Itakuwaje fixed kiasi hicho?? Kwani ana ajira na mshahara au mkataba na UA-cam?? Kila mwezi ziingie namba hiohio si Kuna kushuka na kupanda contents nyengine kuwa nzuri au mbaya,na viegezo vingi ambavyo havipo stable na haitabiriki?? 🤔
Wasanii waongo. Kwamza kuwa youtuber kutazamwa bongo au na dispora ya kibongo faida yake ni ndogo sana sababu wanaolipia matangazo na kuchagua yaruke nchi za dunia ya tatu wanalipia kihela kidunchu sana
@@pena_tzhawalipi kwa matangazo pekee pia na views na kipimo( kwa dakika ngapi katika video ulioipandisha mtu mmoja mmja ametazama) cha muda muda waliotazama video yako wanahesabu
My favourite actor for now master clam❤🎉
Twampenda sans vevo bongo kama vile konde boy mjeshiiii ❤❤❤
Safii🎉
Bongo Kila mtu analazimisha ana pesa, Wenye pesa hawaongei Hawa wote ni walala hoi waliochangamka.
Waendelee kuota wakiamka watuletee series ingine tuangalie😂😂😂 😂😂
noma
Amazing
TRA Typing......
Huyu ni cheef godlove aliyechangamka
😂😂😂
🎉🎉
Hyo kwa kenya ni pesa kidogo
Unayo😂😂😂😂
Pamoja
Itabid ulipie mapato kijana ukuze uchumi wa nchi yetu waone TRA
P didy anahusika hapo
Bonyeza plofile yangu kuangalia movie mpya
Itakuwaje fixed kiasi hicho?? Kwani ana ajira na mshahara au mkataba na UA-cam?? Kila mwezi ziingie namba hiohio si Kuna kushuka na kupanda contents nyengine kuwa nzuri au mbaya,na viegezo vingi ambavyo havipo stable na haitabiriki?? 🤔
Wasanii waongo. Kwamza kuwa youtuber kutazamwa bongo au na dispora ya kibongo faida yake ni ndogo sana sababu wanaolipia matangazo na kuchagua yaruke nchi za dunia ya tatu wanalipia kihela kidunchu sana
@@pena_tzhawalipi kwa matangazo pekee pia na views na kipimo( kwa dakika ngapi katika video ulioipandisha mtu mmoja mmja ametazama) cha muda muda waliotazama video yako wanahesabu
Cram nisaidie msingi wa milioni 2
Acha nicheke kidgo😂😅
Duuuu
Ni Clam sio Cram umeshindwa kukopi hata headline kunguni mmoja
Views million 60 kikawaid ni 1,800,000/=
😂kwa Rpm ipi iyo
@@mrsmile20 rpm ya tz ni 3.----
Kweli huna akili views mill 1 ni mill 4 na laki SITA
@@FocasYakuza-q4sSi kweli aisee kwa RPM ya huku kwetu
Utajiri my foot 😂
😂😂😂😂😂 wanatupanga bwana
Mnataka TRa wamnyonge kijana wa watu tuu kisa uwongo
Utakufa maskin kama hausanuki na code ambazo waliofanikiwa wanazitoa..amini kwamba
@@cloudendelwa1717kweliii kabisaaa
UA-cam kuna hela nyingi mno wanapata kweli
Hivi hixo waga ni kweli au tunapangwa!!Maana wasanii sikuiz Katoka juz tu tayar tajir Mkubwa!!mbn wanafanya tuone elimu,taalum zetu hazina maana!
@SamsonMakunja-rc3jx wasanii wengi wanafeki ili wapate attention( wafatiliwe zaid) lakini youtube pia wanalipa vizur
Kuna tra baba wako online
Oya cram naomba kampani kwenye kikundi chako nataka kazo ya kuigiza
54.4N
bdae wanaomb misaada .bongo cha ukweli salam tu .
Maasham sham hainongi. Kama Marehem. Dida hayupo. Hainongi
Kwahiyo unataka iweje mbwa wewe
Babu kausha acha upuuzi
Haha😂😂😂😂😂😂
Itabid ulipie mapato kijana ukuze uchumi wa nchi yetu waone TRA
Itabid ulipie mapato kijana ukuze uchumi wa nchi yetu waone TRA