St Francisco of Asis Choir (SFAC UDSM-MCHAS)
St Francisco of Asis Choir (SFAC UDSM-MCHAS)
  • 19
  • 110 044
BIKIRA MARIA UTUOMBEE (Official Video). na Ernestus Ogeda
Karibu kutazama wimbo huu Kutoka Kwaya ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi.
Chuo kikuu cha Dar es Salaam ndaki ya Afya na Sayansi shirikishi Mbeya (UDSM-MCHAS)
⏩ Wimbo: BIKIRA MARIA UTUOMBEE
⏩ Mtunzi: Ernestus Ogeda
⏩ Waimbaji: St Francisco of Asis Choir (SFAC)
⏩ Production: Holy Trinity studios
⏩ Kinanda: Henriko Enelise Yohane
Tafadhali Mpendwa, Subscribe, Like, Comment &Share.
Переглядів: 1 889

Відео

Namna wanakwaya walivyo perform wimbo "CHOMBO CHA AMANI" na A. Kiatu Katika uzinduzi wa Albam.
Переглядів 5104 місяці тому
Namna wanakwaya walivyo perform wimbo "CHOMBO CHA AMANI" na A. Kiatu Katika uzinduzi wa Albam.
Wanakwaya walivyopanda jukwaani kuperform wimbo wa "WATU IMBENI". UZINDUZI WA ALBAMU-MUNGU ANAISHI.
Переглядів 4634 місяці тому
Wanakwaya walivyopanda jukwaani kuperform wimbo wa "WATU IMBENI". UZINDUZI WA ALBAMU-MUNGU ANAISHI.
UZINDUZI WA ALBAM "MUNGU ANAISHI". Namna wanakwaya walivyoingia Ukumbini na Mgeni rasmi.
Переглядів 5625 місяців тому
UZINDUZI WA ALBAM "MUNGU ANAISHI". Namna wanakwaya walivyoingia Ukumbini na Mgeni rasmi.
St Francisco of Asis Choir. VIJANA NA UUMBAJI (Live Performance).MASHINDANO YA KWAYA TMCS-MBEYA ZONE
Переглядів 3106 місяців тому
St Francisco of Asis Choir. VIJANA NA UUMBAJI (Live Performance).MASHINDANO YA KWAYA TMCS-MBEYA ZONE
St Francisco of Asis Choir UDSM-MCHAS. VIJANA NA UUMBAJI. (Rehearsal)
Переглядів 2646 місяців тому
St Francisco of Asis Choir UDSM-MCHAS. VIJANA NA UUMBAJI. (Rehearsal)
WATU IMBENI (Official video). na Bernard Mukasa.
Переглядів 73 тис.8 місяців тому
Karibu kutazama wimbo huu Kutoka Kwaya ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi. Chuo kikuu cha Dar es Salaam ndaki ya Afya na Sayansi shirikishi Mbeya (UDSM-MCHAS) ⏩ Wimbo: WATU IMBENI ⏩ Mtunzi: Bernard Mukasa ⏩ Waimbaji: St Francisco of Asis Choir (SFAC) ⏩ Production: Holy Trinity studios ⏩ Kinanda: Baraka Thomas Mashibe Tafadhali Mpendwa, Subscribe, Like, Comment &Share.
Siku ya Jumapili. Nov 5, 2023. wimbo utakuwa kwenye Channel yetu. Please Subscribe to our channel.
Переглядів 2078 місяців тому
Siku ya Jumapili. Nov 5, 2023. wimbo utakuwa kwenye Channel yetu. Please Subscribe to our channel.
TWAWAPONGEZA. sfac choir (UDSM MCHAS GRADUATION 2023)
Переглядів 35211 місяців тому
Tunawapongeza Wahitimu wetu kwa utume wenu uliotukuka. Mungu awatangulie katika Yote Mema huko Muendako.🥰🥰❤
NITUME MIMI BWANA. performance by Vitalis and his friends (ex Seminarians family).
Переглядів 7 тис.11 місяців тому
TMCS UDSM MCHAS GRADUATION CEREMONY, Class of 2023. Hongera kwa Wahitimu wetu. Hongera kwa vijana wetu kwa kuzitumikia KARAMA zenu kwa Kuimba na Kumtangaza Kristo. MUNGU AWABARIKI SANA.🙏❤🎓 Muendako mkazidi kumtumikia yeye.🙏
FADHILI ZA BWANA. na Mwl. Henriko.
Переглядів 432Рік тому
Wimbo wa katikati. Tarehe 02/07/2023 DOMINIKA YA 13 MWAKA A WA KANISA. Parokia ya Mt. Mathias Mtume. SIMIKE-MBEYA MJINI. Waimbaji: Kwaya ya Mt. Fransisko wa Asizi. UDSM-MCHAS.
MUNGU ANAISHI, na Perfecto Mtuka. St. Francisco of Asis Choir.
Переглядів 21 тис.Рік тому
Karibu kutazama wimbo huu kutoka kwaya ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi, Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ndaki ya afya na sayansi shirikishi Mbeya, UDSM-MCHAS.Ikiwa ni maandalizi ya kutoa albamu yao mpya inayoenda kwa jina la "MUNGU ANAISHI" ⏩Wimbo: MUNGU ANAISHI ⏩Mtunzi: Perfecto Mtuka ⏩Waimbaji: St. Francisco of Asis Choir ⏩Production: Holy Trinity Studios ⏩Kinanda: Baraka Thomas Mashibe. Tafadh...
MUNGU ANAISHI. na Perfecto Mtuka: St Francisco of Asis Choir.
Переглядів 541Рік тому
Kwaya ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi (SFAC) Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Ndaki ya afya na sayansi Shirikishi Mbeya, UDSM MCHAS. Karibuni, Kuutazama wimbo wetu huu utakuwa Kwenye channel yetu hii Tarehe 06/05/2023.
February 28, 2023
Переглядів 660Рік тому
February 28, 2023
Mkono wako wa kuume. By M.B. Msike. Zoezi kwa ajili ya Misa ya sherehe ya kupalizwa Mama Maria.2022
Переглядів 743Рік тому
Mkono wako wa kuume. By M.B. Msike. Zoezi kwa ajili ya Misa ya sherehe ya kupalizwa Mama Maria.2022
Wakati Wa Mungu by Baraka Mashibe. Performance na SFAC UDSM-MCHAS 31/07/2022.
Переглядів 1,4 тис.Рік тому
Wakati Wa Mungu by Baraka Mashibe. Performance na SFAC UDSM-MCHAS 31/07/2022.

КОМЕНТАРІ

  • @eugenekeragori6533
    @eugenekeragori6533 23 дні тому

    Baraka Thomas mashibe...mwalimu wa kinanda hatari kubwa..i likenyour fingers mwalimu ❤❤

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 27 днів тому

    💪💪💪👌👌😘😘

  • @OdethaDionizi-ty9xp
    @OdethaDionizi-ty9xp Місяць тому

    Mumetisha sana kwa mtunzi na waimbajo .Hongereni sana Mungu awasimamie katika utume wenu

  • @kennedychege9472
    @kennedychege9472 Місяць тому

    Kwa kweli tumshangalie na tumsifu pamoja na Malaika❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-db6ph1zu4h
    @user-db6ph1zu4h Місяць тому

    Nice ❤

  • @Azchata
    @Azchata 2 місяці тому

    ❤❤❤🎉

  • @FrancisKanoni-mf9pe
    @FrancisKanoni-mf9pe 2 місяці тому

    Kutoka kwenye kitengo Fulani tunasema fundi henriko umeupiga mwingi

  • @RoseQue-kj2ni
    @RoseQue-kj2ni 2 місяці тому

    Kweli kuimba kutamu sana. Mwenyezi Mungu awabariki na kuwajalia haja za mioyo yenu kupitia maombezi ya Mama Maria.

  • @GRACEPRAISEANDWORSHIPTEAM
    @GRACEPRAISEANDWORSHIPTEAM 2 місяці тому

    Amina Sana Hakika Mama Yetu Utuombee Sisi Sote Tufike Mbinguni..

  • @Mt.YosefuMfanyakaziUDOM
    @Mt.YosefuMfanyakaziUDOM 2 місяці тому

    Together in christ🖐🖐🙏🙏...Niceee

  • @jonasjme
    @jonasjme 2 місяці тому

    Ni ujinga kuamini au kuomba uombewe na Maria ni kutokusoma maandika ila ni kusomewa maandiko

  • @jameskapita2499
    @jameskapita2499 2 місяці тому

    Loved 🎉🎉🎉

  • @Arati896
    @Arati896 2 місяці тому

    Safii❤❤❤

  • @amanielia2875
    @amanielia2875 2 місяці тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @amanielia2875
    @amanielia2875 2 місяці тому

    Mbarikiwa ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @elibarikitsaxara382
    @elibarikitsaxara382 2 місяці тому

    Utume mwema mungu awabariki🎉🎉🎉🎉

  • @nancyobadia7935
    @nancyobadia7935 2 місяці тому

    Sucha a beautiful song for our beautiful mother Mary , from a humble choir. Mama Maria akatende miujiza ndani yenu. Mbarikiwe mpaka mshangae❤❤❤

  • @michaelonlinetv
    @michaelonlinetv 2 місяці тому

    Henrico hongera sana kaka umeupiga wimbo kwa utulivu mkubwa sana 🙏🏼✊🏽

  • @teklamhagama8437
    @teklamhagama8437 2 місяці тому

    🎉🎉🎉

  • @novatusdonald7406
    @novatusdonald7406 2 місяці тому

    🎉🎉🎉

  • @abiankriz6596
    @abiankriz6596 2 місяці тому

    🙏☀🌟🔥🌷🌷🌷nanogenogewa hadi nasinzia,... mna seat yenu. Tumwimbie katika roho na KWELI

  • @irenekibaho4549
    @irenekibaho4549 2 місяці тому

    Mwivasugu hiloo ❤❤❤❤❤❤❤ mugotwe Hilo na mama maria

  • @InnocentMbiku
    @InnocentMbiku 2 місяці тому

    Bikira Maria utuombee🙏🙏

  • @flomenalissu9889
    @flomenalissu9889 2 місяці тому

    Hongereni sana SFAC-UDSM MCHAS,❤❤🎉🎉🎉Mungu awajalie nguvu na nafasi zaidi ya kuinjilisha zaidi na zadi🙏🙏🙏

  • @officialranigee
    @officialranigee 2 місяці тому

    🔥🔥🔥🔥 congole SFAC ❤️

  • @AliciaMatama
    @AliciaMatama 2 місяці тому

    My family❤❤ congratulations, utuombee sisi e mama tufike mbinguni

  • @ovanajuae-md5et
    @ovanajuae-md5et 2 місяці тому

    Safi sanaa familiaa❤❤❤❤❤

  • @AloyceSemkalami-xw3le
    @AloyceSemkalami-xw3le 2 місяці тому

    Mashibe mungu anamuona aisee

  • @AliceWikunge-zn6py
    @AliceWikunge-zn6py 2 місяці тому

    Wimbo mzuri, hongereni sana

  • @HyasintaAuson
    @HyasintaAuson 2 місяці тому

    Wimbo mzur sanaaa hakika kuimba ni raha Bikira Maria utuombee tuwe waimbaj boraaaa

  • @user-dj5bd9mf3t
    @user-dj5bd9mf3t 2 місяці тому

    Amina sana 🙏🙏 mbarikiwe nyimbo nzuri

  • @CastoryMgaya-bz6vt
    @CastoryMgaya-bz6vt 2 місяці тому

    Congole sanaa familia ya kunilea SFAC-UDSM MCHAS💓🙏🙏🙏

  • @paulomao6589
    @paulomao6589 2 місяці тому

    Kazi nzuri sanaa ❤❤ Kwa maombezi ya mama maria mwenyezi Mungu awalinde na kuwatunza mzidi kufanya mazuri zaidi na zaidi❤

  • @franciskamaka454
    @franciskamaka454 2 місяці тому

    Nice song my family 🥰Tafakari nzuri mwezi huu wa Mama Maria mwezi wa Rozali Takatifu 🙏Hakika Mungu Anaishi 🫶🥰 SFAC UDSM-MCHAS 🤗🤗👍

  • @japhetgabriel3048
    @japhetgabriel3048 2 місяці тому

    Amazing❤❤🎉🎉. Hongereni Sana watoto wa Mama❤

  • @user-zp4ds4uv4h
    @user-zp4ds4uv4h 2 місяці тому

    🎉🎉Hongerani sana vijana kazi vizuri sana ❤❤

  • @biggmatatah278
    @biggmatatah278 2 місяці тому

    Thomas Mashibe my favourite

  • @kalonjamabura8119
    @kalonjamabura8119 2 місяці тому

    I can see my young japhet, trying to go against the song

  • @jameskapita2499
    @jameskapita2499 3 місяці тому

    🎉🎉🎉 Mbarikiwe mno ndugu zangu

  • @jameskapita2499
    @jameskapita2499 3 місяці тому

    Waoooh....ex seminarians, sema Mimi nawajua hamjachelewa fanyeni mwende bhana ,😊

  • @stfranciscoofasischoirsfac1797
    @stfranciscoofasischoirsfac1797 4 місяці тому

    ❤topppp

  • @carollyelu4577
    @carollyelu4577 4 місяці тому

    Hongereni asee Inanikumbusha 2019

  • @carollyelu4577
    @carollyelu4577 4 місяці тому

    Hongereni kwa uongozi mzima kwa kufanikisha hili.

  • @ElinaNyangachi
    @ElinaNyangachi 4 місяці тому

    Wow❤❤❤❤❤ u my singer

  • @musicheals1545
    @musicheals1545 4 місяці тому

    maestro fransic kamaka kwan likizo bado tu ya kurudi home aiseeee...

  • @musicheals1545
    @musicheals1545 4 місяці тому

    NICE, ila @fransickamaka rudi home mzee tukakinukishe mzee kwyny FX..hahahahaha.

  • @Azchata
    @Azchata 4 місяці тому

    🎉🎉❤

  • @elithasanga474
    @elithasanga474 4 місяці тому

    Hongereniiiii sanaaaa

  • @kulwamisalaba924
    @kulwamisalaba924 4 місяці тому

    Hongereni Sana kwa utume, kazi nzurii..

  • @elidamwanganya8249
    @elidamwanganya8249 5 місяців тому

    ❤❤