WAKILI wa AFANDE na AFANDE MWENYEWE HAWAJATOKEA MAHAMANI - WAKILI MADELEKA APIGWA na BUTWAAA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @vickymlatie8313
    @vickymlatie8313 4 дні тому +9

    Kaka madeleka big up sana pambana kaka tuko pamoja Mungu akutangulie kwa kutafutia haki Sisi wanyonge tunakandamizwa bila haki

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 4 дні тому +5

    Baba madeleka tupo pamoja mpaka yule shetan anyongwe mungu yupo nasi💪👍

  • @RahmaIsambo-t2h
    @RahmaIsambo-t2h 3 дні тому +1

    Nice wakili wetu Madeley mungu akutangulie

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 4 дні тому +5

    Broo unajiamini sana na unajua vipengele vya sheria.

  • @MariamKombo-s2v
    @MariamKombo-s2v 3 дні тому +1

    Mungu akulinde wakili kw utetezi w wanyonge. Akuepushe n hatari yoyoye y kukudhuru.

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 4 дні тому +6

    Viva madelekaaa🎉🎉🎉

  • @alfredkwavava6235
    @alfredkwavava6235 3 дні тому

    Madeleka Mungu akutangulie

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 4 дні тому +4

    🎉kuna kitu nyuma ya pa,zia huo ndo ukweli

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha 4 дні тому +4

    Unavita kubwa sana madereka unapaswa kulindwa

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 4 дні тому +2

    Mh madereka mungu akubaliki

  • @StamMagessa-uo3hk
    @StamMagessa-uo3hk 4 дні тому +1

    Mungu akulinde wana bebana hao
    Yani mbaka najuta kuzaliwa nchi hii

  • @JanethEzekiel-b7t
    @JanethEzekiel-b7t 4 дні тому +3

    Jamaniii na huyu chinja chija alomchinja mtoto mariam uku ashughulikiwe

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 3 дні тому

    Mmekata kwa Bonifasi siyo😊😊😊

  • @mwelaabedi9076
    @mwelaabedi9076 4 дні тому +4

    Serekali inachangia uwalifu na watu kufa,kutekwa 99%, so wananchi toweni uwoga igeni inchi nzingine zinavyofanya😢😢😢😢😢😢

    • @husseinmramba
      @husseinmramba 3 дні тому

      We nae akili yako ya matope ambayo inashikwa na kupelekwa kwa mkumbo huwez ukakaa na ukachanganua maswala....we hivi unafuatilia matukio yote kwnye jamii na kuona yalivyo?

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 4 дні тому +3

    Ni ukosefu WA nidhamu kwanini hakimu amtreat vibaya afisa WA mahakama wakili ni afisa WA mahakama, hakimu amekosa nidhamu nafikiri Kwa maslahi mapana ya haki nafikiri ni haki achukuliwe utaratobu WA kinidhamu, mahakama ni chombo cha kutoa haki pale siyo nyumbani Kwa hakimu lazima afanye kazi Kwa Sheria na taratibu zilizowekwa, kwanini kuwepo na double standard???????????

  • @HUSTLERICHIE
    @HUSTLERICHIE 3 дні тому

    Nchi ngumu sana hii ,hakuna kujiandikisha wala kupga kura

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 3 дні тому

    Ujitahidi kujilindaaaaa

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 3 дні тому +1

    Kwani nani yupo juu ya sheria??

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 4 дні тому +1

    Chini ya serikali hii uhalifu utazidi, kwasababu sheria inachaguwa.

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 4 дні тому +1

    Du! Nawasihi wananchi tujirinde wenyewe la sivyo hatuko salama

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb 4 дні тому +1

    Tumpigie simu 😢😢

  • @Romana77-m4o
    @Romana77-m4o 3 дні тому

    Kaka MUNGU akutagulie

  • @fikiaupeo
    @fikiaupeo 3 дні тому

    Hii nchi itaokolewa na mawakili lisaiidieni taifa hili kutoka mikononi mwa mbwa mwitu wakali

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 4 дні тому +3

    Afandeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😢

  • @TimotheoSimtowe
    @TimotheoSimtowe 4 дні тому +1

    Hii nchi inawenyewe na mmoja wapo ni huyo Afande Fatuma Kigondo

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 3 дні тому

    Miaka hii tutaona mengi sana!
    Mahakama hii nyoo

  • @issamatola2031
    @issamatola2031 3 дні тому

    Kaka ukipungukiwa hela tuambie tutachanga

  • @SimonMelon-k9p
    @SimonMelon-k9p 3 дні тому

    Tuamini maneno ya rostam Aziz? Mahakama ,mahakama,mahakama

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 3 дні тому

    huyo hakimu ana maslahi na hiyo kesi.. watu washapenyeza bahasha... kikubwa hapo ni kuanza na huyo hakimu.

  • @paty11648
    @paty11648 4 дні тому

    yupo juu ya sheria??

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha 4 дні тому +2

    Madereka kichwa cha maana

  • @DelvinaMinja
    @DelvinaMinja 4 дні тому +1

    Duuu tutafika mbinguni tumechoka sana

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 дні тому

    Kwa Leo tupo pamoja

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 3 дні тому

    Mbn km global Tv mnakata maneno, dawa yenu kuwapotezea

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 3 дні тому

    Mahakimu wa CCM hao shenz kabisa

  • @JumaHasanaly
    @JumaHasanaly 3 дні тому

    Viongozi wetu ni wabinafsi hao maaskari ndio wahalifu namba moja Tanzania na ndio maana wanafanya wanavyotaka kwasababu wanajua sheria iko chini yaoo

  • @ArnoPita-co7jk
    @ArnoPita-co7jk 4 дні тому

    Kaza buti kaka peter sheria ichukue mkondoo wake

  • @JumaMkami
    @JumaMkami 3 дні тому

    Wakili madeleka kaza ipatikane haki Kwa yule arie bakwa toa haki kaka hta huyo akimu afate shelia nasio kupindisha shelia

  • @suzanejacobo6910
    @suzanejacobo6910 4 дні тому

    Tulijua tuu

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 4 дні тому

    Mahakama ni yetu sisi walala woi tu viongozi na wenye ela wanahamuamua chochote mda wowote akiamua

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 4 дні тому

    Komaa nao kitaeleweka tu..

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 4 дні тому +1

    Afandi ni Afandi hawezi kuwekwa ndani hawo wameshafungwa Afandi muachie adunde mjini huyo hana kesi labda ni kulinda hapo Wakili hana lake wakubwa hawana makosa isipokuwa wadogo ndio wenye makosa

    • @a2core-wn2wk
      @a2core-wn2wk 4 дні тому

      Huyo afande kuna lake lamngoja na yy ndugu zake watalia Allah atampa kubwa kuliko alilolifanya

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 4 дні тому +1

    Hee. Mtumeee sisi wanyonge hatutapona na hatuko salama hawamajaji wengine ni wababaishaji cheo ni zamana

  • @abdallahnkrumah6237
    @abdallahnkrumah6237 4 дні тому +1

    Rostam alishalimaliza Hilo la mahakama.

  • @daudijulius4437
    @daudijulius4437 4 дні тому

    Hakim amehonwga

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 3 дні тому

    Yani mpaka hakimu yupo hivyo kutetea ujinga huyo hakimu majanga

  • @benedictgamuya8855
    @benedictgamuya8855 4 дні тому

    Well said....!! Wengine tunajua kuwa magereza ni ya wezi wa kuku..... double standards tu. Ujinga mwingi.....!!

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 4 дні тому

    Madeleka komaa HIVYO hivyo

  • @RukiaMziwanda
    @RukiaMziwanda 3 дні тому

    Fatuma kigondo kwanini unakataa kwenda mahakani na wewe unadai sio muhusika

  • @AlexHubert-c1h
    @AlexHubert-c1h 4 дні тому

    Mpaka wakili amelaza😂😂

  • @RosemaryKimario-q3n
    @RosemaryKimario-q3n 4 дні тому

    Mimi kama mimi Fatuma kigondo wala mahakama ningiweka pembeni ila mahakama ile nyingine ingemhusu

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 4 дні тому

    Global mnakata maneno ya kusema Boniface jacobo alinyimwa dhamana , maneno hayo mmekata.
    Kuweni makini.
    Tupo makini

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 4 дні тому

    Duuh

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 4 дні тому

    Kweli kuna watu wako juu ya sheria . Kusema ni rais kuliko jutenda . Wananchi wa kawaida itakuwa hivi mpaka lini ?😊

  • @SimonMelon-k9p
    @SimonMelon-k9p 3 дні тому

    Rais mahakimu hawA wanakuharibia nchi na sifa zako,wanakuchafulia nchi,fukuza hakimu,fukuza huyo polisi