WASANII WALIPUANA KUHUSU STEVE NYERERE /MWANA FA NA WAKAZI WACHARUKWA/ ABADILISHWE NDANI YA SAA 48

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 бер 2022

КОМЕНТАРІ • 32

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 2 роки тому +6

    Bora wangempa P'funk au Adam Juma

  • @ernestgamba3732
    @ernestgamba3732 2 роки тому +2

    Steve Nyerere apawe taarabu tu maana anapenda sana mipasho!.Ila mumwambie aache kula pesa za rambirambi...💪

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 2 роки тому +1

    Wote haki saw nimependa hyo bongo fleva hawajipya

  • @lamecktv4269
    @lamecktv4269 2 роки тому +3

    MWANA FA NA KALAPINA WANA AKILI SANA ....NMEWAPENDA MNO

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    huyo NI msemaji maisha yako msanii NI juhudi zako mwana fa jielewe

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    mwanadansi nimuelewa Sana xf Sana

  • @tinaabel8993
    @tinaabel8993 2 роки тому +1

    Mwana FA yupo sahihi na hapo wanaotetea na bongo fleva ni hao wasanii wa taarabu na na hao wengine ila sasa bado hawajitambui

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    STEVE ATAISAIDIA XANAAA

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    STEVE ANA FAAA XN HAO WANAMZIKI WASIOJIELEWA ACHANAO

  • @preciouslymo8376
    @preciouslymo8376 2 роки тому +2

    Kifupi they are proviking them kuonyesha ubabe,wanatakiwa wawape chance ya maamuzi mazuri kwenye industry ya music in general sio kuwatisha kila wakieeleza upande wao its sad.. wanaumia sana.

  • @ziadaakida2743
    @ziadaakida2743 2 роки тому +1

    Tatizo la stivu anaongea sn sifa zimemzidi, wanao mkubali stivu niwale miongoni mwawale wasio jielewa stivu masifa Sana

    • @JackJack-si7ne
      @JackJack-si7ne 2 роки тому +1

      Achilia mbali sifa, vigezo vya msemaji hana kulingana na katika yao

  • @johnmakubi190
    @johnmakubi190 2 роки тому +3

    jamani msilazimishe stive out

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    NA HATA WEWE KUWA MBUNGE NI KZ KM KZ YA STEVE ACHA UNAFKI DOGO

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 2 роки тому +1

    Hyo steve ni mme wa hyo dada

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    Steve kakosea nn km sio kujipandisha juu ya hili

  • @lilianmungure8374
    @lilianmungure8374 2 роки тому +2

    Riziki ya mwengine usiilalie mlango wazi,wacha kumdharau Stive Nyerere.

  • @mussamtupa
    @mussamtupa 2 роки тому +1

    Nyinyi munataja mziki wa wa taarab na Gosp tu mziki wa Madrasa vipi?

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    gnako hajielewi kabisa

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 2 роки тому +1

    Bora npoteze mb kwa putin

  • @mamup2130
    @mamup2130 2 роки тому +1

    Mtu anaweza kuwa Hana shule lakini akawa anauzoefu na Mambo mengi acheni ubaguzi,

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 роки тому +2

    Steve hafai Hana busara muhuni tu

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 2 роки тому +1

    Kimeumana ,

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    Hauna Cha kuongea wewe ulianza kuongea japo mm sikujui hata kidogo

  • @mamup2130
    @mamup2130 2 роки тому +1

    Acheni utengano huwo wivu tu, watu wamepewa ubunge, we bonge nyanya unatuongelea kingereza kaongee na familiya yako,

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 2 роки тому

    Achen wivu

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 роки тому +1

    Wasanii nyie ni Viazi eeeh..?

  • @mamup2130
    @mamup2130 2 роки тому +1

    Mwana f a human lolote, ubunge wenyewe umepewa acha kuhangaika acha wivu

  • @joflyngosso6035
    @joflyngosso6035 2 роки тому +1

    mwampasha xf xn

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 2 роки тому +1

    #wakazi "muda ambao ni very critical"
    7:50
    8:18
    8:30
    9:15
    11:29
    23:51