Matajiri hawajulikani kaka huyo mwenyewe hiyo picha unayo muona hapo amepiga akiwa amejiandaa ndio maana unamuona amepozi lakini matajiri huwezi kuwajua hata siku moja mpaka upate mtu akuambie huyu ndio fulani unamsikia ama unaeona biashara zake au mwenye kampuni fulani
Ni wa kawaida saana ila utajiri wake ni balaaa! 🇻🇳🇻🇳🇻🇳💪💪
Napendaaaa kuwa tajiri nisaidie watu
Ooooh wao vzr, ushaweka nidham kwenye wazo lako hilo😢😢😢?
@kalengashoppingcenter1108 ndioo naamini kusaidiaa watu maana ukisaidiaa mtu unakuwa umepunguza kiwango Cha utegemezi
People who show off to look rich theirs don't have money actually 😎
Ndio juzi nilisema humu matajiri wa kweli na wa pesa halali huwa wako simple na hawajionyeshi NEVER ,Sio hao kina Godlove, Lugumi n.k😂
Kwan hao wamarekn wanashid gn mbn kilakit wanatk kuuziwa
Wanavojiona kila kitu kiwe chao wapate ku control dunua 🤯Yaani hata sijui wakoje khaa🤦🏽♀️🙄😏
Miaka 41 lakini kama ana miaka 50 hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe Wana wahi Sana kuchoka
Kwakweli😅😅😅😅
Sio wote mzee
Ukisema ngoz nyeupe waarabu hawazeeki wanawake wanazaa mpk miaka 50 na ukimiona kma ndio kwanza miaka 25
😢😢😢😢dah vp mwanagu Alibaba tena,
I want to be rich
Pesa haina mwenyewe
Matajiri hawajulikani kaka huyo mwenyewe hiyo picha unayo muona hapo amepiga akiwa amejiandaa ndio maana unamuona amepozi lakini matajiri huwezi kuwajua hata siku moja mpaka upate mtu akuambie huyu ndio fulani unamsikia ama unaeona biashara zake au mwenye kampuni fulani
NATAKA KUWA TAJIRI
Kwahiyo ndio hicho tu ulitaka kutuambia
Watu wana hela
sio God love na pesa zake za karanga😂
Why should you be rich??
Mpe miaka mi wili tu, china watamteka wenyewe nakumpoteze kama jack mah
😅😅😅😅😅
Acha ujinga wewe unajua China inamabilionea wangapi , mbona wote hawajapotezwa