SHEKHE HAFIDH NEW QASIDA AKIMSOMEA LEPA UTAIPENDA
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- SUBSCRIBE NOW KWA KUPATA HABARI PAMOJA NA MAKALA BONYEZA LINK HII bit.ly/3waxCzh
KARIBUNI SANA KWA HABARI ZA BURUDANI NJE NA NDANI YA TANZANIA PAMOJA NA KUJUA HISTORIA MBALI MBALI ZA WATU MAARUFU DUNIANI #@FutureMediatz
Masha Allah sheikh HAFIDH unanogesha Sana qaswida na kwa sauti ulojaaliwa na Mola wako
Maasha allah Tabaraka llah
🎉❤sheikh hafidh unatisha sanaaaa an qaswida Zak nazipenda sana
Mashallah mashallah ustadh hafidh💗💗💗allah akuzidishieni akuondoshee husda za mahasid
Bismillahi Maasha Allah sheikh hafidh👏 Allah awazidishie kipaji chenu.. Yn sheikh hafidh m qaswida hiii imenifurahisha wallah maana umeisoma kwa bashasha zote na tabasam km lotee😚😚
Muko swa Ahlul madina HasbiaAllah MashaAllah mungu awaeke ustadh Hafidh Shukran sana Nd mabrouk kaka Ali.
Karima
Allah 🤲 akuhifadh uwish maisha marefu shekhe hafidhi inshallah🤲🤲☝️🙏
me sina la kusema jaman so nasheed nzuri sana masha Allah
Mashaala
mashaallah bi harusi na bwana harus Allah akufanyie wepes mzidi kupendana shekhe wetu pia wazidi kutufurahisha mashaallah
Nzuri
Naitwa Salima nipo bara nakukubali ustadh Afidh mungu akupe maisha marefu
mashallah kaswida nzr mckate tamaa weng watawasema lkn napenda kaz zenu big up sanaaa😚
Mashaallah naipenda San hii qaswida wallah😘😘😘😘
Masha'Allah! Nawapenda sana ahalul madina. Cabo Delgado Moz
Hapa tufurahi ambAo tunaoitwa ma Ali.....asant sheikh hafidh
Mashallah shekh hafidh anafurahisha njooni na Mombasa jamani
Mashaallah ,Nakupenda sana sheikh Hafidh kakangu kwa ajili ya Allah, Upo vizuri sana
Big up jomon sheh hafidh wanikosha saaan
kiukweli hii qasda umeamuwa kuisoma bila kutoka jasho safi sana mkali wa zanzibar
yan shekh uko vzr sn jomonii mung azidi kukuinua Insha Allah
Mashaallah mashaallah ust hafidh huna mpinzaniii
Mashaallah k2 kimetulia 👌👌😍😍she hfidh honger🤗🤗🤗
Mashaallah Allah awape masikizano ndani ya ndoa yao awape kizazi chema.
Shekh wngu pale kati ananifrahishaga kwa kucheza namuona anavoleta manjonjo,shekh Hafidh baaraqallahufik
Ustadhi hafadhi masha Allah
Esher Hans hongera sana kw kuyumba yumba cihasha kuinuka juu ukacheza na hadi watu kuulizana vipi mwenzetu leo anaumwa kumbe wala ladha tamu imekuingia kichwani hawa ving'aro cimchezo wamepitia mafunzo katika chuo mubashara
Mashaalah kaka Hafidh nakupenda kwa ajili ya Allah
Masha allah muko vzur ahlu lmadina mungu awabarik
Maisha yangu yote nampenda sana ustadh khafiz kwakwel natamani kuimbanaee
mashaallah kwa qaswida mzr shekhe hafidhi
Mashaallah she khafiz we ni fund wetu
Mashaallah mungu akuzidishie kipaji
Mashallah QASWIDA Nzr hangeren madras kw ujumla👌👌
Maneno ni mazuri ila hii ni nyimbo kwasababu haina tofauti hasaaa kwahiyo jitahid sh.hafidh usijekua ni sababu ya kuwasikilzisha watu nyimbo bila ya wao kujua.
Tunamuomba allah atusamehe madhambi yetu.
Habib Talib q
Qasda ni nyimbo ambazo tumeziita Qasda ili tuzifanye tukiamin ndio wema kumbe ndio tunajiunguza
Nzr sana kaswida nakukubal sana sheikh hafidh 💕💕💗💗
Kazi nzur allah awajaalie mfanye nzr zaid
Mashaallh alhaa akuzidishe kila lheri
shekhe hafidhi uko juu
Masha allah mzr sn kasida walahiiiii❤
Hongereni sana
Mashaaallh kasida zenu zte nzr
Maa shaa Allah Allah akutunzieni ndoa yenu
Mashaala ustadhi hafidhi
Jaman naipenda Sanaaaaa yan shekh afidh unajua pk bc
Mashaallah ostadh hafidh nakukubali saaaaaaana
Mash Allah mungu azidi kukuruzuku kakipaj ulichopew na allah
Mashaallah napenda sn anavyoimba vzr
mashallah mashallah keep it up am so proud to my mther land zanzibarian you did it brother we need many more works may allah blessing you with your family group ameen 😘jazakallahayr😘
Mashaallah shekh hafidh hijawahi kosea yaani
mashaallah npnda xna kuwaon viongz wngu wa ahl madina na aqaz wakiwa pmoja
Kwakweli upo vizuri shekhe hafidh
يلا يلا ما شاء الله عليك ❤
Shekh Hafidh u r the best
xawa hamna shida tuko pamoja viongozi wangu
zanzibeeeeeeer i like my country; pemba pemba aaaa pemba kisiwa cha marashi ya karafuu japo nipo mbali nacho.
Watu wote wamekimbia
Nawapendaga mpaka naumwa inshaallah mungu awajalie mwisho mwema
Ma shaa Allah Nzuri Mashaa Allah
mbaya sanaa kwakwely sababu ukisema kaswid huenda ukaingia MAKOSANI likin ukisema nyimbo kidogo inaelekea kwakel TATIZO
😘mashallah😘shekheee hafidhiiii😘
Nice mashallah good qaswda👏👏👏
Allah akulipe mema daima kw kumpa mafunzo mazuri kijana Ali kiukweli utekelezaji muhimu kwako
Ongera sana mola atakuzishia kila la heri
mashaallah jmn naipataje hii qaswida
Nawatakia kila laheri kwenye ndoa yenu
uko vizuri al-akh hafidh
Mko vzr mashaa llaah
ongeleni sana naipenda kaswida yenu
mwimbaji ama sheikh. ebu wacheni upuzi kucheza juu ya majukwaa mbele ya wanawake. na nyinyi wanawake hamuna desturi kabsaa kuachafua uislamu tu washenzi nyinyi
Upowapi
@@zafasuley1752 kenya msa
maashaallh mpo vnzir
Natamani ningekuepo kwenye tamayyuri. Si kwa beat hilo hatariii. Big up brothers.
Penda sana hafidhi mia 100000
Honger pend San we ally
Mashallah mungu awabarik
kazi ya fasihi simulizi kuelimisha na kuburudisha ila nakuombeni muwape ushauri wateja wenu waeke asilimia kubwa ya kuelimisha kuliko kuburudisha kw sababu kw mwenye uelewa na mwenye imani ujumbe ukimpa elimu tayari kashaburudika
Good anco
I wish you the best one in the world
Nice qaswida mashaaAllah
Mashallah ni nzr
Hongera ally
Ma.shaa Allah kaka.ali ❤❤
Màshallah kaswida ñzuri
Hongeren mungu awape afya njema
Safi sn fahari hafidh hongera kw yake ndoa Ally
Hongera lepaaa
hafidhi hakoseagi kazi
Mashaallah 😍😍👌🏽👌🏽
Alwah awajaalie kizazi chema maharusi wetu wawili
Vizuri sana shekhe afidhi
Mashallah😘😘😘😘😘
Mashallah 💋
2020 KILA LA KHEIR ASMU LEPA MDOGO WANGU
Mashallah ❤❤❤
Qaswida nzuri
Mashaallah ❤❤❤
Ndugu wa baba mmoja
Ww ni kiboko yao 💪💪
Masha Allah 😍😍
Penda Sana kaka hafidhu
Mashaallah ustadh afidh.... i believe one day u will sing in ma wedding inshaallah ...Andaa qaswida yang naitwa yasin
Masha Allah Allah awalinde katika ndoa zao
Mashaallh ❤🤲
Hangera hafidh
Hafidh uko juu ucjali wasemayo ww endelea na kazi yako
mashaallah ila huwa nampenda sana kijana wa tatu hapo anavyo cheza kwa madoido had raha
Mashaalah
Mashahalaa kaswida nzuli