KESI YA AFANDE ALIYEWATUMA NYUNDO NA WENZAKE KIZUNGUMKUTI/WAKILIAFOKEWA KESI KUPELEKWA MAHAKAMA KUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 56

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому +1

    Mungu wetu saidia taifa letu tunalipenda sana. Tunajua anatupenda na unapenda haki sawa kwa watu wako.
    Tusaidie baba yetu.

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 3 дні тому +1

    Asante sana wakili msomi madereka kwa kuonyesha msimamo wako wa kisomi

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 3 дні тому +4

    Kumbe wapo mahakimu mataahira,Aibuu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому

    Jina la Fatma Kigondo gjafla limekuwa maarufu sana ndani na nje ya nchi yetu. Limekuwa gumzo mitandaoni. Sijui linatoa tafsiri gani kwa taifa letu. Mungu tusaidie tu.

  • @teddymutani856
    @teddymutani856 3 дні тому +4

    RIP Rais Magufuri daaah

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 3 дні тому +1

    Safi sana wakili msomi madeleka lisaidieni taifa hili wengi hafujui sheria ingekuwa ni boni yai meye had leo wangemzuia kwa sababu ya usalama wake ila kwa fatuma kigondo Aaaaaaa

  • @FranksonMkumbwa-mb3pp
    @FranksonMkumbwa-mb3pp 10 годин тому

    Kumbe wapo watu wako juu ya sheria!!! Eee mungu tusaidie sisi wenye hatuna msaada apa dunian

  • @AthumaniKimwaga
    @AthumaniKimwaga 3 дні тому +2

    Hivi mapendekezo ya time ya haki jinai....kipi kinaendelea....hii ndio Nchi yetu

  • @JosephatMsukuma
    @JosephatMsukuma 3 дні тому +2

    Kenya wako vizur sana ila hapa kwetu kwenye goli la mama !!! 😂 tuko hovyooo sana kaz yetu kupost upumbavu hapa ilitakiwa huyu askar tumtie za kichwa kwanza

  • @KimarioMtumishi
    @KimarioMtumishi 4 дні тому +3

    Hakimu wa haki ni Mungu pekee. Lakini hakuna kukata tamaa.

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 2 дні тому

    mimi ni pasta wa mchongo ila we chukua maombi mungu akusimamie akupe uzima utunyoshee hawa paka pori maana sasa inafika kipindi kabla ya kesi kuanza tayari ishahukumiwa geresha sasa mzee baba nimekuona moto wako mungu akusimamie ukaze nati vinzuri wasipumue haiwezekani wale mande alafu mtumaji wanamficha hivyo madereka kaza borit kitaumana mdo mdo na sisi hadi kieleweke

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 дні тому +3

    Madereka hongera kwa kufatilia hili swala mola atakulipa kwa kupambania wanyonge

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 3 дні тому +1

    Haki itendeke maana sijaona kuongozi yeyote au mtu mwenye pesa kafungwa Sasa nashangaa sana hz adhabu zinawahusu maskini peke yao?

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 3 дні тому

    Mungu akulinde kaka,

  • @MbwanaKivava
    @MbwanaKivava 3 дні тому +1

    Kuna juhudi kubwa zinazo fanywa na watawala kumlinda Afande 😡

  • @sadamramadhan2754
    @sadamramadhan2754 3 дні тому +5

    Pambana nao mkuu mpaka waku ue.

  • @AmedeusMbanda-gh4rj
    @AmedeusMbanda-gh4rj 4 дні тому +3

    Kwakuwa mahakama inamkingiya kifuwa huyo fatuma, basi nasisi wananchi tujichukuliye sheriya mkononii?? Zidiyahuyo fatumaaa,

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 3 дні тому

      Wasipomhukumu wao mahakimu huyu mwanamke bas sisi tutamhukumu tena hukumu tunayoijua sisi.

  • @TumainieliMamuya
    @TumainieliMamuya 4 дні тому +2

    Hayasasa

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 дні тому +1

    Jaji nakwambia tokea sasa usipomhukumu huyu Fatma kidongo bas sisi huku nje tutamhukumu tunavyojua sisi.

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 3 дні тому

    Mimi nilishawahi kupeleka kesi mahakama kuuu nilishangaa kuona mahakama ya mwanzo inauhafadhari kuliko mahakama kuu

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi 3 дні тому

    ❤🎉🎉❤

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому

    Hizi habari zinafuatiliwa na Watu dunia yote mitandaoni.
    Sasa tunaiweka wapi Tanzania yetu usoni pa.kimataifa?
    Historia ya nchi yetu itaandikwaje? Jamani wahusika angalieni na legacy. Maisha kuna leo na kesho ndugu zanguni

  • @AliceGoldson
    @AliceGoldson 4 дні тому +3

    Ni Aibu saana

    • @dutchkijiko5296
      @dutchkijiko5296 3 дні тому

      Msifie baba yako wew huyo magu alikuzaa au ni mungu wa

  • @MuungwaMtwana
    @MuungwaMtwana 3 дні тому

    Hakika mungu atatoa haki

  • @felixhaule
    @felixhaule 3 дні тому +1

    Nchi ngumu sana hii,huyo Hakimu ni TP kama ma-TP wengine tu

  • @jullykweka4502
    @jullykweka4502 3 дні тому +1

    Watakukua jmn

  • @stevenpaul4818
    @stevenpaul4818 3 дні тому

    Pambaneni naye mpaka atubu huyo afande

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 дні тому

    Wanalindana hao

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 4 дні тому +2

    Aise aibu kweli kwa mahakama zetu hamna. Haki kabisa

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 3 дні тому +1

    Apoooo ndiooo mjuee tunaporaramikaa kuaa nchiii hiii wakubwaa wanaeindanaa ndio muamini iviii piididy Kama angukuaa Tanzaniaa kashapataaa zamanii kwawezetuuu anasugua tuuu apooo kirichobakii mwanasheriaa ujiandaee utasikiaa umetekwa nawatuu wasiojurikanaa

  • @MahmoudJaffar-mt1qr
    @MahmoudJaffar-mt1qr 3 дні тому

    Hii ndyo shida ya viongoz wetu watanzania, kesho atachaguliwa kuwa Kiongozi wa nchi, na nimekwambia hawa watuhumiwa watakuja kutolewa

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 3 дні тому

    Kaka NCHI inaongozwa kwa maelekezo kutoka juu saivi haki hakuna ebu imagin wewe musomi Ivo wanakufanyia Ivo chukulia mtu wa kawaida atapata haki yake kweli?

  • @marccarl4461
    @marccarl4461 3 дні тому +1

    KAMA MAHAKAMA IKIZINGUA TUACHIE WANANCHI TUMUJUKUMU SISI HUYO AFANDE NASI TUMALIZANE NAE TU ILI SERIKALI IJUE WANANCHI NDIO TUMEWAWEKA IKULU NA TUNAWALIPA MISHAHARA ILI WAJIFUNZE

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 дні тому

    Ndgu achana nao watakufanya mbaya shauli ako

    • @hashimjumahassani5268
      @hashimjumahassani5268 3 дні тому

      kaka madeleka ana public image, sio rahis, lakin uyu ni askari alieataaf kwa hiari akiwa ni platun kamanda(askri mwenye nyota 2) kaishaka ndan miaka miwil utawala wa jpm kwa kesi ya kubambikiw ya uhujum uchumi...muangalie vzr ongea yake uyo alikua mpelelez uyo...

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 дні тому

      @@hashimjumahassani5268 hashim kwn ali alikua nani

  • @muhasatv9245
    @muhasatv9245 3 дні тому +2

    Tutafute Sana hela aseeee

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 4 дні тому +1

    KWA SASA,NINAVYOONA...HAPA NCHINI TANZANIA,KAMA WEWE HUNA,"FEDHA"...HUPATI HAKI YOYOTE...IWE VYOMBO VYA SHERIA...AU HUDUMA YA AFYA...HUPATI KITU

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d 3 дні тому +1

    Madereka vuwa jooho la advocate van magwanda ya siasa

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 3 дні тому

      Wacha tantarira kwani kafanya kosa gani

    • @stephanokaaya1881
      @stephanokaaya1881 3 дні тому

      Shabiki wa mbowe huyu madeleka

    • @RamadhanMohamedi-j3d
      @RamadhanMohamedi-j3d 3 дні тому

      @@stephanokaaya1881 huyo madereka ni mwanasiasa tena wa chadema wanaojiita advocate musomi mbona alimutetea mbowe kesi ya kutaka kuua viongozi akashindwa na mbowe akatiwa Haitiani?

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 дні тому

      ​@@RamadhanMohamedi-j3dHaki za watu kwanza Mbowe na vyama badaaye.

  • @AthumaniKimwaga
    @AthumaniKimwaga 3 дні тому +1

    Hivi mapendekezo ya time ya haki jinai....kipi kinaendelea....hii ndio Nchi yetu