QADIRIA/MUMEGUBU OFFICIAL VIDEO 2019

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 сер 2024
  • #qadiria #aqaz #mumegubu #qaswidampya2019

КОМЕНТАРІ • 355

  • @meenameddy6287
    @meenameddy6287 4 роки тому +5

    Wanaume badilikeni jaman kama wanawake jaman sijaziona like zenu

  • @rahmahassan3235
    @rahmahassan3235 4 роки тому +4

    MASHALLAAH ujumbe umewafika wanaume wote wenye tabia hizo

  • @abdulrahmanturki4137
    @abdulrahmanturki4137 3 місяці тому

    Jamani wanaume wa Leo tusiwe na hasira.
    Hasira hasara.

  • @HahaHerman-tx1cf
    @HahaHerman-tx1cf 4 місяці тому

    Naipenda sana jaman funzo tosha kwa wanaume waelewa

  • @maydashaineng9403
    @maydashaineng9403 4 роки тому +4

    Masha Allah mmependeza walahi wana aqaz mungu awalinde na husda za walimwengu aminiii

  • @muskhabislamsalum382
    @muskhabislamsalum382 5 років тому +4

    Mashaallah Ujumbeh👌👌👌 Jazaqallah Khair Madrasat Qaidiria

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 5 років тому +10

    Aqaz ni industry ya vipaji na mafunzo kupitia nashed👍

  • @Bantushine_film
    @Bantushine_film 5 років тому +6

    Mtingo mpya umetoka mwaka huu usipe bila 👍👍❤️💯💯

  • @aishasaleh3727
    @aishasaleh3727 5 років тому +29

    Kwa hakika Masha Allah yani inafundisha kikweli maana ktk jamii zetu wamejaa wanaume dizaini hii, hongereni Aqaz

  • @saidaliali634
    @saidaliali634 5 років тому +4

    Qadiria ahsateni kwa kaswaida yenye ujumbe na maadili mazuri
    Pia ahsante kiongozi FAKI kwa jitihada zako za kukuza vipaji vipya vya wasomaji wa kaswaida.
    MUNGU AWAJAALIE KILA LA KEHEIR

    • @wahidasalum2985
      @wahidasalum2985 5 років тому

      hongereni sanaaa kadiria kwaujumbe mzuri

  • @husnatissa5796
    @husnatissa5796 4 роки тому +4

    mashallah mashallah ujumbe mzur

  • @NurdinKishik
    @NurdinKishik 5 років тому +5

    sijui kama mutakuja imba kaswida nzuri zaidi y hii

    • @rehemabakali494
      @rehemabakali494 4 роки тому

      Kbs yaan wana kaswida nyingi lkn hii hatari

  • @shuhaidaomar3347
    @shuhaidaomar3347 5 років тому +26

    hizi tabiya karibu nyumba zote zimeja mola ndie mwenye kutuongoza wa ume wake hali mojaa

  • @hajisalum3494
    @hajisalum3494 4 роки тому +2

    Safi sana ujumbe mzuri

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 років тому +11

    Duuu Ahsanteni sana yaani wanaume wengine hawana hata huruma khaaaa!!!

  • @nadiyakisho2178
    @nadiyakisho2178 5 років тому +3

    daaah kweli kabisa wapo wengi sn japo so wote akiwa ndani kununa gubu akitok njee ndo huchek utasem alilazimishwa kuoa

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 4 роки тому +2

    Qasida Naiependa sana hii

  • @abubakaraweche33
    @abubakaraweche33 5 років тому +113

    kama uchoki kuangalia kama mm bac gonga like hpo plz

  • @MustafaKalele
    @MustafaKalele 5 місяців тому

    Yaaan bong la kiswid ..❤😂😂❤❤❤

  • @NadzuwaAmina
    @NadzuwaAmina 2 місяці тому

    Mashaalla kazi nzuri ❤❤❤❤

  • @ashakhamis7207
    @ashakhamis7207 4 роки тому

    Waume haya achen

  • @scayroad8500
    @scayroad8500 5 років тому +8

    MASHAA LLAH UJUMBE UMEWAFIKIA WALENGWA ALLAH AWAJAALIE NANYI MSIWE MIONGONI MWA HIZO TABI MLIZOSEMA AMEEN.

  • @ukhtyashurasakinamnyoti1786
    @ukhtyashurasakinamnyoti1786 5 років тому +6

    Hongera kwa style yenu mmeiga vizuri michezo ya kiarabu sichoki kusikiliza na kutizama narudia rudia tu mpaka sabofa linakoma

  • @fatumamahamed-g5f
    @fatumamahamed-g5f 22 дні тому

    Mimi nina miaka 28 sijaolew nawaogopa sana wanaume wanavowatesa wanawale 😢

  • @zawiaUlotu-dr7kl
    @zawiaUlotu-dr7kl Рік тому +1

    Mashallah qaswida nzuri Sana 🕍🙏

  • @fatmahaji1394
    @fatmahaji1394 4 роки тому +3

    Mashallah wanajitahidi sana

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 5 років тому +9

    Mashallah kaswida nzuri na ujumbe wake unafundisha mume gubu🙏🙏

  • @Asmini-xp5ld
    @Asmini-xp5ld 4 місяці тому

    Jamn mshallh kaka mungu akuazid kukup uzim

  • @mariammganga6607
    @mariammganga6607 4 роки тому +3

    Mashallah good Job 👏🥰🥰🙏👍🥰

  • @aminaissa484
    @aminaissa484 4 роки тому +2

    Masha Allah mpo vizur

  • @alimashaban6318
    @alimashaban6318 5 років тому +3

    Ma sha Allah MUNGU awazidishie mpate kila lenye kheir mnalolitaka.napenda sana Qaswida zenu wana Qadiria❤

  • @ahlambadru4726
    @ahlambadru4726 5 років тому +2

    Masha allah kaswida nzuri sana

  • @halimamusa7912
    @halimamusa7912 4 роки тому +1

    Nmeipendaaaaaaaah

  • @nailatyahmad7298
    @nailatyahmad7298 5 років тому +11

    Mashaallah ujumbe kuntu maana kunawaume wamegeza wake zao kama watumwa

  • @buitheawadhi8273
    @buitheawadhi8273 5 років тому +4

    Mashaaallah mola awazidishie

  • @pilikibwana9036
    @pilikibwana9036 5 років тому +4

    Mashaallah ujumbe mzuri

  • @bibiemohammed9524
    @bibiemohammed9524 4 роки тому +5

    Nimeeipenda mana inanihusu

  • @asiaa5196
    @asiaa5196 5 років тому +5

    Mashaallah walah raha😁😁😁

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 років тому +2

    Masha Allah masha Allah mungu awabariki nzidikuvindi sha jamiii

  • @saumujuma1385
    @saumujuma1385 5 років тому +1

    mashallah.......imenitoa machzi...kazi nzr...

  • @OmarAhmed-eq9rk
    @OmarAhmed-eq9rk 5 років тому +29

    Masha allah.. Haya jama wanaume tabia hii c nzuri tubadilike...

    • @fatmamohammad9934
      @fatmamohammad9934 4 роки тому

      Asalamu aleykum mashallah kasida mashallah

    • @naswihaali1028
      @naswihaali1028 4 роки тому

      Yaskitisha sana kenya wanaume wako hivyo hajui kuenzi familiya zao subhana Allah

    • @naswihaali1028
      @naswihaali1028 4 роки тому

      0796500457

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 5 років тому +4

    jamani wanaume wengine wana zambi duu siyo kwa roho mbaya hizo mkeo tunda la moyo wako uwe na falaja ila unamfanya hivyo

  • @kwekwetsuma3524
    @kwekwetsuma3524 10 місяців тому +1

    Mashallah ❤❤❤

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 5 років тому +4

    Nice Utulivu sana ktk Qasida kuliko kurukaruka...safii

  • @yusufuhamad2625
    @yusufuhamad2625 4 роки тому +1

    Mashallah inafundisha sanaa

  • @aminahassani2179
    @aminahassani2179 5 років тому +9

    Jama ujumbe kwa waume wenye magubu muache😀😀😀

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 років тому +13

    Kama umepata mume bora kama mie piga like hapa🙏🙏🙏

  • @ashatabibu7951
    @ashatabibu7951 5 років тому +4

    mashaallh

  • @aminaramadhan3778
    @aminaramadhan3778 5 років тому +3

    mashaallah kwa burudan na elimu mnayoitoa allah awadumishe daima

  • @zuwenamohd4372
    @zuwenamohd4372 5 років тому +7

    Mashallah hellu wallah ..

  • @khartoumkhart4881
    @khartoumkhart4881 5 років тому +3

    nmeipenda wallah waume wenye hzii tabia wafanye hima kuondoa

  • @amillahqueeen5586
    @amillahqueeen5586 4 роки тому

    Jaman wanaume wenye hiyo mijitabia muache mashaallah kaswida nzur sana sichoki kuiangalia

  • @AnualiSamboni
    @AnualiSamboni 17 днів тому

    Dada miaka 28 😢 hujaolewa unakasolo zako bali si kuogopa wanaume

  • @zengeummu9575
    @zengeummu9575 5 років тому +7

    Mashaaallah!Wamejaaa tele wa sampulii hii mana raha ya ndoa ufurahi na mumeo,ila wakuta mume akirudi nyumbani watamani kuzimiaa kwa mdomoo teeeh,acheni kwenu pamoja na baadhi ya wanawake pia wapo

  • @omarpandu5506
    @omarpandu5506 5 років тому

    Yaaan kwa africa mashariki hamna kama qadiria ujumbe mzur

  • @aishadulla7364
    @aishadulla7364 Рік тому +1

    Hakika mumeweza aki

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 років тому +1

    Mashaallah gubu nalo kweli ujumbe umewapata mnaimani wakickiza aya watajifuza

  • @halimams2127
    @halimams2127 4 роки тому +2

    naaam mashallah❤❤❤

  • @marafundujenzi4315
    @marafundujenzi4315 5 років тому +5

    N.a. mimi sichoki kuagalia

  • @yussufmakame6396
    @yussufmakame6396 4 роки тому

    Safi sana qadiria nawakubali sana

  • @ashuraali3099
    @ashuraali3099 5 років тому +4

    Mashaallah, asanteni sana hii noma

  • @aishaally9742
    @aishaally9742 4 роки тому +2

    mashaallah aqaz mp juu

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 4 роки тому

    Hongereni qadiria mupo juu mnajuwa sana 👏👏👏

  • @omarykhamis6567
    @omarykhamis6567 5 років тому +4

    Vizuri Mungu Akujalirni

  • @alinaalina5044
    @alinaalina5044 Рік тому +1

    Mmecheza lkama waarabu

  • @omaniwomen7563
    @omaniwomen7563 4 роки тому

    Mashaall Alaah kaswida nzr

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 5 років тому +3

    Naipenda xana kuiskiliza hii qaswida hongereni xana

  • @zawadialfani3766
    @zawadialfani3766 4 роки тому +3

    Jazaqallahu kheri

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 4 роки тому

    Ujumbe umefika kwa waume 😊😊waume aya yacheni jamn

  • @haithamabdallah1699
    @haithamabdallah1699 5 років тому +5

    Masha allah, mwenye anasema ni bidaa atuletee dalili zilizo za wazi ili tujue na sio kuiga tu, wallah aghalam

  • @rukiarubwa7094
    @rukiarubwa7094 4 роки тому

    Mashallah qadiria Allah awajaze kila kher

  • @ramamambo4082
    @ramamambo4082 5 років тому +12

    Kama unaikumbuka kaxda ya PEKE YK CHUMWA kpnd hiko Fakih Mbarouk yupo mxitar wa nyuma wanaita bezi,gonga like ap

  • @aishadulla7364
    @aishadulla7364 Рік тому +1

    Kweli kabisas

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 5 років тому +5

    Mashaallaah Aqaz

  • @ashajuma3150
    @ashajuma3150 5 років тому +2

    Allha awajare maisha marfu

  • @layasalim9969
    @layasalim9969 5 років тому +4

    Mashallah

  • @mesabendo7581
    @mesabendo7581 5 років тому +8

    MashaAllah MashaAllah Allah awazidishie umri Aqaz mzidi kutuelimisha... mijidume kama hii ipo tna weng sna

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 5 років тому +3

    Nikweliiii kabisaa sio tabia nzr kuwa na gubu si kwa waume hata kwa wakeee

    • @hidayaabdallah3341
      @hidayaabdallah3341 5 років тому

      Hongeren hongereni Sana waume kama Hawa wamejaaa kwahihiyo niujumbe maridhawa

  • @saidmaulid7668
    @saidmaulid7668 4 роки тому

    Jalibuni kubadili aidia ya uimbaji kaswida staili moja imetushosha nendeni na wakati hamuoni wenzetu Indonesia kaswida moja mahazi tofauti na kila muimbaji ataiimba kwa mauzo yake inapendeza sana badilikeni sio kila kaswida harusr harusi vitu viko vingi vya kuxungumzia

    • @Jamalybella
      @Jamalybella Місяць тому

      Wataka waimbe style gan wew singeli au

  • @saidahassan4953
    @saidahassan4953 5 років тому +5

    Mashallah mashallah

  • @sophiaangel6771
    @sophiaangel6771 4 роки тому +2

    Marshaallah

  • @bahatihussen9089
    @bahatihussen9089 5 років тому +5

    Daah izo sauti za gong mpk moyn kbisaa😘😘

  • @rizikichitanda6583
    @rizikichitanda6583 4 роки тому +4

    mashallah

  • @kidotifetty8929
    @kidotifetty8929 5 років тому +33

    mashaallah lakin mbona ana gubu kweli inabidi tuchunguze waume watakao tuoa inshaallah 🙏🙏🙏

  • @peterlaurency2807
    @peterlaurency2807 5 років тому +19

    Day sjui niseme nini haswa mnanikoxhaga ata nikiwa na hasira nikixkiliza tu kkaswida zenu bas nakua mpole

    • @alikhamic5983
      @alikhamic5983 5 років тому

      Peter Laurency hhahah wewe unakoshwa heee

  • @ilyasmuhsin3285
    @ilyasmuhsin3285 5 років тому +4

    Maashallah ujumbe umefika

  • @neemagambere9987
    @neemagambere9987 4 роки тому +2

    mashaaallah

  • @Asmini-xp5ld
    @Asmini-xp5ld 2 місяці тому

    Jamn hashi hamu wanaume wengin haw utu kun baadh wanajali

  • @uaeuae765
    @uaeuae765 4 роки тому

    MASHAALLAH naipenda sana ina mafunzo mazuri sana

  • @SaudaOmary-jr5tm
    @SaudaOmary-jr5tm 5 років тому +2

    Hongereni sana kaswida Nzuri nimeipenda

    • @rehemamichael5288
      @rehemamichael5288 5 років тому

      da wanaume wet muta elimiia hii inatosha

    • @zulfajuma9897
      @zulfajuma9897 5 років тому

      asalam aleykum sauda omary, km ushatumiw na me ntumie 0622 040364

  • @nihifadhiabdul5211
    @nihifadhiabdul5211 5 років тому +3

    mashallah inapndeza

  • @user-vn7dc5by4m
    @user-vn7dc5by4m 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤mashallah

  • @armandoleonardo3643
    @armandoleonardo3643 5 років тому +3

    Quando escuto esse tipo d canções logo lebro de Msws

  • @aboumsouth6498
    @aboumsouth6498 4 роки тому +2

    Masha Allah

  • @mwajeymeja3136
    @mwajeymeja3136 4 роки тому

    Allah nijalie mume mwema🙏

  • @salamasharif9702
    @salamasharif9702 5 років тому +6

    Hongereni Sana wapnzi kileja nime wamiss hatari nawapenda sana on dey tuta onana c u

  • @muniraabbas4752
    @muniraabbas4752 4 роки тому +1

    Machozi yamenilenga mno dah jamani ,sichok kuitazama kwa kwel.

  • @JusminAbdhuli-tf5ep
    @JusminAbdhuli-tf5ep Рік тому +1

    Maashallah

  • @allyferej8654
    @allyferej8654 4 роки тому

    mnaimba ya maana kweli kuliko wale waimbaji za mapenzi shukran.

  • @fatmambaraka43
    @fatmambaraka43 4 роки тому

    Mashaaallah napenda hii qasda