Tumepiga story na warembo DORA na TAUSI, Utafurahi sana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2018
  • Ijumaa hii, LIN BBQ waliandaa tukio la kulisha watoto yatima kwenye ofisi zao zilizopo Sinza. Miongoni mwa watu walioalikwa ni Dora na Tausi ambao tumeongea nao

КОМЕНТАРІ • 330

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 5 років тому +75

    Dora mzuri jaman sauti yake naipenda Sana tausi nae kadamsh kinomanoma mungu awape maisha marefu

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 5 років тому +21

    Napendaga sana interview za dora anajua sana kujieleza💖💖💖💖💖

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 років тому +98

    Ila dora umetulia sana tausi mcharuko😁😁😁

  • @Mariam-ez4qw
    @Mariam-ez4qw 5 років тому +14

    Nawapenda sana hawa watu Dora na Tausi

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 років тому +48

    Wow nampenda sana Dora mimi

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 5 років тому

      Na tausi pia nampenda

    • @tabiakchuotabiakchuo9163
      @tabiakchuotabiakchuo9163 5 років тому +1

      Dora katulia sana adi raha Tausi mbwembwe nyingi, mpaka zinaleta kelo, mbwe mbwe zake za uswazi uswazi anakitafuna nn, jitahidi Tausi ujibadili zaidi. Ukiwa sehem kama hii kuwa mtulivu kama mwenzio dora.

    • @tabiakchuotabiakchuo9163
      @tabiakchuotabiakchuo9163 5 років тому

      Ukitulia kimyaa utaonekana mzuri ila ukijitia matashtiti sana unaonekana kituko zaidi ya kituko. Ili usionekane kituko acha papala.

  • @nailaniyonkuru5718
    @nailaniyonkuru5718 5 років тому +66

    Dora mustarabu inaonekana kasoma,tausi uswazi😂😂👍

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 5 років тому +88

    Tausi na Dora nyinyi Indio Tz sweethearts

  • @user-he4fl7md2z
    @user-he4fl7md2z 5 років тому +24

    Nawapenda sana hawa wa remboo

  • @user-qm2fw8pu4h
    @user-qm2fw8pu4h 5 років тому +6

    Nawapendaa xan hawa wa2 jmn daah 😍😍

  • @fatimaabubakar719
    @fatimaabubakar719 4 роки тому +3

    Dora u r soo adorable N matured.. love ur confidence and class

    • @winniespencer5113
      @winniespencer5113 4 роки тому

      She is so composed,, I also love her, Dora's voice is great too, she is such a 💎gem

  • @jaybchaponda6886
    @jaybchaponda6886 5 років тому +17

    Hhhhhhhhhhhh amazing ,,duh Mungu wew ni mwema asikushukuru wew uyo ni mwehu

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +2

    Nawapenda sana Tausi na dora,Allah awatimizie ndoto zenu.

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 5 років тому +7

    Eeeh dora naye eti kikubwa pesaaa♨♨♨♨♨♨

  • @janethjoseph5240
    @janethjoseph5240 4 роки тому +2

    Mmpendeza sana jaman

  • @lucyisrael6121
    @lucyisrael6121 5 років тому +1

    Dora mpole sana jamani pia mzuri mungu awape maisha marefu nyote wawili

  • @shaniarthur4266
    @shaniarthur4266 5 років тому +9

    😂😂Tausi unavyoringa jaman khaa 😁😁 jicho kulizungusha kama nini sijui

  • @elmeldahkwamboka6819
    @elmeldahkwamboka6819 5 років тому +14

    Aki Dora nakupenda sana💕💕

    • @janeetsa2617
      @janeetsa2617 5 років тому

      elmeldah kwamboka 😁😁😁

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 5 років тому +2

    mbarikiwe wadada zetu warembo😘😘

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 5 років тому +58

    Tausi unajishebedua sana dadangu kuwa mpole kama dora aky dora ako simple lkn tausi bala hayo macho yanarembuliwa kama ngo'mbe aliefumaniwa

  • @haithamrubeabuhet2637
    @haithamrubeabuhet2637 5 років тому +16

    Dora kipole ila taus mcharuko kweli he co kwenye michezo tu mpaka sehemu nyengne

  • @merrymakuli7132
    @merrymakuli7132 5 років тому +2

    hahahahhahahahaaaaa uwiiii kiukweli nimecheka sana mimba jambo la heri

  • @ifruitx2096
    @ifruitx2096 5 років тому +2

    Napenda sauti ya #dorah# af yuko na furaha sana wallah mrembo aisee😙😉

  • @majmadramas5726
    @majmadramas5726 5 років тому

    Mungu akusaidie Sana pri..... Esko♥️♥️♥️♥️ fika pale Mungu kakupangia.

  • @richardmiti2016
    @richardmiti2016 5 років тому +8

    OK Dora mwanamke kujiamini uko vzur xana

  • @miraynalex2799
    @miraynalex2799 5 років тому

    Wazur lv u guyz mna big confidence xnaa

  • @christinajonas374
    @christinajonas374 5 років тому +1

    Tausi mcharuko🤣🤣 sana Lkn nawapenda sn nyie watu ❤️

  • @misalabacharles2728
    @misalabacharles2728 5 років тому +64

    Dora Mrembo zaidi lakini hapo kabrauzi anakapenda balaaa 😂😂😂😂

    • @zuenasalim7136
      @zuenasalim7136 5 років тому +2

      Misalaba Charles 😂😂😂umeonaaaaa eeh

    • @piarajaneth6030
      @piarajaneth6030 5 років тому +3

      Hahaha labda zinafanana

    • @queengee988
      @queengee988 5 років тому +4

      Umeona eee anakapenda had me leo nilijua wamerudia interview kumbe hii ni nyngn🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @shaniarthur4266
      @shaniarthur4266 5 років тому +2

      Kweli aisee 😂😂😂

    • @shanimwakipesile3341
      @shanimwakipesile3341 5 років тому +2

      Misalaba Charles Hahahahahaha Hahahahahahha Hahahahahahahah

  • @asyadezz1939
    @asyadezz1939 5 років тому +3

    Nawapenda😘😘

  • @imeldajoseph916
    @imeldajoseph916 5 років тому

    Esko umekuza kipaji hongera sanaaaaa aiseeee Mungu akupiganie nawe ufanikiwe zaidi na zaidi

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 років тому +15

    kidora sura nzuri

  • @naimamohammed3243
    @naimamohammed3243 5 років тому +9

    Mrembo dora, mashaallah

    • @adelinalucas8193
      @adelinalucas8193 4 роки тому

      Jamani mnamuandama taus mbona katulia watanzania nawpenda nyie warembo

  • @tvudakujolly6995
    @tvudakujolly6995 5 років тому +6

    Tausi anarembua jmn duh,,,hongren mmedamshi

  • @kerencikuru6039
    @kerencikuru6039 Рік тому

    Wa dada warembo tena wenye eshima na wa penda sana Mungu awape furha kila siku

  • @rezeekyomar563
    @rezeekyomar563 5 років тому +1

    Mumependeza warembo masha Allah mola awape maisha marefu

  • @amandazigshane7087
    @amandazigshane7087 5 років тому +6

    Tanzania's sweethearts

  • @zubeidaasha7331
    @zubeidaasha7331 5 років тому +1

    Ma sha Allah warembo wetu

  • @officialyassir6478
    @officialyassir6478 5 років тому +1

    QUEEN DORA.... mambo n 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-qm2fw8pu4h
    @user-qm2fw8pu4h 5 років тому

    Nawapendaa nyie xan khaa😍😍😍

  • @husnahlaazizmohammed7397
    @husnahlaazizmohammed7397 5 років тому +2

    Ma sha Allah. Cute and amazing both of them

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 роки тому +1

    Mashaallah nawakubali ❤🔥💯

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 роки тому

    Nawapenda saaaana❤👌👍

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 років тому

    Nawapenda sana haoo wdada💋💋💖💃💖😍

  • @jennifernduka720
    @jennifernduka720 5 років тому

    Big up kwenu Dora na Tausi 😍😍😍😇😇

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 5 років тому

    😄😄😄😄😄love you freely Tausi, love you more Princes Dorah.

  • @arif0019
    @arif0019 5 років тому +1

    uko sawa doro

  • @edinahjoseph4051
    @edinahjoseph4051 4 роки тому +1

    Love u from 254...all dah best

  • @faridayahya1231
    @faridayahya1231 5 років тому +20

    Manshallah Tabarkallah warembo wametulia 😗😗❤❤

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 років тому

    Tausi hajambo 😁😁😁😅😅😅😂 ila dora interested nampenda I mean wote I from🇰🇪👉👉❤

  • @enesmbila4866
    @enesmbila4866 4 роки тому

    Tausi uko vizuri lakini acha ushanta mwanangu tulia,Dorah love u soon much my baby girl

  • @gradyskapesasimtowe7021
    @gradyskapesasimtowe7021 5 років тому

    hongern kwa moyo mzurii woyo mzuri

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 5 років тому +9

    NAWAPENDA SANA hawa 😂😘🔥

  • @twaiburashid2903
    @twaiburashid2903 5 років тому +3

    kama umemsikia malkia wa muziki wa gospo gonga gonga like apa

  • @fatmaone1152
    @fatmaone1152 5 років тому +1

    weee esko wa sms mbona upo pekeyako mkaka mwingine yupo wapi mm nawapenda sana pamoja na baby sky hivi salamu zangu mnampa

  • @reginachristrenina5254
    @reginachristrenina5254 5 років тому

    Nyi warembo kweli mwenyezi mungu awabariki kwa msa hada wenu juu ya watoto hao
    😍😍😍😍 nawapenda sana

  • @janemrisho5376
    @janemrisho5376 5 років тому

    Wow God is Good mmependeza sana very honest

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 5 років тому

    Eeeeh mutangazaji umewaka namademu wawiri .big up

  • @fathiafathia8701
    @fathiafathia8701 5 років тому

    Wako vizuri warembo

  • @hellenkombe5002
    @hellenkombe5002 5 років тому

    Warembo kamani ndio haooo mungu azidi kumbariki

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 5 років тому +1

    Huyu tausi yani huyu angekuwa mrefu kidogo bac bongo watu wangekomaaa heee chashuo hiloo😅😅😅😅😅😅😅😅yani hizonyodoooo😂😂😂😂😂😂

  • @nuskyabdallah3166
    @nuskyabdallah3166 5 років тому

    Dora is so humble l like her

  • @marymaiko6605
    @marymaiko6605 5 років тому

    nawapenda sana hawa warembo wanajiamini

  • @juliusbamba8929
    @juliusbamba8929 4 роки тому

    Nyingi niwazur sana napenda movie zenu

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 5 років тому +2

    Love you'll😍😍

  • @nadian818
    @nadian818 5 років тому +1

    Dora Mashaaallaaah 💕💕💕🙏🙏Tausi 😂😂😂

  • @tujiakilumile7513
    @tujiakilumile7513 5 років тому +12

    nyie ndio tanzanian sweartheart,nawapenda buree

  • @eyfdfhuf1830
    @eyfdfhuf1830 5 років тому

    Mashaallah mmependza mahabinty

    • @sarahn4714
      @sarahn4714 5 років тому

      masha-Allah with a capital A

  • @sheikhasalimsheikhasalim2539
    @sheikhasalimsheikhasalim2539 5 років тому

    Tsusi nakupenda sanaaa buree kma huna mume niko tsysri uwe my wife

  • @ashaswaleh3281
    @ashaswaleh3281 5 років тому +2

    Tausi wasuuza jamani🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jaquelinemuriuki4228
    @jaquelinemuriuki4228 5 років тому +1

    Mwapendeza kweli lol Dora kako yuu kiasi ata kuongea waah

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 років тому

    Little genious

  • @dashuusaalim8882
    @dashuusaalim8882 5 років тому +1

    Tauc anajixhonoa mashallaaaah

  • @saumuathuman206
    @saumuathuman206 5 років тому

    muko vizuri

  • @mazurcomedy3483
    @mazurcomedy3483 4 роки тому

    MashaAllah

  • @rahmaninoh7434
    @rahmaninoh7434 5 років тому

    Love you Dora best ake mm tauc jicho hilo

  • @zainabuomari9067
    @zainabuomari9067 5 років тому

    Hahahahaha jaman tauc anachekesha sana hajatulia kabisa shingo inazungushw hiyo

  • @hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326
    @hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326 5 років тому

    Nawapenda

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 5 років тому

    😂😂😂jamani tausi kuchakuwa km mbuziii ndonin😁😁😁😊😊mbavu zanguuu

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 5 років тому +2

    Tausi ni mswahili😆😆😆anavyoangaliaaaa

  • @pennyjohn1306
    @pennyjohn1306 5 років тому

    Mie team tausi damu damu lop u tausi👌👌😘😘😘😘😘😘

  • @pendomwenda6190
    @pendomwenda6190 4 роки тому

    Jamani nampenda dorah naomba no zako dorah

  • @shedabenielight
    @shedabenielight 4 роки тому +1

    wewe ni mrembo kwili Dora ❤️

  • @kuluthummbegakulu7564
    @kuluthummbegakulu7564 5 років тому +3

    ❤❤❤ ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ love sns

  • @sylviemutwale9527
    @sylviemutwale9527 5 років тому

    Namipenda sana

  • @6gghh400
    @6gghh400 5 років тому +3

    Nakupendaga sana warembo wetu❤❤

  • @judithiwakaroyo8694
    @judithiwakaroyo8694 5 років тому

    Nakupenda Sana Dada Dora

  • @fatmabtili9422
    @fatmabtili9422 5 років тому

    Nampenda sana Dora ana muonekano mzuri

  • @haniphamuhammedy1803
    @haniphamuhammedy1803 3 роки тому

    Nice gs

  • @rebbylyanga4067
    @rebbylyanga4067 5 років тому +3

    Dorah anaongea kwa utulivu sana
    Nawapenda wote

  • @stalinrwandamm510
    @stalinrwandamm510 4 роки тому

    Na wapenda sana

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 роки тому

    Congratulations

  • @lovennesclement1291
    @lovennesclement1291 4 роки тому +1

    Dora karembo jaman love u

  • @emmahsabby3375
    @emmahsabby3375 4 роки тому

    Love you Dora Tausi punguza nyenyenye

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 5 років тому +4

    Uko instagram ni shidaa yaa nawapendag bure

  • @saidibaraka7721
    @saidibaraka7721 5 років тому +2

    Mm nawapenda hawa sababu wanatafuta riziki nawaomba watoa koment wenzangu tuache kuwabeza hawa mungu hawabariki Sana maana yeye ndo mjuzi wa hali zetu

  • @neemabarnaba3313
    @neemabarnaba3313 4 роки тому

    Nimempenda burreeee

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 років тому

    Hawa wadada wanajielewa akili kama zote maa shaa allah

  • @sabrinamohamedy1040
    @sabrinamohamedy1040 5 років тому

    Wanjipendaa wanajikupa kutoan n walivyoumbwa n ila ssi wengine n wanene wa tumbo lkn tuna stress km nn

  • @tuyisengesamila2893
    @tuyisengesamila2893 2 роки тому

    Asante sana

  • @mwanaimasaidy4571
    @mwanaimasaidy4571 5 років тому +1

    Jamani tausi Huyu hahaahah kila kambi yumo. Dora kapole.

  • @omarshiya5867
    @omarshiya5867 5 років тому

    I love u dora and tausi