@@OfficialA83640 😂😂🤣 pole Mm kwangu imeisha ila sijapauwa ila nashukuru mungu kwangu hamna mashimo kwaiyo sitajaza kifusi mchanga wa msingi umetoshea Kwaiyo nikionaga nyumba imepauliwa ivyo huwa naisi kama niyakwangu tayari imepauliwa eti ila bado🤣
@@Shemahonge-ku7xx tunaitaji tubadilike hao mnawaidi nisawa hila Jueni watazania wezenu uko kwao wanatesa sana yani mtu mweusi akiona Ivo anaumi kwajili tunawaju hao siwatu hata kidongo naludia tena hao hawa mpendi mtu mweusi sijui kawakosea nini Leo kwetu naifazi anapata natena aulizwi viza wala nini kwao ukizaliwa Baba mweusi mama mweusi mtoto ana samani serekari yao awamtambui hadi masomo uyo mtoto akubariwi
Mashallah Zahir barikiwa snaa Allah akupe afya njma na pia akuzidishie rizq bighar hisab. Amiin hakika upo ktk ibada.
Happy birthday Zahir
Wow ubarikiwe sana kwa kuikumbuka siku yangu ya mfanano wa kuzaliwa kwangu
Daa lk 4. Pesa nyingi. Bora awekewe. Bati na madirisha.
Tu
Halafu atengenezewe chumba kimoja ahamie. Mama batuli
Haya maeneo nimeyapenda, napenda maeneo ya shamba shamba, kama haya. Mungu akutangulie mama Batuli. Ni kuendelea kumuomba Mungu tu.
Mashallah Mungu awek wepesi
Ajengewe tu maskin mwanamke apitia changamoto huyu mama aonesha ata akipewa mtaji ataendeleza maisha yke hajalegea
Mama batuli otesha m birimbi na mboga mboga hapo
Mashaallah mama batuli mungu atakusaidia utamaliza inshaallah
Mungu. Mwema. Itaisha
Mama Batuli bado anaogopa matapeli pole mama etu
Inshaallah kwa uwezo wa allah utamaliza
Mashaallah
أسعدك الله
Unashida lakini unapenda mambo makubwa kama milionea, ungejenga Chumba na sebule ingeshaisha sasa
Nilipoona picha mwanzo nilifurahi nilijua imepauliwa
Nikionaga nyumba imepauliwa huwa nafurahi naisgi kama yangu yaani
@@OfficialA83640
😂😂🤣 pole
Mm kwangu imeisha ila sijapauwa ila nashukuru mungu kwangu hamna mashimo kwaiyo sitajaza kifusi mchanga wa msingi umetoshea
Kwaiyo nikionaga nyumba imepauliwa ivyo huwa naisi kama niyakwangu tayari imepauliwa eti ila bado🤣
Mimi ya kwangu imefikia kama ya mama batuli ila ya kwangu nimejaza kifusi
@@maryamtanzania9743
Wewe kama mm ni ivyo ivyo kama mama batuli bado kuezeka tu ila yangu chumba 3
Kupaua ndio kazi sana jmn Mimi mbaka nachanganyikiwa
@@OfficialA83640mie nauliza nyumba ikifika kama hyo ya mama batuli unaweza kukaa mda gani ilikupaua Yaani mda sahihi ,
Zahir kuna vyoo vya kisasa ni vizuri na wanasema havijai.
Ndo hvo
Vinakuwaje jaman
@@mariamkibindo1741 vipo mitandaoni my, kwa mafundi ujenzi. Kina sehemu mbili, sehemu 1 wanaweka mawe ya kunyonya maji.
Manshallah ❤
Tena hapo mbele angeweka Shimo Yale yasio jaa
Mashaa Allah
Usimfumgie mtoto hatari sana likitoke kitu kibaya arafu ww umetoka sio vizuri
Ni kweli ila Sasa Hana wakumuacha nae
Good wewe kaka Zaharia Zambia zako zote nachukua mm
Huyu mama ni humble
Sikuizi mama baturi yuko wapi jamn
MashaaAllah 🥰
🙏AMEN.
Ishallah itaisha
Huu mtaa unaitwaje?
Alhamdulillah na insha'allah itaisha
Uyo mtoto angezaliwa kwao Yemeni namtazania fasita wangemfukuza malamoja tena kwamatusi wakimwita samala kwalunga yakialabu Hona kwetu namsada wanapata kwao hao wanatuita mangamusa awapendi watu weusi ata kidongo
Nikweri lakini sisi hatujaumbwa hivyo Tanzania tumejaariwa upendo
@@Shemahonge-ku7xx tunaitaji tubadilike hao mnawaidi nisawa hila Jueni watazania wezenu uko kwao wanatesa sana yani mtu mweusi akiona Ivo anaumi kwajili tunawaju hao siwatu hata kidongo naludia tena hao hawa mpendi mtu mweusi sijui kawakosea nini Leo kwetu naifazi anapata natena aulizwi viza wala nini kwao ukizaliwa Baba mweusi mama mweusi mtoto ana samani serekari yao awamtambui hadi masomo uyo mtoto akubariwi
Yani hapa niraha tu😂😂 hakushiba na kunde atashiba na mbahazi
Huko panaitwaje alipo jenga mama batuli
Leta kazi tukufanyie kazi
Unataka kumvamia?
@@souvenirweber7169 akili mbovu yawezekana nishabiki wa utopolo unawaza UCHAWI akilini mwako
@@maximumtvonlinekaka zahir samahan nachukua namba yako ntakutafuta Ninahitaji ushauri kaka InshaaAllah 🙏
Mbona kwenye picha i aonekana imewekwa bt nyekundu kumbe ht kenji haiana 😂
Hata me nimeshangaa
Thumb nail 😂😂😂
Hitaji lake ni kuezeka bati
Mashaallah
Mama batuli bado anaogopa matapeli pole
Yani hapa niraha tu😂😂 hakushiba na kunde atashiba na mbahazi