Nandy - Wanibariki (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 кві 2021
  • Wanaibariki Gospel Hit song from the EP Wanibariki
    www.boomplay.com/albums/12024...
    Connect with on
    / officialnandy
    / officialnandy
    / officialnandy

КОМЕНТАРІ • 3,3 тис.

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 3 роки тому +332

    Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️

  • @maryirene7607
    @maryirene7607 3 роки тому +109

    Nandy qkiiingia katika gospel anaeza fanya vizuri sana kama unamkubali gonga like

  • @victoriakifunga144
    @victoriakifunga144 2 роки тому +7

    Nimejifunza kufanya mazuri kwa kila mtu Asante yesu kwa fundisho lako kupitia mtumishi wako

  • @GeorgeMichael13
    @GeorgeMichael13 3 роки тому +37

    Umeimba gospel hadi leo siku ya 3 haijafika hata 300k viewers ,ila sasa ungeweka kama ile.LEO LEO ungekuta tayar inazo 1M ,... Mungu ni wetu sote ,tumuabudu kila wakati

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 роки тому +4

      Kizazi hiki ni cha nyoka ndo maana hizo za dunia zina likes nyingi ndani ya masaa na hii ya Mungu haina.

    • @sharonmayeku5389
      @sharonmayeku5389 3 роки тому +2

      my thoughts too,may God guide her

    • @esthernyaboke1764
      @esthernyaboke1764 3 роки тому +3

      Kaxi ya shetani ni ya haraka na haina ufahamu but ya mungu ni pole pole and original dada umenigusa

    • @evanciaernest4384
      @evanciaernest4384 3 роки тому +2

      Mm nimefungua kwakua nimeona ni Gospel

  • @peterkascratchofficial
    @peterkascratchofficial 3 роки тому +46

    Yaani wakenya tuko kila mahali imagine.....like

  • @ejntv
    @ejntv 3 роки тому +401

    Daah hii nyimbo imenifanya nifurahi yaaan hiii nyimbo kali sana aiseee kama unampenda nandy na unampenda Yesu aliyefufuka kwa ajili yako gonga like☺☺☺

  • @kelemabikyeombe4610
    @kelemabikyeombe4610 3 роки тому +17

    All people from Tanzania show some love here💜💜💜💜

  • @NeemaKwingwa
    @NeemaKwingwa 3 місяці тому +4

    Nandi my dear mgeukie mungu umuimbie saut nzur amekupa umuiimbie yey sio kuiimbia dunia plz

  • @julytito3891
    @julytito3891 3 роки тому +118

    Ukiimba nyimbo za gospel unanibariki san na unapendezea sana kumtumikia Mungu kwa hicho kipaji,,,tunalioona hili kama mm tukutane kwenye coment

  • @bettyobedy8938
    @bettyobedy8938 3 роки тому +50

    Tunaopenda nandy awe mwimbaji wa gosple
    Wimbo n mzuri ubarikiwe nandy

  • @videoreseved4170
    @videoreseved4170 2 роки тому

    Dada angu nandy rudi nyumban kumenogaaa,,,Yesu anakuhitaji umtumikie yeye,,, kwa wimbo huu bwana atafanya ktu ,god bless you

  • @leonardwamari203
    @leonardwamari203 3 роки тому +56

    Nandy there's something God has put inside you. As some gospel artists have abandoned the gospel it's my prayer that God is going to raise many vessels and Nandy you're one of the vessels.

  • @mosessangala7558
    @mosessangala7558 3 роки тому +18

    Mungu akuzidishie siku na baraka,Katka maisha yako yote ,naomba like zako nandy

  • @robertservas1953
    @robertservas1953 3 роки тому +59

    Mimi si nmesema na nina sema tena Hakuna kama Nandy... African Princess gonga like kama unamkubali

  • @pennyjohn2816
    @pennyjohn2816 2 роки тому

    Wani bariki wanilinda stokuacha milele Bwana yesu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @special.777
    @special.777 3 роки тому +9

    Jamani Nandy okoka tu uingie kwenye gospel Una kitu cha MUNGU ndani yako hii nyimbo imenibariki hongera na asante

  • @carolmackoma5097
    @carolmackoma5097 3 роки тому +171

    Nandi Leo sijachelewa ..kazi nzuri Kama wewe wa 🇰🇪 nipe likes za Nandy

  • @RadioKanjo
    @RadioKanjo 3 роки тому +7

    Kama binadamu wangelikua na uwezo wa kuandika maisha yako upya basi wengi wangelitamani kukuandikaa maisha ya injili,yenye furaha na baraka mingi kutoka kwa Mungu..Wapendeza sana katika kuimba nyimbo za injili.

    • @pycodelab
      @pycodelab 3 роки тому +3

      Very true, she is magnificent in gospel, #Nandy you should consider sing gospel frequently

    • @edwinjohn3964
      @edwinjohn3964 3 роки тому +3

      #Radiokanjo ,,,,Nakubali yuko vizuri sana kwa nyimbo za injili

    • @agnesmoraa2566
      @agnesmoraa2566 3 роки тому +2

      Kweli kabisa kaka...100000000M support kutoka 254 KENYA

  • @victorelias518
    @victorelias518 3 роки тому +22

    Team nandy gonga like hapa kwa kazi nzuriii

  • @jasmine.mayala7597
    @jasmine.mayala7597 2 роки тому

    Ukiwa umepitia matatz au unayapitia matatz ukickiliza huu wimbo unapata Imani mbele za Mungu

  • @HodazoRydazo
    @HodazoRydazo 3 роки тому +224

    Wa kusoma comment as we watch pigeni like❤😍

  • @merchantboitz3991
    @merchantboitz3991 3 роки тому +21

    Bongo falava unaweza na gospel unaweza. Official Andy upo juu saana. Wanaomkubali Mandy gonga like hapa

  • @fidelismushi8662
    @fidelismushi8662 3 роки тому

    Huko uliko wamekuiba huku ndiko kwako Rudi nyumbani,Yesu anakupenda

  • @marienzibuk9257
    @marienzibuk9257 2 роки тому

    Mungu akubariki kwa huu uwimbaji mzuri dada mimi napita tu wimbo zako ila nlijaribu nisikize huu wimbo kweli Unakaa poa ukiimba gospel

  • @stellawangari5075
    @stellawangari5075 3 роки тому +235

    Finally the video is out,I know one day this girl will sing for God fully

    • @ivanwachira4322
      @ivanwachira4322 3 роки тому +3

      @gadson35287am from ke,in regards to what u have said,i have noticed she has this attachment to God ni vile anaifichanga kiplan.ama aje stesh

    • @shickysshicky1745
      @shickysshicky1745 3 роки тому +7

      My prayer too such angelic voice👌👌👌❤❤❤

    • @ivanwachira4322
      @ivanwachira4322 3 роки тому +3

      @@shickysshicky1745 t'will be my happiest day manze.

    • @janemalamsha3071
      @janemalamsha3071 3 роки тому +5

      Mwanzon kabla ya mziki alikuaga nimwana praise kanisan

    • @ojkodhiambo3057
      @ojkodhiambo3057 3 роки тому +6

      Yeah, in some interview she mentioned that she was brought up as a christian. Atarudi nyumbani where she belongs

  • @emmanuelisocelsongolo8539
    @emmanuelisocelsongolo8539 3 роки тому +13

    Wimbo huu umenifunza usikose kumsaidia mtu ili siku moja Mungu atakulipa panapo majaliwa
    Ubarikiwe Dada ila Rudi kwenye injili itapendeza zaidi

  • @videogameing5737
    @videogameing5737 2 роки тому

    Amina dada tunashukuru ubarikiwe sana uhendeleye kumuhimbiya mungu dada ndo unastahili mbyahulimwengu avikufanani ata kidogo dada uyo niushauri wangu tu wewe nimuimbiji gospel music

  • @zaynamushi7565
    @zaynamushi7565 11 місяців тому +1

    Hii ni nyimbo inanibarki SaaAAAN 🙏🙏ooh MUNGU nilinde mm na kizazi changu mlinde baba yangu huko alipo hakika wewe ndie mwenye kujua kesho yetu

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 3 роки тому +19

    Mimi nampenda Zuchu alafu nampenda Nandy na sina team coz mi mtanzania .. Coz when they're doing good they make me proud being Tanzanian here I'm nd wherever i go.. Nd I'm very happy to see people form other countries love our music nd our musician it's a big honor for the national... 🇹🇿 keep ur head up Nandy 💯 together we can 💪🏿 i will be so happy if will hear u got a collaboration with Zuchu one day .. 🇹🇿🇰🇪🇿🇼🇿🇦🇹🇬🇸🇳🇸🇸🇳🇬🇺🇬🇨🇩 Africa unite💪🏿

  • @queen_actor
    @queen_actor 3 роки тому +249

    Baada ya kusikiliza huu wimbo wako nimeamua kuokoka,,Asante Yesu kwa mtumishi wako HUYU🙌🙌

  • @chungwasingers
    @chungwasingers 2 роки тому

    Uwe unaimba nyimbo za injili unapendeza sana kwa injili sikufichu Mungu wetu ni pendo💕💞💞💟💟💯💯💯

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu 3 роки тому +7

    Huku ndiko nyumbani kwako Mamaa Njoo Mapema Ukiimba hizi tunabarikiwa Saana MUNGU Kulinde na kukutunza Kipenz Chetu

  • @reaganmuziki
    @reaganmuziki 3 роки тому +52

    Wanibariki🙌🏽...sitokuacha milele , wanilinda Mie sitakuacha milele ...umenivisha baraka ✨.Nilipo mie na wewe upo 🤗.

  • @seifiddy8478
    @seifiddy8478 3 роки тому +214

    Anyone supporting this talented girl from Kenya gonga like

  • @nazaniwaerastoselenda2336
    @nazaniwaerastoselenda2336 3 роки тому +23

    First time nilipoona hii nyimbo wala sikuhangaika nayo but today mpaka nimelia nilipousikiliza hakika kimbilio letu ni kwa Bwana we have to worship Lord forever

  • @johnfedrick1504
    @johnfedrick1504 Рік тому

    Haki ya Mungu sjawahi penda ujumbe kama huu kwako 🙌🙌🙌🙌🙌👉🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @stevejeremiah8548
    @stevejeremiah8548 3 роки тому +7

    Huu wimbo unagusa sanaa😤🤧. Km na we umeguswa km mm like hapo

  • @newboy8207
    @newboy8207 3 роки тому +11

    Moto Sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪haki nipeeni likes za Nandi

  • @rizmarkabraham2890
    @rizmarkabraham2890 3 роки тому +2

    Hapa ndipo panapokufaa kwa ushauri wangu kwako achana na nyimbo za dunia mtumikie Mungu kwani Mungu amekujalia kipaya na pia ameweka huduma kuu ndani yako ichochee karama ambayo Mungu ameiweka ndani yako. Nyakati tulizonazo nazo ni za mwisho dada! Mungu alikomboe taifa lake

  • @shelemaninwamulambo3261
    @shelemaninwamulambo3261 3 роки тому

    Shalom, Dada kweli umeweka nadhiri. Yakumuwabudu MUNGU milele basi Fanya ivyo ushuda. Muku kwako. Iko mbele. Yako amen. Ni muchungaji bulambo nikiwa. Mombasa kenya

  • @dogosugu7517
    @dogosugu7517 3 роки тому +499

    Kama mnamkubali NANDY shusha like zako na comments

  • @waltermagamu147
    @waltermagamu147 3 роки тому +13

    Kama Umebarikiwa kama Nandy, tuonyeshe ❤️❤️❤️❤️
    Wacha itambeee

  • @Stephanie-mp1nn
    @Stephanie-mp1nn 2 роки тому

    Yaaaani mdogo wangu imba gospel kwakweli unapendeza zaidi...

  • @erickwankuru5845
    @erickwankuru5845 3 роки тому

    Nandy tulia kwa Yesu na umtumikie kwa kipaji chako hiki cha uimbaji unapendezea hadi raha

  • @dollineroz
    @dollineroz 3 роки тому +36

    I love your voice Nandy. Much support from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @mamyofficiel8349
    @mamyofficiel8349 3 роки тому +14

    Mim ni Mwislam lakin hii song imenigus much love Nandy 🥰🥰from Burundi

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 3 роки тому

    Nandy umebarikiwa kipaji cha kumtumikia mungu ktk uimbaji, unatubariki na hakika ujumbe umebeba maudhui mahususi hakika nimebarikiwa saana

  • @jonymyk
    @jonymyk 3 роки тому +43

    This flag is internationally recognized 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 3 роки тому

      ua-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/v-deo.html

    • @lilianmkodo6422
      @lilianmkodo6422 3 роки тому

      YAANI NANDI UMENIFURAHISHA MWANANGU DAAA YAANI SAUTI YAKO NI YAKUMWIMBIA YESU MWANANGU DAAAA HONGERA SANAAAA

  • @constanceimeli3310
    @constanceimeli3310 3 роки тому +113

    The song has spoken to me am from the hospital to see my dad naomba mungu amponye cku moja turejee nyumbani sote Thank you Nandy

    • @constanceimeli3310
      @constanceimeli3310 3 роки тому +2

      From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @yasintatheophil6938
      @yasintatheophil6938 3 роки тому +2

      May he get well sooner

    • @constanceimeli3310
      @constanceimeli3310 3 роки тому

      Thank you my dear

    • @obbiemikeke8763
      @obbiemikeke8763 3 роки тому

      In jesus name its well with him

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 роки тому

      Imeandikwa kwa mijeredi yake umepona, amini atapona kwa jina la Yesu

  • @wordsofhopewestpalzab4875
    @wordsofhopewestpalzab4875 3 роки тому +2

    #Nandy!!!! Nashukuru Mungu kwa atua mpya ambayo amekupea, kwani lazima uchekwe n'a binadamu lakini ngangania sana mwito huu. Hakika Mungu atakushika mkono wake wa nguvu, ili huduma hii inonge mbele na kuzisaidia nafsi nyingi zilizo vunzika. From Congo , muzipee likes Nandi kwa huduma hii

  • @susankayanda7050
    @susankayanda7050 3 роки тому +21

    For this reason you were born to glorify God with your voice.

  • @irispages9670
    @irispages9670 3 роки тому +20

    Kusaidia ni tendo la huruma na ni baraka kubwa endapo utamsaidia mtu mwenye uwitaji utazidishiwa kila wema utendalo kwa mtu hata kama so leo basi kesho tukumbuke wema ubalipa😍😘#nandy

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 3 роки тому +1

      Nikweli kabisa km harmonize alivyo msaidia Angela

  • @johnjingo8124
    @johnjingo8124 3 роки тому +26

    Wema ni akiba, nyimbo yako ina maadili na inatufundisha kutenda wema na pia kuweka tumaini kwa mungu bila ya kukata tamaa. Barikiwa sana The African princess

  • @biizhesudi4564
    @biizhesudi4564 3 роки тому

    Nandy african princess unaimba bingo flava lakn akili iko na imani ipo juu kwa mungu

  • @rubenmedia2973
    @rubenmedia2973 3 роки тому

    Nimaombii yangu kua kuanziaa hv Sasa uanzeee kuimbaa gospel...maana unanibalik kweli kweli

  • @rockcityboy6691
    @rockcityboy6691 3 роки тому +8

    Nilipo mie naamini na wewe upo bwana🙏🙏
    gonga like kama unaamini

  • @sylviasein8248
    @sylviasein8248 3 роки тому +8

    We love you mamah....all the way from Kenya...malkia mwenyewe

  • @israelhekima6382
    @israelhekima6382 3 роки тому +1

    MUNGU anawajua walio wake , na kamwe hataacha apotee hata mmoja, sema Ameen!!!!!

  • @mzungupeter8912
    @mzungupeter8912 3 роки тому +21

    Come-on Nandy,, just be a gospel artist aki,, you'll do better than the way you're doing the bongo style. Take that decision siz and you won't regret it.
    Rep Kenya
    Nice song.. wanibariki

  • @aggreyalwala2980
    @aggreyalwala2980 3 роки тому +14

    Welcome to gospel music mama,God loves you

  • @matub5094
    @matub5094 3 роки тому +8

    This song reminds me nikumbushe cover.nandy kenya twakupenda sana

  • @kogikariuki1521
    @kogikariuki1521 3 роки тому +20

    Couldn't help noticing Alice Kimanzi's lyric and melody "..moyo wangu wa kutamani ewe Baba nafsi yangu yakulilia.."

  • @stephanokigeso
    @stephanokigeso 3 роки тому +13

    Nady okoka tu sijui huko ulifataaa nin 😂😂 mpka nimeupenda huu wimb 💖💖 okoka 2 Mungu anakupenda dada ye2 . Kwel bongo huku hakufaii kwel suree hapa nakubali

  • @magamboguje812
    @magamboguje812 3 роки тому +5

    Tenda wema na wew ulipewe mema 😍 Tuishi kwa wema jaman huwez kujua nan n msaada wako wa baadae just imagine wasinge msaidia chakula huyooo dog hiyooo siku hospital ingekuwaje duuh Mungu tufunze ktenda wema

  • @modekidtz9714
    @modekidtz9714 3 роки тому +5

    Nandy tatizo unajua sana jaman.....Na history ya hio nyimbo inafundisha utabaki kuwa juuuu NANDY wakimambele ww sio watanzania tyuu....Me nakupenda sana ubarikiwe dada anguuu

  • @mariej6962
    @mariej6962 2 роки тому

    Nyimbo za kawaida siyo dhambi hata biblia imewatambua waliokuwa wakiburudisha enzi za biblia na haijasema walitenda dhambi. Acheni kuwakarisha tamaa watu na vipaji vyao. Keep singing what is in your heart Nandy.

  • @jerrygebiyrtheworshiper7361
    @jerrygebiyrtheworshiper7361 3 роки тому +2

    Uku njo kwenye kuna fasi yako dada acha maisha yetu ya msifu Yesu kristo kila siku.

  • @katsuvakamatedaniel7893
    @katsuvakamatedaniel7893 Рік тому +4

    Nandy ita kuwa vizuri Sana uki amua ku mu tumikiya Munguuuuuuu una sautiiiiii nzuri sana

  • @chekanakevoomushi4127
    @chekanakevoomushi4127 3 роки тому +17

    Nandy professional and talented women but for this let our God never pass on you :if possible deep on Gospel Nandi may God bless you

  • @cutescooedward9555
    @cutescooedward9555 3 роки тому +1

    Nilipo mie na ww upo bwana ...Andiy umefanya vema sana

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 3 роки тому

    Imeweza mbaya,ila usituache yatima tena, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko ndani

  • @homebasedelectricalandelec652
    @homebasedelectricalandelec652 2 роки тому +25

    One thing that I know, Nandy is a great gospel singer and she's going to bring many to Christ. Just watch and see...I'll witness this great transition!!!

  • @nickfantezbranot6204
    @nickfantezbranot6204 3 роки тому

    Kweli wanibariki mungu Nani mwingine Kama wewe...nandy you are such a good gospel artist

  • @StarwaYesu
    @StarwaYesu 3 роки тому

    Wanibariki kweli Dada hapo ndipo sehemu yako Mungu akusimamie na akushikilie hapohapo usiondoke Tena

  • @sacidabdirizaq2406
    @sacidabdirizaq2406 3 роки тому +28

    Nandy never disappoints 🇰🇪🇰🇪

  • @nicohdrone
    @nicohdrone 3 роки тому +8

    Why is it that,, when a secular artist sings a gospel song, in most cases it's more professionally composed than one from a Gospel Artist,, I love the song,, Mungu hatuachi kamwe

  • @gabinessjeniffer653
    @gabinessjeniffer653 3 роки тому

    Ameen...Mungu akubari na akuinue...na umshike,, Yesu Kristo na mwokozi wa maisha yako,, Akuinue zaidi ...Kwa kumuabudu

  • @teklamasalu9158
    @teklamasalu9158 3 роки тому

    Mungu azidi kukutunza, hakika huu ni ujumbe mzuri saaana na unagusa mmnoo!!!

  • @SALAMASANA
    @SALAMASANA 3 роки тому +32

    New subscriber After This... nipewe likes 🇰🇪

  • @fidesmithayo957
    @fidesmithayo957 3 роки тому +9

    I cant get enauf of this song
    Blessing over and over
    +254 to the world 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bukuruezekiel9485
    @bukuruezekiel9485 3 роки тому

    Nand umenibaliki hama bongo tuungane gospel mungu anakusudi na wewe

  • @tukupasyamwakibolwa3564
    @tukupasyamwakibolwa3564 3 роки тому +2

    Ubarikiwe kwa wimbo wako mzuri wenye darasa ndani yake nakutakia Kila raheri zije nyingine nyingi zenye ujumbe wa mandhari hii♥️♥️♥️♥️🕷️🕸️🕸️🕸️🕸️🙇🙇🙇🙇

  • @anithakaijage9078
    @anithakaijage9078 3 роки тому +12

    I am proud of you Daughter of God...Your voice is very great when you sing for the Lord your God my sister..

  • @youngshiner172
    @youngshiner172 3 роки тому +5

    Hakika nimebarikiwa kwa mana hadi muda huu "MUNGU WANGU" umenipa kibari bado naimiliki pumzi 🙏🙏🙏🙏.Tusha sana Nandy ujumbe mzuri sana , idea ndo umeuwa balaaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @veronicamwanjala8590
    @veronicamwanjala8590 3 роки тому

    Unapendeza kuimba nyimbo za gospel Nandy mdogo wangu imba gospel music kipenzi

  • @gedeonbulongo4480
    @gedeonbulongo4480 3 роки тому

    Aksante sana kwa wimbo...haahaaa waniponya mie...sitakuacha milele.Amina !

  • @johnshemzigwa188
    @johnshemzigwa188 3 роки тому +7

    Nandy dada angu karama unayo kubwa sana unafaa umwimbie Mungu dada huu wimbo kila siku lazima ni usikilize.

  • @stelladomani4429
    @stelladomani4429 3 роки тому +20

    Kama umependa story ya huu wimbo kutoka mtaani hadi kuwa doctor. Wema ni akiba.

  • @gogwa1products186
    @gogwa1products186 2 роки тому

    Daah!!! Mpaka nmeishiwa cha kusema!!! Kiufupi #Nandy huyu ndio namjua mimi

  • @emanuelmbise2348
    @emanuelmbise2348 11 місяців тому

    Honestly mm huwa Kila muda najikutag kumiss tu huu wimbo what a Anointing song....

  • @stevensamwel8807
    @stevensamwel8807 3 роки тому +160

    YOU LOOK EVEN MORE GREAT AS A GOSPEL SINGER DAUGHTER OF GOD

  • @sweetmelody1191
    @sweetmelody1191 3 роки тому +4

    All surpport from kenya i love u my kenyan ppl 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rebeccakarokola4211
    @rebeccakarokola4211 3 роки тому

    Adi machozi yametililika asee Mungu akubariki kwa wimbo mzuri sana🙏

  • @creativehacks8593
    @creativehacks8593 3 роки тому

    Ngoma hii imeniguza moyo...namsogelea mungu zaidi.

  • @queenyradhia7952
    @queenyradhia7952 3 роки тому +66

    🥰🥰🥰 I am muslim but I really love you Nandy I love your songs and hauna majigambo one love I am Radhia from +254

    • @princerangudi4049
      @princerangudi4049 3 роки тому +1

      Kwani waislamu hawaezipenda wakristu "whats that?"

    • @paularuthrabera8338
      @paularuthrabera8338 3 роки тому

      I guess this is my friend biimu in dubai kama ni wewe reply dear

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 3 роки тому

      ua-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/v-deo.html

    • @shiksshiks8494
      @shiksshiks8494 3 роки тому

      @@princerangudi4049 she said she love her n her songs....thats appreciation of the highest level....muslims n praising songs???mmmmh

    • @yeboclassic9058
      @yeboclassic9058 3 роки тому

      ua-cam.com/video/8bs_9VGV_0k/v-deo.html

  • @everythinganaesthetics
    @everythinganaesthetics 3 роки тому +8

    Awww that Remix of Alice Kimanzi #Moyo wangu wa kutamani inaleta raha sana😍😍😍🔥🔥🔥🥳🥳

  • @zachariazabronngussa7704
    @zachariazabronngussa7704 3 роки тому

    Story ya huu wimbo nimeipenda sana .nandy unajua cjui billnas alikudanganya Nini mtoto nzuri

  • @miltonkenga1497
    @miltonkenga1497 2 роки тому +1

    Surely hii nyimbo inanipa makumbusho makali sana...nikiwa martant word na mke wangu 😲 🙏🙏 Mungu ni mwema

  • @marylinshan5055
    @marylinshan5055 3 роки тому +5

    Huu wimbo 😘😘 princess nandy congrats💯
    Enjoying kutoka 🇰🇪

  • @edithkahombi1450
    @edithkahombi1450 3 роки тому +25

    Waow I can't stop watching and listening to this song, surely wanibariki, be blessed nandy

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 3 роки тому

      ua-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/v-deo.html

    • @nuriathnuru2
      @nuriathnuru2 2 роки тому

      Nakupenda sana mungu azidi kukubariki kwenye kazi zako dada ang🙏🙏🙏🙏🙏