Nabii John Said Mutuka na Mkewe Martha Mwaipaja sasa Injili ni moto ndani na nje ya Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 тра 2018
  • SUBSCRIBE HAPO JUU
    Kama ulikuwa haufahamu kwamba sasa makanisa yao yapo sehemu nyingi Tanzania pia wameendelea kuwasomesha watoto wenye mazingira magumu ki elimu kwenye shule yao jijini Dar es salaam, habu itazame hii
    tembelea WEBSITE YETU
    bmtvtanzania.com/
    INSTAGRAM
    / bmtvtanzania
    FACEBOOK
    / bmtvtanzania

КОМЕНТАРІ • 105

  • @ednamaro3145
    @ednamaro3145 5 років тому +8

    Mungu awabariki sana hua nabarikiwa sana na nyimbo za dada Martha

  • @sizbentahatieno9635
    @sizbentahatieno9635 Рік тому

    I love Martha mwaipaja sana 🥰🥰 ana nyimbo za kufariji moyo sana from Kenya 🇰🇪

  • @user-vm8si9qt5v
    @user-vm8si9qt5v Рік тому

    Nice

  • @user-iq7xu6fc1f
    @user-iq7xu6fc1f Рік тому

    Ni siku za mwisho

  • @joanjoan5995
    @joanjoan5995 Рік тому

    Muhun tuu hyu hufai kbsa mchg gn unatamaa

  • @frankjuma2192
    @frankjuma2192 5 років тому +1

    Amen. Mungu awabariki sana Watumishi, Mungu azidi kuwapigania Muendelee kutoa Huduma za kiroho.

  • @nicholasmasila6765
    @nicholasmasila6765 5 років тому +1

    Glory to God. Your wife's ministry is a great blessing to many...I really like her songs. Kindly share the song played at the end of this video.

  • @marryibrahim7694
    @marryibrahim7694 5 років тому +7

    mungu awabariki mzidikutupa huduma

  • @Zeddywehu
    @Zeddywehu 5 років тому +1

    Amen, Mungu awabariki Sana watumishi

  • @joycekokunula9137
    @joycekokunula9137 5 років тому +5

    Mtumishi wewe ni kioo cha jamii, kucha zako ni ndefu, ingekuwa vyema ukazikata, kuna vitu vingu tunaviangalia
    Yesu ni Bwana

  • @pstalinanusweabisaimwanja2811
    @pstalinanusweabisaimwanja2811 4 роки тому

    Mungu akubariki sana

  • @salehuae7518
    @salehuae7518 5 років тому

    Amen.my God bless you .with you're family.

  • @renatapauli9872
    @renatapauli9872 4 роки тому +2

    Ameni lakini nabii upaswi kuwa hivyo kumsaliti dadangu Martha Fanya bidii mrudiane mungu awabariki

  • @danielsanga5198
    @danielsanga5198 5 років тому +12

    Hakuna manabiii saiv wewe jiite mchungaji tu inatosho huko kungineko unadanganya

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 5 років тому +1

    mungu akubariki sana mungu azidi kukuinua katika huduma yako

  • @totovanga2927
    @totovanga2927 4 роки тому +3

    Dada Martha , Mungu yupo na wewe dadangu

  • @estherwilliam4378
    @estherwilliam4378 5 років тому +1

    Mbarikiwe sana na Mungu awaongoze katika huduma ya uinjilisti

  • @asiakhamis6506
    @asiakhamis6506 5 років тому +3

    Mnasikitisha sana ,ila Mungu awatetee coz hakuna aliyemkamilifu chini ya jua sisi sote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu.Mungu na aihuishe tena ndoa yenu

  • @alisaalis9218
    @alisaalis9218 5 років тому +3

    Mungu akubariki sana,Umechangua dini kulingana na maamuzi yako,waislam wengi n wapinga kristo,Tuombe mungu pia awabadilishe kwa mungu hakuna cha dini sisi wote n wamoja,Karibu sana ndugu

  • @maryjustapeter5430
    @maryjustapeter5430 5 років тому +1

    Mungu awabarki Kwa utumishi

  • @herryabwe5497
    @herryabwe5497 5 років тому +1

    Asante kaka yangu mungu akuzindishie Zaidi .

  • @marryibrahim7694
    @marryibrahim7694 5 років тому +1

    mbarikiwe sasa mungu azidi

  • @violetmuseve5871
    @violetmuseve5871 5 років тому +1

    Martha nabarikiwa na nyimbo zako sana.

  • @irenembise1618
    @irenembise1618 5 років тому +1

    Ameni

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 4 роки тому +1

    Kama kuna kitu wana wa Mungu tunafeli ni pale watu wanapookoka kutoka ama kwenye uchawi ama Islamic hua tunapenda kuwaamini nakuwapa nafasi kubwa kama walimu au wainjilisti Ama wachungaji....
    MADHARA YAKE
    Wengi wametuletea miungu migeni nakututoa kwenye mpango wa Mungu
    ANGALIZO
    SIKATAI WAO KUPEWA NAFASI HIZO ILA WAKAE SANA KUJIFUNZA KWELI YA MUNGU NA IKIWEZEKANA WAWEWASHIRIKA TU MPAKA HAPO MUNGU ATAKAPOONA VEMA WAMTUMIKIE KAMA HUYU NITATIZO TAYARI

  • @servasbureta6909
    @servasbureta6909 5 років тому +4

    Nimekusikiliza vizuri ila inasikitisha vile mnajipachika majina..sijui kama umeitwa unavyojiita

  • @mapendoimani2462
    @mapendoimani2462 5 років тому +4

    mtumishi nin tena kugombana na munaweka hadharani.honestly Martha kwa nin umekubali kuweke mambo yenu Viral.hii unampa adui nguvu.pls usikubali kuachana na Mumeo

  • @braxonyach8565
    @braxonyach8565 5 років тому +1

    Barikiweni Sana,,,napenda dada Martha Sana ....nyimbo zake hunibariki .

  • @sylviendayishimiye6411
    @sylviendayishimiye6411 5 років тому +2

    Mubarikiwe we na family

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 роки тому +1

    Sipendi malaya kabisaaaaa maisha yangu yoteeee

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 років тому +3

    Mko vizur watumishi wa Mungu, msameheane muitengeneze ndoa yenu, msimruhusu shetani awafarakanishe.

  • @sarahrichard4867
    @sarahrichard4867 5 років тому +1

    Be blessed man of GOD

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 роки тому +1

    Kumbe sio kosa lako,u need deliverance only that,in Jesus name

  • @mourinenekesah4002
    @mourinenekesah4002 5 років тому

    pray 4 me too pastor and am always blessed with the songs of siz mathah

  • @prisillathomas7637
    @prisillathomas7637 5 років тому +4

    Unatuambieje kuhusu Yale yaliyo rushwa kwenye mitandao kuhusiana na ndoa yenu?

  • @fidebaraka4451
    @fidebaraka4451 5 років тому +1

    Amen papaa

    • @agathadayero4170
      @agathadayero4170 5 років тому

      Mungu awabariki sana,tuna barikiwa sana na huduma yenu,nidhamu na heshima mnayoonesha kwa jamii

  • @sarahodenyi6940
    @sarahodenyi6940 5 років тому +1

    amen

  • @sallykalya9023
    @sallykalya9023 5 років тому +2

    Hizo ma titles jamani

  • @annajustine5104
    @annajustine5104 4 роки тому +7

    Kwann umemsaliti Martha? Wanaume wabaya sana...hutapata tena mwanamke mwenye busara km Martha

    • @petermdabwa173
      @petermdabwa173 4 роки тому

      Anna Justine unauwakika gan ana busra uez jua ya ndn mt awez kumsalit mwenzie bure kuna kitu ndani yake

    • @balozichalamila4034
      @balozichalamila4034 4 роки тому +1

      Huwezi jua siri ya kitandani dada

  • @mathiasmasolwa5601
    @mathiasmasolwa5601 4 роки тому +1

    Wewe kwa ujumla hufai hiyo huduma munatudaganya kuwa nyinyi wachugaj kumbe siyo mambo yako tumeyasikia umesality doa yako,haina haja hata kukusikilaza kwakifup hunaaibu,

  • @amosichacha5675
    @amosichacha5675 5 років тому +5

    Umejiita mwenyewe kuwa nabii haukuitwa na Mungu. Ndyo maana unaona ni sawa kabisa kumuacha mke wa ujana wako. Laiti angekuita Mungu kumtumikia hakika ungemuhofu yeye, ukatumia gharama zozote kuinusuru ndoa yako. Leo hii tunashuhudia vituko na mauzauza ukiuliza manabii mitume watumishi wa uongo! Mmeamua kwenda jehanam ya moto mkiwa na akili zenu timamu??

    • @theonlyonebeautiful3726
      @theonlyonebeautiful3726 5 років тому

      Samahani jamani hivi ni kweli wameachana au ni uzushi tu wa mitandao😓

  • @ndeninsiamunisi7383
    @ndeninsiamunisi7383 4 роки тому +1

    Msaliti

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 5 років тому +1

    Asante baba nime furahi kwambe wewe njoo mme wa dada yetu Martha, nashukuru kwa kujuwa nisije pita siku moja bila kusema hi

  • @getruderamos900
    @getruderamos900 4 роки тому +2

    mnakosea kujiita manabii, ni kwamba mnatabili saizi yatatimia baadae au mi siwaelewi!

  • @nathanliberty1453
    @nathanliberty1453 5 років тому +1

    Amina mtumishi,nimebarikiwa

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 4 роки тому +1

    Mungu huyu daah...huyu baba kama kweli vile anavyoongea...wangapi tumemsaka baada ya kuskia alivyomtesa Martha...uv mnajua kama amezaa na Angel bernrd aloimba siteketei
    Mungu atusaidie🙄🙄

  • @nicholasmasila6765
    @nicholasmasila6765 5 років тому

    What is the name of song played at the of this video please?

  • @tanzakiddeclassic4940
    @tanzakiddeclassic4940 5 років тому +1

    Lakn sio mbaya maana saiv shetan ndo anamanabii kwan hata kwenye maandiko matakatifu imeandikwa watakuja manabii wa uongo siku za mwisho

  • @chrismwakyoma4843
    @chrismwakyoma4843 5 років тому +2

    Tunawashukulu.kwa.Huduma.yenu

  • @sabrinakenya2353
    @sabrinakenya2353 6 років тому +2

    Barikiweni sana kwa kazi ya kurejesha kondoo za mungu zilizopote katika zizi lake,mungu azidi kuwainua jinsi apendavyo.

    • @rebecashumbi3450
      @rebecashumbi3450 4 роки тому

      Tuko duniani shetani hapotezi muda cha maana ni kuomba kusameheana

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 4 роки тому +2

    Ulimsaliti Martha wakati unajita nabii...PONA KWA JNA LA YESU aakh!!😡😡

  • @jeremiemunkamba6571
    @jeremiemunkamba6571 4 роки тому +1

    No school can make prophet or pastor's that is a liars

  • @asiakhamis6506
    @asiakhamis6506 5 років тому +4

    Nakumbuka ulishawahi nifundisha juu ya habari ya ukuhani na ulisemaga kuwa kuhani ni msiri wa siri za Mungu tena ni mwakilishi kati ya Mungu na mtu mwingine lkn kwann nyie hamkuwa wasiri wa matatizo ya ndoa yenu mpk mmeweka mitandaoni

  • @MusaKombe
    @MusaKombe 4 роки тому

    Sitaki kusahau maneno ya Gamalieli yaliyonakiliwa Matendo ya Mitume 5 mstari wa 36 hadi 39! Kila wakati ni dawa ya moyo.

  • @judykajuna7910
    @judykajuna7910 4 роки тому +1

    Do

  • @sahaabalsahaab1373
    @sahaabalsahaab1373 5 років тому +1

    Halelua mubarikiwe ni yesu amen

  • @tanzakiddeclassic4940
    @tanzakiddeclassic4940 5 років тому +1

    Haya maswala ya kujiita nabii tutayatolea majib siku ya mwisho coz unabii mungu ndo alikuw anawapa watu wa kale tena kipind cha agano la kale sasa nyie leten habar zenu za unabii akat saiv tunao wachungaj tu kama yesu alivyokuwa

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 роки тому

    Kwenda huko ukaombe msamaha kwa mungu nakwa mke wako mmmmmm

  • @ndeninsiamunisi7383
    @ndeninsiamunisi7383 4 роки тому

    Dada matha hakujua inaingia kwenye ndoa na mtu waaina gani akaulize agape

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 4 роки тому

    Laana zinakusumbua fyuuu ameokolewa au zimeangamia.!!!! Nabii muhuni

  • @debbygerald7426
    @debbygerald7426 4 роки тому +1

    Martha kakumbia kwa sababu y umalaya wako,mnajificha kwny utumishi il mcjulikane? sasa Mungu kakuweka peupe

    • @princesseskennedy6027
      @princesseskennedy6027 4 роки тому

      Yani acha tu alafu watu wanamlaumu matha uyu jamaa mipepo ya umalaya ilimvamia likaanza uzinzi

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 5 років тому

    eti mmeachana?

  • @gonjadunus8000
    @gonjadunus8000 5 років тому +1

    mweh na mchungaji anadunsua fyuu chaaa ridhika na mke wako

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 4 роки тому +1

    IPO Siku utarudi ulikotokea maana roho ya huko haijakutoka. USO wako unaonyesha unafiki. Macho yako yaonyesha jinsi ulivyo. Una ile ya jihad . Umemsaliti mkeo wewe. 0714520072,

  • @reubenbusanji2904
    @reubenbusanji2904 5 років тому +2

    Sasa unabii uliutoa wapi? Ee nabii!? Katika Tanzania ni unabii gani ulowahi kutoa ukatimia?

    • @tanzakiddeclassic4940
      @tanzakiddeclassic4940 5 років тому

      Hawajui maana ya neno nabii ndo maana hawaogop, lakn huenda hawa ndo manabii wa uongo walio tabiriwa ktk maandiko matakatifu

  • @gonjadunus8000
    @gonjadunus8000 5 років тому +2

    yan we ndo ulie mcheat dada martha mwehu wew shetan ajakuacha urudi kwenu.ulikotoka😏😏😏😏

    • @neematemba6616
      @neematemba6616 5 років тому

      Gonja Dunus muhuni sn unamwacha mkeo kisa ujinga

    • @neematemba6616
      @neematemba6616 5 років тому

      Gonja Dunus muhuni sn unamwacha mkeo kisa ujinga

  • @happypius9860
    @happypius9860 5 років тому +1

    Nahitj huduma

  • @lydiahbhoke2284
    @lydiahbhoke2284 4 роки тому +1

    Sikupendi wewe mkaka yaani ulijua Martha ni mzinzi mwenziwe Yule dada anapigana na Mungu apigani mwenyewe huna lolote wewe kafanye umalaya wako huko kuzimu pumbavuu

    • @sefaniakalinga3456
      @sefaniakalinga3456 4 роки тому +2

      Mtabeba mizigo isiyoyenu Muache mungu afanye kazi yake

  • @EdnaLotole
    @EdnaLotole 4 роки тому

    Ulimsaliti Martha.

  • @maryjulias6372
    @maryjulias6372 5 років тому

    Hhhhhhhhh yani wew Mchungaji ni kiboko ngoja nikuhifadhi tu hahahaaa

  • @magekimario8180
    @magekimario8180 5 років тому +1

    mambo. dada

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 4 роки тому

    Hakuna mwanadamu aliyekamilika

  • @pettysulley6615
    @pettysulley6615 5 років тому

    Mmefanana sauti!

  • @kipsigisindetnelel4284
    @kipsigisindetnelel4284 4 роки тому

    Wacha uongo kaka,wewe huwezikua nabii hata siku moja,labda tu NABII WA UONGO

  • @getrudejames6227
    @getrudejames6227 4 роки тому +1

    Kwendaa huna jipya!!

    • @judykajuna7910
      @judykajuna7910 4 роки тому

      Huna cha unabiii Wewe said unavipepo kibao, acha unyamaze tu , unasbb martha aonekane mbaya hivi ,Mungu kakuitaje wewe?Said wake 4 mmoja amekushinda , unamdhihaki Mungu tengeneza na Martha kwanza

  • @totovanga2927
    @totovanga2927 4 роки тому +1

    Huyu ndo alie kuwa mume wa dada Martha ?????