Toka nicheki kijana muuza maji yani Hadi now mmenifanya nisikauke online big up team donta nawish siku Moja ningepata nafasi kuwa miongoni mwa team yenu asee
😢Acha kwnza nianze na kuwatakia happy new year naona huyu mwaka vitu nivikali sana mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi ya hizo na mzidi kutufurahish na kutupa mafunzo tofauti mbalIkiwe nawapenda sana lakini kelvi na love nawapend sana mnajua kunifurahisha snaa mbalikiw kw huu mwaka mpya
Kwanza kazi nzuri sana haya nipeni likes kwa ajili ya kelvin ❤
Kelvin brown mnafanya kazi nzuri sana nawaombea mwendo wa kasi kwa subscribers 1M Amen
Nawapenda xna mwanzo luvness na kelvin mmependezana wallahi
Wawooo kazi nzuli inaonesha ni nzuli mfano wa kijana muuza maji hongereni sana tunasubuli part 2
Nilikuwa nimeshamkumbuka victoria jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nann
@@user-nk6cy1ye7z Alikuwa ahonekani siku hizi
Leo tumeiyanza session yetu pendwa ❤
Yani huyu loveness anamchango mkubwa sana kunifanya nimfatilie donta tv ❤
Toka nicheki kijana muuza maji yani Hadi now mmenifanya nisikauke online big up team donta nawish siku Moja ningepata nafasi kuwa miongoni mwa team yenu asee
Naomba unijuze kijana muuza maji imeisha mimi mwendelezo cjauona kila cku natafuta ebo
kamaunamkubal Kelvin weka like hapa
Safi sana ndugu zangu mnazidi kuleta vitu vikubwa kuliko vilivyopita 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 mwenyezi mungu awape Zaid na zaidi
Kali sana kama unakubali DONTA Tv likes hapa🎉🎉🎉
nzr kulko hyo jamn nimeipendaa❤🎉
Donta tv kaz nzuri sana from pemb🎉🎉🎉🎉
Team strong bila kuachwa nyumba tukutane kwa comment team 2024 😂😂😂😂yaani lazma tutolee ukwiru apa nani ya UA-cam 😂wapi like zangu
😂😂😂😂😂😂tutulie
Yani kwanza mlipendeza sana halafu mmeweza sana sarut kwenu
Niliisubili kwa ham Sana jmn asanten sana❤
Mumetisha wanangu mungu awaongoze ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mumeanza na mwanzo mzuri nakubali hii movie yenu
Ila Victoria ungekuwa unavaa vigauni vifupi vya kumwaga au surual na blauzi pana sio kishati cha kubana ungebamba sanaaa
Mwendo mpya,safi sana kz nzuri sana kka kelvin hongera zko pokea🎉🎉🎉
Kazi nzuri jaman naomba hata like 10 jamani
Alafu kingine mtuogezee dakika mweke kma 40mins ivi itakua sawa
Daah kweli mnaweza aisee mmenifanya na data tuu wakali sana nyinyi
Kwanza sinuliz hazichoshii hongereni mno❤❤❤
Asante sana
Jamani Kelvin nimecelewa lakini naona mambo ni 🔥 Kelvin khan hanaga mbambamba kazi kwenda mbele pokea mauwa 🎉🎉🎉🎉yako
Jamani donta Tv hongereni sana kwenu❤❤❤❤❤Maaana kama ni filamu mmetowa KBX 🌹🌹🤲 alafu tunawaomba sana msiwe mnakawia kutowa Ep inayo fata please ❤❤❤
😢Acha kwnza nianze na kuwatakia happy new year naona huyu mwaka vitu nivikali sana mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi ya hizo na mzidi kutufurahish na kutupa mafunzo tofauti mbalIkiwe nawapenda sana lakini kelvi na love nawapend sana mnajua kunifurahisha snaa mbalikiw kw huu mwaka mpya
Aamiyn aaamiyn ❤
Sema hii team itafika mbali sana ina fanya kazi nzuri 🎉🎉🎉
Nice Kelvin nnmeipenda
❤❤❤ndugu yenu nipo kenya nawapenda🎉🎉🎉🎉🎉 aswa kelvin na loveness nawapenda sanammmmmmmmwwwwwwwaaaaaa
Ikiletwa kila siku itakuwa vizur zaid😊
Donta tv to the world love from Kenya 🇰🇪 to Tanzania 🇹🇿
Moto Umewakaaaa ❤❤❤
Kabixaaaa Yan mumeweza aky nyie mtanimalazie pexa kwa kulipia umeme ili itumie Wi-Fi daily
Katika picha nzuri hii mmeuwa Ni Kali balaa kikubwa tu Ni seme mungu as wabariki katika kazi zenu
Waaaaaah wa2 wote majini mpaka kelvin makubwa
Kelvin, Loveness Ndio mmevaa sare Maa Shaa Allah,,,, Kelvin Nelly ,, Brown ,mko Juu sna Mpo kama Mapacha
Kudos team donta family hii movie noma kw kweli imeua
Natamani Sana mutulete tamthilia kweny Azam tv
Jamani eeeh japokua kila siku wa mwixho ila uxiku ndio muda mzur wa kutazama tamthilia kama iiih tamu ila tupo sambamba
Loveness pammoja na kelven hawo watu wananifurahisha dontatv
Good quality, good production ,voice mastering and everything in this video is better ever congrats to Donta team 🎉🎉🔥🔥💥
Vampire basi wazuri ila munavaa vizuri sana 😂😂😂
Donta tv. Mmekua wa moto,
Hii naiona ya moto sana
Bas Mimi mwenzenu nawapenda mweeeh ❤💓💖❣️🥰💋💋💋💋
❤❤love it team donta tunawapenda sana,from kenya
Nakubaliiii Sana kalvin❤
Kazi mzuri sana Kaká funguwa mwaka
Naombeni like zenu mashabiki wa donta family
Nakubal sana mkuu ila bongomovie tunahitaj mpige hatua maswala ya kwamba vampire amepiga superblack nakuchonga haileti uhalisia
Daaah bonge la movie 🎥
Napenda sauti ya dada loveness❤
Loveness and Kelvin jaman I swear to God mnapendezana
Kelvin hapendez kuw na loo mbaya
Nipeni like zangu jmn nimewai kdg
Waah hiyo moto😅❤
God bless you people,, you always make us happy I love team Donta❤❤❤
Asante
Kaka Kelvin kazeni sana mbn nyie ni wasafi sana vampire
Duuh Kali sana Yan nataman hata kesho2 itoke maana
Waziii napenda sana hii aki😂😂❤❤❤❤❤
Ila bloo hongeren 🎉🎉🎉 kwa hii move n metisha hatal yaan kama mbele vile . God bless your job
All the best kaka kelvin c tunamaliza bundle zetu kwa ajili yenu!! So ❤❤❤to all, ila loveness kwa madeko tu kama katoto ka mwisho😂😂😂
Kweli kabisa😂😂
we acha😅😅😅😅😅
Waaah congratulations 👏👏❤❤❤❤
Hii kazi nzuri kuliko zilizopita
Much love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
Yeah hii dio nilikua naigoja sana😂😂😂💪💪💪💪
Nawpenda sana❤❤❤❤
Asante sana
kufanya kazi kwaumoja
bila pingamizi
Hiii watu mko fasta Donta tv mnajuwa sana mashallah❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana
Mashallah nilikua naisubir kw ham 🌹🌹
Kelvin napenda jisi mnacheza muvi zenu mimi napenda sanatenasana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Much love from zambia rusaka
Kazi nzuri sana iyi nomoto
More blessings to you donta tv team we always be happy for your films there are good messages
Move zenu akiwepo laveness ina noga kwa kweli🥰🥰
Umenenaa jmanii loveness ana Radha akee
Tunasubiria inayofata daika kdg jmn 🎉🎉
Mwaka mupya kwa team nziza ya donta tv, ila naomba iyi movie iwe ndefu tuzidi ku enjoy
Vampire love sasa muongeze masaa jmn ❤❤❤❤❤
Good job ❤❤❤
Nimechelewaaa sana lakin hii kitu ni tofaut na ubunifu zaid, I wish tutaenjoy zaid 🎉🎉🎉🎉🎉
Nzuri mashaallah ❤️
I think its high time you keep your series with subtitles kindly
I like it 🇭🇷🇹🇿
🔥🔥🔥 much love from 🇰🇪 mnafanya kazi zuri
Sijapenda brown hiyo mbaya sna
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote
wakenyaa 🇰🇪tukutane kwa likes Aaah jamani mbona tamu hii movie❤🎉🎉much love from kenya🎉
imeanza tuu tamu jamn itoweni kila siku
mwenyez mungu azidi kukuza vipaji vyenu
Hamjawahi tuangusha ,hongereni sana hii sio yakukosa ,muendelezo usichelewi plz🇧🇮
Mnaacha gape kubwa sana refushen kidogo du
Wapongeza sana hamtuachi tukaboeka kazi nzuri donta family🎉
Wa kwanza naomba like 🇰🇪🇰🇪💪
Donta tv for life ❤❤🔥
Nipe nanyi sako kw bako hadi kutazama filamu hii, nawapenda wakuu ❤❤❤
Nakupenda sana kivini ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila nampenda kelvin jaman
Team Donte TV u r in ur own world maintained it
Huyo mbaba kafanana na marehemu adamu kuambiana Allah ampnguzie adhab ya kabri 🙏🙏
Uku pand za zanzibar tunawakubar Mnatuerimisha kwakwer ❤❤❤
Vipande vyenu vifupi sana Yaani mnaishia mbali sana
Much respect 🔥🔥
nivizuri sana bila pinga mizi