FUNGUO ZA USHINDI KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 25/08/2022
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz
Piga makofi kwa Yesu kristo kama mnamuelewa huyu mtumishi wa MUNGU,,,,,mimi anafanyika baraka Sana ,, barikiwa mtumishi wa MUNGU
Ywafundisha vizuri Sana waelewa
Ninabarikiwaa sana
Mhhh makofi ayatoshi na vigelegele, nampenda mnooooooo aaah yesu mnunu jama
Ni mwalimu huyu kama Christopher Mwakasege.. Mungu aendlee kuwatunza
haleluya!ukweli nimetiwa moyo nakuongezewa imani kwa neno hili,umefanyika kuwa daraja kwangu nifike ninakokwenda,ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu aliye hai,umeitwa vizuri na Bwana.🎉🎉❤❤
Pasta mungu akubaliki sana katika mkoa huu wa mwanza wewe ni mwalimu mzuri kabisa mafundisho kama haya ni adimu sana Mungu akupe mafunuo zaidi ili utupe madini ya mbinguni Amen 🙏🙏🙏
God bless u you pastor u have real moved me to the next level
❤🎉
Bwana asifiwe sana mtumishi wa mungu mafundisho yako yanijenga sana Mungu azidi kukupa hekima
Kuna neno la huyu baba ctakuja kusahau liliniponya na kifo nililisikiliza hilo neno nikalifanyia kazi kesho yake lilituokoa na kifo sitakaa nisahau namna Mungu alivyo mtumia mtumishi wake mana tulikua tunakufa walimu naa watoto wote shule nzima , Utukufu nakurudishia Mungu hakika nimeuona mkono wako ,Mungu akuweke baba untundisha neno na linatubadilisha
🎉hakika mungu hutumia mtumishi wake kama huyu ilitupate kujifunza elimu ya kimungu
Umekua wa baraka sana mtumishi wa Mungu;Mungu aendelee kukujaza neema zake. Ubarikiwe sana.
Pastor umenibariki Sana Na mahubiri yako,Mungu akubariki sana
Amen 🙏 Mungu akubariki sana mtumishi kwanzia leo nimejifunza moyo wangu ndiyo madhibahu ya Bwana 🙌
Asante Mwl kwa darasa zuri.Mungu akubariki
Ameen! Glory to God! Neno hili limeniponya Moyo wangu mtumishi. Ubarikiwe sana
Barikiwa mtumish wa Mungu kwa mafundisho yako nabarikiwa xana nkiwa Kenya
Nampenda sana uyu baba asantee yesu kwa ajili yakeeee oooh Lord am so grateful for your love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏
God bless you pastor you always speak facts
Mchungaji mungu akubariki chapa injili Kuna thawabu bwana anakuandalia🙏🙏🙏
Hallelujah glory to God nabarikiwa Kila siku mungu akuongeze miaka mingi zaidi🙏🙏🙏🙏
Moyo wangu umefurahi sana
Amen pastor umefanya nimejua kuomba nashukuru sana mungu akuinue saidi👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Mze Niko nakufata sana.nasikiya raha kukusikiya ukofundi kimaisha yangu ya ki roho.uko mwalimu muzuri sana.Mungu ananipenda kukusikiliza n'a sikiya moto kwenye moyo wangu ninapo kufata sana.ubarikiye sana.unipe naomba zako.
Nakuelewa sana pastor,Bwana akijaze zaidi ili tupate siri hizi kupitia watumishi wake aliowapaka Mafuta kufundisha,ubarikiwe!
Ameen mtumishi unazidi fungua kichwa changu ktk kusamehe ilimaombi yangu yaweze kujibiwa asante mtumishi wa mungu
Amen,yo have come my my teacher have learned many things from you through God
Naamini ipo siku mungu ataniwezesha kufika kwenye hili kanisa.nimuone huyu mtumishi kwa macho mawili.
Tunamwerewa vizuri mtumichi mungu amtunze miaka mingi kwa huduma hii 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwa fundisho zuri lenye uponyaji MUNGU aendelee kukutumia kuliponya kanisa lake
Leo nmepona,kufunguka macho ya ndani na kuhimizwa sana❤❤❤❤Mungu n mwaminifu sana
Be blessed
Utukufu nikwako ee mungu,,,asante sana mtumishi wa mungu,,unanitiaga nguvu sana Katka hii safari ya ki Imani 👏🙏🙏🙏
Amen mtumishi umenifunua akili Asante Sana barikiwa Sana 🙏🙏
Amen mungu azidi kukupaka mafuta mtumishi na baraka za mungu ziwe pamoja nawe juu ya utumishi wako
Nabarikiwa snaa na mafundisho yako naenjoy mno mungu akubariki sna mtumishi
Hallelujah!! Mungu akubariki saaan mtumishi wa Mungu🎉🎉
Amina i have learned something be blessed more pastor
Very powerful message pastor barikiwa sana kwa kunijenga na neno lako
Hili neno ni langu, pastor God bless you so much 🙏🙏
Ahsantee kwa injili inayotupa ujasiri Ubarikiwe sanaaa:
Bwana Yesu asifiwe pastor mafundisho haya yananipa hatuwa kiroho
Be blessed pastor nimejua jinsi ya kuomba kupitia mahubiri yako
Man of God am sharpened any time I letsen to you
❤
Amen n Amen 💘🙏 N AMEN 💟🙏.
Ameen mtumishi asante sana umeniponya sana ubarikiwe na sikiza kutoka Jordan 🇯🇴
Neema ya mungu izidi kuwa kuu katika maisha yako mtumishi
Asante baba hli neno ni langu kbsa nashukuru kwa uponyaji
God! This manis qualified in your word...bless you God for him
Baba barikiwa sana
Kwakweli Mungu wape. Ufunuo zaidi watumishi kama hawa
mtumish wa mungu mungu akubarki napenda sana mafundisho yako
🙏 NAMSHUKURU MUNGU KWA VILE NIMEPATANA HII MAFUNDUSHO YAKO,,,KWA HUU MTANDAOO,,,UMEKUWA WA MSAADA TENA SANA.EEE MUNGU AKUNEHEMESHE MWALIMU,
Mungu akubariki baba yangu hakika nainuliwa🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtu wangu kweli uko naneno ya Mungu
Amina MUNGU nifungue nipone ktk jina la YESU
Paster unanijenga rohoni sana aah ubarikiwe sana baba
Mungu nisamee kwa makosa yesterday nimefanya
Amen Mungu mzuri nmepokea shuhuda wakati nikiendelea kupokea na kusikiliza neno 🙏
Real moved my faith to next level
Namshukuru mungu kwa ajili ya huyu . Mtumishi . Wake Kani fungua macho
Ameni God bless you pastor 🙏🙏🙏
Amina natamani kutoa machozi nikimsikiliza mtumishi namna navyo tufundisha
Ninakuekewa mtumishi Mungu akubariki sana.
Amen 🙏🙏🙏
Ameni na Asante kwa neno safi la Mungu baba.
Amen hakika kila atakayesikia na kuyatendea kazi mafundisho haya, kwa hakika atakuwa na ushuhuda, maisha yangu yamebadilika kwa kiwango kikubwa sana, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, 🙌
😊😊
asante mungu nmepokea ushindi mkubwa kupitia neno lake la uzima
❤❤❤❤Aleluya sipiti siku bila kula chakula Cha bwana Toka kwa mchungaji joji
Mungu amtunze sana huyu mtumishi ni nadra kuwapata watumishi kama kama hawa
Ameeeen Asante sana mutumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
Aminaaa 🙏🙏🙏
Nampenda sana huyu pastor lazima uelewe hata kama ulikuwa na akili nzito sijui kwanini hakuja dar
Hakika somo zuri mno,
Amen
Vinavyoaribu madhabahu/ maombi- bio for
1.Makwazo/ lawama
2. Uchungu moyoni (kaka wa Makwazo)
3. Wasiwasi ( tafuta amani kwanza)
4.Mashaka - Doubt
B. UNganisha maombi na neno la Mungu
Kwakweli nimeguswa sana na mafundisho yako Pastor George u are the Oracle of God Mungu azidi kukupa mafunuo tuzidi kukua kiroho ...Watching from zambia
Mungu nipe moyo wakuwatosha watu niliyo fungi ya moyoni mwangu
Ameen Ameen 🙏🙏 god bless U forever
Amen man of God
Amen Asante mtumishi baraka
Amen praise the lord 🙏🙏🙏
Asante pasta kwamafundisho
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu❤❤❤
Ameniii
Amen Ubarikiwe baba
Ame 🙏
Amen mtumishi kweli unanibariki
Amina sana
Mimi namuelewa sana huyu mtumishi wa Bwana,
Amina mtumishi barikiwa sana
Ubarikiwe Sana Pastor
Asante kwa mafundisho
Jina laYESU litukuzweeee
Nabarikiwa sana .Nimejifunza jambo kubwa sana.Zidi kubarikiwa pastor
Amen Amen pasteur
UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU SOMO NI NZURI SANA HILI
Amen Glory to God
Amen asifiwe mungu
Ameni man of God.
Amen pastor
Mafunuo ya ajabu sana
51 year waiting God 🙏