Sawa kila mmoja amepita na maqam ajemy ila kwenye upande wa ubora Thanawy katisha sana. Angalia jinsi walivyotembea chini kati mpaka juu , Muhammad yuko classical sana.
Aya mengine yatakuja kutokan na mitazamo ya ushabiki tu, kwanza muhya ana njia zisizofanana na wengne wengi(distinctive ). Ana vituo vingi na ana taste ya kwake yeye mwenyew, sasa kwann tumeweke sawa na watu wanaoigana.
Si vizuri kufanya hivyo.
Mambo hayo ndiyo chanzo cha magomvi baina yetu.
Huo ni mtazamo wangu.🙏
Mashalla
Allah allahu mashallah ibadurahman tisha nikimskia yahaya ananikosha sana🙏🙏🙏
mashaallah
Sawa kila mmoja amepita na maqam ajemy ila kwenye upande wa ubora Thanawy katisha sana. Angalia jinsi walivyotembea chini kati mpaka juu , Muhammad yuko classical sana.
Aisee iz ajemy zote n khatar ila ya thaniwy n hatr zaid
Dohhhh
Aya mengine yatakuja kutokan na mitazamo ya ushabiki tu, kwanza muhya ana njia zisizofanana na wengne wengi(distinctive ). Ana vituo vingi na ana taste ya kwake yeye mwenyew, sasa kwann tumeweke sawa na watu wanaoigana.
sawa
Kabisa yan huyo muhya ananjia za pekee
bihak yallla
Thanawiy 💣
Wote kiukweli wamepita kibingwa lakini Ajemy ya Thanawi imekuwa na ladha zaidi lakini zote nzuri
shukraan kwa maoni yako
Sina neno mie
sawa
Zte grp 2 wamefanya vita vya mawe ya moto
ndiyooo
Acheniiii ubishiiii ktk diniiiiii maswalaaa ayooonanimkariiii no
sawa
Thanawiy hatari sana
sawa
Ibadu mumetisha
khatari
Thanawiy balaa
ok