PART 2 - TAJIRI aliyeoga BAHARINI kwa Miaka 3 na kulala NJE, Kuachwa na MWANAMKE kisa UFUKARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 91

  • @eliamwakalong6160
    @eliamwakalong6160 Рік тому +2

    Safi sana safi sana Mungu akiamua kukushika mkono anakushika mm nilikua nauza mapensheni na nazi but now ni England na najua bado Mungu anaendelea kufanya so never give up people never give up

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 роки тому +8

    Big sharff mnyamwezi💪🔥 kwakweli mafanikio ya mtu yapo kwenye mawazo yake na ndoto zake ukimuamini mungu na kujitahidi I love this story it's motivates me

  • @mastaplan
    @mastaplan 3 роки тому +3

    Bro asee nimejifunza kitu hapa salute kwako

  • @nzegeatv6355
    @nzegeatv6355 Рік тому

    Asante sana broo umeamsha sprit kubwa sana kichwan kwangu

  • @shanimhanga7896
    @shanimhanga7896 Рік тому

    Interested story,Mungu akubariki zaidi na endelea kumshika usimuache

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 3 роки тому +2

    MASHAALLAH
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @standardtv3494
    @standardtv3494 2 роки тому +2

    nimeangalia part 1kitu nilichokuwa na kitafta sikukiona nimekuja part 2 nimekikuta nimefurahi sana inawezekana hata mie kunakitu sijafanya kwa wazazi wangu lakini hakuna kitu nimefrahi kama niliposikia mama anaishi kinyamwezi duuu nimefrahi sana sana saaaanaaaaa natamani sns mkamtembelee mama mmsikie anasemaje mwanae mpaka alipofikia ila yote katika yote Mungu namba 1.

  • @aminaadam3636
    @aminaadam3636 3 роки тому +3

    Mashallah mwambie mm nataka aniajiri kupika kwenye hoteli yake

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 3 роки тому +6

    Very inspirational 👏🏽 👍🏽

  • @diasporaadventureswithkadzo
    @diasporaadventureswithkadzo 3 роки тому +15

    Uko juu brother! Hongera! You learn through experience. Naja Zanzibar kutumia boat yako.Mimi ni PADI Scuba Diving Instructor. Naja kuelimisha vijana na wasichana Zanzibar. Empowering youth is building a Nation.

  • @aishaomary4498
    @aishaomary4498 3 роки тому +3

    Congrats dogo mungu alikufungulia kwasababu ulikua unaumia kuusu maamako maana hiyo ndo pepo yako

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 3 роки тому +3

    MashaAllah kweli binaadam usikate tamaa ikiwa M.Mungu kakujaalia kuwa na akili na afya njema never give up 🙌🙌🙌congratulations

    • @gracetiapmati9725
      @gracetiapmati9725 3 роки тому

      Oh ya Rabi kweli Maisha ya mwadamu wote yako mikononi mwa Mungu baba. Asante Ndugu Mtanzania kwa kutusimulia maisha yako hapo awali hadi Leo hii. Hadithi yako imenipa moyo na hakikisho kana kweli kabisa Kuna Mungu Mbinguni ashugulikiae maisha yangu. Nashukuru huyo Mungu. sante Mungu wa mbinguni.Najitahidi kwani ninayo desire ya kufanya jambo kubwa pia walakini bwana hali ya kifedtha ndio changamoto kubwa mno kwangu.
      Neema mkenya!

  • @mapendosafi3429
    @mapendosafi3429 2 роки тому

    Woooooooo amazing story God bless you baba

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 роки тому

    Pole sana kaka kwa uliyoyapitia Mungu akulinde na akupe maisha marefu amina

  • @nelsonmpolochacha5035
    @nelsonmpolochacha5035 3 роки тому +1

    Hongera Sana Mkurya Mwenzangu, Umenikumbusha Mbali. nimepata mwashwasha wa kutembelea Zanzibar

  • @winnievincent9063
    @winnievincent9063 3 роки тому +1

    Mungu azidi kukubariki zaidi na zaidi ufungue makampun makubwa makubwa kila kukicha.

  • @peterassenga2428
    @peterassenga2428 Рік тому

    Hongera sana ila kuna sehem umetupiga hiyo hotel inaonekana sio yako na ile Nyumba

  • @lourencoarlindorosario4707
    @lourencoarlindorosario4707 3 роки тому +2

    Parabéns meu irmao, Deus ilumine a sua caminhada, 🇲🇿

  • @nemajaquecene9167
    @nemajaquecene9167 3 роки тому

    Umenihamasisha sana, hongera 👍👌

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 2 роки тому

    Mungu ni mwema siku zote🙏🙏🙏

  • @mrdocta3106
    @mrdocta3106 3 роки тому +2

    Nice storu

  • @swafiyamansur4326
    @swafiyamansur4326 3 роки тому

    Mashallah God bless u more

  • @sehemunzuri
    @sehemunzuri 3 роки тому +2

    Captango giant mmoja 💯

  • @agnessignas9740
    @agnessignas9740 3 роки тому +3

    Proud of u

  • @jazeeraqaita4757
    @jazeeraqaita4757 3 роки тому +1

    Daah I can't wait for part 3

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 роки тому

    Hongera sana.

  • @yussufmohd2938
    @yussufmohd2938 2 роки тому

    Big app San brother

  • @andrewshustle1331
    @andrewshustle1331 3 роки тому +1

    ONLY GOD PLAN EVERYTHING IN THIS WORLD! SO NEVER GIVE UP UNTILL THE END! MEN...OOOVER!!! ⭐⭐⭐🤛🤛🤛💪💪💪💪💪

  • @evachuwa116
    @evachuwa116 3 роки тому

    Ongera sana

  • @binndevu
    @binndevu Рік тому

    Visiwa vinavyokaliwa na Watu ni zaidi ya Vitatu Inabidi aendelee kuisoma Zanzibar aijue.

  • @ellysanga7291
    @ellysanga7291 3 роки тому

    Tango mnyamweziii 🙌

  • @brvidatz97kibonaofficial_t64

    bro najiona mimi katika story ako maana ndio life experience angu hyo lets live and fght mkuu,,,kama tumezaliwa pmj

  • @sumamelody6197
    @sumamelody6197 Рік тому

    Baaasiiii nimesha pata ideas kupitia huyu jamaa

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Ama kweli sikati tamaa nitafika ipo siku 🙏

  • @ججوي-س4ي
    @ججوي-س4ي 3 роки тому +1

    Hayo ndo maisha ya kijijini

  • @Mku-wa-waku1
    @Mku-wa-waku1 3 роки тому +2

    Shabiki namba moja Leo, from Sweden 🇸🇪

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +5

    Msingi wakwanza kwa binadamu ni uzima pili wazo tatu ni kufanya kz bila ya kusahau ibada juhudi

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 2 роки тому

    Kumbe tuko wengi tulio pitia maisha ya kula bada na mchicha

    • @AshuraHatibu-tp3hy
      @AshuraHatibu-tp3hy Рік тому

      Kuna mdogo wangu alikuwa anaita utepe haha dah ila poa tu alhamdulillah

    • @AshuraHatibu-tp3hy
      @AshuraHatibu-tp3hy Рік тому

      Mmh kwa kweli mi niliambiwa sifiti kwenye maisha ya mtu

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 3 роки тому +1

    Tunasubiri part 3. Tumeisikiliza historia, sasa tunasubiri kuona hayo mafanikio ya hizo hustling!!! Maana dogo ana mambo mengi muda hautoshi.

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 2 роки тому

    Motivated

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 роки тому

    Safi sana

  • @najmajayden9493
    @najmajayden9493 2 роки тому

    I like you my brother

  • @aminakigada5250
    @aminakigada5250 3 роки тому

    Mungubakuzidishie tango

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 3 роки тому +1

    Very inspiration

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 3 роки тому +1

    Aise! Hii ndiyo habari sasa

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 Рік тому

    Mimi najua Arabic na sijasoma

  • @bainolatino3412
    @bainolatino3412 2 роки тому

    Umeni inspire kaka yangu Mr tango I can make something in my life

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 10 місяців тому

    Mie niko Sweden naomba no ya uyo dogo tafadhali nataka nifanye kitu

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 3 роки тому +1

    Allah karim

  • @stivenyoungson2288
    @stivenyoungson2288 3 роки тому

    Nakubari

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 3 роки тому

    hayo maisha ndo maisha harisi ya watanzania wengi wa uchumi wa kati, wa kula dagaa ama mchich kul ni shda sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому

    PACHA ALOLO😂😂 ILA WAHUNI WANAMISEMO.JAMN UWIII MARA BAHARI WAITE KAPETI ,,,MARA WAITE BONGO VITUMBUA VYA MOTO😂 LOOO

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому

    Stori ya kuto kukata tamaa stori ya kupambana nzuri sana utuwekee km hizi

  • @najmajayden9493
    @najmajayden9493 2 роки тому

    Mpka nimetoa machoz

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому

    Zanzibar watu wepya

  • @shukurulymo9882
    @shukurulymo9882 3 роки тому

    Jamaaa anaongea Kama p mawenge

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 2 роки тому

    Captain

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +1

    👏👏👏

  • @rayman111
    @rayman111 3 роки тому

    Nishike mkono nikushike, ume support walio kushika mkono. msela una akili sana, kikubwa una roho nzuri.

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 роки тому +1

    Part 3 please pleas

  • @jennyjohnlenge2398
    @jennyjohnlenge2398 3 роки тому

    Nasubiri party 3

  • @missclementsemizigimisscle7458
    @missclementsemizigimisscle7458 2 роки тому

    Nimelia

  • @makame3524
    @makame3524 3 роки тому

    Apo kwenye madini ulikua unaenda kupotea

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 2 роки тому

    👽👽👽👽

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 роки тому

    Peche alolo

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 3 роки тому

      Mashaallah

    • @bupemoreen9974
      @bupemoreen9974 3 роки тому

      Hongera sana kaka Nimesikiliza hii video kama naona Hakika wakati wa Mungu ndioo sahihi

    • @bupemoreen9974
      @bupemoreen9974 3 роки тому

      Pastor Mwamposa anatomies sana na Mungu mafuta ya upako Na maji ya upako ❤️God is good

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @eastafricaqualitychickenfa9916

    Sitori iko Ovyo kabisa porojo nyingi tu

  • @kondegangmusic5866
    @kondegangmusic5866 3 роки тому

    Alikiba kapata ajali tumuombee 😢😢ua-cam.com/video/84wHMsiTkK8/v-deo.html