Urusi anapenda utani😂😂 hakuna anayemchukuliaga serious.. yeye aanzishe tu vita vya Nuclear mambo mengine baadae... Google ni ya wayahudi na hakuna kitu hela atakayopewa na hakuna chochote atakachofanya... kwani iko neenee 😂
@rumdeesonsoa1811 sio in such a move kingine Coca-Cola na Aina nyingine za biashara are pretty much different na hizi gigs za mitandao Nani alikutangazia utumie you tube au social networks nyingine , kingine gist ya hilo jambo la urusi na Google ni far more than kimatokeo na chanzo chake so unaweza kua na hoja nzuri ila context yake ni far from actuality.
@FahadAbubakari-y3f Hiyo inaiongezea Google umaarufu acha ubishi. Husikii hapo umeambiwa hisa za Google zimepanda? Kwa akili yako unadhani Urusi itafaidika nn hapo hayo ni madai ambayo hawawezekani na ni ya kitoto hayamake sense
😂😂😂😂😂 engineer soma hiyoooooooo😂😂😂😂😂
Leo ndo najua kna Disilioni
Duuh! Kumbe kuna hela yote hiyo 🤔 ngoja nitafute za kula tu
I think hiiii kibongo bongo tutaisoma kama zillion 😂😂😂
Mamake😂😂
Hiyo inaitwa mwana ukome mmmmmmk😂😂😂🙌🙌
😁😁😁 Sawa bwana Sky Hivyo ndivyo zonavyoandikwa kama tunavyoziona😁😁
nilikua sijui kama kuna sillion nikajua billion ndo tume maliza shughur duh kweli tuna safar ndefu sanaa
Zilion
Haya Kuna Tillion
Ata mm kweli nilikuwa sijuw uko
Kwa hiyo huijui Trilion na Quadilion?
Mpaka unakufa uwezi kuta
Hii kali,funga mwaka
Urusi ainachochote Google niya wamarekani
Urusi ana plan b,c,e n.k😂
Tizilioni 20000000
Noma sana hii
Mrusi jeuri sana😂😂
Vizo hatulipi atawanyambe hatulipi.
Wanajindanganya hawa urusi
Kama mama yako alivo mdanganya baba yako kukupata wewe.
@@Mumewanguyaan kivyovyote vile lkn kaa ukijua tu urusi wanajidanganya
@@Timothymchomi urusi wanamaana yao kufanya ivyo
@@Timothymchomi mda utaonga 2
@@MumewanguKuna watoto wengine tukisha wazaa baadae tunajuta wewe ni mmoja wapo
Warusi wanalipiza kisasi kwa pesa zake zilizozuiwa na ulaya na marekani
Wanalipiza pesa zao zilizozuiwa na marekani
Bad hazitatosha
Ipo duniani hio pesa.
Hapo umekosea ndio decilion ina figures 33 but ili iwe tsh kwa muktadha wa $ itakiwa izidishwe mara thamani ya dollar kwa tsh
Kitakachofanywa na google ni kuizima urusi😂😂😂
Duh
Hawalipi na hakuna chochote watafanya
KUMBE AFU 55
kwaiy dunia inadaiw vip
Safi sana
Urusi anapenda utani😂😂 hakuna anayemchukuliaga serious.. yeye aanzishe tu vita vya Nuclear mambo mengine baadae... Google ni ya wayahudi na hakuna kitu hela atakayopewa na hakuna chochote atakachofanya... kwani iko neenee 😂
Hizo pesa sihata Hiyo kampuni haina na-wala haijulikani watazipata lini
Dadekii🎉🎉🎉
Uchizi tu hapo
😂 nimecheka sana pesa nyingi hiv 😂😂😂
Slay atal kk
Mmmmmhhh
sem pes siwanazo
😅😅😅😅😅ni zaidi ya faini
Kumbe Kuna decillion jmn😂😂😂
Haliwezi kutekelezeka, google is USA.
yaan Russia ni kituko cha dunia 😅😅😅😅
😂😂 urus wame changanyikiwa
Mamae 😂😂😂 nakufa
Ingeniear soma hiyooo😅😅😅😅😅
😂😂😂 izzo nimazirooo
Kudadeki wamelipa kisasi kwa marekani maana wao wamegawa mali za urusi kumpa ukrein sasa wamepigwa kwenye mshono
Sasa unafikili Kuna hasara kwao. Hawatolip.na mrusi Hana Cha kuwafanya
Zile Pesa walizo chukuwa wa Mangaribi na Marekani wakimpatia Ukraine, zinahaza kurudia 😂😂😂
Anawalipanani
Faini inatozwa na nani, fuata habari kwa makini ili ujue Pesa zitalipwa wapi na kwa nani.
@lukafbbwebelof3874 mbn kasema hawezekani kulipwaa ww hujamsikilza ndugu mtangazaji alafu unaniambia mm
@@lukafbbwebelof3874 zinarudi vp
Basi, mimi nasema nilicho sikia kutoka kwenye maakama ya Urusi. Kama maakamani ya Urusi inasema mzaa tutasikia Mengine
Hapo hamna lolote ni Urusi wanaisadia Google kujitangaza na kuiongezea umaarufu
Google wanahitaji kutangazwa? Tena na urusi
@FahadAbubakari-y3f Ndio, matangazo hayanaga mwisho. Coca-Cola ni kampuni kubwa duniani lakn inajitangaza kila siku kama vile imeanzishwa leo.
@@rumdeesonsoa1811umeandika fact akiri mingi wewe
@rumdeesonsoa1811 sio in such a move kingine Coca-Cola na Aina nyingine za biashara are pretty much different na hizi gigs za mitandao Nani alikutangazia utumie you tube au social networks nyingine , kingine gist ya hilo jambo la urusi na Google ni far more than kimatokeo na chanzo chake so unaweza kua na hoja nzuri ila context yake ni far from actuality.
@FahadAbubakari-y3f Hiyo inaiongezea Google umaarufu acha ubishi. Husikii hapo umeambiwa hisa za Google zimepanda? Kwa akili yako unadhani Urusi itafaidika nn hapo hayo ni madai ambayo hawawezekani na ni ya kitoto hayamake sense
Nazani urusi ameshaona watu makolo ko anafanya comed yani ni mkojani
Sielew
Pumzika
Russian wamechemuka watahishia kuifungia tu nchini kwao hakuna la zaidi na google hata hawana shida ni kama TikTok na marekani,🤣🤣🤣
Google mbona hata China haipo? Unaweza kuishi bila Google
Google akijiondoa urusi ina maan Urusi itabidi itengenez mitandao Yao yenyew yeny mfumo wao ni kitu ambacho kigumu saan
Wanajua wanachofanya awajakurupuka
😂kigumu vipi?? Kwani hawana uwezo wa kufanya?
Hakiwez kuwa kigum akat anasattelite zake
Nadhani Russian yuko na plan B kupitia hilo deni kama halilipiki what next
😂 sasa atafanya nn 😅😅😅
Kuchukua Google 😂😂
Nazan nia yake nikumfukuza tu Google russia 🇷🇺 alaf aintroduce Google yake
Kutoka zillion inafata IBILISION
😂😂😂😂😂😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Wacha mvua inyeshe tuone kunapovuja😅😅😅😅😂😂 mambo si kidogo😂😂😂 wacha wamagharibi nao waonje joto tuone 😂😂
Hiyo ni comedy hamnaga madai kama hayo. Hapo wanaiongezea google umaarufu tu
😂😂😂 decillion hizo ukizi convert hazisomeki
Dadek
Manina
Kuna quadrillion msisahau
equations😅😅😅
Ubaya ubwela 😂😂😂😂😂
Safari bdo 😂 mana niijua mwisho ni tilion
Dadeeeeki😂😂
😂😂😂🙌🏾 red square
😂😂😂😂😂😂 warus 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣