Nyimbo hii inaendana na Riwaya Moja kutoka Nigeria iliyoandikwa na Buchi Emecheta JOYS OF MOTHERHOOD... Mhusika Nnu Ego anakuwa na mawazo mengi na shida nyingi, wanae wameenda kusoma Marekani na ulaya hawakurudi nyumbani mpaka anakufa mama Yao ...... Na kukuta kaburi la mama Yao...... Nnu Ego alilaumu kuzaa kumbe hauna faida.... Hajasaidiwa na watoto wake....... Kazi nzuri sana Bahati ugalama kwa kuelimisha Misha jamii kuhusu swala la uzazi kwa vijana na kina mama ..... Wazazi wanatakiwa wawambie watoto wao kuhusu msaada kwa wazazi.......
Kwa tofa au mbasha huna nakubali sana pale mnapofanya kazi na bugalama unabeet nzito za maana dah wewe hatari umejuaje kama tulisubili kwa hamu sana pongezi kwenu bro

Kaz nzur hogera 🎉🎉🎉🎉🎉
Vizur sana 🙏
Hongera Kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii mungu akuzidishie maarifa
Asante sana malenga kazi nzuri ya kuelimisha jamii
Mwamba huwa anatoa nyimbo mbilitu kwa mwaka ila zko pure kabisa 🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤nzugu mpanda ya kayenze
Nyimbo zingine nzuri sana mpaka zinalizaaaa kwa sisi wazazi 🤦♂️🤦♂️kazi nzuri mnoooo
Good work my brother,🎉🎉❤am love this song.
❤❤❤❤ Wimbo mzuri sana
Hongera bro Imeni touch sana
Boge la melod😂😂 karibu sana tena kwetu mwamnage 🎉 ubele ya kaliuaa
Kazi nzuri Mr bahati hongera pia kijana mdogo t touch kwa kuendelea kuwa bora every day
Mungu akuongoze katika kazi yako kaka ... Hakika unatoa ujumbe mzuri sana katika jamii
kazi nzuri bahati hakika naijoi nyimbo zako,
Mm mshabiki wako sana piga ngoma uko vizuri sion mwigine by mkono mzito lwamugasa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉Shikamoo 🙏🙏hapo umepiga ubora ni ule ule💯✍️
tulikusubir sana hongela malenga wa kanda ya ziwa mungu akubarik
Mwamba kapiga pale pale hajawahi kufeli #kubali sana
KAZI nzuri 🎉🎉
Napenda sana nyimbo zako
Kwa tofa au mbasha huna nakubali sana pale mnapofanya kazi na bugalama unabeet nzito za maana dah wewe hatari umejuaje kama tulisubili kwa hamu sana pongezi kwenu bro
Huyu ndo tulimsubilia p1 cana ubora kwetu daima
Safi sana, kazi nzuri inayoelimisha jamii.
Hakika Dunia inakutazama unajua baba endeleea kuifundisha jamii
Hogera sana kaka pambana tuko pamoja sana sisi Wana
J M Classc
Shikamoo bahati ningekua na uwezo ningekupa tuzo ikhuluye
Kazi nzur kaka
❤❤❤❤ bhagosha giki
Shida anakaa sana mda 😅😅😅😅
Ni zuri
Bahati bhugalama nilikumic sana kaka
Kazi nzuri bahati
Safi sana bahati bhugalama
Kazi imetulia sana hii ni 2025
Saf sana
daaah bahati kongole kwako umo kwenye barabara la kutetea wajinga wajitambue katika jamii hongera
Hujawahi kukosea malenga
Wa kwanza leo
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Pure🎉
🎉🎉❤❤
Nmeikubal hiyo
Makini
sijamsikia FISI DUME yupo wap?
😊
🎉🎉🎉
Gud
Hatali
Good work my brother,🎉🎉❤am love this song.