Mwanaume anakuwa na ww mwanamke akikupenda tu au la wale wanaoroga wanaume ndo wanafanikiwa. Hakuna kauli wala matendo. Kuna wanawake wachafu wananuka, wagomvi, wavivu, hawjui kupika na wana kauli mbovu sana kwa wanaume zao ila ndo wanapendwa na hawaachwi.
Basi ujue mwanaume kampenda kupitiliza 😍 hata pia kuna wanaume wachafu hata kuoga hawataki ila unakuta nwanamke ammpeeeeenda kwahiyo kuacha ni mtihani sio kuwa wee mbaya au mchafu au anuka domo 😛😛😛😛😛😛mwenyewe meno kaa nashabikia yanga lkn napigwa mabusu 😎
Daah ahsante ma Hindu nimekukubali yaani mpaka mwanao kafata nyayo zako za ndoa. Mpo talented sana, wallah naendelea kuzingatia mafunzo yenu mama na mwana. 😘😘
Dada wewe Safi sana wafundishe hawo wasiejua kwakweli mwanawake wengine wanaboa sana .hata kama mtu unataka kucheza muda mlefu unashindwa maana navitu vingine ukiviona hata mpaka nguvu zinapotea kabisaaaaa tafauti na muonekano wake.
Mama mola akuzidishie neema yenye kheri na afya njema ukapate kuishi vyema katika ardhi hii kwa ajili yamasomo yako yahekma na taadhima, kila laheri mama!!
Kitaalam hauruhusiwi kinawa huko chini kwa kuingiza kidole( douching). Wala hutakiwi kunawa na sabuni inauwa Bacteria. Unatakiwa kunawa na maji tu, mwili wenyewe unafanya natural cleansing. Wataalamu mpo humu ndani? Au mnasemaje?
Kidole lazima kipite na harufu ya huku kweli ipo ila ikiwa hujasafisha lazima itoke harufu tofaut(kuna kunukia na kunuka) sasa usiposafisha lazima unuke!!
Jamn naomb kuuliza me mum wang simuelew me ni mke wa tatu IL Kun mke wake wa pili wameachan ila bd cjajuw japo wan mtoto IL akiambiw chocht yupo tayar Kwa lot. IL ananifich happy cielw
Now days thanks kadriyawanawake asilimia98 wameendelea kwausafi na jinsiyakututumia maeneoyao yaikulu hadi wanaume wanachanganyikiwa na hasa wandaniyandowa kwahapa me nahisi hajafunza kipya. Still anahitajikusoma zaidi
she sayed that no matter how girls proud themselve that i am break up with him because i decided it that is not true there is something behind that she failed to do inorder to in spear him so better to find a way to in speared him
Sio kweli wanaume sote sio sawa , mbona kuna watu tunapenda harufu ya kwapa za wake zetu wakati wa shughuli , tena inaleta MAHANJAMU hasa. Kuna makabila yanaamini hizi harufu ndio zinazoleta mvuto baina ya jike na dume .🤣🤣🤣
Watu hatufanani kwakwel tusiforce kuwa ambavyo hatupo.makungwi waliofundwa kweli hawawez kuongea mambo kama hayo mtandaon ,mtandao unatumiwa Na weng hasa watoto
Mpendwa habari naomba kuuliza Nilikuuliza kuhusu lile kusu kwamba hakuna njia mbadala yakupima njia wakati wakujifungu? Ila kubwa naomba uniambie mafutagani mazuri ambayo naweza kumfanyia mpenziwangu Massage Na lingine nataka kua je kama uke wamwanamke hata ukimuandaa unakua mkavu je tunaweza kutumia mafuta?, kama inawezekana mafutagani?(yanaitwaje?) Asante
Kusema ukweli mafundisho ya kwamba Usafi wa ukeni ni mpk kuingiza vidole nna wasiwasi vipi kwa mabint zetu wadogo ambao wamejitunza,wanaweje,!?mi najua inapaswa kutumia Maji ya kutosha na safi!
Kwa uwelewa wng mm mwanamke aliyeanza mchezo wa wakubwa ndio anatakiwa ajisafishe kwa kutumia vidole lkn kwa mabinti waliojitunza hawana haja yakufanya hivo cz hakuna uchafu aliomwagiwa ndani.
Mashallah 25yrs kwa ndoa Mungu akuzidishie na hio,
Allah Anijalie
Mama unafunda kwa hekma na busara na adabu🙏 Mansha Allah
Pambee tuu kwingwi napata mafunzo kabra sijaingia kwenywe ndoa naitaji uwe somo yangu nimekupenda bule 😍😍😍
Mama umetisha ❤❤nowadays lzma tutambue pesa kuna botu lapwezi kununua isipokuwa jali japo utu w mtu ata km haba kitu
Mwanaume anakuwa na ww mwanamke akikupenda tu au la wale wanaoroga wanaume ndo wanafanikiwa. Hakuna kauli wala matendo. Kuna wanawake wachafu wananuka, wagomvi, wavivu, hawjui kupika na wana kauli mbovu sana kwa wanaume zao ila ndo wanapendwa na hawaachwi.
Basi ujue mwanaume kampenda kupitiliza 😍 hata pia kuna wanaume wachafu hata kuoga hawataki ila unakuta nwanamke ammpeeeeenda kwahiyo kuacha ni mtihani sio kuwa wee mbaya au mchafu au anuka domo 😛😛😛😛😛😛mwenyewe meno kaa nashabikia yanga lkn napigwa mabusu 😎
@@shamimkingazi8925 😂😂😂😂😂😂😂
@@mwasitiramadhan5634 😆😆😆😆😃😃😘😘😘😘
Shamim Kingazi 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 umenichekesha wakati nilikua nimenuna jaman duuh una vituko wewe
@@shamimkingazi8925 🙈🤭🤣🤣🤣🤣🤣👌🤣🤣
Mama mahaga u are fire...amazing concept plus u look amazing hun
Thank u darling 😍😍
@@thexoshowtira Da Tee tunaomba # za kungwi tuna jambo naye
@@marysdiosa8764 Huyu nilipoteza cm,labda nikupe za huyo mwingine
@@thexoshowtira namba ya kungwi please dadake
Mama umeongea kweli kabisa endelea kuwafundisha dada zetu hata hawaelewi
Daah ahsante ma Hindu nimekukubali yaani mpaka mwanao kafata nyayo zako za ndoa. Mpo talented sana, wallah naendelea kuzingatia mafunzo yenu mama na mwana. 😘😘
😅😅😅we mama ni kwikwi🙌 watu hawajui wanakwama wap 👌
Jamani Mumy asantee saaaaaana ❤❤ Nakupend buree🥰🥰
Dada wewe Safi sana wafundishe hawo wasiejua kwakweli mwanawake wengine wanaboa sana .hata kama mtu unataka kucheza muda mlefu unashindwa maana navitu vingine ukiviona hata mpaka nguvu zinapotea kabisaaaaa tafauti na muonekano wake.
Jamn atali ❤❤❤ nmepnd mamy natmn nkiolew uwe como wanguu🙏🏽😘 mung akulinde n akzdshie umr mlefu amina
🙏🏽❤️
Umetisha mama❤❤❤
Ntakufata mama uwe somo wangu nmekubali
SOMO ZURI KWA SLAY QUEEN
Shukran kwa somo nzuri
Mama mola akuzidishie neema yenye kheri na afya njema ukapate kuishi vyema katika ardhi hii kwa ajili yamasomo yako yahekma na taadhima, kila laheri mama!!
Asant sana mamy
Ilo nalo neno mama maana sikuizi wasichana tunajifanya wajuwaji kuliko uwezo wetu
Umenena
Jmn kuna wanaume ata umfanyie nn haelew,,,, huzun kwel ndoa za ck hz
Asante kwako mama ...Ila pia hongera...mana pia umepata uyo mume wakujali ayo unayomfanyia
Hatwareee kungwi nimekupenda
Kitaalam hauruhusiwi kinawa huko chini kwa kuingiza kidole( douching). Wala hutakiwi kunawa na sabuni inauwa Bacteria. Unatakiwa kunawa na maji tu, mwili wenyewe unafanya natural cleansing. Wataalamu mpo humu ndani? Au mnasemaje?
What she said ukifanya hivyo , utapata fungus milele
Nakubaliana na wewe kabisa 💯💯 Hata mtu aoshe na manukato yote ya dunia kila mwanamke huwa na harufu yake ya ukeni
Ni kweli kidole hakitumiki kujisafishia huku......ni maji unapitisha tena bila sabuni!!
Kidole lazima kipite na harufu ya huku kweli ipo ila ikiwa hujasafisha lazima itoke harufu tofaut(kuna kunukia na kunuka) sasa usiposafisha lazima unuke!!
Nkweliii kabsaaa
Haaahaaaa jaman uwiii mbavu zangu mie Asante sana ubarkiwe mama
Muda wa kazi tu hapa ,nani anapenda
Mwingine unampikia vizuri anashiba unafanya kila lakini mkiingia kitandani anakwambia kachoka
Leila Abdul Iyo ni kweri kabisa
akichoka njoo kwa watoto wakungwi huku tukupe raha dada
akizingua tyu kacho piga hap kwa mtoto wa kungwi au tuma namba tuje kumuonesha mwanamke anataka nn bhan tena mpuuzi huyo
@@futureyouthfoundation5801 😂😂😂😂
Kungwiii umetishaaa😆😆
Fantastic mama kinywa cha mwanamke ndo chanzo cha ndoa kuaribika
haswa
Hamna kitu hapo ujinga mtupu. We sema umempata wa bahati yako mama kaa utulie
Rosena Adolfu Wew ndo mjinga wa kutupwa jiwe hilo limekupa
@@jacksonchimomo554 ndio anatabia hizo zinazosemwa hajui saman ya mwanaume na kwa tabia hiyo tutawatumi na kutupa kule anafundishwa anasema upumbavu
kwa darsazaidi tupe namba tukuletee wari wetu plz
tira bwana eti lazimaaaaa😂😂😂😂
Nice ❤
Mashaallah shukran jazzakah Allah kheirah from UAE
Haloooo Oooo!! 😍👌
Kabisa
nimekupenda mom,asante nimekuelewa
Kweri Maman unasema ukweri
Nakupataje mama
Nakubali napenda usafi
Mashallh
mama unafunda vizur sana
Du nipevitu vya nguvu nikupe vituvyanguvu😄😄
Jamn naomb kuuliza me mum wang simuelew me ni mke wa tatu IL Kun mke wake wa pili wameachan ila bd cjajuw japo wan mtoto IL akiambiw chocht yupo tayar Kwa lot. IL ananifich happy cielw
@@BisadaSaidi anafanya chochote akiambiwa kwa heshima tu,.kumbuka ana mtoto nae.
Now days thanks kadriyawanawake asilimia98 wameendelea kwausafi na jinsiyakututumia maeneoyao yaikulu hadi wanaume wanachanganyikiwa na hasa wandaniyandowa kwahapa me nahisi hajafunza kipya. Still anahitajikusoma zaidi
Diana medi safi
Mama hatari nmekuelewa sana.
Toeni ushauri sana Kwa wadada wa sasa
Nisaidie no za kungwi,au nampataje?
Please if I may have the contact of the guest in this episode.
I would like her to teach my wife a few things.
Thank you
lol
🤣
Same to me 😀😀😀
@@thebeautifulone7982 😂😂
😂😂
Hahaha mama anajuavyo, nani kweli kabisa
Wanaume wa cku wao wenyew mahaba hawa yawajui😆😆tena man wa dar ndio kabisaa wanavyo. Penda zegee atari😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ukiuliza eti ataki awe na kitumbo
Kweli
Nataka mke wa kufira. Pesa ziko
Mola Ali jaliye ,maneno mazuri
Nataka namba mama
🤣🤣🤣ukweli mama
Asante mama
Hahaa eti nna bahati? kumbe una nuks!!
Will they do the same for us??😢 au sisi tufanye tuu lkn hatufanyiwi
'Treat yours, the way you love to Be treated'
Mme ni funza asante😍😍😍😍😍😍😍💞💞💞💞💋💋💋💋💋💋💋
Kwastahili hii hatuachwiii
Ila wanaume wengine hata uwafanyie nin hawaridhiki
Nimewapenda bure...Ooh TIRA..
@@thexoshowtira Tira,hivi unajua ulivyo kweli?Great show by the prettiest host ever....duuh.
Nimechekaaaa!!😂
Naomba namba somo
Mashallah❤❤❤❤❤❤
Somo lako nzuri sasa wewe unapatokana wapi ,mimi flaviier kutoka kongo
asante asante asante asante asante asante asante
Mama asante kwa mafunzo yako
Ahahaha.....Duuuu
ukweli nuksi tena mbaya sema hawajitambui wa ivyo
If possible can you put english subtitles please
she sayed that no matter how girls proud themselve that i am break up with him because i decided it that is not true there is something behind that she failed to do inorder to in spear him so better to find a way to in speared him
Napenda haya👌👌
Naomb ntafute kwa WhatsApp number +255627714797
Sio kweli wanaume sote sio sawa , mbona kuna watu tunapenda harufu ya kwapa za wake zetu wakati wa shughuli , tena inaleta MAHANJAMU hasa.
Kuna makabila yanaamini hizi harufu ndio zinazoleta mvuto baina ya jike na dume .🤣🤣🤣
Nice 😘
Hahahahahahahaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂......... Ncheke mie
😂 😂 😂 😂 😂
LoL
Hahahahah a lollll
The xo imefia wapi?,😳👀
amisa chuma 😚😚😚
Asante❤
Huyu mama nizaidi ya fundi
Nimeipenda hiyoooo
msikilize huyu mama hapo kwenye dakika 4.20 hapo,, hahaha
Unasikiliza
hahahaha Hatareee Mambo Fire
tena sana
😂😂😂😂😂😂 eti nikwa babako
Samahan niulize kidogo mume wako kama nimfanya biashara amefata mzigo utamwambia maneno gan ya kumwambia ili afalijike?
Nakupenda mume wangu,Mungu akutangulie,akulinde na akufanyie wepesi kwenye shughuli zako.Safari njema.
Mhhh jamani wengine hata maneno mazuri hamya jui
Hahaha lazima apige pap
Tuna omba za Mama amisa
Siku hizi mtihani aibu za chumbani ziko hadharan ni msiba
Kwakwel
@@magrethbbw7524Eti kafundwa kama umefundwa mbona unasema mambo ya kike mtandaon mapenzi huwezi kwenda kujifunza kwa mtu c kweli
@@ayunramadhan3104 mapenz mtu anajua naturally ukifundishwa n sawa unaishi maisha yako Na mume kwa akili ya mwanamke mwenzako
Watu hatufanani kwakwel tusiforce kuwa ambavyo hatupo.makungwi waliofundwa kweli hawawez kuongea mambo kama hayo mtandaon ,mtandao unatumiwa Na weng hasa watoto
@@magrethbbw7524 watu kutokuwa na adabu
Mmmmmmm mwatuumiza jamani nahizi story zenu 😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣pambanaaa
@@janethkomba4485 Acha tu😃😃😃
Halloooo 🇧🇲
Hello 👏
Mpendwa habari naomba kuuliza
Nilikuuliza kuhusu lile kusu kwamba hakuna njia mbadala yakupima njia wakati wakujifungu?
Ila kubwa naomba uniambie mafutagani mazuri ambayo naweza kumfanyia mpenziwangu Massage
Na lingine nataka kua je kama uke wamwanamke hata ukimuandaa unakua mkavu je tunaweza kutumia mafuta?, kama inawezekana mafutagani?(yanaitwaje?)
Asante
maashaallah
Mh majisifu mengi huna lolote
medi222 alrajhi yoi
Tira Hii interview siichokagi ya Mamisa 😅😅 Yani daaah I wish wote wapitie Hii wamsikilize huyu mama
Mh mambo hayo pambe kwel kweli👌👌
❤
Ahsante sana
oioioiioi 😘😘😘kungwiii
Kusema ukweli mafundisho ya kwamba Usafi wa ukeni ni mpk kuingiza vidole nna wasiwasi vipi kwa mabint zetu wadogo ambao wamejitunza,wanaweje,!?mi najua inapaswa kutumia Maji ya kutosha na safi!
Kwa uwelewa wng mm mwanamke aliyeanza mchezo wa wakubwa ndio anatakiwa ajisafishe kwa kutumia vidole lkn kwa mabinti waliojitunza hawana haja yakufanya hivo cz hakuna uchafu aliomwagiwa ndani.
asante sana kwasomo zuri
Asante mama kwa mashauri
Asante mama ake
Jaman Tira nimekumiss mno
Ninahitaji ushauri private sana pls naomba namba yako
Eliza Evodius uuuuuuuii
Uuuuuuuiiii ukopowaaa\aaa
asante sana huyo Dada nampenda sana sana