Mara ya kwanza nilikuwaga sielewi Nyimbo za Sugu, nilikuwa naona kama ni nyimbo tu za kawaida, Ila duuh nilipokuja kusoma na kitabu chake, nikaanza kujua nini ni nini, aisee jamaa huwa HA-fake hata kwenye nyimbo zake. Nyimbo zake zote ni maisha halisi na hivyo ndo HIP HOP inataka. Hata zile ambazo aliimba akiwa hajatoka ukizisikiliza ni maisha halisi ambayo mpaka sasa hivi yapo. Big up SUGU
Wakumbuke wote walioku support wakati wa bifu lako, kumbuka wengi wameumia kwa ajili yako!, Wapo waliopata stress Hadi kufa Kama geez mabovu, wapo ambao wapo hai lakini Kama wamekufa pia, hao ni adili,mapacha, Rama Dee, wagosi,gsolo, squeezer! Namiss Sana mianguko ya Hawa watu naomba uwasaidie waelewane na hao clouds radio ya wafu! Waliomba msamaha wakawasamehe kinafiki lakini nyimbo zao hawapigi kabisa!
Sawa, naona ulipopewa chako bifu na Ruge likaisha, kazi imebaki kwa bendera fuata upepo wakina Mapacha na wenzao. Sakata lenu lilinifundisha kwenye maisha usikubali kushikiwa akili, kila mtu apambane na hali yake
Respect to u mmeitoa mbali bongo freva wengine saa hizi wanakula matunda laiti wangejua mlikoitoaa aisee ....
One love mzazi hakuna bifu lisiloisha Amani ndio kitu cha msingi
Respect mkongwe su ngoma nzinto May 2020🇹🇿🇦🇷
Mara ya kwanza nilikuwaga sielewi Nyimbo za Sugu, nilikuwa naona kama ni nyimbo tu za kawaida, Ila duuh nilipokuja kusoma na kitabu chake, nikaanza kujua nini ni nini, aisee jamaa huwa HA-fake hata kwenye nyimbo zake. Nyimbo zake zote ni maisha halisi na hivyo ndo HIP HOP inataka. Hata zile ambazo aliimba akiwa hajatoka ukizisikiliza ni maisha halisi ambayo mpaka sasa hivi yapo. Big up SUGU
Oya bro kitabu chake kinapatikana wapi?
Brovo mr 2 king of hip king
Wakumbuke wote walioku support wakati wa bifu lako, kumbuka wengi wameumia kwa ajili yako!, Wapo waliopata stress Hadi kufa Kama geez mabovu, wapo ambao wapo hai lakini Kama wamekufa pia, hao ni adili,mapacha, Rama Dee, wagosi,gsolo, squeezer! Namiss Sana mianguko ya Hawa watu naomba uwasaidie waelewane na hao clouds radio ya wafu! Waliomba msamaha wakawasamehe kinafiki lakini nyimbo zao hawapigi kabisa!
nakupendaga sugu hadi nachanganyikiwaaa.
S
.mn
Mbunge wa sengerema!
we love u sugu
sugu we ni sugu kweli
aaaaa Jama akakicoma huyu kbsa yani
umetisha rais
sugu mkali sana nakukubali sana mkuu
IMEPENDEZA SANA
Nakubali xna
raisi wa mbeya nakubali kak
kweli sugu ni jembe umeonyesha yalioko moyoni tuta muombea lieu Kwa nguvu zote apone mapema
Huyu jamaa huwa namuelewaga sana
Shikamoo
Ni nomaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Mheshimiwa Rais wetu alikua amewaka kidogo...ila fresh tu...mbeya hata akiwepo miaka buku sawa tu...
#MVMP
#Jongwe_
Angepafomu Goma la freedom
Hilo vibe
Niko mikononi mwa Polisiii maisha yangu bado Ni mikosiii Afandeee
Kitambo sana
Ukiwa mtu wa watu bwanaaa haimbi watu woooooooyoooooooooooooooooo
Sawa, naona ulipopewa chako bifu na Ruge likaisha, kazi imebaki kwa bendera fuata upepo wakina Mapacha na wenzao. Sakata lenu lilinifundisha kwenye maisha usikubali kushikiwa akili, kila mtu apambane na hali yake
dida mugya Tuliwapa sapoti sana pale ustawi wa jamii kwenye ile shoo ya vinega ila ndio vile imebaki stori harakati zikafa kwa maslahi ya wachache
tambua hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho.. love, peace and happiness
Umetisha xn Mr ...
.
RAIS WA MBEYA
Hatari xana
Tisha sana sugu
makubwa yani sasa alofanya? ??chefyuuuuuuu
mmm amna kitu
🔥🔥🔥
namkubali sana uyo mtu
nakubali mzeeebaba m2
bangi haijawahi kumuacha mtu salama.
noma rais
Kweli
Siku ingine Clouds hawatamuita maana anaweka Siasa kwenye Kazi za watu.
Kihanda 255 kumbe siasa zipo kwa wanyama eeehe?
Kihanda 255 Uoga ulionao utakupeleka motoni
Achaujinga wee kumtaja mgonjwa ndo siasa kasema a wezi kupafom xana coz
Lisu anaumwa ndo siasa
Joseph Mbeya Motoni hawaendagi Waoga We Mshamba.
Amry Kilindo Mjinga Mimi Au Wewe Ulie liply Comment yangu 😂😂😂
Mchizi yupi anasema yuko Hospitalini?
Raisi kwake
Wifu
huyu ndio rais wa mbeya sugu mr 2 mtu wa vurugu king of green city
sugu muhuni sana ....one love
namkubali Sana sugu ....gangster na pesa ipo
Rais wetu
Dei waka dei waka
good
noma!
Bangi mbichi hizo
kaharibu siasa kwenye burudani
Mmmmh! Sijaelewa hapo! Ni nani huyo? Ni rais wa wapi? Wa kina nani?
nihatali kama filikunjombe wa ludewa
Most Voted MP,hakika ww ni Rais wa Mbeya.
Huyo Rais wenu ni K tu
Laiss
Raid
Muhammad juma
Rais ɓaaɗa ya yunɗu lissu
Kaimba nn sasa?
Fundi umeme ujinga tu siunajua watanzania tunavyobebana
jissu mnyagala
Foncetec Electrical alishaimabaga miaka mingi na ndio maana mziki huu uko apo ulipo sasa ivi ni stareha anaimba tu
Baaussssssss
big homie
Taita
mmh
Mr President
Emmanuel Gimbuya
mr 2
sugu safi sana
BABA SASHA UTAITWA KESHO POLICE WW SUBIRI KIDOGO😅😅😅
anaimba uhunitu
Ali Alalawi Haaaaaah! Duh!
ww
Enzi hizo hakuna siasa za chuki. Kabla mtu flani hajawa rais
bangi
Revocatus Gervas tumia na ww acha wivu
Revocatus Gervas bangi sio mbaya ...walimwengu ndo wabaya
Vuta bangi tu jinga na wenzake
Kitambi mkuu not a good look
Tisha sana sugu
Mmmmh! Sijaelewa hapo! Ni nani huyo? Ni rais wa wapi? Wa kina nani?
Laiss