I Can't get enough of this d Song, Because of what Jesus Christ Did to Me , He has done Many things in my life, First He Died for My Sins, He Choose Me The Chief Of Sinner, He Has Blessed Me Abundantly 🙏🏾🙏🏾, I Can't Afford to Miss Heaven and sing this Song
Amina Mungu azidi kuwabariki na sauti tamu na mzidi kuimba nyimbo tamu
Eeeiii barikiwa sana watumishi wa Baba, huu wimbo mumeutendea haki 🙏🙏🙏
Mon Dieu, mes joux sont mouillés de larmes de joie pour cette bonne mélodie. Que Dieu vous bénisse Mashiri choir. Je suis DARIUS depuis RDC🇨🇩
I love the energy of the conductor…….you have earned a subscriber from Zimbabwe 🇿🇼
Amina...wimbo on point...Amina kutoka pande huu wa Kenya.
Amen
I Can't get enough of this d
Song, Because of what Jesus Christ Did to Me , He has done Many things in my life, First He Died for My Sins, He Choose Me The Chief Of Sinner, He Has Blessed Me Abundantly 🙏🏾🙏🏾, I Can't Afford to Miss Heaven and sing this Song
Mume nibaliki sana . Mungu awatie nguvu mfike mbali
God bless this choir and the conductor
Barikiwa,Nina wazo,jinsi ya kiume wachache,waongezeke,sauti zao zisikike.
Amina🙏 Mungu azidi kuwabariki
AMINA
If it is like this here on earth what about in heaven to God the glory
Aiii Amen! Our Jesus deserves such praise. Well done. MZidi kumtukuza Mungu wetu kwa nguvu zenu zote!
Wahhoo let lord be praised 🎉
Amen amen be blessed
Amina! Amen! Amen!🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾Lord thank you for Everything in My Life 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Makambi yajayo karibuni dar es salaam MUNGU atukuzwe
Barua tu mtumishi
Woow kanisa gani
Kanisa gani
Mbarikiwe watu wa Mungu hakika Bwana astahili sifa
Mungu awabariki 🙏🙏
Aminaa na uje ee Bwanà🙏🙏🙏😋
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri wa sifa
Nakosa lakusema❤lakini nasema Amen
Hakika heshima utukufu vimrudie mungu,barikiwa mashiri .
Wow,that powerful,amen
Huyo contactor ni hatari sana 👍👌
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Hongereni mashiri nyimbo pendwa
Barikiwen mmenikosha wimbo mtamu sanaa❤🔥Mungu awatumie zaid
Amina
Watching from Kenya 🎉
TUNAFUNGUA MWAKA SASA..
Mbarikiwe Mashiri
Happy sabbath I'm from Zimbabwe your song bless me
Amen nawapenda my choir❤🎉🎉
Amen
Amina
This hits 😢 ❤. Its a vibe. 🔥. he only deserve praise
Barikiwa Sana watumishi
Amina
Nimewaelewa❤
Amen 🙏🙏🙏...Hicho chumaa 🔥🔥🔥
Wahhoo Wimbo huu nilikuwa nausubri Sana kwa Hamu,Barikiweni
Bwana wa mbinguni awabarki
AMINA
this song just makes my day
Mashiri mnaua nguvu za ibirisi bila fursa
Kamandaaaaa😂
Amina mfike mbali watoto wa baba
Wimbo huu unanibariki sana
Amina
Aminaaa blessed 🙏
God bless you
Amen
Mungu awabariki sana
Keep on praising God.
Amen. Barikiwa sana🙏🏾🙏🏾
Wow.naona mwalimu wa umoja SDA alidisapear kama radi.😂😂..I miss your presence sir.Mungu aendelee kukutumia
Tuliwaazima kwa muda au haujui😊
🎉🎉🎉🎉
Mungu Awabariki Nyote
Amen mbarikiwe sana
From TikTok to come and search for this
Ameeeeen Ameeeeen Ameeeeen ❤
Mbarikiwe sana
Napenda kijua nambari ya simu ya mwalimu wa hii choir
Njoo inbox
Mwalim huyo ni hatari ,hta hujui kuimba lazma uelewe t
Mimi nimebaki kinywa wazi
Bwana atupu nguvu tuitende kazi yake wana MAC.
Amina amina
I would like to have the sheet music of this music
Mpo vizuri
code nzur hii mbarikwe watu wa baba
Amen Kishiri
Aminaaaa ❤❤❤❤
Ila tu Nyimbo za Kusifu zinapaswa Ziimbwe kwa Utulivu.Asanteh kwa Ujumbe
Kweli kabisa
Utulivu gani???Mungu anafaa asifiwe hata na vigelegele ,shangwe na nderemo, na kumchezeaa vilivyo...choke!!
Azidi hana sababu
Jamani unamsifu Mungu huku umenuna uliona wapi tunamsifu Mungu kwa nyimbo shangwe na nderemo Hawa watu wameimba vizuri sana wabarikiwe mno
Daudi wakati aliimba mpaka nguo zikararuka alikua anaimba kwa utulivu??
Preciso letra dessa música.
Alguém pra me passar?
Nice song
Wanapatikana mkoa Gani hapa Tanzania?
Mwanza
Hakika anastahili sifa
Can someone help me translate the song please
Siyo four incarnate
Ni four living creatures
Sawa
Ok
Please translate in English I'm watching from Nigeria
🙏🙏
Amen
Nice choir❤❤❤nipitieni pia subscribe and like plz🙏🙏
Music made in Tanzania
Need the teachers no
Amina na Mungu aendelee kuwalinda
Amen
Mbarikiwe Mashiri
Amen
Mbarikiwe sana
Mbarikiwe sana
Mbarikiwe sana
Mbarikiwe sana