PART 1 - Wamiminiwa RISASI na Askari wa Mpakani, wakuta MAITI Msituni, WATEKWA kwa Mtutu wa BUNDUKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 113

  • @bobrona9765
    @bobrona9765 2 роки тому +16

    kati ya mabroo wetu wa migo walituhamasisha maisha kusafiri sema ss hatujakimbilia south tuliona bora tuje kuishi na wakoloni wenyewe,big broo mungu akupe maisha marefu yenye barka nyingi.. ishallah..

  • @bobrona9765
    @bobrona9765 2 роки тому +21

    ebwanae kinyogoli sasa hivi kawa ustadh kweli maisha yanabadilika msafiri wa zamani huyo,braza wetu WA migo nawapata sana kutoka ujerumani.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 роки тому +6

      Kinyogoli anaonekana alikua mtu wa kuharibu sana

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Рік тому

      @@fahadfaraj6474 ila ameshafariki

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      @@fatmazullu4933 Innalilah wa ina ilah rajiun lini tena?

    • @sharifumniachi1864
      @sharifumniachi1864 Рік тому +1

      @@fahadfaraj6474 muongo huyu kinyogoli yupo na tunapiga nae story kila siku

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      @@sharifumniachi1864 dah sa inakuaje una mzulia mtu kifo Subhanallah

  • @khanmastertv1591
    @khanmastertv1591 Рік тому +3

    Yaani Baharini mwega ndo kiboko anataja mbaka mitaa sehemu zote alizofika respect

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 роки тому +15

    bongo Amani Sana ,,hakuna ukabila sijui wewe ni mzaramo cjui wewe ni Nani ,mambo Yao ni kuhusu mitaa wewe WA temeke ,,,LAKINI Kenya yetu utaskia oooh ,,wewe ni mkikuyu wewe NI mjaluo ,,yaani shida tu

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 роки тому +6

    Baada ya kusikiliza simulizi nyingi tu za waTanzania kikubwa kinawaponza katika utaftaji ughaibuni ni ukosefu wa Elimu ya dunia swala ambalo hadi leo hawajalipa uzito unaostahili.....wao ni Kiswahili tuuuuuuuu mwanzo mwisho!!!!! Poleni ndugu zetu!

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 роки тому +5

      Si tumekuja nje kwa meli na hatukujua lugha yoyote up to now we are so conversant in foreign languages, kwa iyo utaftaji lugha si issue kikubwa ni kuwa na ufahamu na kujituma na kutokukata tamaa

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 2 роки тому +2

      @@fahadfaraj6474 Kweli kabisa ndugu Fahad ila kutafuta maisha nchi za wenyewe bila kua na Silaha ya Elimu ama lugha yeyote ya kimataifa inaleta kuburuzika na kupitia mateso mengi ndio mtu aweze kufaulu. Asilimia chache sana inafaulu kwa njia za mikato. Nimekutana na wabongo wengi sana ughaibuni na wanapitia mazito mno kwa kweli! Mola awasaidie.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 роки тому +2

      @@lenniefei6710 mi niko canada nlikuja bila elimu hata kizungu ilikua shida nlikaa mwanzo Hua mgumu ila nmekaa nmejiestablish nkapata elimu na sasa ni raia

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 2 роки тому +1

      @@fahadfaraj6474 Siongelei wanaokwenda Canada! Maswala Sauzi jomba.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 роки тому +3

      @@lenniefei6710 mie nimeenda sauz nimekaa hapo izo njia alizotumia hugo kwenda sauz ndo nimepita almost izo izo nkafika Durban ndo tukapanda meli kuja Canada kwa iyo Maisha ayo mabovu nmeishi

  • @bensonnahum5181
    @bensonnahum5181 Рік тому

    nimeipenda iyo, kichuga kichuga, Yani kiuni uni, A Town forever, from A Town city a.k.a united states of Arusha

  • @walizanasiri4963
    @walizanasiri4963 4 місяці тому

    😂😂😂Paluma magumia mkoshooh uko kote kwetu😂❤❤

  • @alizuluman4739
    @alizuluman4739 2 роки тому +3

    Sns I like that stry za mabaharia yani hope sana kwa watakaje wa maisha

  • @walizanasiri4963
    @walizanasiri4963 4 місяці тому

    Uyo seemu anayosemea apo mjini pakuuza maji kwetu apo panaitwa magumia❤😂

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 роки тому +7

    mtangazaji next time weka simu kando sio unahoji watu huku unacheck simu CIO poa

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому +1

    Daaaa
    1997
    Umeingia South Africa umekamatwa umerejeshwa bongo
    Ujakata tamaaa mwanzo mwisho baba mpera mpera ukatika tena alafu nikate nitamaaa subutuuu

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 2 роки тому +2

    Noma sana life

  • @jumahamza6608
    @jumahamza6608 Рік тому

    Daaaah....kanikumbusha mbali sana

  • @hanschoppa7659
    @hanschoppa7659 2 роки тому +1

    Home boy wangu kinyogoli story nzuri

  • @africamz1762
    @africamz1762 2 роки тому +5

    Moçambique 🇲🇿 ❤️

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 2 роки тому +3

    Timbalend 😍Timberland 👌🏾

  • @aziza9093
    @aziza9093 Рік тому

    Pole sana shahe wangu😂😂

  • @happymchomvu6766
    @happymchomvu6766 2 роки тому +7

    Pachupachu😂😂😂😂nimecheka unavyosema kwa msisitizo🤣🤣🤣🤣asante baba umeniongeza sku kwa kucheka😁😁😁

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому +2

      mtondoroni😂😂 nimecheka sana jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @happymchomvu6766
      @happymchomvu6766 2 роки тому +1

      @@sifatiiman anakazia😂

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому +2

      @@happymchomvu6766 nimecheka sana asubuhi hii ndio mana napenda kusikiliza story za msbaharia japo mi girl ila naenjoy sana,🤣🤣🤣

    • @happymchomvu6766
      @happymchomvu6766 2 роки тому +1

      @@sifatiiman me pya🥰

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 роки тому

      @@sifatiiman wewe ni baharia wa kike

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 Рік тому

    Pachu pachu mwenzangu

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 роки тому +2

    New chata 🔥🔥🔥🔥🔥noma sana hizi ndoo story ambazo tunaitaji

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 11 місяців тому

    SELA ORIGINAL ❤

  • @adamjumamzengwamzengwa5496
    @adamjumamzengwamzengwa5496 2 роки тому +1

    Bless

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 2 роки тому +3

    Huyu tulikuwanae South Africa Africa, pectoria haya ss ngoja tusikize ss

  • @Mtangawaziriwatakoya
    @Mtangawaziriwatakoya 10 місяців тому

    Mzee baba njoo mtaani tukupe mapicha ya safari

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому +1

    NIMESIKILIZA INTERVIEW ZOTE ILA MR MWEGA KIBOKO YENU MKUBALI MKATE MAANA ANAKUMBUKA MBAKA CHOCHOTE NIMEMSILIZA PART 1 MBK PART 4 KANIFUNZA MWKA wa kulud bongo laxima nifike mtaani kwake

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 2 роки тому +3

    Mtondoloni pachupachu 😂😂😂😂😂

  • @abassmwakimbi7448
    @abassmwakimbi7448 2 роки тому

    Dah umenikumbusha mbali kk na mm nmepitia changamoto wakati naingia South Africa nipo Capetown Western cape

  • @gbetter4713
    @gbetter4713 2 роки тому +2

    🇲🇿🇹🇿Katembe now kuna daraja kwa wanao enda Durban wanapeta

  • @sulemcha3198
    @sulemcha3198 2 роки тому

    Huyu jamaa noma

  • @Mandenge
    @Mandenge 2 роки тому +1

    Utajuwa mwenyewe 😂😂

  • @mussaminazi7277
    @mussaminazi7277 2 роки тому

    Kaka side kinyogoli na kumbuka tukiwa mkuzu disco toto migomigo kwa mzee magengeee daah. Kk kitambo sana

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 2 роки тому +1

    Wow

  • @MrTzakaSanTz
    @MrTzakaSanTz 2 роки тому +2

    Kwetu Migo Mikumi!

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 роки тому +1

    Safi sana

  • @abudosaide7896
    @abudosaide7896 2 роки тому +1

    Wa mozambique awafai wabaya,mbona mulimwacha mwenzenu

  • @chrispinmsuha1599
    @chrispinmsuha1599 10 місяців тому

    Pachu pachu mzigo unawekwa ndani kabisa😅

  • @halfanijuma7646
    @halfanijuma7646 2 роки тому +1

    tunakubali

  • @amirclassic8326
    @amirclassic8326 Рік тому

    Jamal kijiko Luta hao mablaza zangu kutoka tandika magorofani under dox

  • @ashtonmzumara4020
    @ashtonmzumara4020 2 роки тому

    Mungekuja kupata story zamateja hapa Cape Town vjana wanatia huruma

  • @africamz1762
    @africamz1762 2 роки тому +4

    Esse Mais Velho sabe falar até zulu 😬😅

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 2 роки тому

    Houstaz Bandidu

  • @samirakiango957
    @samirakiango957 2 роки тому +1

    Jamanii 😪😪😪

  • @batungwanayojonathan3009
    @batungwanayojonathan3009 2 роки тому

    Unachelewa sanaa mkuu mbona wapo weng weny stori nying zakuvutia

  • @MedyTiote
    @MedyTiote Рік тому

    Lichinga iyo nyumbani hapo

  • @mutijimacedrick1622
    @mutijimacedrick1622 9 місяців тому

    desculpa andaka kkkkk =samahani njo apa

  • @emmanueldeogratius3969
    @emmanueldeogratius3969 2 роки тому

    Leta mabahariaaaa

  • @mwanaishiaomar5695
    @mwanaishiaomar5695 2 роки тому +1

    🥰🥰🥰🥰🔥🔥

  • @ivanymussa2946
    @ivanymussa2946 2 роки тому +2

    Tunaomba muendelezo mzee

  • @halfanijuma7646
    @halfanijuma7646 2 роки тому

    masisela tunakubali

  • @rosemaryismaily001
    @rosemaryismaily001 2 роки тому

    Kwaiyo rafiq zako umetokanao mwanzo wao walisepa au man umesema walikuwa na pesa

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 роки тому

    Si mchezo,baharia

  • @bobrona9765
    @bobrona9765 2 роки тому +2

    kanikumbusha babuu nimeamucha Belgium..

  • @africamz1762
    @africamz1762 2 роки тому +2

    Maluco = Crazy 😅

  • @samirakiango957
    @samirakiango957 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah jamanii

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 роки тому +1

      Tuzamie basi😂😂

  • @salehmarika9959
    @salehmarika9959 2 роки тому

    Tete hiyo blood to maputo

  • @zuumlondwa9518
    @zuumlondwa9518 2 роки тому +1

    Nmba mbili jamani

  • @samsonezekiel5239
    @samsonezekiel5239 2 роки тому

    Maisha noumaaa

  • @vivianjapheth3680
    @vivianjapheth3680 Рік тому

    Mwandishi unazingua humuulizi mwaka gan kipind gan

  • @MedyTiote
    @MedyTiote Рік тому

    Aroz galinha😂😂

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 2 роки тому

    Naona ndugu mtangazaji umetulia kama upo maskani ushapoteza kama mwandisi upo kimya unatinga na story za mbele

  • @kelvinalban4702
    @kelvinalban4702 2 роки тому +1

    Part ya pili?

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 2 роки тому +1

    Acha kuongea sana wew saidi kinyogori

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌

  • @samirakiango957
    @samirakiango957 2 роки тому +3

    Punguza kuchezea cm bhna na weee

  • @emmanuelalexander4158
    @emmanuelalexander4158 2 роки тому

    1

  • @anzizijumanne6558
    @anzizijumanne6558 2 роки тому

    Uyo jama ni mkeli kabisa

  • @alimohamed4712
    @alimohamed4712 2 роки тому

    sauti hamna

  • @danielarapmoi3041
    @danielarapmoi3041 2 роки тому +1

    Inaendelea ama ndio vp??

  • @samirakiango957
    @samirakiango957 2 роки тому

    😃😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jumakanteulejk5024
    @jumakanteulejk5024 2 роки тому +1

    Kkkkkkkkk Moçambicanos são loucos pah

  • @salimchum8572
    @salimchum8572 2 роки тому

    SNs naomba mawasiliano yenu kwani kuna jamaa alisafiri miaka 22 iliopita ndo hivi karibuni

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 2 роки тому

    Ulivyoondoka uliharibu vitu mitandani

  • @shabbyofficial_
    @shabbyofficial_ 2 роки тому

    Story za nyepesi Nyepesi izi

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 Рік тому

      Ingia UA-cam andika maisha ya ughaibun Mr KINGO Sio babu

  • @samirakiango957
    @samirakiango957 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅