KIJANA ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA ASIMULIA MAZITO YALIYOMKUTA - MALIMWENGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 197

  • @NsajigwaAmbakisye
    @NsajigwaAmbakisye 26 днів тому +4

    Mjombaaa na wewe umehusikaa% shukuru mungu kwa kuachiwaaa salamaaaa

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 2 місяці тому +45

    Huyu bwana mchezo kauchora vizurii na hao wengine wamepanga vizuri, angeenda polisi kueleza kama angekuwa mwema na simu alikuwa nayo kwanini asimpigie boss wake wakiume akamjulisha kilicho toke. Huyu kausika💯👆

    • @petermangama330
      @petermangama330 2 місяці тому +6

      Kiwewe cha kushuhudia kifo na vitisho.Usiombe yakukute mjomba

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 2 місяці тому +3

      Kiwewe na mshtuko pamoja na udogo!🙏

    • @noorrajpar3928
      @noorrajpar3928 2 місяці тому +2

      Mtazamo wako ila kila binadamu anaufahamu wake wa kutatua matatizo hajausika angekua kahusika angewataja wale wenzake

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 2 місяці тому +1

      @ mmmmm! Ongeza na zakwako basiii

    • @MonicaAgapitiBruno
      @MonicaAgapitiBruno 2 місяці тому

      Kama angekua ajaucheza kwanza angewaambia mpigie I boss kwanza nikiki Kisha twende I we utamu amini vp mtu umjui Ata ndani kwako unaweza kumuinhiza mtu tu kiolela kwali pia angewaabdika kwenye daftal hapo getini wakati yanatoka Sasa kufika getini Asingekubari kuondoka naho pale pale angepita kelele Ata kama wangeempiga lkn angejiami wenzi aho wangeempiga risasi lkn angekua Makini kua hapa lazima napigwa lkn kakubari kaondoka naho da mbele uko si wamemgaeia mouga 😂😂😂😂muhaminifu ni kitu kizuri Sasa amekosa mengi kama ivyo walitaka kumoeka Dubai watu tupo nje lkn tu alienda Mali za maboss atari maana tamaa mbaya alafu mrugulu Wa kwetu Kabisa 😂😂😂😂😊

  • @gundesilayo8614
    @gundesilayo8614 2 місяці тому +4

    Pole sana kijana mitihani ya maisha ni migumu ila kwa msaada wa Mungu alikuokoa❤

  • @GladnessSalehe
    @GladnessSalehe 10 годин тому

    Tammaaa mbaya ungekuwa mbali saivu

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 2 місяці тому +2

    Pole sana kwa kupata somo gumu maishani mwako ,ongeza jitihada utakua na mwisho mwema sana endelea kumtanguliza Mungu maishani mwako

  • @BENEDICTMHINA-pd1kr
    @BENEDICTMHINA-pd1kr 2 місяці тому +7

    Kwa mazingira hayo kweli mshukuru Mungu kuachiwa salama

    • @tunkuh661
      @tunkuh661 2 місяці тому

      Hakika kwa hayo mazingira mmmhhh amshukuru Mungu kuchomoka hapo

  • @FokasGerold
    @FokasGerold 2 місяці тому +2

    Pole sana ndugu yangu,changamoto kwenye maisha ni kawaida

  • @NuruBakari-w7l
    @NuruBakari-w7l 3 дні тому +1

    Pole sana ila ulihusika jambo zito kama hilo ulishindwa hata kuwaambia wazazi wako mpaka unakamatwa ndy wanajua mmmm!

  • @JamilaShabani-i8g
    @JamilaShabani-i8g 2 місяці тому +5

    Pole Sana kaka Allah anaweza kukupitisha sehem anamakusudio yake naamini umejifunza na Kisha na ss tumejifunza kwako hakuna kubwa kwa Allah yy tu ndio kilakitu

  • @JaluoOdera
    @JaluoOdera 2 місяці тому +5

    Nimemshangaa sana mbona kabla ajaru kutoka dukani mbona hawakuingia? Mpaka uje ndy waingie?

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 місяці тому +4

    pole sana kaka ang....😢😢😢😢😢😢😢😢😢 nmejickia vibaya dunia hii inamambo sana 😢😢😢😢😢😢😢

  • @Fhfhfhfhf78
    @Fhfhfhfhf78 Місяць тому

    Do you know what I like it the way he talk is he like comedian? I wish I could see him thank you bye.

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 6 днів тому +2

    Tuuubu dhambi zako kwa kumaanisha kuziacha ikiwa na hiyo ya kuua au kutoa mchongo yakaatokea maauji niomaana wenzake walikuwa wanamfatia cm mipango ya kukaaa keko bila kusumbbuliwa wamfatilie sana huyu kijana anavitu vingi anahua

  • @JustineMachine-jz3qf
    @JustineMachine-jz3qf 2 місяці тому +5

    Huyu braza Kwa maelezo yake mchongo mzima Anajua kbsa alipaswa apige kell Kwa waliz bdo haitosh hakwenda police

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz День тому

    Jamaa inaonesha kahusika

  • @amidazubeda1320
    @amidazubeda1320 2 місяці тому +3

    Anaehukumu ni Mungu ila kupitia changamoto zote usitafute boss umweeleze kilichoendelea kila mwanadamu anaekua na hisia anaweza asikuchukulie sawa kama hujihukumu na hujui kinachoendelea kwa nini na wewe hawakukuuwa wakatoka na wewe kisha unaachiwa usitoe taarifa hii story ngumu kuelewa..😢😢

  • @aminaomary5150
    @aminaomary5150 2 місяці тому +7

    Toka niwah kusikilixa hzi tv hii story ni kubwa na inafumdisha na inahuzumisha kuwah tokea dah nimelia ila ulipohukumuwa kufungwa ukacheka na ulipoachiwa ukalia umenichekesha mnooo

    • @joshuamakota6714
      @joshuamakota6714 2 місяці тому

      Unaskiliza tv sio😅😅😅 ila sawa tu mi pia hutizama radio yutub humu

    • @JumaJuma-i2g
      @JumaJuma-i2g 2 місяці тому

      kuna kilio cha furaha na kicheko cha huzuni

  • @HaglaHagla-i7g
    @HaglaHagla-i7g 2 місяці тому +2

    Pole sana bro

  • @AminBurhanKyaruzi
    @AminBurhanKyaruzi 5 днів тому +1

    Kijana alihusika kwenye tukio ukifuatilia maongezi yake pamoja na matendo yake gerezani, alihusika ila wenzake aliogopa kuwataja

  • @JafariMyinga
    @JafariMyinga 2 місяці тому +3

    Pole sana bwana

  • @WashingtonZablon
    @WashingtonZablon 2 місяці тому +1

    Pole Mr mkude ndo maisha ya uwanaume kaka

  • @bachunyamgude
    @bachunyamgude 2 місяці тому +1

    Pole Sana Ndg.

  • @TatuTatu-f1v
    @TatuTatu-f1v 2 місяці тому +2

    Pole kaka mungu atakulipia kwa magumu uliyo pitia

  • @EdithaEditha-z3s
    @EdithaEditha-z3s Місяць тому

    Pole sana

  • @Tatty-u8p
    @Tatty-u8p 2 місяці тому +2

    Huyu arudishwe jena ni mtuhumiwa namba 1 kutokana na maelezo yake nashangaa ameachiwa huru. Shukuru hao sio watanzania ingekuwa wabongo ndugu wangedili na wewe hadi pumzi yako ya mwisho.

    • @Nickbrown127
      @Nickbrown127 Місяць тому

      Chunga sana maneno yako kama bado upo kwenye hii dunia maana hata wewe hujui siku gani jumba bovu litakuangukia.

    • @Mina.15
      @Mina.15 Місяць тому

      😂😂😂

  • @ZainabuKivale
    @ZainabuKivale 2 місяці тому +3

    Pale getin angesema hawa wezi angesaidia

  • @Novati-i3h
    @Novati-i3h Місяць тому +2

    Polesana nimekusikiliza vizuri wewe huwezi kujielezea vizuri inaonekana hukufanya ivo ila uvo jielezea watu lazima wakushutumu ivo

  • @Omary123-f8x
    @Omary123-f8x 2 місяці тому +3

    Uyu alikuwa jambazi maelezo yake tu n mwizi alienda ifakala kuifadhi pesa mpuuzi sn kumtaja n kumuingiza mtu asie kuwepi

  • @daudikusekwa7688
    @daudikusekwa7688 2 місяці тому +1

    Mtangazaji ni tatizo sana

  • @MsomiMasano
    @MsomiMasano 2 місяці тому +2

    Cjui uwa wanaangalia vigezo gan kwa awa watangazaji,yan jamaa kimeo kabisa ana uliza maswali ya kiwaki

  • @HorizonLtd-ty7ep
    @HorizonLtd-ty7ep 2 місяці тому +4

    Huyu jamaaa ata kama ameachiwa huru awe makini aache kuwa anasimlia kwenye midia atajichanganya tena kesi itaanza upya
    Sababu hawezi kujielezea

  • @VioraMniko
    @VioraMniko 2 місяці тому

    Pole sana mkude

  • @abdulally-h1u
    @abdulally-h1u 2 місяці тому +1

    Uyu mchezo kaucheza bna aimeki sensi ata kitu kimoja anacho sema

  • @MohamedRugamana
    @MohamedRugamana 2 місяці тому +10

    Kwa jinsi alivyojieleza alikuwa pamoja nawo alipanga dili

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 2 місяці тому

      Kabisaa! Tena yeye ndio alio chora mchezo, na chake kapewa vizuri akapeleka ifakara kwa mama yake. Angekuwa mwema angeenda polisi baada ya kushushwa kigogo. Huyu ninmmoja ktk wao.😢

    • @saudalilingani9264
      @saudalilingani9264 2 місяці тому

      Hakika alinyimwa mgao

    • @omarymbaraj8072
      @omarymbaraj8072 2 місяці тому

      Ulihusika ndugu

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 2 місяці тому

      Akianza tu kueleza unajua kuwa so Muhusika ila kilimponza ni uoga..mtu aliyefanya asingeeleza chochote

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 2 місяці тому +1

    Mjadala wa simu umetoka wapi sasa ndugu mwandishi. Yaani unakera weww

  • @DismasNkya
    @DismasNkya 2 місяці тому

    Mtangazaji unazingua sana eb jifunze jinsi ya kuhoji mtu vzur

  • @DanielGaspel
    @DanielGaspel 2 місяці тому +1

    Huyu angepata Mtanazaji mzuri hii ni bonge la stor

  • @jadidially1696
    @jadidially1696 2 місяці тому +1

    Kama inawezekana akamatwe tena kabsaa

  • @MonicaAgapitiBruno
    @MonicaAgapitiBruno 2 місяці тому +1

    Gwe mkude ishu nzakuimanya bwana 🤣🤣🤣🤣🤣uhamifu nza kukushinda kumuua boss wako maana usingekubari kumbeba izo pesa imepanda Gari laho mweeee pale getini ukasema wasiandike Jina wakati uwajui hapo ndo ulipokosea

  • @SilyvesterDonard
    @SilyvesterDonard 2 місяці тому

    Umepata dhambi sana kumtuhumu mwenzio bure

  • @OmanAsd-j5n
    @OmanAsd-j5n 4 дні тому

    Et me bado mtoto mdogo bhn mungu fundi kwa maelezo yako umehusika asilimia zote nawe ipo ck yako

  • @CaizerSosa
    @CaizerSosa 2 місяці тому +2

    Bro muongo anaungaunga ni mwizi,hakuna watu wanaibaga ivo uyo ndo alikuwa master mind

    • @Nickbrown127
      @Nickbrown127 Місяць тому

      Muongo mlikua naye kwenye mchongo?hivi unalijua jumba bovu likikuangukia wewe?usiombe yakukute.

  • @AllanShira
    @AllanShira 2 місяці тому +3

    Ww mwizi tuu

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 2 місяці тому +2

    mtangazaji lina mapepe kichiz.. mwache mtu aongee

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 2 місяці тому +2

    LAKINI KUNA BUDGET YA MAGEREZA,MA MILIONI KWA KILA MWEZI, ANAKULA NANI HIZO BUDGET ZOTE?
    KWA NINI HIZO GHARAMA ZISIINGIZWE AFYA WANANCHI WAPATE MATIBABU BURE JAMANII??

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 Місяць тому

    Hii stor ni ya kutengeneza upelelezi umechukua miaka 12 na ilo tukio limefanyika 2007 kuingia 2008 na 2008 hiyo hiyo ndo umeingia jela haya iyo kes vp ichukue ipelelez miaka 12 unatufunga tu hapa na uwongo wako ni stor tu

  • @GeorgeSikazwe-mm7nn
    @GeorgeSikazwe-mm7nn 2 місяці тому +2

    We jmbazi kabsa ww yan umetoka shukuru sana mungu

    • @Nickbrown127
      @Nickbrown127 Місяць тому

      Jambazi?
      Usiombe jumba bovu likuangukie. Chunga sana maneno yako ukiwa bado duniani.

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 2 місяці тому

    daaaah adi nimelia mimi uwiii ee Mungu

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 місяці тому +3

    POLE KWA MAUMIVU MAKALI..MIAKA MINGI SANAA

  • @JaluoOdera
    @JaluoOdera 2 місяці тому +1

    Kijana ww ni mshenz sana unampa mtu kesi c,o yake acha izo kama ni ivo mbona ulivofika kwa walinz mbona ukusema?

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 6 днів тому

    Kiukweli huyu kijana ili tukio alihusika kabisaa, wale wenzake walimsaidia kesi yaani walifaiti

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 місяці тому

    We jamaa bhana khaa

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 2 місяці тому

    Mtangazi jifunze kwa wenzako unamkatisha sana

  • @NaomiMaro-u8b
    @NaomiMaro-u8b 2 місяці тому +1

    Kwa nini hukumpigia bosi wako simu
    Baada ya wale majambazi
    Kukimbia?

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 місяці тому

    Chumvi mboga 😅😅😅 kuna watu wanamteso jamaniii

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 місяці тому +2

    Polisi inamaana walikuwa hawana gari mpka wanambeba mualifu na baiskeli

  • @georgekinyemba5397
    @georgekinyemba5397 3 місяці тому +2

    Jamaa hajui kujierezea lakn anastory nzur

    • @pascalmgina
      @pascalmgina 2 місяці тому

      Muandishi ndio anazingua

  • @christinanjmbo
    @christinanjmbo 13 днів тому

    Samu singi aina ya simu😅😅😅

  • @matildamwakatuma1206
    @matildamwakatuma1206 2 місяці тому +1

    Mbona hukuenda polish?ujifunze kuwa muwazi

  • @ceciliamapunda5217
    @ceciliamapunda5217 2 місяці тому +1

    Huyu kijana alipangana nao simulizi lake halieleweki

  • @YassiniNkadida
    @YassiniNkadida 2 місяці тому

    Namjua huyo mtt

  • @BilhaLaizer
    @BilhaLaizer 2 місяці тому

    Huyu ndiye jambazi no 1

  • @hamisially-c4x
    @hamisially-c4x 2 місяці тому +1

    Mtangazaji hujielewi unamtoa mtu kwenye reli unauliza mashwali yakijinga

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c Місяць тому

    Huyu anahitajika Tena polisi kwa maelezo yake na kutokuwapigia sim boss wake na ku report polisi Kama alihusika na katoka lazima atakutana na janga la kumrudisha ndani

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 5 днів тому

    Duu na alikuwa bado mdogo kipindi kile alichanganyikiwa masikin hadi kukimbia ni bora asingekimbia angeenda dukani kwa bosi

  • @aby21111
    @aby21111 Місяць тому

    Master planner.I don't know why he's here telling lies. 😎🇺🇲

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 3 місяці тому +13

    Mtangazaji una kera sana, muache atiririke unampoteza points zake na maswali yako ya kipuuzi unnecessary

    • @simbamtoto7530
      @simbamtoto7530 2 місяці тому +2

      Kweli mtangazaji anazingua

    • @MaryNdondole
      @MaryNdondole 2 місяці тому +2

      Ndo alivyo uyo sijui hajifunzi kwa wenzie..mm simpendagi

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 2 місяці тому +1

      Tatizo la watangazaji wengi ni hovyo

  • @AlphonceShija
    @AlphonceShija 2 місяці тому +4

    Kachomesha huyo maku

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 2 місяці тому +1

    Huyo kaicheza ,kwanini aliporudi home asiseme

  • @SimonMwita-k8s
    @SimonMwita-k8s 2 місяці тому +1

    Story hata haieleweki hata Haina umuhimu wowote

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 Місяць тому

      Kwanza ni muongo uyu amesema alianza kazi 2007 na akapata iyo kes na 2008 ndo akaenda jela na kesi imechukuq upelelez miaka 12 😅 msenge sana uyu kijana atawadanga mambumbuu

  • @matildamwakatuma1206
    @matildamwakatuma1206 2 місяці тому +1

    Wee Usingimzie mtu jambo

  • @SaidTanzanian
    @SaidTanzanian 2 місяці тому +5

    Muongo au akili huna lakini kwa asilimia 80 ulihusika au akili zako sio nzurri

    • @fugakwamalengo707
      @fugakwamalengo707 Місяць тому +1

      Siku yakikukuta utajua kuwa ana akili au hana

    • @bbs10072002
      @bbs10072002 Місяць тому

      Kuna simu, kuna hela ndani, kuna walinzi, ila wewe ndo uingie na mafundi, tena unawatetea wakati walinzi wanasema waandike. Its either sio mzima au kuna jambo sio sawa kabisa.

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 2 місяці тому

    Maswali yako yanampoteza msimuliaji kwenye focus

  • @ElizabethMwangaza
    @ElizabethMwangaza 2 місяці тому +1

    Mtangazaji nia kumuhoji tumuelewe sasa unamkatisha nia yako Nini? Unatuchosha

  • @muuibrahim1805
    @muuibrahim1805 Місяць тому

    Kun watu mafala sana huwend hawajapitia mtihani mgumu miaka 18 limemkuta tukio kama lile unadhani rahisi kujiongeza?!lazima upagawe yani hata kukimbia unaona sawa

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 2 місяці тому

    Hii ni simulizi za kuhadithia, siyo story ya ukweli,

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 2 місяці тому

    Walinzi waliishia wapi..?

  • @neemakibodya6889
    @neemakibodya6889 4 дні тому

    uyo bosi anakusikiliza tu ujue we

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 2 місяці тому

    Mtangazaji unatangulis mbele sana

  • @NaomiMaro-u8b
    @NaomiMaro-u8b 2 місяці тому

    Kwa nini baada ya wezi kuondoka
    Musingempigia bosi wako simu?
    Kukimbia ndo kulikuletea doa

  • @seleshaban48
    @seleshaban48 2 місяці тому +3

    Ludieni kuskiliza Mala kwa Mala kabla ya comment.....
    Hapo mwanzo palikuwepo neno nae neno alikuwepo kwa mungu nae mungu alikuwepo neno..

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 2 місяці тому

    Mwizi tu ww

  • @allymsafi1716
    @allymsafi1716 2 місяці тому

    Sasa mda wote huo wa mahojiano hata kupiga kelele ishahara kwa walinzi kama kuna hatari

  • @AshrafuMuhaji
    @AshrafuMuhaji 2 місяці тому

    Yani umefika mbele ya walinzi alafu Bado unawoga!!!!!!!huu mchezo ww ndo ulikua master

  • @Blessedboi8019
    @Blessedboi8019 2 місяці тому

    Huyu mwizi

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 місяці тому +1

    Ila mbona amekaa kiujanja ujanja ile dili akuusika kweli????

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 місяці тому +1

    Jamaa mwizi alipata h aki yake .Kwanini hakupiga simu polisi

  • @jenrosemwashambwa4204
    @jenrosemwashambwa4204 2 місяці тому

    Kumbe we kweli jambazi

  • @ahmedally7225
    @ahmedally7225 2 місяці тому

    Mwizi huyu

  • @richardmaxwell3991
    @richardmaxwell3991 Місяць тому

    huyu jamaa hakua na akili nzuri, niamini mimi, tukio limetokea kwa nini usingrudi kutoa taarifa?

  • @MaswekoJackson
    @MaswekoJackson 2 місяці тому

    We ulihusika ,,huenda jamaa walikudhrumu; maana maelezo yako ya mwanzo yanakutia hatiani,,sema uliiba kwa watu wa nje

  • @HorizonLtd-ty7ep
    @HorizonLtd-ty7ep 2 місяці тому

    Sasa ulipofika getini ulishindwa nn kuwaambia walinzi kuwa hao ni majambazi?
    Walinzi wangekusaidia

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 2 місяці тому

    Kwani aseme siwafahamu ?

  • @JumaKhamis-o5r
    @JumaKhamis-o5r 2 місяці тому +1

    Anajuwa mchongo mzima

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 2 місяці тому

    Mmmmh🤔

  • @Kimagalatz
    @Kimagalatz 2 місяці тому

    Yani ukimsikiliza kwa makini kweli uondoke na wezi wakushushe na wanakuaga alitoa mchongo aseme ukweli atubu !Boda boda njiapanda ya kigogo kama wote ulishindwa kupiga yowe wakawafukuzia?

  • @ramadhankombe2643
    @ramadhankombe2643 2 місяці тому

    Yaan mtangazaji ana kiherehere cjui anawashwa mdomo?acha mtu aelezee story yake.

  • @JoyceRichard-k8v
    @JoyceRichard-k8v 2 місяці тому

    alikuwa bado mdogo bana

  • @MsomiMasano
    @MsomiMasano 2 місяці тому +1

    Uyu jamaa alikua mpgaji alishiliki

  • @NickJuma-x4d
    @NickJuma-x4d 2 місяці тому +3

    Huyu alihusika na mchongo mzima!