Tume kuwa watuma,vjana wame shindwa kupamba na uzalendo kuya dumisha ya asili yetu na hii yote ni tamaa na umaskini wa fikra,nyimbo zenye miyoyo ya biskuti kuishi kwake ni mashaka tu tofauti na hz za kipindi chetu mpaka leo roho zina suuzika kwa ubunifu na ukweli wake na ndiyo maana zina ishi
Jamani wazee wetu waliona mbali waliimba nyimbo za mwendelezo wa maisha kwa vizazi vyote ila hawa waenzi zetu siku mbili tushasahau na huwezi kusikiliza na baba kaka au mwanao
Last year Nilipomueleza babangu kuwa mwaka huu(2016) nataka kumaliza shahada yangu, nijenge Jumba na nioe, alinyamaza kwa kiwango tu, halafu akachukua Cd fulani akaniuliza nimwekee wimbo namba Saba.Huu wimbo ukacheza bila sisi kusemezana.Basi akaniuliza ikiwa hayo mawaidha yana umuhimu kwa vyovyote.Wah!
Kwa kweli, tulizifurahia sana hizi nyimbo pamoja na Uncle yangu Caleb.Kwa sababu tulikua na radio pekee, ilibidi tujitahidi kuziandika wakati zinapoimba.Hadi sasa bado tunaeza kuziimba.Niliifurahia sauti ya Mwenda zake Shaaban Dede hadi Leo. Hongera Juwata Jazz. Hizi ni nyimbo za milele.
Wimbo huu nakumbuka mbali mno hiyo bess ya marehemu Haji Siseme Dram ya Mzee Mabruk Halfan Marehemu,, Saxphone Abdul Mgetema na Mnenge Ramadhani wote Marehemu , Trambet Jose Lusungu Marehemu
huu wimbo wanikumbusha mtangazaji gwiji wa radio tanzania marehemu mzee julius nyaisanga nyakati zile. mbali na siku hizi huku kenya tulikuwa tunaipokea rtd kupitia masafa ya amplitude modulation . siku hizi hili haliwezekani jamani na tunajisifia muungano wa afrika mashariki, kinaya gani hiki?
nicholas murithi Kaka kumbe we ni mdau mkubwa wa muziki wa dansi Tanzania. Huyo Uncle J. Sijapata kuona tena Mtangazaji mwenye kujua muziki wa dansi kama yeye.
Juwata hatimaye msondo asanteni kwa maisha ya waimbaji kitu pekee tulichobakiza ni kusikiliza tungo hizi kujisahaulisha kodi za mama samia
Safari ni hatua...
Mwenda pole hajikwai....
Tume kuwa watuma,vjana wame shindwa kupamba na uzalendo kuya dumisha ya asili yetu na hii yote ni tamaa na umaskini wa fikra,nyimbo zenye miyoyo ya biskuti kuishi kwake ni mashaka tu tofauti na hz za kipindi chetu mpaka leo roho zina suuzika kwa ubunifu na ukweli wake na ndiyo maana zina ishi
sio msafiri kafiri JUMBE msafiri kakiri mwendapole hajikwai
Jamani wazee wetu waliona mbali waliimba nyimbo za mwendelezo wa maisha kwa vizazi vyote ila hawa waenzi zetu siku mbili tushasahau na huwezi kusikiliza na baba kaka au mwanao
Mlioshiriki kwenye wimbo huu mungu azilaze roho zenu mahali pema mmetuachia watz ujumbe maridhawa.
Kweli ndugu sichokagi kusikiliza nyimbo hii dar tanga nasikilza tu
Msafiri kafiri ni kweli kabisa hasa kwa sisi tulio ugenini
Tunaoisikiliza hii August 2023 tujuanee
2024 nasikiliza muziki mzuri kutokea Eswatini nakumbuka nyumbani zamani sana. Good music
R.I.P wote wliotangulia mbele za haki katika wimbo huu, daima kazi zao zitakumbukwa kwa ubora wake.
Last year Nilipomueleza babangu kuwa mwaka huu(2016) nataka kumaliza shahada yangu, nijenge Jumba na nioe, alinyamaza kwa kiwango tu, halafu akachukua Cd fulani akaniuliza nimwekee wimbo namba Saba.Huu wimbo ukacheza bila sisi kusemezana.Basi akaniuliza ikiwa hayo mawaidha yana umuhimu kwa vyovyote.Wah!
Baba baba
wimbo huu unatufundisha kukaza moyo na kuvumilia vikwazo katika maisha kwani maisha hayataki haraka
Ujumbe mzito sana huu sauti ya TX moshi na kundi zima msondo ngoma
Kwa kweli sauti nyororo hizi zikenda sambamba na busara za maneno yaliyomo kwenye nyimbo wala sisemi. Mungu azilaze nyoyo zao mahala pema peponi
All aaa
muziki huu jamani una mafundisho mengi sana na ndio maisha yetu ya kila siku
Sauti ya tx moshi wiliam. R.I.P MY LOVE
Msafiri kakiri au kafiri yote sawa. Msafiri hukiri yanayomkuta akiwa safarini. Au Msafiri anakuwa kafiri safarini mpaka atakaporejea kwao.
Mabingwa wa lugha haya mrejesho
Abdi Ridhiwani Pangamawe katika solo gitaa. Bado anapiga muziki huyu jamaa.
hii ndio miziki inayofundisha
Huu ndo muziki wenye asili ya Tanzania tunaouacha upotee na badala take tunaku mbatia miziki ya wenyewe.
Hapo sasa,tens miziki isiyoeleweka
When music was called music!!
Exactly
Who is listening this sweet song 2018?
Old is gold always.
+255.
umeona eehh
March 2023…..!
June 2023 +254
Fantástico. .... i'm from Brasil. .. very good song
Nakumbuka jk alikuwa anauimba huu wimbo mwanzo mwisho.Wimbo unamafundisho murua kabisa
jk yupi?
Hakika nyumb zilikuwa na mafundish mazur.
Nyimbo hii tamu sana
Bass gitaa humu kapiga marehemu Bakari Semhando "Disfa", sio marehemu Suleiman Mwanyiro ambaye wakati wimbo huu unarekodiwa alikuwa Bima Lee.
Asante sana ndugu
Raha sana kwangu uwaga natoa machozi nikiwa mtungi
Acha mchezo na Old ni mafunzo tupo.!!!
Kwa kweli, tulizifurahia sana hizi nyimbo pamoja na Uncle yangu Caleb.Kwa sababu tulikua na radio pekee, ilibidi tujitahidi kuziandika wakati zinapoimba.Hadi sasa bado tunaeza kuziimba.Niliifurahia sauti ya Mwenda zake Shaaban Dede hadi Leo.
Hongera Juwata Jazz. Hizi ni nyimbo za milele.
Huyo alikuwa Moshi William (na Juma Akida), wakati ndio amehamia Juwata Jazz (Otu) baada ya kutoka polisi jazz wana vanga vanga!
@@josephgomalo41 Yes na Joseph Lusungu ila Dede hakuwepo kwenye hili songi. Bass kapiga mu anaitwa Kisukari
Old is gold❤
Mwenda pole hajikwai,nitasafiri Kila pande Ili nifanikiwe! Napata Raha zaidi magitaa na hizo saxophone vinapojibizana💯🔊🎶👏
Suleiman mwanyiro kwenye bas guitar......
sidhani kama Mwanyilo alipiga Bass
Shukran kwa muziki wa kwetu
dah...!! Moshi William.. Inna lillah wainalillah rajiun
msafiri kakiri mwendapole hajikwai. uko safi
Wimbo huu nakumbuka mbali mno hiyo bess ya marehemu Haji Siseme Dram ya Mzee Mabruk Halfan Marehemu,, Saxphone Abdul Mgetema na Mnenge Ramadhani wote Marehemu , Trambet Jose Lusungu Marehemu
Sasa kila MTU anatoa list yake nani lipi tushike . bass kuna MTU kasema mwanyilo, mwengine semhando duh
@@samuelmwaipopo1302 Mwanyilo hakupiga hili bass
Who is here in 2019...Best melodies.
hakika mimi ni kijana wa miaka 28 tu ila hiz nyimbo zinanikosha hatari sijui vijana wa sasa wanakwama wapi jamani!!!!
moja kati ya nyimbo zangu kali sana
Maneno yaliotamkwa ndani ya wimbo huu yananigusa mno. Duh!
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana. Pamoja sana
yaani hii nyimbo ninapoisikiliza natokwa na machozi hizi ndio nyimbo za kusikiliza
producer chuma habari ya mujini msondo ngoma hakuna kama wao
Tumeacha mziki wetu tumekumbatia miziki isiyo eleweka Tena haina hata maadili.
Ama kwa kweli uzuri hauzeeki. Si ni nzuri hizi nyimbo za wakati ule!
Raising Jk anaupenda sana huu Wimbo
Maisha na muziki ndio huu sikiliza ala hizo huu ndio mziki
iko cku mungu atanisaidia, Mwenda pole ajikwai
Kiswahili twasema: msafiri kafiri ( maana ukiwa safarini unaweza kula chochote au kwenda haja popote)
Jo Jumbe waaaoohh huwaga sielewii
😀😀😀😀
@@allutacontinua719 😪😪😪
Wimbo unaitwa msafiri kakiri. Samahani correct me if am wrong.
Naupenda sana muziki wa dansi wa zilipendwa
Wenye haraka wapite, ,, mimi naja taratibu,,,Safari ni hatua.....
Ninapenda nyimbo zaman xana.sio manyimbo yao yasikuhiz utanipwelepweta inamaanagan
Kimazichana msondo
hizi ndio nyimbo hasa na si zile za utamu wa pipi
Ujumbe unahusu maisha ya kila siku
Wimbo wenye busara
huu wimbo wanikumbusha mtangazaji gwiji wa radio tanzania marehemu mzee julius nyaisanga nyakati zile. mbali na siku hizi huku kenya tulikuwa tunaipokea rtd kupitia masafa ya amplitude modulation . siku hizi hili haliwezekani jamani na tunajisifia muungano wa afrika mashariki, kinaya gani hiki?
nicholas murithi Kaka kumbe we ni mdau mkubwa wa muziki wa dansi Tanzania. Huyo Uncle J. Sijapata kuona tena Mtangazaji mwenye kujua muziki wa dansi kama yeye.
juwata jazz band walikuwa wanajua sana kutunga nyimbo
Msafiri kakiri kwamba wimbo in mzuriiiiiiii
Nimaneno ya hekma na busara, muhimu nikutokata tamaa! Ya kale nidhahabu
Izi ngoma ni shida azichuji msafiri kakiri aibu ikipigwa iyo ukai chini
Usiamzur nyimbo nzur unafudisha .hongera aliyetunga wimbohuuu
Kilango Mtango u
Hakika vijana wetu wanatakiwa kuiga
Old is gold.
power Nguzo kudos for your great job in getting us these goldies.. Heko
Imenikumbusha mbali ndugu zanguni...
kweli kwel
Pamoja sana sisi vijana wa enzi hizo hatuna shaka
Kumbe msafiri kakiri nilijua msafiri kafiri.
Hakuna tena hivyo vielelezo vya mziki tz
Number One, oldies the best 2020.
hakika old is gold
Solo ya Abdul Ridhwani imetulia sana. Zama za wanamuziki sio sasa tuna lundo la wasanii
Solo ridhiwani bass mwanyilo.. Hizi trumpet na saxophone wamepiga wakina nani!?
@@samuelmwaipopo1302 Trumpet ni Lusungu na Mng'ande
kumbukizi nzurimmetuachia. rip
Sikiza hilo bass linavyo kung'utwa!! Safiii
Na nyimbo hii imeanza na bass gitaa ubunifu wa Hali ya juu
zinanikumbusha my childhood KBC radio
Ama kweli muenda pole ajikwai
Ama hakika ni burudani tosha.
Habiba msafir
bass guitar selman mwanyiro ..computer
Bora umeniambia ukweli nilidhani John ngosha. Ilo bass humu limetamba sana. Superb
@@samuelmwaipopo1302 Siyo Mwanyilo alikua ameshahama
Full of wisdom
enzi hizo radio mbao dah mda xana
basi nitasafiri kila pembe......
🎯💯
nice instruments organization and harmoni
😢😢😢😢😢😢Daaaahhhhh
cograts
Nice
2019
muziki wenye akili
Nani alikuwa kipindi Hindi?
pamoja
nimekumbuka mbali xana miaka iyo nkiwa na babu yangu kashaha mkoa wa kagera
saanaaaa
Msafiri kakiri...enzi hairudi nyuma...nani mwenye baba mayi ya msondo
Hakuna ubishi
Unaelimisha na ujumbe mzito.
natokwa na machozi kabisa,Abdul ridhiwani hapo acha tu,Moshi sasa wewe
Kaka hizi nyimbo hazifai kusikiliza ukiwa na shida au mawazo
Hii ndio miziki
Msondo daima.
DA sawuti adim iyo na maneno kuntu
We
Suba uno de solo guitarra gracias
Et el Senor Ridhwan Pangamawe