🔴LIVE : MBOWE, LEMA, MBULU MJINI MUDA HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @NyarubambamohamedyNyarubamba
    @NyarubambamohamedyNyarubamba 3 місяці тому +3

    Watanzania tulowengi vichwa ni vigumu mno kuelewa, ninafikili Amna haja ya kudai katiba mpya tunapaswa kuishinikiza serikali iludishe Kodi ya kichwa tutakapokuwa tunakimbizwa na mgambo huenda tutaona uhusiano uliopo kati ya Kodi na huduma tunazpewa kama vina uwiano ,pia adha tutakazopata pindi tunakamatwa huenda tutapat akili ya kuwatoa ccm

  • @PaskaliBaha
    @PaskaliBaha 3 місяці тому +2

    CHADEMA ni moto mwingne ✌️✌️✌️

  • @fredrickyakobo
    @fredrickyakobo 3 місяці тому +2

    Jaman John mnyika yuko wapi????

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm 3 місяці тому +2

    Dah hawa ni viongozi bora

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 3 місяці тому

    Chama Cha Maana Hawa Ndugu Chadema Ndiyo Waokozi Pekee Wa Hili Taifa Vinginevyo Hali Ingekua Mbovu Sana.

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o 3 місяці тому

    Leo sauti inasikika. Pia nyomi tunaona. Hongera Sana lema. Lkn katika safu yenu. Mnyika. Mnyika. Uko wapi.!?

  • @JovinNjoki
    @JovinNjoki 3 місяці тому

    Huku Jimbo letu hatuna mbunge misseny aliopo ni kama pazia tungepata kamanda WA nguvu ingependeza sanaaa

  • @OmaliNungu
    @OmaliNungu 3 місяці тому +1

    Duu lema hayo maneno yenye mboiea yote haya hayafanikiwi sababu ya uongozi

  • @MasumbukoZuhumpa
    @MasumbukoZuhumpa 3 місяці тому

    Lema,wape ukweli, mwezi NOVEMBA watafute mlango wa kutokea

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 3 місяці тому

    Hawa watu Mh, Lema huwa hawataki kabisa wananchi wao kuwa na uchumi ili wao ndiyo wawe na Uchumi hakika ni viongozi wa ajabu katika Dunia hii

  • @TwahaShehe
    @TwahaShehe 3 місяці тому +1

    Mungu atamilinda

  • @alexmollel292
    @alexmollel292 3 місяці тому +1

    Leo mpiga picha amejitahidi kutuonyesha watu kuna yule mwingine anatuonyesha jukwaa kuanzia mwanzo mpaka mwisho hajui kuchukua picha

    • @EnockKanduli-cv8yr
      @EnockKanduli-cv8yr 3 місяці тому

      Asiye chukua picha ni kibaraka au chawa wa ccm hatakiwatu waone jinsi watu wanavyo jaa.

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 3 місяці тому +1

    Jamani nyongeza ya kodi 50./

  • @MasumbukoZuhumpa
    @MasumbukoZuhumpa 3 місяці тому

    Makamanda tunawaelewa

  • @MasumbukoZuhumpa
    @MasumbukoZuhumpa 3 місяці тому

    Mbowe MUNGU awe nawe ck zote

  • @evelina9621
    @evelina9621 3 місяці тому

    Kazaneni.kusema.safari.,ziara.za.raisi.samia.zikome.kams.atakwenda.basi.atajikosesha.kura.magoti.yake.amesahau alikuwa.!anawagejeli.au
    Hizo.hela.ndizo
    Anajigamba.watu.n
    Bora

  • @reginamwendwa6709
    @reginamwendwa6709 3 місяці тому

    Hatusikii inakatikakatika

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 3 місяці тому

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿