"NIMEPOKEA MABADILIKO KWA MOYO MKUNJUFU" - UMMY MWALIMU afunguka BAADA YA KUTOLEWA UWAZIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 28 днів тому +1

    ❤ love you ummy my young sister ❤️

  • @faithmangesho2081
    @faithmangesho2081 Місяць тому

    Barikiwa sana kwa unyenyekevu mheshimiwa Ummy

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp Місяць тому

    Basi Dada yangu pole kwa yote mshukuru tu Mungu pengine pia itakupa muda kutumikia wapiga kura wako kikamilifu, especially kwenye bara bara zetu ukijaliwa kutukumbuka bombo area mathalani bara bara ya shule za buruhani, mkwakwani ni majanga.

  • @JumaSanani-ih8is
    @JumaSanani-ih8is Місяць тому +2

    Muongo unajikaza tu umeharibu kwenye suala la bima ya afya ya Watanzania.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 29 днів тому

    😢😢😢ana jikaza ila ana umia moyoni. Huu hana huruma nawatu wahali yachini

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 Місяць тому

    Ummy ni mabadiliko tu
    Lukuvi kabudi mbona wameludi mungu ndiyee mpangaji leo kesho

  • @Haippa-Africa
    @Haippa-Africa Місяць тому

    Mhe Uko vizuri Kazi kila LA Kheri 2025

  • @IbrahimHajiDini
    @IbrahimHajiDini Місяць тому

    Uhakika

  • @user-mf2ll7nz5g
    @user-mf2ll7nz5g Місяць тому +1

    Bima ya watoto

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Huyu ummy anaongea tu tanga kunachangamoto kibao meli haziwasaidi kitu tatizo kazi watu watanga wamesahauliwa kabisa viwanda vimekufa vyote