Yeah baba, viewers milion10 ndani ya mwezi 1 nani anabisha, hii ngoma kali kinoma ckunyingi ulikuwa ujanifurahisha ila leo umenipa burudani ya nguvuuuuu! yeah baba
Wale wote waliodislike hii video Team Mondi! Hata hivyo Kiba is the King! I listen to all the artist Mond +Kiba but I like utunzi wa Kiba....keep going bro♥️♥️♥️♥️
Team mziki mzuri ...Tujuane hapa....Jesh la mtu mmoja....dah...ngoma mmoja inakusanya nyimbo zao za mwaka mzima.....mistari simple.....sikio halikatai mziki mzuri hata siku moja
We lived in Dar from Feb ‘08 to May ‘11, my son was 3 y/o back then, now, he turned 16 and loves playing this song on the radio via tune in, it takes us back to the good times in Tanzania, we love the rythm, glad I found the video on UA-cam. Greetings from South Florida, USA
@@dymarjunior9199 najua hujasikia habari za ngono humu ndo maana unaona hakuna nyimbo mzee. Pole. Never mind chibu anakuandalia dozi ya matusi kwenye ngoma ijayo boss.
Alikiba will always be a king..even though UA-cam are stealing your views..as your Kenyan fun nakupenda alikiba #team kiba for life 🇰🇪🇰🇪 Teamkiba give me some likes
@@leticiachunga9118 Hahahahaaaaa!!nacheka kama uliyoniambia nimazr japo umeyatoa kama vile umekatwa kichwa #mchezo usiucheze wewe#maana hauamini unachokiona na leo nihuku kwetu mwanza ndani ya ccm kirumba@nyege...nyege..nyegezi #wasafi festival 2018
Chris Breezy karibu na huku utafrahi .cover ya Maher zain Arabic version nmefanya mwenyewe .its official ua-cam.com/video/VEbezgrNzHw/v-deo.html. ukipenda usiache kusubscribe
Ukiwa na roho mbaya ukiusikiliza huu wimbo utajikuta ushadanja muda, huu wimbo waweza kubandika maharage jikoni bila kuwasha gas ukakuta yashaiva Mwenye kipaji chake karudi Wanyoooshe 👑 king #TeamKibaOyeeeee
kadogo kanapenda keroro keroro keroro kadogo kanapenda keroro kembamba kadogo kanapenda keroro nikamuuliza, anatoka 254 Mombasa kwa wanjanja janja ananikosha roho she must be there she would be there(wouwo kadogo dogo) mnawakataa machali mnawataka mamanzi mnanikulia vako sio (eeh baba)
mnawataka maboys mnawakata wadosi mnanikulia vako sio (eeh baba) mnawakata machali mnawataka mamanzi mnanikulia vako sio (eeh baba) mnawataka maboys mnawakata wadosi mnanikulia vako sio (eeh baba) kadogo kanapenda keroro keroro keroro kadogo kanapenda keroro kembamba kadogo kanapenda keroro akaja Bongo aaah akaja akaja Bongo keroro akitwika anayumba yumba keroro naskia am in love sio kidogo anaweza love ananikosha kwa vile, vile anavyodance aaah ananikosha she must be there she would be there(wouwo kadogo dogo) mnawakataa machali mnawataka mamanzi mnanikulia vako sio (eeh baba) mnawataka maboys mnawakata wadosi mnanikulia vako sio (eeh baba) mnawakata machali mnawataka mamanzi mnanikulia vako sio (eeh baba) mnawataka maboys mnawakata wadosi mnanikulia vako sio (eeh baba) kadogo kanapenda keroro keroro keroro kadogo kanapenda keroro kembamba kadogo kanapenda keroro kadogo kadogo dogo kananimalizaaa kananikosha rohoo rohooo kadogo kadogo dogo kananimalizaaa nikosha rohoo rohooo yangu weeeh
Yeah baba, viewers milion10 ndani ya mwezi 1 nani anabisha, hii ngoma kali kinoma ckunyingi ulikuwa ujanifurahisha ila leo umenipa burudani ya nguvuuuuu! yeah baba
Alikiba🔥🔥🔥...ngoma tamu dah..ungeeka pia kata maji...wapi likes za eastafrica kwa mpigo...
Aseeh ni zaid ya hatari
Team 254 tumetii. Ngoma mia fil mia imetulia kinoma
Biti Kama hiii tuleteee nyimbo
wambie wenzako huku kumechafuka 🌱👍✨✨✨
🎉😊👏😁👏😃🎉
Congratulations!
Keroro 😃😃😃 wee kenya imekumeza #king kiba unstoppable yaaaoo
kadogo kadogo kananimalizaaa aya yaaaa #kadogo ni🌏🔥🔥🔥🎷🎹🎻🎼🎶🎵🎸🎺🎤🎧 daaaah hii kitu nzuri sana gonga like twendeelee kuitazama kadogo
Only Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 and ALIKIBA know what MZINGA and KERORO is 😂😂 The rest are just vibing 😂 Idumu jumuiya yetu Afrika Mashariki KE/TZ 💪
,🤣🤣🤣 funny!
Tell us oh!
Wdymmm
Ooh really ,we know what mzinga is
@@ffi1001keroro and mzinga are alcohol in our hood language
Hata mukigandisha vpii sisi tuta support KINNNGGGGG
kweliii kabisaa
Kama unairudia rudia Hii ngoma Gonga Like 🤗🤗🤗
Real tanzanian music
Aww team kiba ikowap vile 😂😂😂😂💛💛💜💜💪
Wale wote waliodislike hii video Team Mondi! Hata hivyo Kiba is the King! I listen to all the artist Mond +Kiba but I like utunzi wa Kiba....keep going bro♥️♥️♥️♥️
Kingkiba for life first viewer likes zangu jamani +(254)kenyaaaaaaa.Kama unamkubali kiba Gonga like Kings Music👏👏👏
Try to be absent sometimes😂😂😂
Mwana uko na fayaa
@@kenyamoja961 😂😂😂😂😂spare my ribs bruvv😂😂👏
@@dennicmtn5269 👏👏👏💪
Aiseee
Jamani huyu king kiba noma goma tam inaisha bila kujuwa
Team mziki mzuri ...Tujuane hapa....Jesh la mtu mmoja....dah...ngoma mmoja inakusanya nyimbo zao za mwaka mzima.....mistari simple.....sikio halikatai mziki mzuri hata siku moja
kabisa, hatari na nusu...
Duh huu wimbo inatibu kansa na busha Bila uperesheni
#yebaba
Jay Mp kabisa
Duh...tuwapelekee wagonjwa basi
nimeangalia nikiwa na wazazi wng wote yani wamefrahi mno video ya heshima sana hongera King
umeona e hii ndo sanaa sio ngoma video ambazo huwez angalia ukiwa na wazazi
Diva Diva sanaaaaa
Diva Diva ata mama mkwe anaangalia tu
kbsa aseee
Nimeacha ubishi sasa kiba namkubali Jomon 😝😝😋😘
We lived in Dar from Feb ‘08 to May ‘11, my son was 3 y/o back then, now, he turned 16 and loves playing this song on the radio via tune in, it takes us back to the good times in Tanzania, we love the rythm, glad I found the video on UA-cam. Greetings from South Florida, USA
001...Mombasa Kenya...Thankyou kiba
Hata Mimi nastahili like aiseee...+254 ...present..
sisi mashabiki zako tunamis mitusi yako😂😂mana kule nyimbo bila ya mitusi inakua sio nyimbo ngoma🔥🔥🔥🔥shikamoo kiba
😂😂😂
Hapa ni full raha
Ali wambie Kamanda ni Ali Kiba
Ali Mwagelo yaani acha tu tupe music ndio huu
Jinga😀
Its so hit song 2018 , usijisahau tena broh team matusi hawakosi cha kuongea , Changamkia kombe baba la baba
humu ndani bado mpo kweli team King gonga like Leo.
254 keroro... King kiba usisahau kukata maji
🔥🔥 ngoma tamu
Jessy Jessica toto 😘😘
254 like zenu
Duuh umetixha king of bongo ngoma Kali balaa
"ngoma tam knoma yan"
ua-cam.com/video/s4krdmkcdik/v-deo.html
Boardo
Kingkiba
yani nime play Mara za kutosha congrts you made it sound more firee
+254 ucpite gonga like.. Bonge LA nyimbo🙌🙌🙌
Big up kiba
Ding wa bongo flava
Anayeiskiliza hii ngoma 2024 aungane na mm kwa ku gonga like 😅plzzz
Dah Yani huyu jamaa fundi mziki ni wa taratibu Kama yeye mwenyewe
Ambae Yuko. Pamoja na king kiba gonga like yako hapa
Ally Kiba ni more than more FIRE💯💯
hi kopo ni noma!!! team kiba ucKOSe kugonga LIKE!!
Hiko tu juuu sana
simba aacha pori yuko town anasumbua mji kiba fireee💥💥💥💥kiba forever✌✌✌team kiba piga kelelee woyooooo oi oi Tz tunawakilisha
Hakuna nyimboo humooo lbdaa sautiii tuuu hhhhhh
Kenya 2naongoza simba amekua shabiki wa prima hair ya hamisa kutwa kuzibadili
Dymar Junior polee mzee baba utakufa na kisiran ila kiba forever
@@dymarjunior9199 sauti inakutoboa skio mutapata tabu sana kiba yebabaa
@@dymarjunior9199 najua hujasikia habari za ngono humu ndo maana unaona hakuna nyimbo mzee. Pole. Never mind chibu anakuandalia dozi ya matusi kwenye ngoma ijayo boss.
You are unstoppable king of bongo fleva yooooooooo
Jamani tuseme ukweli.. Hili goma kiba kaua sana... Tia like ku support kiba 👑
Sanaa
jaman mbna wimbo hauongezek nawakat me niko natazama kila wakat
Great 🔥🔥 Kako Tu kadogo ..Amina wa alikiba kutoka 254 ..Amina hananga mengi kujitulia Tu,Raha za mitadaoni kadogo hapedi
001 kadogo kanapenda keroro katoto kadogo kadogo kananikosha roho ,,,appreciating yu king kibaaaaa!!
249 Khartoum sudan hiki kichupa unaweza katia tickert buuuuuureeeee ok naomba like zakutoshaaa team mziki mzurii tm kiba mofaya 4 life yoooooo
King pambana 👑👑👑
vipi Khartoum king wanapenda nyimbo zake
Hakuna kama Kiba jomon just kis 4u mmwaaaaaah
Kabisa
Just thought of kibengbeng wa mine, kadogo na kanapenda keroro. Sio siri. Hit noma
Alikiba siku hiz unatuweza kwel huk rockstar na huk king's music record. nishida. like kwa wing teamkiba. msininyime please like.
Thanks
Poa
Finally Ali Kiba unleashes his full potential. Diamond Platnumz has nothing on you. 🔥 #watajua_hawajui
Watajua hawajui
Can’t they all be good, why must be either or? Fucking morons thrive on useless rivalries
Mashabiki wa Ali kiba wapi like
Bado Toto la Mama kiba wewe Mungu akulinde 🎉🎉
Hukosei kk mungu akuongoze ss wapenda burudan
Piteni na like hapaaa, naskia wale jamaaa hawali ili kuishusha hiii ngoma watasubiri sanaaaa # mzikibilakikimbonatunatusuatu.@kingkiba for life
Hapo kabsaaa kings music records for life
Kenyaaaaaaa in the building baby🙌🙌🙌🙌🙌🙌+(254)Mofayaaaaaa👏👏👏👏king kibaaaaaaaaa yoooooooo
Uko juuu
Kawapendelea wakenya 😂😂😂
@@pendolinapendo2657 Thanks👏
@@samirymickdady8131 😂😂😂kama kawaida
ikooo kizaz king kauaa
Ali my nameshake is always the bongo master👏👏👏👍👍
Hongera king kiba kwa kazi yako nzuri huku kwetu zanzibar ndo wimbo wa taifa
Muongo😬
@@abdulkheiry3397 yni utaki asifiwe king kama ni domo amebaki kubadili nywele ashindana na zari nyooo king uko juu
🔥🔥🔥
Eee kadogo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ninoma
Kama unamkubal king Kiba usisite kuweka like yako ya nguvu hapa.
Listening thiz... it's almost 2023 and iam in love with this song....salute AlikibaYeah baba...number one
Same
Yani ataa like kumi tu dah bonge ya wimbooooo #Alikiba 😁😁😁
Twaa nakupa pongezi
Kam we unapenda #Ali kwa dhati Acha like hata hata #10000
Nampend kiba ile mbaya
Kiba uko juu
Team 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 walevi Sacco gonga like tukilewa
Issa weekend affair 😂😂😂😂😂😂
🤕🤕🤕🤕kamzinga ndio nataka sasa
Somali bt niko group wa ali kipa
nelly orenja mwendo ni wa keroro na mzinga 😅😅🔥
Alikiba always be the king everything.....l celebrate you my legend
Yeebaba watu wangu wa +254 leteni likes zenyu msinibwage kisha tushushie na Mo🔥🔥🔥🔥🔥
Alikiba will always be a king..even though UA-cam are stealing your views..as your Kenyan fun nakupenda alikiba #team kiba for life 🇰🇪🇰🇪
Teamkiba give me some likes
🇰🇪 Kenya
Safiii!!!! Nakupenda brother sio matuc
Huyu ni mwanamziki xio mxanii
Ume gonga ndipo!!!team KIBA for life
😂😂😂 mtaibiwa hadi wake zenu mamamaeeeee. Mnashindana na simba, mtabaki mifupa
Hata ukasifia chupi bado twakushangilia tu. Kiba more fire
nassoro hamadi ivooooooooo
nassoro hamadi yebaba
Sana sana tu
001 msa kitaka kura za Ugavana pia atapata
Alikiba king of bongo . My favorite artist love you from Migorian massive💪
Hatimaye Naweza kusikia #kenyan fleva Kupitia 255 #k👑ng ni 🔥 #maandamano yanaruhusiwa...
Nice
nyimbo tam yakufunga mwaka
LOLEZA TV vp babu
haya kumekucha tunamuangalia boss wetu king kiba nakagua kazi zake zote apa napitia masozy
LOLEZA TV you crazy
This is what called goodmusic jaman team kiba msipo nipa likes nakufa hata kam nimechelewa
😂😂😂usife jmn
Innovator TZ
😀😀😀😀😀😀👈👈
@@zahararajabu4169 😂😂ckufi tena
@@railamypresidentrailamypre629 😂😂
likes unapata usifeee
Mfalme wa bongo flevar mzee wa 001 Hatari sana, pole sana Ally Kiba kwa kuondokewa na baba mzazi allah amfanyie wepesi ktk safar yake ...
Wapi likes za 2024 hapa😂
😂👍🏿👍🏿
Ngoma kalii like hii 001 ahahahaha kila Mara naangalia haichoshii 🎶🎶🎶🔥🔥🔥😍😍😍😍😇✔🇹🇿🇹🇿🌟💞💞💞💞💞💞💣💣💣💜💜💜💜💜💜 watu wangu😍😍🙏🙏🙈🙈
Nimeukubari sanaaaaaa
umepata zaid ...a seeee
Rafiki naomba saport yako🙏 kwa kutembelee 🚶chanel yangu inayo usika na vichekesho😂 kisha usubscriber
ASANTE🙏
Angely Leonard Kiula p
Jack Umeme pouwaaa
no comety kwako king
ili dude asee funika bovu mamaeee beat ili sio la nchi hii yaani ni bonge la mdundo kwl king ww ni king ukosei asee
Naona East Africa nzima kwa muziki, Wasanii wa Tanzania wanaongoza kwa ngoma kali. Tanzania oyeeeeee
hatareee faya paka uku marekani wale raia wa nigeria cameroon yani wanan heeshimu atal
King ni mmoja tu mpaka afe kiba
Kadogo from 254...…King kiba kazi nzuri.....like Kama ww ni from 254
This is the king of bongo music...no debate mob love from 254..drop your likes here
The King himself.. no debate on that👌🔝💕🔥🔥
254🇰🇪😇❤️
Genge + Bongo = 🔥
Kevin Bosco Jnr.. Directed it
proudly Kenyan
Genge?What is that
Few but quality ya hali juu.... Timeless hongera Kiba... ❤
Kusema kweli ALI yuko sawa sana. beat pia ni👌.
Kadago ❤
Kwel hana mpingamizi maana ngoma zake ni level za chini sana,hawez pata mpingamizi kabisa
@@ibrahimclement4528 utakuwa mchawi wewe, elements za uchawi zote unazo na umetuoneshea
@@leticiachunga9118 Hahahahaaaaa!!nacheka kama uliyoniambia nimazr japo umeyatoa kama vile umekatwa kichwa #mchezo usiucheze wewe#maana hauamini unachokiona na leo nihuku kwetu mwanza ndani ya ccm kirumba@nyege...nyege..nyegezi #wasafi festival 2018
@@ibrahimclement4528 wew level yako ya juu ipo wap tuoneshe, roho mbaya ya nn lakn? Aiseeeeee
Mfalme ni mfalme tu Kiba hiii ni hiioooohit 2018 waaah Kadogo.
Chris Breezy karibu na huku utafrahi .cover ya Maher zain Arabic version nmefanya mwenyewe .its official ua-cam.com/video/VEbezgrNzHw/v-deo.html. ukipenda usiache kusubscribe
O
Mustapha Zain Official Sawa mkubwa watoka wapiii
danford gombania Unasemajeee yoooo
Mwenzako kafungiwa kisa mambo yake ya dharau na kukosa heshima.. Pongezi kwa king kiba kwa kua na nidhamu inayokufanya had Leo usimame kwa umakini
Kweli kabisa
Exactly bro
Ukwel mtupu
Yebaba
😀😀😀😀😀uyu jamaa hafai sanaaa, , anajua hadi anakela, , , 2020 nasikiliza huu wimbo , , , mm kadogo pia😍😍😍
Alikiba supa heroooooh yebaba mpaka mwaka uishe hiyo ngoma ibaki hapo hapo one trending one
*Kama umeuelewa msiki mzuri kutoka kwa king ALIKIBA like twende pamoja*
B12 Chomolla n
.
We love thy boy Alikiba like 001
Da sina usem jaman
B12 Chomolla twendwe pamoja
King kiba yebaba tukutane next door arena tarehe 29
Tutakua pa1 mzee baba kuanzia fiesta mpka 29th Dec funga mwakaaa inshallah sikosiiii
From 🇺🇸 and loving the african beats yeee baba 😅😅🎉🎉🎉
Big shout out to king Kiba from Kenya.. 🔥🔥
Ali Kiba hana presha, anajua ubora wa uwezo wake wa kuimba... like kama unamkubal KIBA Gonga LIKE
🙄🙄🙄
Hii nyimbo unaweza ukapigia punyeto alisikika mlevi mmoja akisema
David Avda 🤣🤣🤣😂
Mamaaaaa nakufaaa 😂😂😂
David Avda dah
😂😂😂😂
😂😂😂😂💥💥🤙
Namkubali sana huyu mkaka nazipenda nyimbo zake wala haziniishi hamu
Ukiwa na roho mbaya ukiusikiliza huu wimbo utajikuta ushadanja muda, huu wimbo waweza kubandika maharage jikoni bila kuwasha gas ukakuta yashaiva Mwenye kipaji chake karudi Wanyoooshe 👑 king #TeamKibaOyeeeee
Jimmy Jay oyeeeeee
Kabisa hahaaaahaaaa 😁 👍
@@alfaksadjubeck3780 Mofayaaaaa sana kaka
@@hadija846 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 💪 King ndo kila kitu
😁😁😁😁😁
Mashallah bonge la ngoma.... ..... 💕💕💕 weka like 001 represent... kidogo Dogo
Nimeikubali sana bonge la ngoma
Meg C ...001 here means Mombasa County where King Kiba got his wife.
Been searching for you Nasra 😍. So glad to find you here.
@Meg C hata #Habeeby ni bonge la ngoma...big up sis
Huyu ni Meg C yule mwimbaji wa kitambo kile?
😋😋😋😋💞💝...Wallaih hii song inafaa kuombea mkopo..🤣🤣..team kiba like hapa plz ili tujuane.😍😍
Jamaa anajuw xna
Hahahha
MWENYEWE 💪👊 Niko hapa hata 2024 ✅
Jaman team kibaaaaa mko wap nipen like zang
noms
Nalike hiyo
Kama unakubali king kiba is the African king angusha like.....mahaters kado...#alikiba the African king
Alikiba ana taste ya song
like yngu kwa upzuri gani
Babo angusha jiwe juu ya jiwe
King kiba......moto kama Pasi.........team wasafi wanasema siezi fikisha likes kumi.......team kiba muko wapi...Nile like ya mfalme
tuko hapa
@@gichuruchristine4343 wsup
Yeeebaaabaa
Uyuuu jamaa
King 👑 kiba 4real
Joho has partially marketed this song in kenya after his moves many came to search this video keep up alikiba
Mombasa south coast like kama zoteee
kadogo kanapenda keroro
keroro keroro
kadogo kanapenda keroro
kembamba kadogo
kanapenda keroro
nikamuuliza, anatoka 254
Mombasa kwa wanjanja janja
ananikosha roho
she must be there
she would be there(wouwo kadogo dogo)
mnawakataa machali
mnawataka mamanzi
mnanikulia vako sio
(eeh baba)
mnawataka maboys
mnawakata wadosi
mnanikulia vako sio
(eeh baba)
mnawakata machali
mnawataka mamanzi
mnanikulia vako sio
(eeh baba)
mnawataka maboys
mnawakata wadosi
mnanikulia vako sio
(eeh baba)
kadogo kanapenda keroro
keroro keroro
kadogo kanapenda keroro
kembamba kadogo
kanapenda keroro
akaja Bongo aaah
akaja akaja Bongo keroro
akitwika anayumba yumba keroro
naskia am in love sio kidogo
anaweza love ananikosha
kwa vile, vile
anavyodance aaah ananikosha
she must be there
she would be there(wouwo kadogo dogo)
mnawakataa machali
mnawataka mamanzi
mnanikulia vako sio
(eeh baba)
mnawataka maboys
mnawakata wadosi
mnanikulia vako sio
(eeh baba)
mnawakata machali
mnawataka mamanzi
mnanikulia vako sio
(eeh baba)
mnawataka maboys
mnawakata wadosi
mnanikulia vako sio
(eeh baba)
kadogo kanapenda keroro
keroro keroro
kadogo kanapenda keroro
kembamba kadogo
kanapenda keroro
kadogo kadogo dogo
kananimalizaaa
kananikosha rohoo rohooo
kadogo kadogo dogo
kananimalizaaa
nikosha rohoo
rohooo yangu weeeh
joseph michael 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@@hassansaid9925 PAMOJA BROO
Uko vzr Ila pale anatwika sio sema Ana drink..... but👋👋👋👋👋👋👋👋👋
Wooow
@@stevenromanos5290 hahahahah pamoja broo
ALIKIBA ni PESA kutoka TANZANIA 🇹🇿 thamani yake hata MAGUFULI hawezi kuimiliki.
Faiz Mahmood hahahah safiiiiii
Really love it I'm 4rm Uganda the pearl of Africa
nyimbo IPO vizuri sana kama kwer twende sawa
254 watching.....hapo kwa 001 Kitaeleweka zaidi
Mombasa is my mother home am proud of it kwa mombasa kwa watoto wazuri mashallah
nampenda sana alikiba i wish angekua mkenya
Nawaza tu ;Wasanii wote bongo wangekua kama Kiba sizani kama kungekua na haja yakua na Basata.
😂😂😂😂kbx hilo umsemaaa
😀😀😀😝😝😘 acha tyu
Umewaza sana
Kweli
Mariam Abdallah hahahaha basata ya nn