MBWEMBWE ZA WANAJESHI JWTZ NA CHINA, SILAHA NZITO, NYIMBO ZAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 173

  • @benedicthenerico
    @benedicthenerico 2 місяці тому +8

    Jeshi kweli tamu 3:06 Aigwererere haiyaiya Aigwererere haiyaiya kazi ya jeshi kweli morali unahitaji uvumilivu. Mungu ibariki Tanzania. Msange 823KJ 2014

  • @marojumamugha3062
    @marojumamugha3062 2 місяці тому +22

    Proud of 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 2 місяці тому +16

    Mwenyezi MUNGU bariki nchi yangu na wakuu wetu wote siku zote.Inshallah

  • @jacobjacob8100
    @jacobjacob8100 2 місяці тому +20

    Proud JWTZ🔥🔥🔥🔥

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 місяці тому +28

    Nilitamani sana hii kazi sema haikuwa rizk

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 2 місяці тому +1

      JWTZ oyeeeee

    • @petermabada5628
      @petermabada5628 2 місяці тому +1

      Wewe kama mimi

    • @clarasimon7830
      @clarasimon7830 2 місяці тому +1

      ​@@PhilipoMwita-b2x Kajifunze mafunzo ya jeshi la akiba kisha unazama chomboni

    • @Mwigaa95
      @Mwigaa95 2 місяці тому +4

      Atakuja kuingia mwanao Mungu mwema wakati wote sema amina 🤲🏽🤲🏽🤲🏽

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 2 місяці тому

      Hiinsiyo KAZI ya kutamani ndugu yangu

  • @DionisKaloli
    @DionisKaloli Місяць тому

    Wapen vijana vifaa vya kisasa hlafu muonne moto wao hakuna wakufata huo moto najivunia jeshi la la nchi nyangu mungu awabariki

  • @abedymigodela1314
    @abedymigodela1314 Місяць тому

    Kazi ya jeshi kweli molaliiiiiii makamanda wote gonga like kwa niaba ya TPDF

  • @frankhaule8570
    @frankhaule8570 2 місяці тому +6

    Nimependa sana muanzishaj wa huobwimbo safi sana.

  • @aliabass5242
    @aliabass5242 2 місяці тому +3

    我爱坦桑尼亚,我爱中国,我中坦

  • @douglaskomba2304
    @douglaskomba2304 2 місяці тому +5

    Mungu ibariki Tanzania

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 2 місяці тому +3

    Safi sana jeshi langu/letu.Safi sana mkuu wa majeshi

  • @aloyceKimaryo
    @aloyceKimaryo 2 місяці тому +9

    Tanzania nakubariki

  • @emanuelshila9343
    @emanuelshila9343 2 місяці тому

    Waooo Iko vizuri

  • @yurry_meh8911
    @yurry_meh8911 2 місяці тому +2

    Kuna jamaa tall Hilo limeonekana pale cheza kikomando 🎉

  • @victorwareba
    @victorwareba 2 місяці тому

    Good job, supreme army higher discipline....

  • @israel1331
    @israel1331 2 місяці тому +5

    Nimependa helmets mpya za jeshi heko mama Samia,

  • @mwalimumwinjuma2059
    @mwalimumwinjuma2059 2 місяці тому +3

    Jeshi la kujenga Taifa,amani na upendo

  • @kitaruokiria5768
    @kitaruokiria5768 2 місяці тому +5

    Wanajeshi wa china wananidham aisee

    • @255kwetu8
      @255kwetu8 2 місяці тому

      Imenifikirisha sana mbwembwe za wanakeshi wetu.Au ndio kuonyesha morali iko juu.

  • @KELVINHENRY-j1k
    @KELVINHENRY-j1k 2 місяці тому +2

    Good and excellent 👍👍👍🙏👏

  • @MasharikiKati
    @MasharikiKati Місяць тому

    Tanzania Wachina wame kava karibu kila sehemu ujenzi wa mabarabara ndoo balaa, elimu, Mafaunzo ya kijeshi kama ivi, juzi kati hapa meli zao 2 za kivita zilitia nanga bandarini(TPA) Viwanda ndoo usiseme Mkoa wa pwani woote umekuwa wakwao kwaajiri ya viwanda wanajenga atari aisee safi saana asaiv ajira zipo pwani

  • @Wilsonmponzi.02
    @Wilsonmponzi.02 2 місяці тому +4

    SENGWILE MAKAMANDA

  • @AsheryMahayu
    @AsheryMahayu 2 місяці тому

    Good job JWTZ

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim 2 місяці тому +1

    Ngoja Nishike Nyimbo Za Wachina Nije Niwaimbishe Jamaaah Zangu 😂😅

  • @SaidiMbonde-x5z
    @SaidiMbonde-x5z Місяць тому

    Lakin kila cku watu wanatekwa

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 2 місяці тому +3

    Inapendeza stres zote zinakwisha

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 2 місяці тому +2

    Congo 🇨🇩 hatujawaona

  • @rashidiamini
    @rashidiamini 2 місяці тому +8

    Tunataka na jeshi la urusi lije kutoa mafunzo Kwa wanajeshi wetu sio kila miaka hao na marekani,mara India

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 2 місяці тому

      Mpaka muache uchawa😢😢 na USA

    • @YustaMfugale
      @YustaMfugale 2 місяці тому

      Jesh la urusi mafunzo yak sio ya kitoto😂😂kama mwanaume nahisi ukitoka mafunzo huwezi kuwa na mke tena😂

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 2 місяці тому

      🤠🤠🤠🤠🤠🤠 tenaaa​@@YustaMfugale

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 2 місяці тому

    Wara siwaerewi wanajengwa iri kuja kupiga raiya wa hari ya chin mateke wakati mari za inch zinaondoka raisi kauwawa mchanaaa da mungu kwa nn umenishusha tanganyika raiya uerewa mdogo sana mtu nbaya kwao mwema mwema kwao nbaya sasa sijui ii lugha ii tunayo iongeya imetaniwaa wakenya msiongee ii lugha mtaraniwa na nyinyi si mnaona mnatumiya kiingereza mrivyo na umoja

  • @SamwelMisungwi
    @SamwelMisungwi 2 місяці тому

    Jeshi liko vzri tunaitaji Sila nzito kwelikweli .

  • @HashimKihunga
    @HashimKihunga 2 місяці тому +2

    China wanaimba kwa hisia sana ila Tz,du!! Aaaah

  • @kassebo
    @kassebo 2 місяці тому +1

    Tanzaniaaaa

  • @denismarwa1748
    @denismarwa1748 2 місяці тому +10

    Nipeni like

  • @IsackIsack-x7e
    @IsackIsack-x7e 2 місяці тому

    mungu libaliki jeshi letu

  • @givenyohana9486
    @givenyohana9486 2 місяці тому +2

    Tukawasaidie kongo na sudan bas, maana hali zao ni mbaya watoto wanapata tabu sana

    • @JK-uq1tv
      @JK-uq1tv 2 місяці тому +1

      Vikosi vyetu viko huko chini ya Umoja wa mataifa UN

  • @RoseannaNdambo
    @RoseannaNdambo 2 місяці тому +3

    Embu fanya Kama umekosea njia upite mbele yao

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 2 місяці тому +2

    Kdogo angalao naona mrengo wa china cyo mbaya

  • @stevenclaud6648
    @stevenclaud6648 2 місяці тому

    Tuwaombe mechi ya kirafiki😂😂😂

  • @jkomedikaduli
    @jkomedikaduli 2 місяці тому +2

    Kiukweli inapendeza sana

  • @youngissackkweka5797
    @youngissackkweka5797 2 місяці тому

    Like

  • @saidmohd2665
    @saidmohd2665 2 місяці тому +4

    wa kwanza

  • @Pablolookman
    @Pablolookman Місяць тому

    Twende tukaikombee ukreine

  • @YoungbOdass
    @YoungbOdass Місяць тому

    2:47 2:49

  • @snkhannassoro2404
    @snkhannassoro2404 2 місяці тому +5

    Kama nimesikia huraaaaaaaa,,,au maskio yang yanazingua

  • @JamesmalesaMavere
    @JamesmalesaMavere 2 місяці тому +2

    Jeshi letu linatumia silaa zakizamani sana tubadilike

  • @KherryingOkello
    @KherryingOkello 2 місяці тому +1

    My army

  • @AnordJoseph-e2e
    @AnordJoseph-e2e 2 місяці тому +1

    Uongo wanajeshi wachina waje kufanya nn wote hao

    • @AishaIdrisa-s7v
      @AishaIdrisa-s7v 2 місяці тому

      Upelekwe mirembe wew kwahiyo huo ni modoli

  • @neemaevance80
    @neemaevance80 2 місяці тому +1

  • @kalingamazda
    @kalingamazda 2 місяці тому +4

    Lakini kule Mozambique kumeshindikana ni warwanda tu ndio wameweza kuwazuia Waaasi inakuwaje hapa

    • @AllyMohamed-w5x
      @AllyMohamed-w5x 2 місяці тому +2

      Hujui kitu kuhusu Mozambique Kaz imefanyika

    • @AllyMohamed-w5x
      @AllyMohamed-w5x 2 місяці тому +2

      Proud of Tanzania

    • @martinkabazo8412
      @martinkabazo8412 2 місяці тому +2

      Hii siyo simba na yanga bro we kula kiepe ukalale ya wanaume waachie wanaume wavulana endeleeni kujumuika na mama na watoto

    • @israel1331
      @israel1331 2 місяці тому

      Jwtz heko ongezeni helmets mpya na bunduki za kisasa tutoke kwenye ak47 tumiliki hizo qubiz,m4 carbine na drones za kutosha

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 2 місяці тому

      ​@@israel1331😂😂😂 kazi kuomba omba hatujui kutengeneza

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 2 місяці тому +2

    Mbwembwe tu
    Hakuna maarifa hapo
    Kutananeni na mmarekani ndiyo mtajua kama mmeiva kimazoezi au ni cha mtoto
    China yenyewe inasalimu amri kwa USA 🇺🇸

    • @HajiKlein-so1rk
      @HajiKlein-so1rk 2 місяці тому +2

      We Nini acha ushamba huu huyo marekani ni mungu mungu pekee ndo hawezakani

    • @isayaswai
      @isayaswai 2 місяці тому

      Bwenge kwel wewe

    • @李存勖-j2e
      @李存勖-j2e 2 місяці тому +2

      然而只有prc的pla给你们提供装备和训练。中国什么时候投降了美国?中国要投降就不需要做着一切

    • @amirabdallah6984
      @amirabdallah6984 2 місяці тому +1

      Marekani walikimbia sudan tu apo

  • @leonardelias8544
    @leonardelias8544 2 місяці тому

    Molari hawana hao bangi tu

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 2 місяці тому

    Kuna jeshi la chama na wanajesh wanaojielewa si machawa wanatumia akili kuliko nguvu

  • @RashidyHalidi
    @RashidyHalidi 2 місяці тому

    😮😮😮 4:31

  • @ELOGERUHIMBASA
    @ELOGERUHIMBASA 2 місяці тому +5

    Mimi nawaona tu kama wasani 😂😂😂

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 місяці тому +2

    Mbwe mbwe zimeshapitwa na wakati jeshi linatakiwa jeshi la kasasa siyo mihemuko na mbwembwe

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 2 місяці тому

    😮

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 2 місяці тому

    Usikute awa ni Wanamgambo wa china 😂😂😂

  • @KarutaHamza-rb1bn
    @KarutaHamza-rb1bn 2 місяці тому

    Awamu ijayo waleteni urusi au Cuba au Irani sio wale wanao owana mwenye kwawenyewe

  • @jkomedikaduli
    @jkomedikaduli 2 місяці тому +1

    Miladiayo naomba inter vyuuu jamani Ili nitoke

  • @melckandrea9959
    @melckandrea9959 2 місяці тому

    MUNGU ILINDE TZ

  • @bosssyedmund8785
    @bosssyedmund8785 2 місяці тому

    marekani alaani mazoez ya pamoja😂😂😂😂

  • @mirajimtoi8511
    @mirajimtoi8511 2 місяці тому

    Kuna nanga mmoja nimemuona hapo

  • @CreatureIey-eh8nh
    @CreatureIey-eh8nh 2 місяці тому

    Moraliii

  • @AgathaSahani
    @AgathaSahani 2 місяці тому

    Nimeskia mwano wa kiskuma aloooo

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 2 місяці тому +3

    Hakukuwa na vifaru hayo. hizo ni Armoured vehicle

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 2 місяці тому +5

    China wapeni drone tz na makombora ya kisasa!

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 2 місяці тому +2

      Aliekwambia hawana nani jeshi mambo yote ni Siri ayatangazwi ovyo

    • @PaulMasega-yy3sz
      @PaulMasega-yy3sz 2 місяці тому

      😂😂😅 drone na makomboraa, Tz ni nchi ya Amani 😅

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 місяці тому +1

      Ulitaka utangaziwe kama vipo 😂😂

    • @nassirali7499
      @nassirali7499 2 місяці тому +1

      ​@@nurumwita9034
      Acha upuuzi ingekua silaha za jeshi ni siri ww ungejuaje kama kuna Nuclear bomb duniani

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 2 місяці тому

      @@nassirali7499 nimeshasema full stop Sina muda wa kujieleza sana

  • @hamisiramadhani6620
    @hamisiramadhani6620 2 місяці тому +1

    The morale💪🔥🔥🔥

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 2 місяці тому +6

    Imbeni mtoto analilia nini,mtoto analilia Jeshi, mwache ataona mwenyewe😂😂😂

  • @m.l.b2066
    @m.l.b2066 2 місяці тому

    Sisi kutawaliwa rahisi sana, hatuzitambui hatari kabisa na bahati mbaya tunazikaribisha wenyewe!

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 2 місяці тому

      Wew hakili huna kama wakubwa wanashirikiana na wao kwa wenyewe kwa nin sisi tusifanye joint military cooperation 😅😅

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 2 місяці тому

      Unawaza kutawaliwa tu😅😅😅

  • @osoromageta3381
    @osoromageta3381 2 місяці тому

    si tukawachokozeni wakenya sasa

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 2 місяці тому +3

    Hula hula hulaaaaaaaaa🦾⛔

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 2 місяці тому

    Viongozi wetu tuaomba Russia special forces nao waje🪖💚🏹💪

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 2 місяці тому +2

    Viva Tanganyika....

  • @venancephilipo4411
    @venancephilipo4411 2 місяці тому

    Morali✊

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 2 місяці тому

    Mafinga au mapinga ?

  • @saitotigeorge654
    @saitotigeorge654 2 місяці тому +2

    Jeshi la tz ni futuhi tupu😂, wapo busy kubuni nyimbo na dance badala ya kununua vifaa vya kivita nasisi tuogopeke Africa😅

    • @saitotigeorge654
      @saitotigeorge654 2 місяці тому +1

      @@badirashid4668 nani kakuambia sijapita jeshi?

    • @elysetv1107
      @elysetv1107 2 місяці тому

      Vita yenyewe iko wapi? Unahisi siku wakinunua vifaa watakuja kukuamsha we na mkeo kukwambia sasa tushanunua vifaa majitu mengine hovyooo

    • @elysetv1107
      @elysetv1107 2 місяці тому

      ​@@badirashid4668bora umsaidie 😢😢😢

    • @AishaIdrisa-s7v
      @AishaIdrisa-s7v 2 місяці тому

      Wakinunua waje wakwambie tumia akili kidogo

    • @AishaIdrisa-s7v
      @AishaIdrisa-s7v 2 місяці тому

      ​@@saitotigeorge654 jamn acha ulimbukeni huna lolote kaoge ulale aliepita jeshini haongei ovyo

  • @DottoMasudi
    @DottoMasudi 2 місяці тому

    😮😮😮😮

  • @benjaminpaul9578
    @benjaminpaul9578 2 місяці тому +1

    Mbona hawashiriki kutengeneza simu hapa tz Ili ckoja tusinunue kwao

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 2 місяці тому +1

      Kwasababu hamna akili 😂😂

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 місяці тому

      WATU wenye akili wapi wengi. Kama kuna kitu Mungu kakigawa kwa ulinganifu ni vipawa vya watu. Tatizo leadership tu.

  • @mananievans3646
    @mananievans3646 2 місяці тому

    Kwa nn wasiende kupigana huko Ukraine kama wao ni wanoma?

  • @ChristinaNgulo
    @ChristinaNgulo 2 місяці тому

    Makuma nyinyi mavi enu

    • @williamdetkvant1313
      @williamdetkvant1313 2 місяці тому

      Huna nidhamu kuanzia kwenye shina lako la ukoo,endelea kutukana na hivyohivyo,na hakuna

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 2 місяці тому +3

    Hawa ndio watu wakufanya nao kolabo sio wamarekani

  • @WallaceWaweru-ob7jz
    @WallaceWaweru-ob7jz 2 місяці тому

    Nafasi zina toka lini jamani 😢

  • @EmmanuelSima-qz1gd
    @EmmanuelSima-qz1gd 2 місяці тому +1

    Tuombe kolabo na Kenya tuone nan atafunika😂😂😂

  • @kingibandajembe2247
    @kingibandajembe2247 2 місяці тому

    Wanatuzia vitu feck

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 місяці тому +1

    🇹🇿🇹🇿🫡

  • @bilalabas9636
    @bilalabas9636 2 місяці тому +2

    Hapo sjamuona mwanajeshi wa china mwenye kitambi ila angalia wanajeshi wetu wenye vitambi ni wangapi 😂😂😂

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 місяці тому

    🤗🤗🇨🇳💓🤲💓🇹🇿🤗🤗

  • @PauloLoota
    @PauloLoota 2 місяці тому

    Jwt mtuwekee chadema serikali

  • @eng.makolal1367
    @eng.makolal1367 2 місяці тому

    Yaani JWTZ hawana silaha nyingine zaidi ya AK??

  • @fredducaunt
    @fredducaunt 2 місяці тому

    😂😂 💪💪

  • @passportbrolife
    @passportbrolife 2 місяці тому

    LOL...china low level military equipment...no ACOG and night vision googles in the helmet...LOL

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 місяці тому

    😂😂😂 wanachekelea kupata element mpya za zamani kwishaa😅😅😅

  • @innocentrichard2945
    @innocentrichard2945 2 місяці тому +1

    This comment section is sad men it's cringe how my country Men feel inferior

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 місяці тому

      Hilo ni moja ya tatizo msingi la Taifa. Hata pale ambako tuna uwezo wa tz hujiona hatuwezi. Sisi ni wa kuhurumia au kupewa. Hili ni taifa haramia walikuwa wanateka meli uliwasikia tena. Kabla ya askari wa tz. Walishinda mataifa makubwa. Isitoshe kitabu cha kujifunza kupigana ni kimoja tu. Unategemea raia wako wana uzalendo kiasi gani. Vietnam marekani alipatashida kwa sababu raia walikuwa na uzalendo wa hali ya juu.

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 2 місяці тому

    Mumamayo😅😂😂😂huujinga tunao jikalibishia 🎉🎉🎉😂🎉matatizo....😂😂😂😂FBI..CIA😂😂😂😂

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂Mujing niww unaocomment

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 2 місяці тому

      ​@@VeronicaAdam-lx8ydAu ni ww 😂😂

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 2 місяці тому +1

    Mwenyezi MUNGU bariki nchi yangu na wakuu wetu wote siku zote.Inshallah

  • @CharlesEdwardCvanoedward
    @CharlesEdwardCvanoedward 2 місяці тому

    🫡