Nakosa maneno ya kuelezea shukrani zangu kwa kile Mungu amefanya maishani mwangu kupitia mafundisho haya. Japo niko Kenya, naamini nitafika Tanzania siku moja nikutane nanyi wapendwa uso kwa uso. Uongezeke sana.
MUNGU wa mbinguni akubari sna mtumishi coz Bwana ametumia kinywa chako kusema nami.Nackia kubarikiwa na maandiko ,naninaomba Bwana apanue zaidi mipa yako.
Mchungaji Mungu akubariki , Aikuze huduma yako , nimekuwa nikikufuatilia kama kuna kitu nilikuwa naogopa ni kukusikia ukiwashambulia watumishi wengine kwamba wanafanyaje na uwakosoe . Namtukuza Mungu umejitunza kwa hilo .Ubarikiwe
E e Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo uliempa mamlaka mbinguni na duniani. Nimejiungamanisha madhabahu Ibada hii ,nimejikuta ikiwa ni mimi kabisaa jamani, ee Mungu tokea sasa ninajinasua na Roho ya kucheleweshwa kwa jina la Kristo Yesu Alie hai. Asante Pastor Mungu aendelee kukutumia Kwa ajili yetu sisi.🙏
Mandiko yamenifuza ata sina la kusema mchungaji Mungu akubariki n kuinua kipaji chako iliuinue wengi kupitia Neno lake,Eee Mungu nipe uwezo wakukujua zaidi pia njue kuchelewa yako n y shetani💪💪🙌🙌🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
BWANA YESU ASIFIWE Pastor,minajiuliza kwa habari ya ndoto na maono,Mungu hunifunulia sana kwahabari ya huduma,wito wangu,lakini sioni vitu hivi vikizaliwa,napouliza yupo kimya tu,
Hakika huyu ni mwalimu wa injili! This is what we call gospel! strictly frm the bible! Asante Mungu kunikutanisha na hii youtube channel imagine in my first day of fasting i came across his video “jinsi ya kuutumia mfungo wako” roho akaniambia niangalie hakika nimebarikiwa! Na hapa ndo nmefika kiu yangu ya neno inaisha baada ya kutazama vidoes zako! Mungu akubariki sana pastor!
Jambo, Mtumishi wa Bwana nashukuru kupokea mafundisho muzuri ambayo yananijenga kiroho nasema ubarikiwe zaidi, mimi naishi nchini congo/ mkoani kivu tarafani uvira mtaani songo av. Alliance no 65 ila Mtumishi naomba utusaidiye kuhinua sahuti kiasi Bwana atakavyoenda kukuwezesha ili sisi tuliye mbali tuhelewe kila neno unalolisema ila kuna sehemu sauti inasikilika, vizuri kwenye you tube na sehemu zingine sahuti inashuka zaidi! Asante.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Oooh Wooow Great Man of lord God.. .wooow True True truth......❤❤❤❤❤❤❤❤❤Be Blessed from me Mnande Niederoesterreich Oye ❤❤❤❤❤❤Mungu Akuinue Zaidi❤❤❤❤❤❤❤Amen nakucheki Pastor Wangu Mpendwa wa Mungu George..Mkabwa Mwana Wa Kukhu! Orio Mno.....wibaĺe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaan mm nimebadilishwa na pastor sitaki hata siku ipita bila kusikia neno la mungu nashukuru sana Kwa mtumishi amenipa tama sana ya maombi na kusikiliza neno
Halleluja Halleluja Ameen
Assnte Baba kwa Prophet Pastor George Mukabwa Ubariwe saana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakosa maneno ya kuelezea shukrani zangu kwa kile Mungu amefanya maishani mwangu kupitia mafundisho haya. Japo niko Kenya, naamini nitafika Tanzania siku moja nikutane nanyi wapendwa uso kwa uso. Uongezeke sana.
Tuko wengi pia nami nimejifunza mengi kupitia haya mafundisho
Hujumbe huu ni wangu kabsaa. May God help me to understand the reason of every season in my life 🙏
Nashukuru Kwa ufunuo huu. Umenisaidia kuomba
MUNGU wa mbinguni akubari sna mtumishi coz Bwana ametumia kinywa chako kusema nami.Nackia kubarikiwa na maandiko ,naninaomba Bwana apanue zaidi mipa yako.
Mchungaji Mungu akubariki , Aikuze huduma yako , nimekuwa nikikufuatilia kama kuna kitu nilikuwa naogopa ni kukusikia ukiwashambulia watumishi wengine kwamba wanafanyaje na uwakosoe . Namtukuza Mungu umejitunza kwa hilo .Ubarikiwe
Mungu akubariki, Pasta. Najengwa sana na Neno la Mungu kupitia huduma yako. Nimebaki mwaminifu kwa kukufata kila siku.
😊😊
Mimi ndo huwa unanibariki sn mtumishi,amen
Mungu Akuweke Utanuke Zaidi Duniani Kote Hii Ni Maombi Ya Dunia Nzima
Mafundisho haya kwa kwl yamenifinza vitu vingi sana . nlikuwa mkristo ambaye sikui kabisa .cjui kujiombea Mungu Asante kwa hili neno
Ninabarikiwa sana na mafundisho yako Pastor. Mungu azidi kukubariki sana.
Barikiwe sana Pastor umekuwa sauti ya Mungu juu ya maombi yangu, hakika nimepata mwanga wa njia yangu,
Asante Yesu kwa mafundisho haya najua ni mpango wako kunivusha kupitia Pastor George.
Thanks a lot pastor George Mungu azidi kukutia nguvu ktk neno lake .i have been following you umenifungua mengi kupitia Bibilia.
E e Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo uliempa mamlaka mbinguni na duniani.
Nimejiungamanisha madhabahu Ibada hii ,nimejikuta ikiwa ni mimi kabisaa jamani, ee Mungu tokea sasa ninajinasua na Roho ya kucheleweshwa kwa jina la Kristo Yesu Alie hai.
Asante Pastor Mungu aendelee kukutumia Kwa ajili yetu sisi.🙏
Mandiko yamenifuza ata sina la kusema mchungaji Mungu akubariki n kuinua kipaji chako iliuinue wengi kupitia Neno lake,Eee Mungu nipe uwezo wakukujua zaidi pia njue kuchelewa yako n y shetani💪💪🙌🙌🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Asanti pastor since nikupate Kwa UA-cam mahubili yako YA Mani badilisha.barikiwa sana❤❤❤🎉🎉🎉
Amen, nmeamini na ninajua nitapokea kazi ninayoiombea kwa njina kuu la Yesu kristo
BWANA YESU ASIFIWE Pastor,minajiuliza kwa habari ya ndoto na maono,Mungu hunifunulia sana kwahabari ya huduma,wito wangu,lakini sioni vitu hivi vikizaliwa,napouliza yupo kimya tu,
Asante kwa mafundisho mazuri mtumishi
Asantee Sana pastor mungu aendelee kukubariki umekua Baraka Sana kwangu
Mungu akutunze Pastor mafundisho yako ni 🔥 nimejifunza namna ya kujiombea kila siku lazma nikufuatilie
Hakika huyu ni mwalimu wa injili! This is what we call gospel! strictly frm the bible! Asante Mungu kunikutanisha na hii youtube channel imagine in my first day of fasting i came across his video “jinsi ya kuutumia mfungo wako” roho akaniambia niangalie hakika nimebarikiwa! Na hapa ndo nmefika kiu yangu ya neno inaisha baada ya kutazama vidoes zako! Mungu akubariki sana pastor!
God bless me
Amen 🙌🙌 pastor nmebarikiwa🙏🙏
Hadui hatinichelewesha katika Jina la yesu kristo
amina ujumbe mzur sana umenibariki Mungu niongoze kujinasua na roho ya kucheleweshwa
Ubarikiwe kwamafudisho mungu akuwezeshe
Nakataa roho ya kucheleweshwa katika jina la Yesu
Pastor umenibariki saaana umenifunza mengi
Amen and amen humble in Jesus mighty name, hallelujah hallelujah 🙏🙏👏👏👏👏
Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki kwa kila wakati kwa ajili ya kazi yake ninabarikiwa sana nimepona baba asante ❤
Amen amen pst
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa na mafundisho yako
Neno la Mungu ni Nuru Wapendwa Mungu akubariki Mtumishi.
Baba mungu akubariki na akupe miaka iliyoba amen
Amina asante naomba Mungu unipiganie…
Asante Kwa madundisho Mazuri🙏
Asante sana postor hakika mafundisho yako yamenijenga sana 🙏
Amen baba
Ithank God paster for your teaching....from today my prayers will change over my children
Jambo, Mtumishi wa Bwana nashukuru kupokea mafundisho muzuri ambayo yananijenga kiroho nasema ubarikiwe zaidi, mimi naishi nchini congo/ mkoani kivu tarafani uvira mtaani songo av. Alliance no 65 ila Mtumishi naomba utusaidiye kuhinua sahuti kiasi Bwana atakavyoenda kukuwezesha ili sisi tuliye mbali tuhelewe kila neno unalolisema ila kuna sehemu sauti inasikilika, vizuri kwenye you tube na sehemu zingine sahuti inashuka zaidi! Asante.
Mafundisho haya yanisaidia Sana kiroho nashukulu pastor
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Oooh Wooow
Great Man of lord God..
.wooow
True True truth......❤❤❤❤❤❤❤❤❤Be Blessed from me Mnande
Niederoesterreich Oye ❤❤❤❤❤❤Mungu Akuinue Zaidi❤❤❤❤❤❤❤Amen nakucheki Pastor Wangu Mpendwa wa Mungu
George..Mkabwa
Mwana Wa Kukhu! Orio Mno.....wibaĺe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ninabarikiwa sana Paster,mungu akuzidishie
Amena mungu akubariki mchungajo
Niko Na Amani moyoni mwangu, pastor live long nimebarikiwa
God help me have wasted so many year let me walk with these now
Eee,Mungu nisaidie
Asubuhi ya Leo sema Bwana Mungu ktk biashara yangu naomba neeema iniongoze naamini kilicho anzishwa na mungu kitaenda kukamilishwa
Mungu naomba nitembeleee Leo ktk biashara yangu naomba mkono wako 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲👐👐
Mafundisho yana nijenga sana ubarikiwe pastor
Asante
Bwana akuzidishiye
Ume nitosha mbali.
Namshukuru mungu kupitia neno hili
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥watoto wangu wapete elimu katika jina yesu
hakika pst umenibariki katika ujumbe huu. natoka nrb Kenya bwana yesu asifiwe
God will protect u to help many pple in Lord way
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Amina nakataa Roho ya kuchelewa
May God bless you man God.
mungu wambinguni akubariki mtumishi
Yaan mm nimebadilishwa na pastor sitaki hata siku ipita bila kusikia neno la mungu nashukuru sana Kwa mtumishi amenipa tama sana ya maombi na kusikiliza neno
😂Kama vile hunishindi mimi😂😂 bado kwenda kumtembelea tuu
@@tausimwinuka wow wow kama unaishi tz make sure uende Ibadan hata siku moja pastor George amenielekeza Kwa neno la mungu sana
@@ffflll6001 must be, I will attend, kila siku lazima ni danload kipindi chake halafu nisikilize,,, Hakika ananibariki.. Mungu aendelee kumtumia..
Kanisani lake Lipo wapi
@@jackpeter4165 kwanza dear
Yan jamani Mimi na barikiwa na hatua napata kabisa God bless you my paster
Amina Baba nabarikiwa saana
Mungu akubariki kwa viwango vyake mwenyewe
Mungu alie hai akubariki saana Pastor nimejengwa saana na fundisho hili
Namshukuru Mungu kwa ajili ya huyu mchungaji huwa ananibariki sana
Ameen mtumishi mafundisho haya Yana niandaa kumungoja Mungu
Ameen bab ntapatj namb yak bab
Nabarikiwa na mahubiri yako
Pastor you have realy help me with these teachings
Our is a God of seasons Amen
God bless you for the good teaching
Nimefungukaa mungu azidi kukutumia
Namshukuru Bwana Yesu kwa hili somo,nitavuka katika Jina la Yesu,
Asante mtumishi wa Mungu,neno limenigusa sana, ubarikiwe sana,Mungu anivushe na roho hii ya kucheleweshwa.
Amina kubwa, kwa mafundisho haya lazima nitavuka
Wobeya wadodo waku waNasubu RiwaNambebo
Barikiwa sana mtu wa Mungu
Pastor nakupenda sana baba
Naomba Mungu azidi kusema nawe ili nizidi kujifunza mengi kupitia huduma yako,
Amina nabarikiwa.
I wish ningekuchua mapema kweli,but it's not late Mungu atatenda makuu
Kweli kabisa pastor be blessed 🙏🙏🙏❤️
BABA WA MBINGUNI AKULINDE PASTOR UNANIBARIKI MNO
Man of God, powerful teaching I am blessed, Thank you.
Nabarikiwa sana Baba
Hakika mafundisho haya yana uzima wa Mungu wa mbinguni
Mungu nisaidie
Amina kubwa baba mafundo yako yananijega sana kiimani
Mungu akubariki
napata tumaini la kumungojea Mungu zaidi
God is good
Ameen Ameen
Niko kenya amen
Amen 🙏 🙏 🙏
Rescue me ooh Lord.
Amina baba nimebarikiwa leo
Bwana unikumbuke Leo niipate ile frem nianze biashara mahali pale naomba niingie kweny ratiba yanao saidiwa Leo Papa
May God continue to bless you Man of God🙏🙏
Amen umbarikiwe sana
Amina 🙏🙌🙏