Tamko rasmi la ujenzi wa KANISA KUU MBADALA WA ST. JOSEPH Askofu Ruwaich aweka wazi mambo haya muhim

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @anselmimarandu2293
    @anselmimarandu2293 Рік тому +4

    Jambo zuri sana baba askofu👏👏👏

  • @FrolenceRogath-fv6ku
    @FrolenceRogath-fv6ku Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu atie baraka

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 Рік тому

    Jambo hilo limekuwa jema sana machoni pa Mungu hakika! Mwenyezi Mungu, Mjenzi Halisi wa Kanisa Lake, akafanikishe lengo hili kikamilifu, Injili ya Mwanawe ienee kote!🙏🙏🙏

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Рік тому +2

    Blessed kanisa

  • @godwinmbwambo3316
    @godwinmbwambo3316 Рік тому +3

    Jenga kitu kzr ila st Joseph liendelee kuwa la heshma!

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 Рік тому +3

    Nitachangia kidogo nilichojaaliwa

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 Рік тому +3

    Tusikurupuke. Tanzania ni nchi kubwa na kanisa Katoliki Tanzania ni role model kwa nchi. Makanisa tulionayo Sasa ni historia zilizowekwa na wakoloni. Tunaweza kutengeneza kanisa Moja la kihistoria nchini katika mji wa makao makuu ya kanisa Tanzania. Kanisa ambalo litakuwa Bora na kubwa Afrika na hata duniani. Na sii lazima mchoro uchorwe na mzawa na sii lazima liwe na umbo la msalaba maana makanisa yenye umbo la msalaba yanachukua eneo kubwa lakini volume ni ndogo kwa nini tusipate mchoro ambao litakuwa ni kanisa la ajabu na la kipekee duniani? Kwa nini tusipate kanisa ambalo tukiwa na ibada kubwa hatuendi kuomba uwanja wa Taifa? Kwani haiwezekani majimbo yote na waamini wote Tanzania tukachanga kujenga kanisa Moja kubwa na Bora dunia nzima lenye ramani ya ajabu na yakuvutia?

    • @clarencejr2023
      @clarencejr2023 Рік тому

      Hatuna makao makuu ya kanisa Katoliki nchi hii ukiacha ofisi za Baraza la Maaskofu. Haya makanisa mengi ya zamani unayoyaona michoro ilichorwa na wazungu na sasa haiendani na mazingira. Tunao wataalamu wazawa, aliyechora mchoro huo ni Padri na ana PhD Ya Architecture hauhitaji wazungu saizi

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 Рік тому

      @@clarencejr2023 Ijapokuwa haijulikani hivyo lakini by implication yalipo makao makuu ya Baraza la maaskofu ndio makao makuu yalipo. Ndipo ofisi zote kuu za Taarifa za kanisa la Tanzania zilipo, Ndipo makao ya Kardinal yalipo.
      Kuhusu mchora ramani CV yake naijua, lakini sipingani na wewe nilikuwa na kiu ya kwenda mbali zaidi ya hapo kulingana na ongezeko la waamini, ukuaji wa uchumi miongoni mwa waamini tulikuwa tuna uwezo wa kufanya kanisa la kimiujiza . Tunapata shida Sana tunapokuwa na tamasha la kitaifa na mara nyingi hufanyika hapo unapopaita sio makao makuu. Wapo wachora ramani wabobezi duniani ambao wamesanifu majengo ambayo kwa muonekano wake ni historia na kivutio

  • @greysonmatogo4662
    @greysonmatogo4662 Рік тому

    Hivi lingeitwa St. Joseph's Basilica lingezidi cathedral umaalufu? Maana naona kama Lina sifa hiyo.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Рік тому

    Itakuwa kama la jimbo la mbulu

  • @aud548
    @aud548 Рік тому

    Lijengwe Kigamboni ndio patatosha

    • @aud548
      @aud548 Рік тому

      Oooh Kumbe GezaUlole...🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🤝...Jimbo Kuu linahamia Kigamboni Sasa