Ameeen hakika BABA umenitoa mbali MUNGU akupe maisha marefu hapa duniani naakikuchukua akupe nafasi ya kuongoza malaika huko mbinguni niombi language umenisaidia sanaaaa siwezi kukulipa MUNGU akulipe BABA
Baba katika jina la Yesu tunaomba ufanye mabadiliko kwenye maisha yetu yawe na mabadiliko kwa kumpenda Mungu,kumtumikia na kumuaamink,ili tupokee uponyaji na kazi
Mungu akubariki mtumwa wa Mungu kwa mafundisho yaliyojaa mafuta ya upako wa kristo, hili ndilo neno halisi la Bwana, Mungu akutunze ulishe kondoo wake ili kanisa lipone
Nilikua nateseka kila ninayo lala nilikua naota nimekufa naotana chinjwa yaani Hadi nilikua nahama kitanda lakini masomoyako yamenitoa huko nalala vinzuri naamka saa name usiku nashukuru naomba kidogo nalala malaika wamenizunguka hasante oooo hasante sana Baba hunijui ila iko siku nitakupa kanisani kwako nitaahughusia nimahukuru MUNGU kwenye madhabahu yako Ameen
Mchungaji wewe ,umenifufua tena weww , ubarikiwe ,mwalimu wa kweli ,Nabii wa kweli ,weww ni mtumishi wa kweli wa Mungu ,Neno unalofumdisha linafufua kabisa
Hakika Mwenyezi Mungu amewekeza watumishi wake katika kumtumikia. Barikiwa sana, sana mtumishi wa Mungu# Feel proud having following your preach!❤
Ameeen hakika BABA umenitoa mbali MUNGU akupe maisha marefu hapa duniani naakikuchukua akupe nafasi ya kuongoza malaika huko mbinguni niombi language umenisaidia sanaaaa siwezi kukulipa MUNGU akulipe BABA
Nimekukubali man of God,,,,, Ubarikiwe na bwana
Yes haya ndiyo mafundisho ubarikiwe pastor MUNGU aendelee kukutumia.
Pastor G Mukabwa ni 🔥 Mungu muweke Miak 1000 tuzid kufaid matunda yake hakik nilitamn kupta sehem km hii JRC CHURCH ❤
Mungu akutumie pastor kama apendavyo
NIMEBARIKIWA SANA HALLELUYA
MUNGU AZIDI KUKUTUMIA SANA ZAIDI MTUMISHI WA MUNGU 🙌🙌🙏
Ubarikiwe mtumishi. mungu akutumie kwa mafundisho mazuri unanibariki Sana.
Mungu akubariki sana pastor. Nimepona namshukuru Mungu.
Amina kwakweli nimejifunza kitu kipya kila siku hakika mioyo yetu ibadilike Mungu baba utusaidie
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Amen mtumishi hakika mafunzo yamenjaa ufunuo wa hali ya juu🤗🙏🙏🙏Be blessed man of God na kufatilia Sana nkiwa saudia🙏🙏
Mungu ni mwema sana umetuletea mtumishi huyu hakika wenye masikio na tusikie Neno la Bwana wanadamu
Yesu nibadirishie moyo wangu ukawe moyo sahihi ili niweze badirika katika maisha yangu
Hakika Nashukuru mwenyezi MUNGU kwa neno hili ,,, asante sana mtumishi wa Mungu,,,umenifumbus macho kwelikweli,,,,, be blessed more my mentor Ameen
Amina Mtumishi, MUNGU akubariki
Pastor nilipo anza kukusikiliza ndio nikajua tofauti ya kufundisha na kuhubiri.asante na Umenibariki sana Mungu akukumbuke kwa maarifa haya.
Uishi tu Mtumishi wa Mungu,.
Nakuombea
ongera mtumishi mungu akubariki Sasa wengi wanafandisha kubarikiwa sio kutubu Kisha watu waanze kumwona mungu
Mungu wangu naomba unibadilishe ili nikaweze kuenda Sawa katika maisha yangu
Ubarikiwe pastor,ujumbe huu Kuna nguvu ndani yake
Nakupenda sana pastor George
Una kipaji kikubwa Sana cha kufundisha Mtumishi wa Mungu, Nakufatilia sana Masomo yako na Umebadilisha maisha yangu sana!!!
Nimesikiliza mahubiri week mbili na nimeona mabadiliko makubwa sana
Napenda sana mafundisho yako,hakika yananijenga moyo.....🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Baba katika jina la Yesu tunaomba ufanye mabadiliko kwenye maisha yetu yawe na mabadiliko kwa kumpenda Mungu,kumtumikia na kumuaamink,ili tupokee uponyaji na kazi
Mungu akubariki mtumwa wa Mungu kwa mafundisho yaliyojaa mafuta ya upako wa kristo, hili ndilo neno halisi la Bwana, Mungu akutunze ulishe kondoo wake ili kanisa lipone
Powerful word
Mafunzo yangu haya kweli...asante yesu kwa kutupenda na kutupa mtumishi wa kutulisha..🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪
The place I will always call home..Be blessed Dad
Mimi kama Much. Nimebalikiwa saana nimehamishqa Barikiwa
Naona kutoka kwangu kupitia hili neno Asante Mchungaji
Jina la Yesu libarikiwe
Mchungaji uko vizuri Dana hongera
Hakika uyu ndo mungu itakua DHA ubarikiwe TU.
Mungu akuinue Baba
Asante sana Baba yani nashukuru kwa kuniamushiya akili,asaaaaante
Asante pastor 🙏 nimeeelewa kwanini maisha yangu yalikuwa hayabadiliki kupitia ili neno najitamkia kubadirka in Jesus name
Amina amina🙏🙏🙏
❤Napenda huduma yako mwalimu
Amen baba hakika unanibarikiwa
Be blessed pastor
Amina Amina 🙏🙏🏾
Be blessed man of God
Yesu nibadirishie moyo nikawe na moyo waNne
Ubarikiwe sana baba mchungaji
Barikiwa sana
Nilikua nateseka kila ninayo lala nilikua naota nimekufa naotana chinjwa yaani Hadi nilikua nahama kitanda lakini masomoyako yamenitoa huko nalala vinzuri naamka saa name usiku nashukuru naomba kidogo nalala malaika wamenizunguka hasante oooo hasante sana Baba hunijui ila iko siku nitakupa kanisani kwako nitaahughusia nimahukuru MUNGU kwenye madhabahu yako Ameen
Amina baba
Ubarikiwesanakwamanenoyamungu
Yes pastor🇰🇪
Ooh! Mtu wa MUNGU hakika unanifunza!!!
Amen 🙌🙌
Loyce
Kweli baba,,mwoyo😢😢
❤❤❤❤
Amen Amen
Hallelujah Hallelujah,,, Nairobi following,,,Toi,, market 😂😂😂 kibera,, hiyo market 😂😂 Hallelujah
Line 7 😂😂😂😂😂 kibra
Amen Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nitakuwa nakusikiliza na mara yangu ya kwanza kukusikiliza
Mchungaji wewe ,umenifufua tena weww , ubarikiwe ,mwalimu wa kweli ,Nabii wa kweli ,weww ni mtumishi wa kweli wa Mungu ,Neno unalofumdisha linafufua kabisa
C yy Bali ni Kristo na Roho wa Mungu ndani yake,sifa na utukufu wote anapaswa apewe Mungu
Pastor George ubarikiwe. Umekuwa mwalimu mwema .nimejifunza vema Maneno ya Mungu. Barikiwa sana.
Mkwabwa ww ni SIMBA WA KRISTO YESU. WW NI MTU WA MUNGU
Naomba location ya kanisa lilipo
Ni mwaka sasa,,,ila nimenoti mambo mawili tu ktk 7,,kwann maisha yangu hayabadiliki,,mwenye sehem ya 3-7anisaidie
From Nairobi...for truth i am blessed, i would like to have Pastor's number.... kindly can someone help me to get it....
Yakufanya mini enda tz😂😂😂
Naomba nisaidiwe kujua huyu mtumishi anapatikaña wapi jamani.
Mwanza Tanzania
Anapatikana Mwanza Tanzania
@@renetoyo8037 kanisa liko sehemu ngani
Tangu nimeaza kusikiliza mahubiri yangu,nimeaza kuona mabadiliko makubwa sana jwenye maisha yangu
Mungu ni mwema mtumishi Mungu baba na Azidi kukutunza tupate kupona kwakweli
Lol
Mungu akubariki mtumishi kwa neno
Amen