WOMAN MATTERS: HIVI MWANAMKE AKIWA NA TUMBO KUBWA HUMPUNGUZIA CONFIDENCE/ KUJIAMINI? NINI KIFANYIKE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 376

  • @dance_with_conso7456
    @dance_with_conso7456 4 роки тому +29

    This is what Tanzanians need...keep up spreading the awareness....what we need is simply awareness ❤️much love

  • @vailethelias4170
    @vailethelias4170 4 роки тому +16

    Kama pana kipindi mmefundisha ni Leo....my husband use to criticise me coz napenda kufuatilia show yenu especially with dr jj but Leo kaaprociate hadi amenihot sport ...you dd a great job thanx🥰💃

  • @ladysalimkabora9952
    @ladysalimkabora9952 4 роки тому +2

    Dr. Mwaka yupo sahihi sana. Tumbo halipungui haraka taratibu sana kuliko sehemu nyingne za mwili. 👏👏👏🔥🔥🔥🔥

    • @neemajacob418
      @neemajacob418 4 роки тому

      Umejuaje mwenzangu acha tu😂😂

  • @susancharles1660
    @susancharles1660 4 роки тому +2

    Dr.Mwaka you are the best.Kuanzia leo nitazingatia chakula ninachokula.

  • @hannahathanas1503
    @hannahathanas1503 4 роки тому +4

    Naipenda sana hii mada Mie naiskilizia nikiwa Marekani 🙏🏽🙏🏽Lilian mwasha Mungu Awabariki💪🏼

  • @medicalphysicsbiomedicalen1707
    @medicalphysicsbiomedicalen1707 4 роки тому +12

    Leo mmeua sana, big up, mmependeza wote, timu iko powa, hakuna makelele n.k. much love from Italy ❤

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 4 роки тому +15

    The doctor his on point : you are what you eat 👌🏾

  • @abdallahkiliaki7299
    @abdallahkiliaki7299 4 роки тому +7

    Lillian, why don't these women panelists listen and pay attention to what Dr. Mwaka is saying? As I have repeatedly said in the past, "please, you women, puncture your preconceived ideas". Do you want to be productive counselors to your fellow women or not? Learn to listen, learn to appreciate!

  • @geraldjoel5727
    @geraldjoel5727 4 роки тому +35

    Ila Lilian Mwasha ana kipaji kikubwa sana cha kutangaza

    • @ashahussein3247
      @ashahussein3247 4 роки тому

      Ila anafujo kelele mbele ya camera

    • @mwasitiiddy7425
      @mwasitiiddy7425 4 роки тому +1

      Anatak kuongea yy tu kipind kizima awap nafas wagen

  • @aronnasloyaljr7945
    @aronnasloyaljr7945 4 роки тому +3

    Dr mwaka I appreciate this guy

  • @christinainnocent5728
    @christinainnocent5728 4 роки тому +3

    Kipindi kizuri sana mimi Mama Bushanga niko Amerca Ohio naangalia saa hizi na nimependa sana hii topic ushauri wangu topic kama hii mumpe nafasi kubwa Dr kuongea sababu ni mwanaume ili sisi wanawake tuwajue wanaume na waume zetu ili tuje la kufanya majini ya kuishi nao. Hongera sana wasafi TV

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 роки тому +22

    Msione wazungu celebraties tu, njooni mitaani muone reality wazungu walivyonamatumbo. Wanakula ovyo majunk food na bears hana mwisho wa time ya kula mpaka usiku wa saa sita anakula tu. Na ndio wengi wapo hivyo. "ANGALIENI KIPINDI CHA U ARE WHAT U EAT" Na ndivyo walivyo wengi mitaani vile.

    • @salomemgaya1244
      @salomemgaya1244 4 роки тому

      Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh

    • @sifajoseph7847
      @sifajoseph7847 4 роки тому

      Mmh,

    • @sifajoseph7847
      @sifajoseph7847 4 роки тому

      Mmmmmm

    • @themagadir
      @themagadir 4 роки тому +2

      That's very true wazungu blacks na whites wengi ni vibonge sana wale kwenye movies they work hard na wanachujwa out of many kupatikana . lakini sisi tukiona movies tunaona wazungu wote wako kama walivo kwenye movies

    • @sajeedabilal74
      @sajeedabilal74 4 роки тому

      @@themagadir Very true

  • @wardapapa331
    @wardapapa331 4 роки тому +2

    Asante Sana doct mwaka kwa kipindi CA kupunguza tumbo

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 4 роки тому +2

    Kwa kweli am here for you Dkt Mwaka

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 4 роки тому +1

    Big up Mr HeA Dr Boaz Mkumbo, Sayansi ya mapishi unayotufundisha. Ulaji unaofaa ndiyo suluhisho la kutokuwa na kitambi.

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 4 роки тому +24

    Mimi kwa kweli kipindi hiki akiwepo Dk Mwaka napenda kuangalia

  • @sharmallamossi7856
    @sharmallamossi7856 2 роки тому

    Kwakweli tunashukuru kwakweli sisi wenye tunamatumbo Allah awalipe Amin nawapenda Saaaan 🙏❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 4 роки тому +4

    watu wa vitambi vya dharura gongeni like.....Nimecheka aki

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 роки тому +13

    Tatizo ni magonjwa ya sukari, eneo la tumbo la mwanamke linatakiwa kuwa chini ya inchi 35,na mwanamme chini ya inchi 40 tujitahidi tuwe hapo kwenye hivyo vipimo kunusuru afya zetu.
    Ulaji wa vyakula vya wanga sana sahani unajaza kama hamna kesho, tule portion ndogo ya chakula, mwanzoni utaona njaa sana lakini mwili utazoea baada ya muda mrefu, halafu kula kula hovyo tuache tuwe na ratiba maalumu.

  • @خسنموس
    @خسنموس 4 роки тому +168

    Kama unaipenda Women Matters gonga like hapa

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 4 роки тому +18

    Mimi mnaniuzi mnavyoongea nyie wamama tulieni muongee mmoja mmoja bas mwaka ana pont sana tatizo wanamkatisha katisha

  • @marrykwamboka2637
    @marrykwamboka2637 3 роки тому

    Asante kwakunielimisha Mimi Niko na swali Dr. Huwo changanyiko unachemushwa ama unakunywa ifo

  • @alwysalehmohamedalammary3507
    @alwysalehmohamedalammary3507 4 роки тому +1

    Doctor mwaka your genius...

  • @daisybuyantsi5953
    @daisybuyantsi5953 3 роки тому +1

    Ukweli kabisa doctor, mm mnono chini tu huwa nakunywa maji warm kila wakati,na nko over 40

  • @mariamshee934
    @mariamshee934 4 роки тому +2

    Doctor mwaka ongea sana wajichonge kama kalamu kisha waelewe mwanaume wamwanamke mmoja hajazaliwa

    • @roselinebernard1421
      @roselinebernard1421 4 роки тому

      Mimi nataka wembamba ambao hawajasilitiwa waje hapa watupe mahope

  • @fatnahsaleh860
    @fatnahsaleh860 4 роки тому +4

    Woooooow Women matters ya leo noma🔥🔥. Party 2 plse Liliane Mwasha 🙏🤗#Wcb4life

  • @shadbackck
    @shadbackck 4 роки тому +1

    Wazungu pia wana chakufunga tumbo wala msijidanganye, tena wao, wanafunga ao kubana tumbo tuka bado wako wajawazito, pia maumbile ya watu ni tofauti.

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому

    Nawapenda madokta wote mnaowaletaga ila zaidi dokta mwaka

  • @saidmwakulika706
    @saidmwakulika706 3 роки тому

    Lizigo hatulipendagi nyumbani Asante Kaka mwaka🙏🙏🙏

  • @hildamasonda3243
    @hildamasonda3243 4 роки тому

    Women matter woooooh htr kuna point nzuri sanaaa hapa

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 4 роки тому +2

    Ila Doctor yupo sahihi maana anakwenda na fact🙏🙏

  • @neemagift4921
    @neemagift4921 4 роки тому +1

    Hongereni sana mmependeza na umetufundisha mambo mazuri sana bigup

  • @patrickjerome4813
    @patrickjerome4813 4 роки тому +4

    Big up to the women matters from wasafi media

  • @jocelinejohn7294
    @jocelinejohn7294 4 роки тому

    Mm nampenda Dr mwaka jaman 💕💕💕Mungu amtunze nimepata somo kubwa mnoo na wakina mama and mko vizur jaman

  • @marianelmi6168
    @marianelmi6168 4 роки тому +1

    Lilian thank you so much .
    Umeondoa music
    Sasa tunakuskia vizuri.

  • @fatumamusa3704
    @fatumamusa3704 4 роки тому +2

    This topic is ,real love it

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 роки тому +11

    Ssa doctor ww mwenyewe unatumbo huna mvuto unadhani wanawake na wao hawaoni wanaume wanaowavutia nje? Ndoa ni mapenzi na huruma kama mnakosa hayo mtapata taabu sana mana wazuri na wenye mvuto ni wengi (wanawake/wanaume).

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 роки тому +1

      Na utasemaje inategemea na pesa, issue sio pesa ni kupendwa. Na km pesa basi hata w'ke wapo wenye pesa na matumbo na wametulia na waume zao ima kwa pesa zao au maridhiano.

    • @ghanimaali4507
      @ghanimaali4507 4 роки тому +1

      ww ndio umeongea point

  • @rukiamwinyihija7849
    @rukiamwinyihija7849 4 роки тому

    Ahsante Dr,nimejifunza kitu kizuri mno leo. Alhamdullilah.

  • @Sppah697
    @Sppah697 4 роки тому +7

    Tunahitaji muendelezo wa hiki kipindi jamani! Ili dr. Mwaka atuelimishe afya zetu!

  • @claircherutoolinyo9977
    @claircherutoolinyo9977 4 роки тому +3

    Amazing.. Nimependa show

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 4 роки тому +3

    mashaa Allah ... dr mwaka keep it up 💕

  • @christinainnocent5728
    @christinainnocent5728 4 роки тому +1

    Kutongozana ni njia aliweka Mungu.kyanza mahusiano hakuna cheap si.mwanaume si.mwanamke ndio.chanzo cha ndoa kubadili alivyopanga Mungu

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 4 роки тому +1

    Kusema ukweli Dr mwaka kupinguza tumbo ni kazi kweli mm nimeanza muda wa miezi 6 sasa lkn namshukuru mungu nimefanikiwa kupunguza 18 lkn ni shida sana mpaka nimefikia hapo

  • @levinamalya715
    @levinamalya715 4 роки тому +3

    Kwakweli leo nimepata somo zuri Sana maana hata mm ni muhanga wa kitambi

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 Рік тому

    Mbarikiwe saaaaana kbisa nafurahi🎉😂😂😊😊🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤗🤗

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 4 роки тому

    Safi sana. Mwili wa binadamu unaweza kuzoea chochote

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 4 роки тому +8

    Hoyoo docter ameyafikisha aliyoo yasema mtume we2 muhamad swalaAllaahu alayhiii waslam alisema hayoo yotee kwamba usile mpka uonee njaa na ukilaa usilee ukashibaa fungaa zaswaumuu n.k

  • @khadijahamdani1893
    @khadijahamdani1893 4 роки тому +2

    Naomba Dr. Atuelezee kuhusu kulala maana alianza kusema akakatishwa hakuendelea tena

  • @johanajoseph878
    @johanajoseph878 2 роки тому

    Mada tam na nzuri Sana ila mnaingiliana mno wakati mtu anatoa point. Subirini.... aongee mojamoja hadi amalize

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 4 роки тому +2

    Mi Mwenyewe Miss Bantu Hawanivutii Wallah Hawa Nimemwachia Kipozeo. Mi Mwembamba Ananiumiza Sana Ila Asiwe Na Ule Wembamba Wa Kuchukiza Maana Kuna Wembamba Mwingine....................!!!!!

    • @jazilambaji2789
      @jazilambaji2789 4 роки тому

      Naomba muendeleze hii mada inagusa sana hasa kwa afya ya mwanamke na pia mtuelekeze huo mchanganyiko twatia maji kias gn wakat wa kusaga?asanten sana

  • @RoseJackson-d6e
    @RoseJackson-d6e 10 місяців тому

    Lilian pls ask doctor , which we've to take even to reduce the tummy

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому

    Naipenda sana women matters jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤✌👌

  • @samiraallykayitesi7642
    @samiraallykayitesi7642 4 роки тому

    Dr tunakupenda sana thanks

  • @Watema23
    @Watema23 4 роки тому +2

    Hapo kidogo Dr Mwaka umetereza eti mwanaume hana Estrogen. Mwnaume anayo ila sio nyingi kama mwanamke...estrogen ikiwa nyingi kwenye mwanaume inaweza kumpelekea kuwa na maziwa ( breast) kubwa. Kwan mwanauma ana estradiol ambayo ina msaidia kuzalisha nguvu za kiume...vile kwa mwanamke ni estrogen. So, mwaname ana estrogen hormone ambayo inasaidia sana brain energy .

  • @mu-crzymahez9229
    @mu-crzymahez9229 4 роки тому +6

    ila dokt.MWaka anamabalaa huyu baba

  • @irenemsengi6578
    @irenemsengi6578 4 роки тому

    Dr mwakaa I love you nakukubalii Saana mzee baba

  • @ramlajuma1598
    @ramlajuma1598 4 роки тому +1

    Dr mwaka 💃💃💃

  • @magrethsanga-kaufmann8501
    @magrethsanga-kaufmann8501 4 роки тому +2

    Wazungu Hawali manyama na mitori wamezaa leo wanakula mikate na salat

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 роки тому +6

    Kelele moja kwa JJ yake,weweeee👏🏽👏🏽

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 4 роки тому

    Hayo yote ni sawa lakini lakini kumbukeni unaweza kupata hata ulemavu...acheni kuwa MATERIAL.. mwanaume mwenye dini atampenda mke wake hata kama yuko vipi.. Luna unene ambao unatokana na genetics au hormone fluctuation...mi siamni sana katika hayo

  • @mwanaidkhamis7192
    @mwanaidkhamis7192 4 роки тому +1

    Mm nafikiri ifike wakati wanawake tulitambue Hilo na inawezekana mtu kibaki na Shep yako hata Kama umezaa .
    Yaan mm nimeweza ukiniona hata form one navaa sketi naingia darasani na Nina watoto 4

  • @priscalema8698
    @priscalema8698 4 роки тому +3

    Naomba kutoa maoni yangu;
    Mpeni nafasi mzungumzaji atoe mada vzr mnamkatiza sana mpaka inakuwa kero

    • @mwasitiiddy7425
      @mwasitiiddy7425 4 роки тому

      Awasikiag ata wanaongea mnoo hata point awan

  • @doreenerasto5502
    @doreenerasto5502 4 роки тому +1

    Mpaka hapo naona yashanishinda ayo masharti, Surgery zipo jaman cha msingi pesa

  • @neemakweka6803
    @neemakweka6803 4 роки тому

    Show nzuri ,thanks for the awareness.Big up

  • @rehemaissa7923
    @rehemaissa7923 4 роки тому

    Axnt sn nimejifunza kitu kikubwa mungu awabariki

  • @nzoyikundafrancine1836
    @nzoyikundafrancine1836 4 роки тому

    Asanteni sanaaaa🙏ila Dr mmemkatishiy bira ajasem swali lakulala kwukupunguz tumbo naomba akilud atwambie nawapenda sanaaaa🇧🇮

  • @sammysamia7534
    @sammysamia7534 4 роки тому

    Asante saan Dj iyo kwer Dr

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 роки тому

    Big up women matters topic good from manchster united kingdom🙏🙏🙏

  • @irenesuswi4079
    @irenesuswi4079 4 роки тому +1

    Kweli kabisa wanawake tujitahidi kubalance milo ili uendelee kuwa na mvuto, acha kusingizia kuzaa, namshukuru Mungu mimi nina nzao 2 kawaida na moja ya oparesheni ila sina tumbo na figa inalipa kwa kweli namshukuru Mungu

  • @tunsumemwajumba7149
    @tunsumemwajumba7149 Рік тому

    Tufanye mazoezi Ili tupunguze tumbo au tufate kitabu Cha sayansi ya mapishi Dr boazi mkumbo

  • @btylove1870
    @btylove1870 3 роки тому +1

    Mwanaume ni kiumbe mbinafsi sana hata uwe vipi atatoka tu! Wananawake tujifunze kujipenda na sio vingenevyo.

  • @matlayshamc658
    @matlayshamc658 4 роки тому +3

    Mmhh niliambiwaga Nina mkoba(tumbo Hilo) jaman

  • @advocatekarama4917
    @advocatekarama4917 4 роки тому +1

    I love violet

  • @marysilayo9529
    @marysilayo9529 4 роки тому +2

    Mchawi chakula.....mm nakula portion kubwa tu ila mwisho wa dinner yang saa moja ikipita hapo sili tena ....nikilala nikiamka tumbo utadhan limekutana na mgongo utadhan silag.asanten kwa kuendelea kunikumbusha nisijisahau

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 роки тому

      Usile portion kubwa sasa utajiona ok lkn athari zinakuja utuuzimani kuanzia 40 au chini ya hapo

  • @daktarij381
    @daktarij381 4 роки тому +1

    powerful discussion

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 3 роки тому

    Mm kwakwel mume wangu anapenda zigoo!!

  • @rithamsacky4655
    @rithamsacky4655 4 роки тому +1

    Mm natumbo langu wala cjali ctak presha jaman ....

  • @tripple5
    @tripple5 4 роки тому

    Naipend ila jaribun kubadili muda wa kuiweka maan mda mnaoiwek watot bado wameshik rimot walau ingekuw kwanzia saa tano 🙏

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 роки тому

    Hiyo Dada nguo kijana ,anazungumza pointi sana

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 4 роки тому +1

    Hahahaaaaa eti nyama nyama ktk sehemu sahihi.....Lilian bwana!!!!!!!

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +4

    Kwa kweli uzuri wa mtu unahusiana na mtu mwenyewe sio mume wala mke, unatakiwa usisubiri kwasababu mwanaume anaweza kusema mimi nakupenda kama ulivyo

    • @hawahawa4288
      @hawahawa4288 2 роки тому

      Maashaallah dr mwaka mungu akupe maisha marefu

  • @esthermbike6911
    @esthermbike6911 4 роки тому +2

    Thanks doctor all i can is God bless u

  • @maidasaid9449
    @maidasaid9449 4 роки тому +4

    Umasikini unatufanya tusiwe na utaratibu mzuri wa chakula, kumudu matunda na mbogamboga kila cku ni mtihan sio wote wenye uwez huo... hao wazungu uwezo wa kujicontrol na chakula wanao.

    • @margarethalyimo5475
      @margarethalyimo5475 4 роки тому

      Tatizo siyo vyakula tatizo ni elimu ya jinsi ya kuvitumia chakula. Kawaida mtu anatakiwa ale kila baada ya masaa matatu. Ili kuzuia kutengeneza kwa mafuta mwilini

    • @margarethalyimo5475
      @margarethalyimo5475 4 роки тому

      Na ale kidogo kidogo siyo unakula mara mbili au tatu halafu chakula kingi

  • @rahmarashid5635
    @rahmarashid5635 4 роки тому +2

    Mashallah lkn suala la kufunga mmemkata doctor mwaka alikuwa analizumzia uzuri tu

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 4 роки тому +4

    naomba picha ya wake wa dr mwaka niwaone matumbo yao🤣🤣🤣

  • @elizabethkilawa1435
    @elizabethkilawa1435 4 роки тому +1

    Nyie wanawake mnaongea sana mpeni dr mwaka nafas atuelimishe

  • @marianelmi6168
    @marianelmi6168 4 роки тому +1

    Ukitaka usiwe na tumbo baada ya kuzaa 1.chakula unchokula.2 mazoezi baada ya kujifungua lazima ufanye mazoezi .

    • @mohamedaden1311
      @mohamedaden1311 4 роки тому

      Mi mke wangu anawatoto 6 lakini tumbo lake flat nahafanyi mazoezi

    • @marianelmi6168
      @marianelmi6168 4 роки тому

      @@mohamedaden1311 Good for her after providing 6 kids and still keeping flat tummy!!!!!👍

  • @salimumwenguvu2248
    @salimumwenguvu2248 4 роки тому +2

    Peaneni Nafasi Ya Kuongea Au Akiongea Dr Mwaka Wote Mtulie Sawa Mpaka Amalize Ipa Nyie Mkiongea Ingilianeni Tu

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 4 роки тому +1

    Duuu basila nilimsahau katika ramani

  • @shamimshaban2969
    @shamimshaban2969 4 роки тому +3

    Tunakula salad na protein Kama kuku, Samaki, especially supper time

  • @mayasajabiri8530
    @mayasajabiri8530 4 роки тому

    Kiukweli tatizo la matumbo ni msiba wa Ndoa zetu.

  • @hafsamaulid1256
    @hafsamaulid1256 4 роки тому

    Ahsanteeee Dada Lilian kwakweli

  • @mercymaina6813
    @mercymaina6813 4 роки тому

    Wow... love this

  • @kweka14l35
    @kweka14l35 4 роки тому +2

    Vai Jamani Juice yote umemaliza, maji yote umemaliza na matunda yote pia huku wenzio wakiwa bado hawajamaliza. 😭😭😭 Ni njaa au nini 🤣🤣🤣

  • @mathossecuritycompanyltd6306
    @mathossecuritycompanyltd6306 2 роки тому

    Jalibun kusubili Dr anapoongea Yan hapo tu ndipo mnapokela sjui hamfaham hilo,anakuwa anatoka kwenye mtililiko.

  • @shadiantakiyica6647
    @shadiantakiyica6647 4 роки тому

    Sikubaliyani na iyo ya kusema eti huwezi ukaondoa tumbo bila kupunguwa. Pako matumbo mengine yanakuja kwa sababu uko na diastase after kujifunguwa tumbo linakuwa kubwa mwili mdogo, ilo tumbo la ivo unaweza ukaliondowa bila kupunguwa, unavaa mkanda ama una fanya mazowezi linaishaga bila kupunguwa mwili.

    • @haskao77
      @haskao77 4 роки тому

      Kama ndio umetoka kujifungua linapungua. Ila kwa wale wanene tu huwezi kusema upungue tumbo tu, hicho kitu hakipo

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому

    Hongereni waendesha kipindi

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 4 роки тому

    Mnamkatisha katakana sana dr

  • @jamilasaid1764
    @jamilasaid1764 3 роки тому

    Nawapata vzr sana nko oman

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 роки тому +2

    Kuzaa si kua na tumbo. Na watoto mpaka 3 wengi hawafanyi tumbo labda ujiachie sana.

    • @amriyalibent8441
      @amriyalibent8441 4 роки тому

      Kweli mm nimezaa wanne na wala cna tumbo

    • @badriabyekwaso8792
      @badriabyekwaso8792 4 роки тому

      @@amriyalibent8441 unatumia nn

    • @amriyalibent8441
      @amriyalibent8441 4 роки тому +1

      Badriya mm nimezaa km wiki moja hivi ila sili sana na tumbo nafunga asubh mpk ucku mpenzi saiv lisharudi kama sijazaa ila bado nafunga mpk nitoke 40 na nna watt4