Wangap tunaamin kp kamchezea mchezo Nora akajikuta anabebeshwa mimba na mwanamme mwingne baada tu ya kulewa,maana Kuna sim kapga na ksema deal done......!!!!?
Uyo chawa kibao kimemuingia sawa sawa tena cha ukweli.avumilie maana wanaombaga kazi kwenye komenti ongeza zebu kwa kumpa kazi.salam kwa wanyaturu wote nakwa mrangi noorah
kuna uwezekano kp akamuua malikia kwa sababu kuna uwezekano malkia akaenda kusaka kila nyumba na akampata kp na kp kwa sababu amekabidhiwa kisu kuna uwezekano wakamuua malikia na atakapomuua ukweli utakapojulikana atajuta kwa kumuua mama yake na kwa sababu nola tayari ana ujauzito kinakaribia kuacha na nola na malkia atajuta kwa kumwamini sana nola
@@liliy-u3noh ndio kweli umenifumbua hakili inaonekana kp alicheza na akili ya nola baada ya nora kwenda kuchukua madawa ya kulevya na inaonekana nora alilala na mtu mwingine kulipokucha akajifanya kama ndiye aliyelala naye huu ni mchezo mzuri ambao kp ameucheza
kaka kazi nzuri sana shabiki ako from Tanzania ila naomba kaka kama Kuna nafasi ya kuigiza na mm nionyeshe kipaji changu natamani sana hata usipo nip maokoto ila kikubwa kwanza kazi NAWAPENDA sana na zebuu wenuu
Tafta season za dj vassico huwa Kuna namba anatowa kwa ajiri ya wenye uwezo wa kuigiza unatuma clip kidogo ili aone uwezo wako na picha na vitu vingne atakavyo kuelekeza
Wa kwanza mimi kutoka Congo 🇨🇩 naomba like zangu
hongela
Dah ongera zenu movie nzuri sana story yakipekee mmetisha sana chukueni maua yenu
Jmn mwenzenu me mshamba nilikua nauliza kwani mtu akiomba like kuna hela hua wanapata
Na Mimi pia nashanga sijuwi
anapata hela mingi sana dio manake ❤❤
@@سوزي-ع1ل sasa izo pesa zina toka wapi
Hakuna hela Wala nini ni ushamba tu
Wowo❤❤❤tuskilize adi mwisho ndo tutoe maoni syo kuwahi wa kwanza ujatizsm movie mnakela
Moto hatari nawaaminia hamna kazi mbovu leteni muendelezo msichelewe kama mwanzo
Wakwanza Leo asanteni sana nimekuwa naigoja kwa hamu Sana
Jamn nmechelewa kdg naomba na mm likes jmn
Wa tatu jamani naombeni like hata tatu tu
Aiseee kazi nzuri team kp na zebuuu hila tunataka dibozi na mzee likoma
Mpk mwili umenisisimka kwa Roho mbaya aliyokuwa nayo Nora aiseee huyu kiumbe ni kauzuuuuuuii😂
😂😂😂😂😂 yani series tamu nisikwambiye kbx..ifuatiliao plse.nawapenda sanaaaaaaaa.tena sana kbx.from Burundi 🇧🇮
WA kwaza Leo kutoka Kenya. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Wapi likes ❤❤❤❤❤
Km unaamini kua mimba ya nora ni mimba ya kisai gonga like😂😂❤❤
😅😅😅
@@janetmaturu2377 ipo ivo
Umewaza kama mimi😂😂😂😂
dah km huna D mbili huwezi kuelewa😀
@@Bizo-hd umeonaa ee 😂😂
Siku hiz mnachelewa sana kutoa af mnatoa fupi mno tofauti na mlivyokua mnatoa kipindi cha nyuma, angalieni hilo msitukwaze mashabiki😊
Hapoooo sasa malikia ndo pakugundua maua yako malikia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 By Tk j mlengo
Tunasubiriii couple ya Norah na Kp❤...maana Norah alifuraii 😂kuambiwa I LOVE YOU ❤🎉❤🎉
😂😂😂ndohapo sasa malikia huyo ni kijana wako wamchongo umeanza kupata picha sasa
Kazi nzuri inakua butamu sasa malikia umefunguka macho
Nashuku mimba ya Nora sio ya KP. Mwenye ananiunga mkono❤
Jaman nampenda sonaa mpaka naumwaaa like nyingiiiiiii
Wangap tunaamin kp kamchezea mchezo Nora akajikuta anabebeshwa mimba na mwanamme mwingne baada tu ya kulewa,maana Kuna sim kapga na ksema deal done......!!!!?
😂😂😂😂 mzee wa mipango
Umeona eeh😅
Mnatukalisha sana jmn afu muda mchache tuongezeeni atleast hata dakika 30
Mie huwa sikomenti leo nimekomenti,,leo nimeipenda nasubiri yangu kimyaa
Adi Nika sahau kama kuna sonaa Nikajua ime ishaa mna niuz movie inachelewa sanaa kutokaaa 😢😢
Jamna ya leo ni kali nimeipenda sana kama umependa kama mimi gonga like
Atari sana imenonga kweli kweli 😂😂😂
Lovr from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
Uyo chawa kibao kimemuingia sawa sawa tena cha ukweli.avumilie maana wanaombaga kazi kwenye komenti ongeza zebu kwa kumpa kazi.salam kwa wanyaturu wote nakwa mrangi noorah
Daah hatar
Mara paaa nura ana mimba ya kisai😂😂😂
Wakwanza leo npe likes jaman
Jamani msinicheleweshe hii itafuata naona nikivumbi ayiiiiiiiimama kumekucha🎉🎉🎉❤❤❤❤
Jamani mimi nimekuwa wa mwisho naombeni like Jamani
Jamani nipewe like zangu wa kwanza Toka UDOM HUMANITIES
Duu aise kazi nono vibaya mnoo jmn hongereni sanah na pongenzi ziwafikie kokote mliko❤❤❤ ombi kazi itoke wepesi 💪
Au co
Nikajua udom naifatilia mwenyewe tu kumbe tupo wengi blessing sana
Umetisha mwana humanity mwenzangu
Jaman likoma yuwap
kuna uwezekano kp akamuua malikia kwa sababu kuna uwezekano malkia akaenda kusaka kila nyumba na akampata kp na kp kwa sababu amekabidhiwa kisu kuna uwezekano wakamuua malikia na atakapomuua ukweli utakapojulikana atajuta kwa kumuua mama yake na kwa sababu nola tayari ana ujauzito kinakaribia kuacha na nola na malkia atajuta kwa kumwamini sana nola
Nahisi kp amecheza na Nora ajelala naye ni mtu mwingine cz kp alipiga simu aliongea nini baada ya Nora kwenda
@@liliy-u3noh ndio kweli umenifumbua hakili inaonekana kp alicheza na akili ya nola baada ya nora kwenda kuchukua madawa ya kulevya na inaonekana nora alilala na mtu mwingine kulipokucha akajifanya kama ndiye aliyelala naye huu ni mchezo mzuri ambao kp ameucheza
@@IngabireKezia kabisaa Nora akona tamaa but atakosa kila kitu uko mbeleni😅
Janmani nikizaza huu nora anataka mamlaka kupitia kaka yake na zebuu duuh hatali 😂😂😂😅😅
Jamani imekuwa yamuzuri sana naomba like zangu notoka Congo wa Congo yezangu like apa🎉🎉🎉🎉
Kp napenda janja zako nora utajua haujui alafu uzuri malkia kashajua ukweli kuhusu kp fake mbona patamu hapo
Sijachelewa sana ila naomba hata like Moja
Naamin udug Wang na like nimekupa
@@malmavoice8989 kwani nnani samahani
Mimi Leo nimewah like hat 10
Hello team kufatilia sonna , hongereni sana kwa kaz nzuri
Apo ndo mchezo imeanza sasa malkia pokea maua yako ❤❤❤❤
Dah hu ni moto wa kuotea mbali❤❤
Wakwanza mm jamani nahomba like zangu
I like season 😂😂jamani imefika patamu Sasa nawapenda nyote ❤❤😂😂😢😢🎉
Mnachelewa sana kutoa ep zinazofuata muwe mnawai bas jaman movie nzur sanaaa
Hapa sasa ndy naanza kuona utam wa sonaaa msituangushe bas.
Kaka haoni mkia yuaona nyoka😂😂😂😂
Mnachelewa san jman mpk tunasahau
Wakwanza leo from🇧🇮🇧🇮
❤❤❤ naipenda sana lakini kp umekuwa soft sana
Ongera kwa kazi ila mnachelewa.sana
Kama kweli kp ni mkali kwa movi naomba liki nione
Dah nmefulahi san jmn tuwekeee 14 maaan imenoga kweli peny ukweli pameonekan😀😀
Mbona kp umetulia hivi sna hadi ilikuwa kidogo nije kwenu 😂😂😂😂
😂😂😂
Tanzania wa kwanza like zenuu bc
kaka kazi nzuri sana shabiki ako from Tanzania ila naomba kaka kama Kuna nafasi ya kuigiza na mm nionyeshe kipaji changu natamani sana hata usipo nip maokoto ila kikubwa kwanza kazi NAWAPENDA sana na zebuu wenuu
Tafta season za dj vassico huwa Kuna namba anatowa kwa ajiri ya wenye uwezo wa kuigiza unatuma clip kidogo ili aone uwezo wako na picha na vitu vingne atakavyo kuelekeza
Fanyeni fasta
Ep15
@@zenasalumu8570 au sio
@@zuwenaomar4201 au sio
Wa kwanza kutoka Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 like hata moja inanitosha
Nawapenda sana much love from saudi ❤❤❤❤
Hapa ndo patamu tuwaishie inayofata nimefrah sana malkia kujua ukweli wote natamani norah asiwe na mimba ya kp
Isi ishe hii nzuri sana
Naombeni like 3 nawapenda sana kina kp
Jamani sonaa yaisha haraka tena patamu hivyoo ❤❤❤❤
Patamu hapo😅😅 mimba ya nani ya k p😂😂😂 msitucheleweshee mambo ni 🔥🔥
Vyinzur sem mnachelewa San Pak tunasahau
Pole sana sona lakini sio keep ni Nora jayafanya
Kazi nzuri Sana team kp nawapenda Sana from Mombasa kenya
Kazi nzuri Maashallah ila mnachelewesha sana msitufanyie hivo😢 afu tuwekeeni ndefu
Hahahah nakubali kp...naona umechezeshea nora, kumbe mimba ya kisai bhn
Mimi sitokupa like ila big up Kp
Nawapnda Sana KP n zebuu n kikosi chenyu love from Kenya
Kaz nzr guyz😊😊
Kutoka Burundi ❤❤❤ pls muschelewe pls jaman
Au mumegombana maana wsgizaji nyinyi inakywaga ngumu kuishi miaka mingi pamoja
Dibos manuva na likoma kwenye sonaa hawapo❤❤❤
Usicheleweshe eps 15 jamani ni fireeeeeee hongereniii sana team.
Hii moto sana wallai ❤😂
Umetumia wimbo mzuri sana ndugu yangu
Kp bna ako na nafasi haitumii dah😢😢
Hongereni kwa kazi nzuri 🎉🎉❤❤
Vipande viwe vilefu kidogo bwana kp zebuu nimekumiss
Mnachelewesha sana jamn
Pol sana norah hio mimba sio ya kp 😅😅😅😅nawapenda sana watu wangu msichereweshe ep ifuatao
Nzr sana naomba like hata moja
Watching from Kenya 🇰🇪
Sijachewa❤❤❤❤nko hapa nchi jirani
Jamni tunasubiri san jitaidini bx mtoe haraka next plz
Nimewahi jaman🎉🎉🎉
😂😂😂😂 Nora wewe ni to much huogopi malikia ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nimefurah mama yke sonaaa kuujua ukwel kuwa huyo kijana
I love you so much guys ,nice work kwakweli
😂😂ila shei shei ety utasema paaah patamu hapo
Yaani hilo mwanamke shenz anae taka kuzaa n kp nyoka
WE Kp jitahindi basibmuongezee mda kigogo maana ilivoanza kuwa tamu mnakata
i like this movie hahahaha 😍😍😍😍
Norah sijapendaa
Next ni tag plz am first in comments
Jamani naipenda sana kazi ya sheila.
Naonba like maana nora anataka mimba
Kimenuka 😊😊😊 huyu jamaa kijakazi wa Norah kimemramba😂😂😂😂
Kp natamani kufanya kazi na wewe naomba fursa ata mwanzoni usiponilipa nipo tayali