SHANGWE LA MR II "SUGU" NA PROFESA JAY WALIVYOCHANA LAWAINUA MBOWE/LISSU/WABUNGE WAMWAGA HELA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 109

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 4 роки тому +12

    Kama umegundua sugu anaimba lkn hana uhakika wa kuingia bungeni gonga like tujuane

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 4 роки тому +1

    Kama unamkubali mniga SUGU, achia like chap.

  • @mussamadali3044
    @mussamadali3044 4 роки тому

    Safi sana

  • @pascleshayo9740
    @pascleshayo9740 4 роки тому +3

    Chadema raha sana upande wa pili show hiz wanazjua kwel

    • @emanuelngoya8074
      @emanuelngoya8074 4 роки тому +1

      Ila wew boya asa unaona hio ni show imepooza subiri magu auwashe moto kina zuchu wanakinukisha kina mondi harmo

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 4 роки тому

      Kabisaaa

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому

    Aisee iko pow imetulia hivii ndivyo vipaji og wenye mziki wao tz wenye busara zao tz mungu azid kuwaweka salama leo na miaka yootee

  • @hamisimbaruku4989
    @hamisimbaruku4989 4 роки тому +5

    Kwauchache sanaa! Ishara mbaya,

  • @lawrencesilas3050
    @lawrencesilas3050 4 роки тому +6

    Professor J amenenepa hadi akafanana na brother K

  • @ahmedyussuf5883
    @ahmedyussuf5883 4 роки тому +6

    Hapo sawaaa

  • @kivuyomollel5337
    @kivuyomollel5337 4 роки тому +4

    Good good good good good good good good good good wanaona gere.

  • @dannytiggy8610
    @dannytiggy8610 4 роки тому +1

    Chama la wana✌✌✌✌

  • @frankd1156
    @frankd1156 4 роки тому +3

    professor Jay punguza mwili kaka

  • @magrethelisha2220
    @magrethelisha2220 4 роки тому

    Oyooo

  • @michaelcharles9040
    @michaelcharles9040 4 роки тому

    Kwel

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 4 роки тому +2

    Tunakupenda prof j lakini atukipendi chama cha chadema kwaiyo tunaweza kuku kataa wewe kwaajili ya chadema pia 🤣🤣🤣🤣

  • @michaelfrank6525
    @michaelfrank6525 4 роки тому

    Love you✌✌

  • @keffajacob5265
    @keffajacob5265 4 роки тому +4

    da...sasa mnarudi kwenye viunga vyenu ati..!!

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 4 роки тому

    Legends

  • @calvinkitaly9376
    @calvinkitaly9376 4 роки тому +1

    Pamoja sama

  • @soundstream2930
    @soundstream2930 4 роки тому

    Kwa usajili wa Kampuni, Jina la biashara, Nembo ya biashara (Trade Mark), NGO,s, Churches, Barcodes kwa ajili ya bidhaa zako, Kubadili jina la Kampuni/ Biashara, Kubadili wamiliki wa Kampuni (Directors), Annual returns, International NGO,s zinazotaka kufanya kazi hapa Tanzania na mengineyo yahuduyo Kampuni tupigie sasa 0786 660 202 KARIBU SANA TUKUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU SANA NA WELEDI WA HALI YA JUU

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 4 роки тому +2

    Tungeni nyimbo mpya bhanaaa... mnaboa

  • @ahmedyussuf5883
    @ahmedyussuf5883 4 роки тому +1

    👍

  • @emmanueldottofimbo2815
    @emmanueldottofimbo2815 4 роки тому

    Huyu jamaa pro. Jaya namuonaga kama mnafiki tu ktk chama kwanini hawezi kutunga nyimbo nzuri za chama kwani vipi na wakati tunamjuwa kabisa kuwa ni mwana hiphop mzuri tu

  • @halimapigasimba3.0yusufu7
    @halimapigasimba3.0yusufu7 4 роки тому +2

    mmechemka

  • @masala8099
    @masala8099 4 роки тому +5

    Kuna mijitu inajifanya inapenda ccm ikiingia matukio ya chadema kazi kuponda tu kwani mmetumwa kutufuatilia event zetu tazama Sasa mnajipanikisha tulieni wasi wanini mbona hamjiamini. Mlishatawala miaka 5 Sasa wKati huu wa kampeni Ni zamu ya wote kaeni pembeni

  • @nyangusijohn5805
    @nyangusijohn5805 4 роки тому

    Daaaaa huku wasanii hakuna kabisaa P,, j kaamua mwenyew polen tundu kalale kuweni makn akipata urais atarud ubeligij

  • @salambalukali216
    @salambalukali216 4 роки тому +3

    Ni wasaniii ama ni watetezi wa wananchi walio na shida na kero mbalimbali ianafika mahali nasi wananchi tuwe makini unakero ya maji anakugawaisha na wimbo !!!

  • @nassornasser3733
    @nassornasser3733 4 роки тому

    Sisi hatuna shangwe ya wasanii wana tutosha hao

  • @juliasmollel5176
    @juliasmollel5176 4 роки тому

    Uuuuuuuuyyyyyyy✌✌✌✋✋✋✋✋✋✌✌✋✌

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 4 роки тому +1

    NAITWA HERO NAOMBA NIKUALIKE
    habari naitwa hero Rayzor ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya nao zindua leo nipe SUBSCRIBE YAKO MOJA TU uwe umechangia mafanikio yangu ntashukuru GUSA HAPA KUONA ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 роки тому +1

    Chama kubwa chadema chama la wana

  • @sniperboy7098
    @sniperboy7098 4 роки тому +1

    Mumetisha sugu na professor munatukumbusha enz zenu

    • @mosessimon2669
      @mosessimon2669 4 роки тому

      Kwanini nani kakuambia mbunge hapaswi kuimba ni msanii bado ni mbunge shida iko wap

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 4 роки тому

    Wakongwe hawazeeki Katy😄😄😄

  • @stanleypaulo3457
    @stanleypaulo3457 4 роки тому

    ✌✌✌✌✌✌

  • @yohanidimoso3711
    @yohanidimoso3711 4 роки тому +4

    chama kilichopo mioyoni mwa watu

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 4 роки тому

    .

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 4 роки тому +2

    Sasa na nyie zamu yenu ya kuiba imefika mshukuruni Lisu, na mkikamata dola tu msiiachie 🤣🤣🤣

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 4 роки тому

    Hapo mkweli ni J tu

  • @odith_odith
    @odith_odith 4 роки тому

    Kumbe Tundulisu ndo alivyo duh link hiyo jione
    ua-cam.com/video/U5Ca3QHTrfc/v-deo.html

  • @ains1122
    @ains1122 4 роки тому +4

    Hawa watu wame kosa wasanii imebidi wabunge wajiimbie

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 4 роки тому +1

      Ni wabunge na pia ni wasanii bora wa mda wote, hakuna rapper wa Tanzania aliewahi kutoa Hits song nyingi kama professor jay

    • @ufahamuoriginal4092
      @ufahamuoriginal4092 4 роки тому

      @@hkmeme5437 nenda na mwana fa unamweka wapi ww.

    • @gracejohn886
      @gracejohn886 4 роки тому +1

      Arif 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ains1122
      @ains1122 4 роки тому +1

      @@gracejohn886 nakwambia Tanzania balaa mtu anajiimbia apigiwe kura hio kali sana

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 4 роки тому

      @@ufahamuoriginal4092 mwana fa amfikii professor jay, jay alihit Tanzania na inje ya Tanzania, mwanafa anajulijana Tanzania na Mombasa pekeake,

  • @shabaniathumani1789
    @shabaniathumani1789 4 роки тому +4

    Lazima mludi kwenyemzik bungeni no

    • @masterajuayeking3691
      @masterajuayeking3691 4 роки тому

      Ndoto za mchana kaka

    • @masala8099
      @masala8099 4 роки тому

      Kumaamako

    • @shabaniathumani1789
      @shabaniathumani1789 4 роки тому

      @@masala8099 ndio hivyo hata utukane

    • @shabaniathumani1789
      @shabaniathumani1789 4 роки тому

      @@masala8099 haendi mtu tena

    • @gracejohn886
      @gracejohn886 4 роки тому

      @@masala8099 kumbuka ukitukana hivyo umetukana adi wazazi wako dada zako na ndugu zako wote wa kike siasa tu jamani ndo umtukanie mwenzio mamaake unajilaani mwenyewe

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 4 роки тому +3

    Hawa wahuni hawawezi kuongoza nchi.

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 4 роки тому

      Kabadili kauli kk maisha Yana badilika uc ongee ivooo

  • @mchandsometz2644
    @mchandsometz2644 4 роки тому +2

    Bwana Yesu asifiwe, wapendwa katika Bwana najua mpo katika hali ya maombolezo ya kufiwa kwa Rais Mstafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, nawapeni pole sana katika kipindi hiki kijana wenu Alex Mkamanga nimewaleteeni wimbo utakao wafariji katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo hivyo karibu kuusikiliza kwani utapata faraja tele maisha mwako na hutojuta🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu akubariki, unaruhusiwa kulike,comment na kusubscribe
    Nawapenda saaaana
    ❤️❤️❤️
    💪💪💪💪
    🔥🔥🔥🔥
    Nawapende woote🙏🙏🙏🙏
    ua-cam.com/video/uXPfI23YYs8/v-deo.html

  • @rajababdul8383
    @rajababdul8383 4 роки тому +3

    Mbeya tulibugi 10 years, sasa baaaasi !

    • @shabaniathumani1789
      @shabaniathumani1789 4 роки тому +1

      Katulia Akson tuuuu sugu andaa nyimbo

    • @jaksonjulius9010
      @jaksonjulius9010 4 роки тому

      Hatuna rajabu abdul mbeya wewe ni mtu wa Tanga.Mbeya cili hatujawahi kubugi kwa Mh.Sugu forever

    • @nassororamadhan2515
      @nassororamadhan2515 4 роки тому

      Sugu hilo jembe....tulia akatulie tu huko .....

    • @rajababdul8383
      @rajababdul8383 4 роки тому

      @@jaksonjulius9010 sokangapo bakajahapo byisalam ku mbeya gwe! Ulintungulu, gwa nkaja ugwe! Nkete kumaso asee!

    • @rajababdul8383
      @rajababdul8383 4 роки тому

      @@nassororamadhan2515 nyoo.... Pamo ulinikighiri ugwe abhombie fiki gwa makambo ujo?sokangapo aseee!

  • @rajababdul8383
    @rajababdul8383 4 роки тому +3

    Ndo shida ya kuchagua mwakilishi mwanamziki bungeni muda mwingi anafikiria mziki kuliko kero za wananchi, bora warudi kutuburudisha kwenye mziki, huku tunahitaji wachapa kaaaazi,.

  • @chadypkipawa4031
    @chadypkipawa4031 4 роки тому

    tisha sana kaka mkubwa prof j. naitwa chadyp nimsanii chipukiz wamziki kizazi kipya nina audio UA-cam nahitaji subscribe yako mpendwa ili niweze kupiga hatua pia unaweza kusikiliza kupitia ua-cam.com/video/EZtFnnJYOXI/v-deo.html
    Nyimbo inaitwa katoto simpo imeimbwa namimi mwenyewe chadyp.

  • @isakamahelela5577
    @isakamahelela5577 4 роки тому

    ✌✌✌✌✌

  • @odith_odith
    @odith_odith 4 роки тому

    Kumbe Tundulisu ndo alivyo duh link hiyo jione
    ua-cam.com/video/U5Ca3QHTrfc/v-deo.html

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 4 роки тому

    NAITWA HERO NAOMBA NIKUALIKE
    habari naitwa hero Rayzor ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya nao zindua leo nipe SUBSCRIBE YAKO MOJA TU uwe umechangia mafanikio yangu ntashukuru GUSA HAPA KUONA ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html