Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Wakwanza kumpongeza Tausi.hongera mrembo Tausi Mungu akutunze na kukutunzia mwanao.
Hbd mtoto mzuri maisha marefu kwako 😘 hongera Tausi kwa kukuza
Whaooooo Dada tausi hongera Kwa kumkuza mtoto nani mrembo kweli much love 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Mungu azidi kiwalinda Mama na mtoto much love for you
Ongera sn dd tausi kwakuza mtto mrembo sn mungu akukuzie mtto wtu
Much love my sister 👉❤️
Furaha ya kila mwanamke 🎊🎊🎊 Happy birthday pravita
Watoto bwn 😆wanavyo wanavyomsindikiza taus Kwa macho ssa asije jikwaa na Dela bulee..hongera tauc kw upendo😘
Ongera sana dada yangu nakupenda sana tu ❤❤❤❤❤❤Mungu akuwenguvu pamoja Na kizazi chako
Hongera Dada mpe mtoto malezi mazuri, lakini zaidi amjue Mungu.
Hongera sana Tausi, MUNGU Akukuzie mwanao Inshaallah
HONGERAAAA TAUSIKWA MALEZI MAZURIKWA MWANAO🙏🙏💪💪♥️♥️
Mungu akupe maisha marefu zaidi
Mimi nampenda tausi gisi anavyojiamini mungu akupe maisha mema wewe na mwanao na akupe kizazi chema
Congratulations 🎊🎊🎊🎊🎊 mama wa mtoi
Happy birthday to beautiful baby girl!!Hongera sana Tausi kwa kukuza.., Barikiwa sana!!!!!
Hbd mtoto mzur,, mungu umtunze mtoto kwa Afya njema
Happy birthday princess Mungu akupe umri mrefu na AFYA njema
Hongera madam Tausi umekuza mrembo. M. Mungu akuwekee na umpati e malezi mema. Ameen
Imenoga jomoni pambeeeeeee hongera mrembo Tausi
happy born day baby girl mungu akutunze na akupe maisha marefu
Hongera sana tausi mungu akupe roho hiyo hiyo ya kumpenda mwanao
Hongera sana tausi mwenyezi Mungu akutunzie mwanao amina
Ongera mama mpambanaji tausi nakupenda bure Mungu akukuziye mwanao naakupe wengine wadogo zawo wewe nibora naumewapa wengine tumaini yakuwa mama kama mimi Mungu akubaliki tausi ndege laurembo mama p
Hongera bi tausi Mungu awajalie neema zake
Yani nimejikuta naangalia huku natabasama kwa kufurahia kwa alichokifanya na huku ninatokwa na machozi kujua kuona mama ni mama tu❤
Mashaallah mashaallah taus allah akujaalie kher amkuze salama
Mungu ampe upendo huyo ampende mam yake hivyo alivyo maana jicho lake halimtzami vizuri mma yke
Hongera saan tausi Mungu amlinde vema na kumuongoza siku zote za maisha yake
Mashaa Allah mungu amkuze vyema
Hongera tausi
Allah akukuze kwenye madili mema
Nc & proud of you for surprising your daughter.Keep it up.
Hongera Tausu mtoto mzuri 🥰
Happy birthday 🥳🥳🎉🎉 mrembo
Maisha marefu mtoto mzuri
Jaman hiyo ndiyo Raha ya kuwa na mtoto Mungu akutunzie mwanao Tausi
Happy birthday to you 🎂🎉🎈 mtoto mzuri hongera Tausi na walimu.
Mwenyezi mungu akukuzie mtoto wako
🎉🎉
Michaw my na mwanawe
Hbd kwakee ❤️ hongera taus 👏👏
I love you tousi
Sijui kwamm mtoto kakasirika. Hvy jamami daah
Good job tausi
Sifa kwa mufarme yesu🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Allah amkuze kwenye maadil mema amlinde na shar za dunia🤲🤲🤲🤲
Happy birthday mtoto nzuri
happy blighted day pv....next birthday teacher atayarishe wanafunzi vizur
Happy Birthday baby girl 🎉❤
Hongera mjukuu wangu kakua Masha Allah mimi bibi yako sawa
HAPPY BIRTHDAY MALIKIA🎉🎂🎉🎂👸🏻❤️❤️❤️
❤❤❤
Happy birthday mtoto mzuri
Happy birthday to you 🎂🎉🎂🎈🎈🎂 pravtra,,🎈🎉🎈🎉🎈🎈
Jamani tausi mmependeza sana na mwanao
Kutoka saud arabia hongera tunakutakia maisha marefiu wewe pamoja na mtoto wetu ,
Waooo taus katt kazur sana hongera mung akukuzie
Happy birthday too🥳🎂🎈🎉🎊
Happy birthday baby girl 🎊🎂🎁
Happy birthday kwake mtoto mzuri 🥰🥰
kuzaaa raha jameni
Happy birthday mungu akupe maisha mema na yenye aman km mamaako mwaaaaaa 💋 💋
Amiin😍😍😍🤗🤗🤗
Happy bestday girl 🌷
Allah akukuzie furaha yako dada
Happy birthday pravtra
Happy birthday to you 🎂🎂🎂🎂
Kwanza hongera kwake tausi kama mzaz, afu huyu mtoto c anayeigiza huna kma mtoto wa tima na Davie
Aki kwel wanafanana sana
Hapana yule wa tima ni wake mwenyewe
@@rahuiyaswalehe2202 n kweli pia mm nlimuona naye huyo tima wakiwa out,,, n wake
Safi tausi unaitangaza shule
Watoto wanamshangaa taus wanamuona mfupi sana
Hongera ww mrefu naona hufi ww kwakua ni mrefu
@@bernardzuhura4187 Amina umenena
Happy birthday baby girl
Good job
Mtoto wake mzuri
Happy birthday 🎂 baby girl
Onger dad kwa yote mambo mazur
Nice
Mungu awwalinde san tausi
Happy birthday girl 😘💐🌹💋
Hongera mtoto mzuri
Da hakuna kama mama jmn aiseee
Masha Allah
🤩🤩🤩🤩
Katoto kazur sana
Subanallah
Congratulations 🎊
jamani hi shule iko wapi
Katoto kapole Hadi raha
Mbn baby toto kakasirika, au utoto?
HONGERA MUNGU AWALINDE NA MAHASID AMIIN
1M VIEWS 😁
🤣🤣 sawa Broo
😁😁😁 Mungu anakuona 😃🤣
Dogo hajapenda
Mmmh ni mpole maskin
Vichekesho
Hujafa hujaumbika😢
Hongera Tausi
Happy birthday to you mtoto mzuri
Wakwanza kumpongeza Tausi.hongera mrembo Tausi Mungu akutunze na kukutunzia mwanao.
Hbd mtoto mzuri maisha marefu kwako 😘 hongera Tausi kwa kukuza
Whaooooo Dada tausi hongera Kwa kumkuza mtoto nani mrembo kweli much love 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Mungu azidi kiwalinda Mama na mtoto much love for you
Ongera sn dd tausi kwakuza mtto mrembo sn mungu akukuzie mtto wtu
Much love my sister 👉❤️
Furaha ya kila mwanamke 🎊🎊🎊 Happy birthday pravita
Watoto bwn 😆wanavyo wanavyomsindikiza taus Kwa macho ssa asije jikwaa na Dela bulee..hongera tauc kw upendo😘
Ongera sana dada yangu nakupenda sana tu ❤❤❤❤❤❤Mungu akuwenguvu pamoja Na kizazi chako
Hongera Dada mpe mtoto malezi mazuri, lakini zaidi amjue Mungu.
Hongera sana Tausi, MUNGU Akukuzie mwanao Inshaallah
HONGERAAAA TAUSI
KWA MALEZI MAZURI
KWA MWANAO🙏🙏💪💪♥️♥️
Mungu akupe maisha marefu zaidi
Mimi nampenda tausi gisi anavyojiamini mungu akupe maisha mema wewe na mwanao na akupe kizazi chema
Congratulations 🎊🎊🎊🎊🎊 mama wa mtoi
Happy birthday to beautiful baby girl!!
Hongera sana Tausi kwa kukuza.., Barikiwa sana!!!!!