Wema ipo siku Mungu atamjibu na madui wataibika. Kama siyo amani za dini zetu ningemsaidia wema. ilo jambo ni dogo sana mbele za Mungu. Mungu. Mungu akusaidie wema. Amen.
Masha allah walah raha nimeipata ukuona umempakata anko wangu...zawadi insha allah nikijaaliwa sijui naweza pata mawasiliano nitafurahi..penda sana wewe kiumbe mwenzangu...ila kitu moja tu sipendagi kukuona kichwa wazi wallah
Umeniboa sana wewe dada kwani wema unamchukuliaje hauwezi kumhoji mtu mpaka wema aingizwe kwenyemazungumzo ndio story inanoga muacheni mtoto wa mwenzenu apumue
Umefanya vizuri kutomjibu ju anakuuliza maswali y kipumbavu, anatak umtangaze kwa mitandao ndio mapenzi au upuzi yko n maswali y kipuzi sna uyo mtangazaji
Wema ipo siku Mungu atamjibu na madui wataibika. Kama siyo amani za dini zetu ningemsaidia wema. ilo jambo ni dogo sana mbele za Mungu. Mungu. Mungu akusaidie wema. Amen.
Nakupenda sana tausi
Ongera Tausi INSHALLA MUNGU Akuekee
Hongera sana Tausi ,Kamwwne bee,Mungu amkuze mtt, pia akuwezeshe kumlea ktk njia impendezayo Mungu
Hongera sana Tausi. Una busara sana. Hongera sana una mtoto mzuri sana.
Woow this is maturity response to the interview... nimekupenda mama ulivyo...all the way from
Kenya
Kweli..watu wanahitaji haya majibu
Tausi nimekupenda sanaaa zaidi ya sana umejibu vzr sana sio kila kitu uweke wazi nakupenda sanaaaa
Irene Gomanga alikuwa
Hongera tausi mwaya ... mtangazaji acha udaku halafu n hajasomea hii kazi ..mshenzi sana
Mtoto rahaa jamani hongera sanaaa mamii, Mungu akitunzie akue akuheshimu sanaaa na kuona wewe wa thaamni
Happy for u Tausi wangu. Big up sana dear wangu.
Raha Sana kuitwa mama mungu hamnyim mjawake ipo sku atampa
Amina taus kweli unahakili, na ww mtangazaji wema kajaje sasa ulikosa maswali au kasome tena maana sikuelew.ata wema atazaa kwa wakati wa Bwana
Mashaallah hongera Tausi
Hafu we mtangazaji unamaswali yakijinga unaboa bora tausi umemjibu vizuri jinga hilo nimekupenda
Kwer nimeamini mmbea aukizwi ww yanakuusunini yote hayo
Jaman,Tausi ongera mama ,mzaa chema make wangu uyo mtarajiwa💝💃
Masha allah walah raha nimeipata ukuona umempakata anko wangu...zawadi insha allah nikijaaliwa sijui naweza pata mawasiliano nitafurahi..penda sana wewe kiumbe mwenzangu...ila kitu moja tu sipendagi kukuona kichwa wazi wallah
Ally Mbwana Msagati >
Beautiful tausi
Usikae sana kiuno hakijakomaa mama yangu
Hongera datausi
Her husband is so handsome. God bless you tausi and your marriage bby girl
Mnadadisi life ya mtu undani sana jmn ..Duh hadi mnaudhi.
Uko fun Sana tausi, hongera!!! GOd bless you!
Mashallah hongera sana
HAKUNA LINALOSHINDIKANA KWA MUNGU HAKIKA MUNGU ATUKUZWE
Tausi uko poa ...Mungu awape uzima
Watangazi muwe nalimit ktk kazi zenu mnaivamia fani mpk mnakera ujuwe kuuliza maswali yanayoendana namaadini
Hongera sana apo umewafumbua macho watu weny iman potofu
jamani watangazaji mjitahidi msomee, nimaswali gani yakumuuliza dada tausi yaani pole my mutafika.
Asha Swaleh wema sio mtu wa roho mbaya
najuwa na cna ubaya na dada wema.
Maswali ni lazima si ako kazi banaa
Nampa polesana Wema Ila asikate tamaa zaidi naomba anitafute inbox nimwambie jambo ambalo hatahuzunika Tena maishayako
Hongera Sana'a Dada akee,tochi1 iringa nzimaa
Ongera.sana.mpz
Maarufu Watu Ni Fir'an Nimafta Na Wakorofi
Ila tausi una sura nzuri hadi raha
Atoe tu sadaka na mungu mbariki
Naweza kumzalia wema...naweza mbebea mimba na nimzalie maana sipendelei akilia. Nakupenda sana wema
nakupendakasana dada
Asante tausi maneno tam
Mungu ni mwema
Amina tausi🙏🙏🙏
Amen Mungu akutangulie
Ubalikiwe uzaz wako amina
Rosemary Karoli Amina
Watangazaji munabowa kasomeni tena nyoo maswali gan hayo
Love you ❤❤❤
Yani Tausi kweri mhehe endelea kuwa namaadili yakihehe nakupenda bureeeee😱😱
Jamani wema pole
Hongera sana Tausi
Songa mbele
😘😘😘😘nakupenda sana tausi
Kamwene mnyalukolo,penda anko wangu mungu amjaalie afya njema ili akizi furaha ya mama semdegela
Mashallah
.hongera Sana tausi kuitwa mama rahaaaa
Kaza mwendo dada yangu
Vumilia mpenz wema sepetu mung bad hajapenda il akipenda atakup mtt wal usichukie wal kua n mawaz usichoke muomb mungu dada ang
Vumilia my mungu at a kujib
Mtangazajiiii unahayaaaa kwako unaonaaa sawaaa kbs.Ila.ulitaka tausi ajitutumie kama alivosema au
We mtangazaji mjinga sana nais umepata iyo kazi kwa bahat fyuuùyuu au unamtaka mme wa tausi nin
Umeniboa sana wewe dada kwani wema unamchukuliaje hauwezi kumhoji mtu mpaka wema aingizwe kwenyemazungumzo ndio story inanoga muacheni mtoto wa mwenzenu apumue
Ongera sana kabisa
Hongera Sana tausi kumpata habbty
Wahehe tujuane jamani
Tupoo
Tupo
We nia upo na huku😂😂
😘
@@user-dc2yi4zu3v 😀😀😀Nipo kila kona
Kumbe tausi mweus
Hahahah
Ila wee kadada nakupenda bureee kabisa,Hasa ukicheka na unajielewa sana hongera kwa hilo
Hongera, uko vizuri sana,
Hongera taus
Tausi nakupenda,mwanamke jasiri na unajiaminia,endelea hivyo tausi
Hongela
Umefanya vizuri kutomjibu ju anakuuliza maswali y kipumbavu, anatak umtangaze kwa mitandao ndio mapenzi au upuzi yko n maswali y kipuzi sna uyo mtangazaji
Hongera sana
Hongera sana tausi from +254
Mzuri sna mtoto hongeraaaa.. Ila acha maswali yakijinga mtangazaji
Hongera saaana tausi kwamajibu mazuri🇧🇮🇧🇮
Nc
Ongera
Hongera sana mpenzi mkuze mtoto
hongera
Duh pole mway mchukurie hatua
Tausi nakupenda saana Ola uyo mutangazaji mujinga Sana aludi Shure kusoma mushenzi huyo
Nakupenda
Sanaa mhehe
Kweli tausi watu wafupi wakorof ata na mm najielewa upo sw
Hivi wewe mtangazaji umemuona wema tu kina tanzania yoote wamezaa hebu mpumnzishe wema wetu mpuuzi mmoja wee
Mashallah hongera kwa kupata mtt inshallah mola hazidi kuwapa upendo wenu mtt hapate malezi bora pasipo na msukosuko wa haina yoyote. #254
Topic ni ya wema au kumpa hongera tausi udaku mwingine umepitiliza
Tausi ungemng'ata kabisa uyo mtangazaji ndo maswal gan hayo
honger taus
J'aime bien cette femme wema
Umejibu maswali vzr 🔥....ur so strong 😍
Amen 🙏🏾
maskini tausi ana imani kwa msanii mwenziwe
Maisha marefu tausi
I proud of you
Taus nakupend bureeeee
To be continued
Ni kweli wahehe ndo zetu.
Tausi run for your life..achana na huyo kijana atakula hela zako na kuenda zake
Hongera
Up
Wema!! Wacha kurukaruka tulia NA umuogope mungu utajaaliwa mtoto si kitungu utanunuwa sokoni, NA uvae mavazi ya kufuraisha mola wako.
Taus hongera
Congratulations pretty @tausi,may the Almighty God tightened ur marriage
Dada hongera sifa za mwanamke mtt
namkumbuka kwenye gumzoo jomon
⚘God bless your beautiful bundle of joy.😘💕💖
Good
Kwani weww sio.mweupe
Katuni
nzur iyo Tausi😁😁😁
siwez kujib,, cjuiii😂😂
Mim nashida moja jinsi ya kupunguz tumbo