi kutoka kenya Mombasa kulikuja mmbaba mtaani kwetu majengo Mombasa akadai yuko na tajiri amenunua hotel lamu anataka kutupa ajira c tulikubali na tulikua watu 20 tukapangana akaja na gari siku yenyewe na tukasafiri paka lamu lakini tulihishia mstituni jambo lililotushangaza kumbe tulikua tunapamgiwa kupelekwa somali kwa Al Shabab .wakati wakisubir usafiri wao walikua wametunyanganya mwwasiliano but nilikua na simu yangu nimeificha so nilimpigia kaka mmoja anafanya na kws kenya world service nikamuelezea yaliyo jiri na akatufata pale ni story ndefu ila alhamdhulillah nilinusurika

    • @btylove1870
      @btylove1870 2 роки тому +2

      Alhamdulillah ulinusurika🙏 I hate hao wanautumia uislam vibaya na kuwarubuni vijana na watu wasio elewa uislam vizuri! Nashukuru Mungu kwa ajili yako pole kwa majaribu and in shaallah kheri 🙏

    • @nurudaud3993
      @nurudaud3993 2 роки тому +1

      Pole

    • @jordanjordan3935
      @jordanjordan3935 2 роки тому +1

      Duh! Mungu alikuwa upande wako kweli! Scary jamani

    • @fridamapunda5079
      @fridamapunda5079 2 роки тому

      Pole Sanaa mpenzi ivi Hilo kundi la kigaid kazi yao ni nn ni ukatili ama??

    • @NakkuAnderson
      @NakkuAnderson 5 місяців тому

      Hhh

  • @ldnhmn2893
    @ldnhmn2893 3 роки тому +6

    Inshallah Mwenyezi Mungu atakufanyiya wepesi , iposiku siku moja utamuona mtt wako omba dua na kuswali usiku, Mungu atakuleteya naye Na Mungu atakusaidiya ..

  • @maryamjalalkhan
    @maryamjalalkhan 2 роки тому +2

    Pole mama, Mungu atakupa subra ya hali ya juu. Jipe subra, usijitie maradhi, toa sana swadaqa, sote kama wa mama tunaskia uchungu. Chozi lako halitoki bure.

  • @fahashmohd6102
    @fahashmohd6102 2 роки тому +3

    Wallah Twaiba Allah ata kulipia, Allah hamtupi mjaa wake kwa uwezo Wa Allah utampata mtoto wako Kwani ina uma sana sana hasa Kama ni mzazi ina uma zaidi pole sana

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 2 роки тому +5

    Daaaah mtihani ila Mungu akupe nguvu ya kustahimili🙏🏿🙏🏿🙏🏿hugs💞💞❣️❣️❣️❤️❤️❤️😘😘😘❣️Mumy

  • @hadiyajuma3974
    @hadiyajuma3974 3 роки тому +4

    Pole sana AUNTIE yangu mumgu atakuvua kwa kila jambo Dunia hii watu wabaya sana .

  • @khadijakayuzi8471
    @khadijakayuzi8471 3 роки тому +4

    Pole sana dada angu mungu mkubwa mwanao atarudi tu, jaribu kusoma dua ya kumrudisha, watafute maustazi inshalh

  • @fatmaislamislam8407
    @fatmaislamislam8407 2 роки тому +2

    Pole sana dada nasikia uchungu sana nalia kama ni mm kimenitokea mungu atakulipia hapahapa duniani huyu khadija allah atamuadhiri inshallah ,Allah atakupa tahfif inshallah

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 2 роки тому

    Khadija gan anaroho mbaya hiv cye akina khadija tunahutuma san pole mama angu Allah akupe subra

  • @samiraismaily1421
    @samiraismaily1421 2 роки тому +3

    Twaiba umeniliza wallahi 😭pole habibty in shaa Allah kwa uwezo wa Allah atarud kwa Salama na Aman amiin

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 2 роки тому +1

    Pole sana mdogo wangu naumia mie kama mzazi jitahidi duaa Allah atamrejesha mtto akiwa sala malipo hapa duniani pole lazima umie mzazi pole

  • @meerakhan963
    @meerakhan963 3 роки тому +6

    Inauma sana wallahi inshallah kwa uwezo atarudi kwa uwezo wake Allah na duwa ya mama hairudi😭😭😭🙏🙏

  • @nasrasheikh2752
    @nasrasheikh2752 2 роки тому +4

    Daah nimetoka machozi the way unavyoeleza hisia ulizonazo juu ya mwanao kama mtoto kwa kweli inaumaaa, pole na mitihani Allah akufanyie wepesi na akuondoshe kila shari

  • @zingaomar3400
    @zingaomar3400 2 роки тому +15

    Twaiba she is a legend woman 👩

  • @sherbanuismail3818
    @sherbanuismail3818 2 роки тому

    Mungu ni mwema,ata kurudishia akiwa salama mimi najua machungu yako, nilipata mtihani kama wako,hakuna ajuae mpaka apate mtihani.Amini Mungu ndiye mjuzi.pole sana.

  • @zahrasalim5533
    @zahrasalim5533 3 роки тому +21

    Twaiba una moyo mkubwa Allah akui hifadhi na familia Yako na Allah amhifadhi jundi arudi salama na hadija mwizi tapeli arudishwe we want justice insha Allah

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 роки тому +14

    Maskini inahuzunisha 😭 machozi yamenitoka 😭 uchungu wa mwana aujuaye mzazi allah azidi kukupa subra ipo siku inshaallah jundi atarejea 😭 subhanallah 😭😭😭nimeamini rafiki ndiye adui yako mkubwa kesho (Khadija)tukiwa na marafiki tusithubutu kuwaeleza mambo mpaka ya siri maana mwisho wa siku haya ndo madhara yake,

    • @jamilaaboubakar5979
      @jamilaaboubakar5979 2 роки тому

      Alichomfanyia mwenzake!..ni adui roho yake ni mbaya...maskini Twaiba..

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 роки тому +2

      @sheshi beshi Huyo Omar Kopa keshakufa hivyo Yuakutana na Aliyotanguliza hivyo don't share his song coz ukishare katika makosa yake yuaadhibiwa na Allah so kama kweli yuampenda please don't share his song...

  • @rosemzava5149
    @rosemzava5149 2 роки тому +1

    Wewe Hadija wewe mungu atakulipa siku yoyote muda wowote na popote utakapokua mwenyezi mungu atakulipa kwa hayayote uliomfanyia mwenzako malipo nihapa hapa dunian Hadija na utausikia uchungu anaousikia huyu dada mungu akubariki Hadija hii nidunia🙌

  • @rosemzava5149
    @rosemzava5149 2 роки тому +6

    M/ mungu akupe roho ya uvumilivu mama naamini ipo siku yatakwisha 🙏🙏🙏

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 3 роки тому +17

    Yani umeniliza twahiba mwenyezi mungu akupe subra na ujitahidi kusimamisha ibada za usiku inshallah namini mungu ataleta kheri kurudi mikononi mwako ,haki ya mzazi haipotei kwa mwanae 😭😭😭😭🙏🙏

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 роки тому

      Sheshi beshi ni senge la mtwapa mombasa

  • @husnasaidoldrajesh7942
    @husnasaidoldrajesh7942 2 роки тому +4

    Ahh maskini taiba Allah akupe subra.mimi naskia kulia,kuskia story ya mwanayo.inshallah minalfaizin.Allah yuko na wewe.

  • @gabbyhenrgy1157
    @gabbyhenrgy1157 2 роки тому +7

    Huyu dada anastahili pole sana sana. Na wish hata kumshika mkono na sh. 1000 tu, yaani hata robo ya matatizo yake ngumu kuyabeba, ana kifua kipana sana M/Mungu aendelee kukusaidia na akulinde umepitia magumu sana.

    • @twaibaahmed2836
      @twaibaahmed2836 2 роки тому +1

      Shukran sana kwa dua ila usijali mimi mfanya biashara...pia bado nasaidia watu ..mtihani na subra..ila nimeelezea youtube ili watu wajufunze na wamjue MUNGU na wajue watu wanapata mitihani mzito...mimi dua zenu tu zitaniokoa 👏👏👏

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому +3

    Siweziiiii naumiaaaaaaa.....Allah amlinde na Allah ampe hifadhi leo na akhera amiin......subra muftahal khayr Auntie yote utayasahau hayo....Allah atamrudisha akiwa mzima na kukutana tena kwa amani Amiin

  • @binthiluproducts1402
    @binthiluproducts1402 3 роки тому +2

    Subhanallah Allah Akupe Subra... Allah Ampe Kheri Mwanao Pia Inshallah Twaiba Ww Ni Jembe Hili Pia Litapita

  • @vifarangakuku9098
    @vifarangakuku9098 3 роки тому +11

    Allah yupo pamoja na wewe, Twaiba ,swabar swabar ,swabar kuna kheri kubwa inakuja na utakutana na mwanao inshallah akiwa hai mzima wa afya kwa furaha dada yangu..huna kosa lolote mitihani inamfika kila mja kwa kipimo chake Allah hakupi mtihani kama huuwezi kuhimili. We love you dada tuko pamoja na wewe .sending you hugs and kisses.

  • @luluabdulaziz8556
    @luluabdulaziz8556 3 роки тому +7

    Assalam aleykum my dear Sister Tayba
    Nimesikia story yako Lakin Allah atakulipia in shaAllah
    Imeniliza sana kama hivo ulivo lia wewe
    Kwa uwezo Wa Allah Hakuna linalomshinda basi mwanao atakuja mikononi mwako
    Na in sha Allah katika sala Zangu niakuombea kwa Allah
    From Canada 🇨🇦

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 роки тому +3

    Yaa Rabbi, Mola wangu nakuomba kwa nguvu zako huyu mtoto wa Twaiba arudi tena akiwa salama. Eeh Mungu tunakuomba kwa shifaa zako halipo jambo usiloliweza. Tunakuomba mola wetu

  • @salomecaroly5534
    @salomecaroly5534 3 роки тому +22

    Huyu Khadija ni mchawi Kama wachawi wengine Muachie Mungu atamlipa sawasawa na matendo yake Cha msingi kaa naye mbali sana! Muombee mwanao awe salama huko alipo

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 роки тому

      @sheshi beshi wewe khabithi watu wako wapi na wewe uko wpi ukhanithi umekukolea peleka omar kopa wako matakoni

  • @miriamelphasy9427
    @miriamelphasy9427 2 роки тому +1

    I hurt for This woman. Can we do something about it to help this mom jamani??? My goodness I'm literally crying 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 uuuwiiii

  • @minahaminahaochu255
    @minahaminahaochu255 2 роки тому

    Nimeumia sana nalia kwa uchungu sana Allah atakufanyia wepesi mambo mengi yanatokea hasbinaallh.waneemalwakil

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 2 роки тому

    mpaka nalia. mama usijali madhali yupo hai, shukuru tu na umuombe mungu ipo siku aweza kurudi

  • @mapishiyalulu9696
    @mapishiyalulu9696 3 роки тому +5

    Mungu atakupa subra na atakuepushia kila lilokuwa baya.kilichobakia mwachie Mola ndiye muamuzi wa haki.Tumbo la Shari huzaa kheri....

  • @joycenowara559
    @joycenowara559 3 роки тому +14

    Mungu atakulipia kikombe alichokukorogea huyo rafiki hasidi atakinywa mwenyewe na machozi yako hayataenda bure

  • @bosschick2417
    @bosschick2417 2 роки тому +10

    I'm crying 😢 😭 🤧 I'm very speechless 🙊

  • @zingaomar3400
    @zingaomar3400 3 роки тому +15

    Duniani kuna watu wana vipaji vikubwa vya ku brain wash sasa jundi alipatwa na hawa watu utumia neno la mungu kama silaha kubwa sana hata mimi binafsi nilinusurika na mambo kama haya yaliyo mkuta mwanao.pole sana mama ila akitoroka uko watakuja kumuua juu atasema siri zao kitu muhimu muombee kwa mungu kwani yote maisha

    • @abdulsalim7035
      @abdulsalim7035 3 роки тому

      Mhmmm pole kakaaa

    • @Mozline1
      @Mozline1 2 роки тому +1

      Kaka story zako mzuri sana.endelea kutupatia story zako

  • @shufaaattass1920
    @shufaaattass1920 3 роки тому +6

    Mwwenyezmungu akuletee mtoto wako salama inshaAllah uchungu wa mama naujua Allah kariim🙏

  • @fatumafatuma1459
    @fatumafatuma1459 3 роки тому +4

    Ishallah Allah atakunusuru atakulipia lenye kheri inshallah endelea kuwa na subra

  • @fatmaali7605
    @fatmaali7605 2 роки тому +17

    May Allah grant u sabr Taiba🥺🙏❤️

  • @sadasada4203
    @sadasada4203 2 роки тому +1

    Si mama na Allah. INSHALLAH mwenyezim'ngu atamleta mtoto kwa uwezo wake Allah ndiyo Kila kitu. Pole sana mama yangu.

  • @mohamedisultani8163
    @mohamedisultani8163 2 роки тому

    Pole Sana dada yangu pole Allah akupe subra mtihani mzito Ila yote ni majaribu ya Allah dada pepo ina kazi kuipata na huyu mwanamke ni hasidi wako Ila mungu ndie mlipaji Allah atamrudisha

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 2 роки тому +3

    Pole sana dada Allah akupe subra Allah akurejeshee mwanao akiwa hai yarab Amiin ...mwanao hakika khadija ndo alie panga mipako atekwe mwanao kwa niya yakukuumiza na kukukomowa ila khadija huyo Mungu amlaani amuangamize adui mkubwa

  • @adidjarams5196
    @adidjarams5196 2 роки тому +3

    Pole Sana mama, Allah akupe moyo wa subra, yule mtoto atakua kaenda Congo kuwa ADF wa Uganda , sababu hata kile kiswahili nicha waganda , inauma saaaana, dunia mtihani 😭😢

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 3 роки тому +2

    Wallah Naria twaiba pole mungu yupo maripo nihahapa duniani khadja unaroho mbaya

  • @mwamvitamwebeyo5547
    @mwamvitamwebeyo5547 3 роки тому +1

    Polee saana kipenziii,unauchunguuu saana,ila pia mshukuru mungu kwa kuwa bado yuko haiii,,atarudi inshaallah kwa uwezobwake ALLAH asiyeshindwa kituuu..achana na huyo khadija..

  • @jamilaaboubakar5979
    @jamilaaboubakar5979 2 роки тому +1

    Pole kwa mitihani twaiba Mungu atakupa subra kiatu chako ni kigumu sana kukivaa..mimi nna mtoto wa kiume najua maumivu yake sijui ningekua na hali gani kwakweli una ujasiri mkubwa sana unastahili kupewa tuzo (award)

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 2 роки тому +1

    Pole

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 2 роки тому

    Mashaallah mashaallah mashaallah ongeza dada Allah atujaliye na ss kama hvio alivio kujaliya na ww dada Ali amlinde mwanao popote alipo🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @fatmaali7605
    @fatmaali7605 2 роки тому +4

    In shaa Allah mungu akupe subra zaidi Aunty t 🙏❤️

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 2 роки тому

    Mashaa Allah ❤️ nimekupenda Ukhty hayo nimajaribu tuu yataisha

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 2 роки тому +5

    Pole sana taiba Allah yupo pamoja na wewe 😭😭😭😭

  • @tucaasi
    @tucaasi 3 роки тому +47

    This is so sad. For a mother it is so painful to be separated from your child and no way of reaching him. My heart breaks for you. These parents need support and not for people to blame parents for their children's decisions. Twaiba you have our prayers that your child comes back to you safe and sound

  • @twaibaahmed6439
    @twaibaahmed6439 3 роки тому +7

    Pole sana kwa mitihan ya kudhulumiwa na kupoteza mtoto wako Allah akupe subra na kwa uwezo wake Rabana atarudi mokononi mwako

  • @fatumamwinyieda1180
    @fatumamwinyieda1180 2 роки тому +3

    Inauma sana Allah atakufanyia wepesi n Allah atakulipia kwa yote

  • @fatumaakida6952
    @fatumaakida6952 2 роки тому

    Nyiii nyieee nyieeeee😩😩😩😭😭😭😭😭machoz yananitokaaa🙌🙌🙌🙌yarabi yarabii kwa rehema zakoo turejesheee kijan huyu akiwa n. Afya n swalama😭😭😭🤲🤲🤲🤲

  • @khadijakhamiss2800
    @khadijakhamiss2800 2 роки тому +6

    Mungu mjaaliye mtoto wake arudi na furaha ya maisha yake ameen

    • @nasliasuleiman6954
      @nasliasuleiman6954 2 роки тому

      Maskini jamani mtoto anaumwa .soma hiii duwa fa llahu khafidhun wahuwa arhamu rrahimin .kilasiku marasaba .huko aliko allah atamuhifadhi.

  • @fuhftyfiufffg478
    @fuhftyfiufffg478 2 роки тому +2

    pole sana dada taiba mwenyezimungu akupe nguvu

  • @newaccount9060
    @newaccount9060 3 роки тому +3

    Pole sana Kwa mitihan uliopata ipo cku yataisha yote tunakuckilza Kila wakat hatuchok unamaneno ya busara sana Mungu atakucmamia Kwa Kila kitu

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 роки тому

    Pole saana habibty,wee ni Mama dua zako n sadaka.Allah anakusaidia kilio chake.tupo pamoja jikaze hivyox2

  • @salamalmahsen2263
    @salamalmahsen2263 2 роки тому +4

    Pole Sana dadangu ucjal kwa uwezo wa Allah s.a.w atarudi tu jundi 😭😭😭

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 2 роки тому +3

    Daah pole sana Allah atakufanyia wepesi

  • @alimanana7564
    @alimanana7564 2 роки тому

    Pole sana Mama Allah akutie nguvu walah najikuta nalia walah

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 роки тому +4

    Inshallah Allah atamrudisha mtoto wako kwa salama na utafurahi nae

  • @arafalawvu6401
    @arafalawvu6401 2 роки тому +5

    SubhanAllah. Please Allah easy pain of this woman. SubhanAllah Twaiba

  • @scolakalindu8077
    @scolakalindu8077 2 роки тому

    Mungu akufute machozi hayo mamaangu mwachie Mungu ndie wa haki atajua kuamua atakupa hatua simama na Mungu Mungu ndie hakimu wa mwisho haya machozi hayaendi bure mama Mkono wa Mungu ndie kimbilio letu

  • @aliismail7147
    @aliismail7147 2 роки тому +1

    Sema Alhamdullah umepata daraja kubwa Sana kwanza jina lake na maana yake mashallah

  • @newaccount9060
    @newaccount9060 2 роки тому +1

    Maa shaa Allah mtoto mzur roho inaniuma kachukua sura ya mama 🥰 huyo Khadija Mungu atampa pigo la milele TWAIBA wewe nimwanamke jasri sana na cc tunajfunza kupitia wewe

  • @fimafahima
    @fimafahima 3 роки тому +31

    Nimelila mpaka Nimelia tena u went through a lot and after everything that u went through I cnt believe ganuki Hana imani wala huruma she is so evil . I dnt even Wish this on my worst enemy, how cn u call someone ur friend and take advantage of every situation and extract money from them … you the are The worst human being I ever came across. I jus hope and pray hizo msg za jundi sio ganuki ndio anazo ziandika coz I dnt trust her one bit she cn do anything bora anze kuchunguzwa ganuki maybe she is the key to everything

  • @chimamyjey1479
    @chimamyjey1479 2 роки тому +1

    Allah atakufungulia zaidi na zaidi rizk zako kipenzi na amini Kuna herii Kubwa yaja,hakuna anayeweza kushinda bila Allah ,maadui wanapewa ushindi Ili wajione washindi ila ipo siku watakuja kujutia km si Leo kesho mbele ya Allah.....Utakuja uishi na mtoto wako pamoja na wajukuu zako na mkaza Mwana wako ddngu Tena Kwa furahaa