Twisted! Tamthilia mpya ya Tanzania inayokuja kuleta Mapinduzi! Itazame Trailer yake hapa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 66

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 Місяць тому +15

    Nimependa sura ngeni nyingi, sio kila siku watu walewale kwenye mziki, movie, mtandaoni, inachosha. Twisted inaonekana safiiii

  • @sarafinawanja8549
    @sarafinawanja8549 Місяць тому +8

    Napenda movies za Tanzania nazipenda walai, much live from kenya

  • @user-bs4df9gn2b
    @user-bs4df9gn2b Місяць тому +1

    Yani natamani sana brother sky watu wote wa UA-cam channel wanasuppot kazi za wasanii wetu

  • @user-bs4df9gn2b
    @user-bs4df9gn2b Місяць тому +1

    Yani bongo siku hizi wanajitahidi sana hongera sana yani cinephootgraph nzuri sana

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Місяць тому +2

    Ni fire 🔥 🔥🔥😍 😅mashallah ni warembo haswa🥰

  • @hashimumwinyi2239
    @hashimumwinyi2239 Місяць тому +6

    tyler perry sistas😂😂😂😂😂

  • @nanajoseph2356
    @nanajoseph2356 Місяць тому

    Wow my yasintaaaaaaaaa

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 Місяць тому +4

    Uzuri sns washalipwa waitangaze 😂

  • @BarakaKissava
    @BarakaKissava Місяць тому +3

    Mbona ni kama movie ya kizungu hv afu walio igiza ni wabongo

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Місяць тому +2

    Quality nzuri saana

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 Місяць тому +1

    Ivi najuliza kwanini wanaigiza kama wazungu na sio maisha uhalisia wa maisha ya mtanzania huu ni uchafu tu na upotofu wakimaadili kwa watanzania

    • @mauajonelo8675
      @mauajonelo8675 Місяць тому

      Hakika hakuna cha maana mfano jua kali kuna lipi lakujivunia

  • @MARTHA-td9xm
    @MARTHA-td9xm Місяць тому +9

    Sistas ya kibongo

    • @user-qr2ol5td5w
      @user-qr2ol5td5w Місяць тому +2

      Alafu wameiga mpaka wanaboa yani. Tyler perry wont like this 😂

    • @melanin-rp1ix
      @melanin-rp1ix Місяць тому +2

      😂alaf nilijua nimeona peke yangu😂😂

    • @TariqAziz-sc1lb
      @TariqAziz-sc1lb Місяць тому +1

      Aseeh i thought nmefikria peke angu😂😂

  • @user-jd9vp2xw3b
    @user-jd9vp2xw3b Місяць тому +1

    Wanaiga sistas ya Tyler Perry hadi pozi za cover yao dah anywey😂🎉

  • @Munshid_Rajab
    @Munshid_Rajab Місяць тому +1

    Nothing without Kajala🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @estherboniphace2430
    @estherboniphace2430 Місяць тому +2

    Ila Anna nyange😂

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 Місяць тому

    Pamoja sna sky💪

  • @MwanaidiSephu
    @MwanaidiSephu Місяць тому +1

    Wamejua

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Місяць тому +2

    Ndo maan anna ameolewa lamata mot unawaka

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Місяць тому

    wabongo kwenyemaigizo mm huwa siwaelewagi kabisa

  • @augustfive5279
    @augustfive5279 Місяць тому +1

    Hii nayo nzuri sana ila pia kina movie ya mvera kutoka pwani ya Kenya Mombasa imagine inaruka kupitia Netflix ❤❤❤

    • @Bruno4cus
      @Bruno4cus Місяць тому

      Mvera ya moto sana

    • @dunstunnchimbi7994
      @dunstunnchimbi7994 Місяць тому

      Nliangalia trailer ya mvera nkapagawa nkaisaka nkaikosa. Mana mimi sio mtumiaji wa netflix

    • @hopechidera
      @hopechidera Місяць тому

      ​@@Bruno4cus mbona haipatikan Netflix jaman,niliona komenti yako nikaingia Netflix kui search but is not...

    • @hopechidera
      @hopechidera Місяць тому

      Jaman haipo Netflix...

    • @dunstunnchimbi7994
      @dunstunnchimbi7994 Місяць тому

      @@hopechidera Ipo netflix ila mimi sio mtumiaji wa netflix

  • @Johnkasena
    @Johnkasena Місяць тому +1

    Mama nyonzo na prisca liymo 😂🙌

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 Місяць тому

    Yeah Bora kahuna wale wale wa kale ...

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Місяць тому

    Hyu queen mulerwa mbna ni kma mrundi vle af na hyo ann nyange ana mzigo hataree adi cjui nakwama wpi mbna sikuwahi kumuona b4.

  • @classmate8167
    @classmate8167 Місяць тому +2

    Bado sana! I siri ya mtungi itabaki kuwa series bora kwa miaka yote

    • @ShahMursal
      @ShahMursal 28 днів тому +1

      Siri ya mtungi🙌🙌 usingeitaja tu hapa maana haya makorokoro hayawezi ifikia ile kitu

  • @ishrak3112
    @ishrak3112 Місяць тому +1

    Ndio maana ctizami movie za kitanganyika maana huelewi ni za kiswahili ama za kizungu mbona huoni wakorea movie zao wakaekti za lugha nyengine wanaweka kwa lugha yao ili watuwao waelewe ila watanganyika wanataka uzungu ikiwa 100% wanazungumza kiswahili ndio mana hawafiki mbali na watachelewa sana tena bado sana

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

      Kweli kabisa,Korea,uturuki wanaongea kugha zao na zimeenea duniani kote Kwa kutafusiriwa, Tanzania sijui Wana shida gani

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Місяць тому

    Nilijua2 sky utaanza kuwachambua mademu cz sindio mambo ye2 kupenda mizingo😂

  • @robertkisasa1346
    @robertkisasa1346 Місяць тому

    Oya anna nyange ana balaaa😢😢😢

  • @salimulaya1866
    @salimulaya1866 Місяць тому

    Hakuna jipya

  • @nikrahayubu-sz3pw
    @nikrahayubu-sz3pw Місяць тому +1

    Lbd hii ntaanza kuangalia maana niliacha Huba na jua Kali wanazingua

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому +1

      Wanakera,mi nilihamia golden boy, visa vinaenda chaochap sio huku tunazungishwa upuuzi mtupu 😅

  • @donatusbenjamin3660
    @donatusbenjamin3660 Місяць тому

    Wanaiga sistas hawa

  • @mziziwabahariahmad980
    @mziziwabahariahmad980 Місяць тому +1

    Inatoka lini hii na italuwepo kwenye you tube au imebireshwa kwa mtandao wa Netflix?!

    • @hopechidera
      @hopechidera Місяць тому +1

      Ushaambiwa itaruka kwenye app iitwayo hun+ na sio Netflix...

  • @user-od8tg1yt3g
    @user-od8tg1yt3g Місяць тому +2

    sasa bundala unaposema italeta mapinduzi yann ni sawa na mbwa kumuita jibwa walewale tu

  • @EmmanuelSima-qz1gd
    @EmmanuelSima-qz1gd Місяць тому +2

    Tayar nishajua itaishaje😅😅

    • @nellymtambo8432
      @nellymtambo8432 Місяць тому

      Umesema 😂

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 Місяць тому

      Ujuaji wa kijinga...
      Weka hapa itaishaje ili ikiisha turudi kwenye comment tukuone nabii

    • @ISSACKRICHARD
      @ISSACKRICHARD Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Місяць тому

    ❤🤗🇹🇿🤩🤲

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 Місяць тому +3

    Ubora unaoneka upo vizuri. Sasa wangechangua kuongea lugha moja Kingereza au Kiswahili, wakaweka subtile. Hebu fikiria movie za marekani mtu akiongea awe anachangavya lugha mbili, ki Spanish na Kingereza ingekuwaje. Halafu waongee normal. Jinsi unyoongea Kwa Ku fake, Basi character yako uwe Una act kuwa wewe ni fake. Ama sivyo waongee normal.

  • @RynoFiree
    @RynoFiree Місяць тому +1

    Wamefanya jambo zuri, lakin kwa upande wangu wangeleta msisimko zaidi kama wangeiheshimu Lugha ya kiswahili na wasikipe kizungu kipaumbele, Hawajaonesha mchango katika kukikuza kiswahili

  • @cjnatally2870
    @cjnatally2870 Місяць тому

    hakuna ubunifu hapo,copy series z TYLER PERRY ha ha h 🤣😅😂😂😂😂😂.!!!! hakuna ubunifu hapoooooo

  • @2116-n
    @2116-n Місяць тому +1

    😂😂😂, ila #Sky, yaan hivi tu ilete mapinduzi, kipi kipya ambacho wenzao hawajakifanya, MAANA NAONA NA HUMU NI WAUZA NYAGO TU NA SURA na ni MAPENZI TU YALEYALE

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e Місяць тому

    Saf kbx

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 Місяць тому

    Wangechabgaya na bongo movie icon hata mmoja kwa wananwake ila Mrs energy sio mwanamke jmn mbona hujamtaja

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 Місяць тому

      huo upumbav saiv haup kutumia kina wema sepet sijui nm akuna

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 Місяць тому +1

      Kila zama na vipaji vyake.... vijana wapya wenye vipaji wapate ajira